Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@adamonvitapitanvitapita48913 жыл бұрын
Allah akupe umuri murefu usthaz
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@abumuhsinminaniabdoullahas91853 жыл бұрын
Kwa kweli masheikh hawa ni mtihani sana,wanawazungumziya mitume ki ukosefu wa adabu kabisa
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Punguza jazba
@georgemassebu20832 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv punguzeni usanii pia
@vumiliayasini12742 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv hivi mwenye channel hii unashughulisha na kusoma kweli vipi wasambaza ujinga...
@vumiliayasini12742 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv masuulia makubwa unabeba na sisi twamshitakia Allaah kwa hii dhulma mnayoifanya ya upotoshaji kisha mkikosolewa mwaita watu wana jaZba Allahulmustaa3n Allaah awaongoze ikiwa ni watu ambao ni wenye kuongoka na atulinde na shari zenu ikiwa si wenye kusikia
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
@@vumiliayasini1274 Tuambie walichokosea
@petermding69062 жыл бұрын
Nakubali.doktasule
@abraarimages12693 жыл бұрын
Subhanallah,,amevuka mipaka
@DIRECTOR_JUNIPER3 жыл бұрын
Kivipi ostadh
@vumiliayasini12742 жыл бұрын
@@DIRECTOR_JUNIPER muongo hakuna hicho kisa pia hana adabu na mitume wa Allaah
@asilclub Жыл бұрын
لاحوله ولاقوة الابالله العلي العظيم
@ramosfally2318 Жыл бұрын
mashallah
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Allah
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@sharifamakawa9900 Жыл бұрын
Mashallah
@arafadarasanzursanajuma74303 жыл бұрын
Mashaalah
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@zuwenamkwizu3373 жыл бұрын
Anajaribu kifikisha message kwa njia ya utani but yupo sashihi,mussa alikuwa anapenda kuhoji sana, maandiko yanavyosema
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@sharifamakawa9900 Жыл бұрын
Hakika
@FridayMwassa2 ай бұрын
Eti Musa alikuwa anapenda kuhoji,hayo yanapatikana sura ipi kwenye koran
@samiaarimkonekonko50963 жыл бұрын
Mashaallah 🙏🙏🙏❤️
@hassanamran36373 жыл бұрын
Inshallah.
@rayhanrashid39283 жыл бұрын
Maashaa Allah
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali
@abdunnasser95803 жыл бұрын
Sub hana llah hivi kweli hivi visa unavitoa wapi kisa cha nabii mussa Kuna Qauli ambazo unatumia kwenye kichwa cha maudhui una tumia utofu waadabu kusema kua nabii mussa alikua mtundu huna adabu na mitume wewe Hicho kisa cha nabii mussa umekitoa kwenye kitabu gani cha sheria المسلم لا ينبغى ان يدخل في مسؤلة إلا بدليل nipe jina lakitabu nipate faida
@asadlenjo2 жыл бұрын
Sahih Al Bukhari, Volume 9, Hadith 7515
@مبغضالبدع-ع9ص8 ай бұрын
Jamani mtume wa Allah mtundu!!!! Wewe mpumbavu kaa kimya!!!
@FridayMwassa2 ай бұрын
Hao ndiyo waislam bwana, uongo mwigi
@almasstar61333 жыл бұрын
Masha
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@Gevidotvonline7 ай бұрын
KAMAWA 2024 MPO GOGA LIKE
@rashidjunior53833 жыл бұрын
Taratibu shehk wangu tuelezane ukwel maana unavoielezea ww tofaut kabisa na kisa chenyewe
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Andaa cha kweli na ww
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
JIFUNZE QURAN KUSOMA KUANDIKA GUSA PICHA YANGU HAPO KAMA HAUTOJALI
@zuwenamkwizu3373 жыл бұрын
Nimekielewaaa shekhe
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@FridayMwassa2 ай бұрын
Joka walilolifuga limeanza kuwatafuna wenyewe
@ismailhassan56623 жыл бұрын
Yaan huyu shee anavisa vyauwongo sana kisheria haifai kumsikiliza.
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mh
@mohamedabubakar73973 жыл бұрын
usiongee usiyoyajua kwani elimu ni pana na ina wenyewe hiki kisa si cha uwongo bali imethibiti katika sahih bukhari na muslim hata atwabariy na Al beyhaqiy na ibnu kathiyr pia alichokiongea zaidi sheikh sulle ni moja tu kua nabii musa AS alikuwa mtundu hapa ndipo yafaa ajirekebishe BORA ANGESEMA NABII MUSA AS ALIKUWA ANAPENDA MAHOJIANO AMA ALIKUWA NI MWINGI WAKUTAFITI
@shafiichutto98083 жыл бұрын
Acha yasiyokuhusu,hiyo n sehemu ya ufikishaji ujumbe,so,mifano kW mwalimu ni njia inayomrahisishia kueleweka kwa urahiso
@ismailhassan56623 жыл бұрын
@@shafiichutto9808 we huwajui hawa mashee hawa nimatapeli wanatumia din kupata pesa.
@masterplan9203 Жыл бұрын
@@ismailhassan5662 wacha kuzua uongo uooo, uyo sheikh ana maisha yke binafsi na ni mazuri tu, anafanya dawa kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah (s.w) tu.
@doctorngowi4870 Жыл бұрын
Kucheza sports pesa ni binaua ?
@doctorngowi4870 Жыл бұрын
Ni vibaya kucheza sports pesa ?
@rojasvideo64603 жыл бұрын
Hii ni hadithi ama historian mana naona mbwembwe nyingi.
@asadlenjo2 жыл бұрын
Sahih Al Bukhari, Volume 9, Hadith 7515
@ramosfally2318 Жыл бұрын
we ina dini kaa kimya
@nurdintaher98403 жыл бұрын
Hichi kisa amekitoa wapi
@mohamedabubakar73973 жыл бұрын
usiongee usiyoyajua kwani elimu ni pana na ina wenyewe hiki kisa si cha uwongo bali imethibiti katika sahih bukhari na muslim hata atwabariy na Al beyhaqiy na ibnu kathiyr pia alichokiongea zaidi sheikh sulle ni moja tu kua nabii musa AS alikuwa mtundu hapa ndipo yafaa ajirekebishe BORA ANGESEMA NABII MUSA AS ALIKUWA ANAPENDA MAHOJIANO AMA ALIKUWA NI MWINGI WAKUTAFITI
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@georgemassebu20832 жыл бұрын
Sijui hua mnaongea nini,kwanza mnaongea kama kwa sifa fulani hivi ambazo hazina hata maana, MUNGU mnamuongelea kama kimasiala siala
@kusakisoma31683 жыл бұрын
jembe la kwetu rufiji
@tbr24viral3 жыл бұрын
Naam
@feisalfarsy65623 жыл бұрын
Asant dr.sule
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
Masha,Allah kiboko ya makafiri
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
@@feisalfarsy6562 Asalam Aleykum ndugu yangu. We Feisar Farisy wawapi? Upo nchi gani?
@elizabethwallace85983 жыл бұрын
Yaani mafundisho yenu ni uongo Mt up u mmetoa wapi hayo
@nassorali12023 жыл бұрын
Wewe ukwelii unaujuaaa?? Tuambiee wewe bs huo ukwelii
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Lete Ya kweli
@woah.africa99 Жыл бұрын
Akochongewe sanam lamzungu anajua kweli yesu kumbe isaa yuko na mana bee wenzake
@sirpurkinje2836 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 dah uongo uliokomaa ukapitiliza. Mtaungua moto vibaya sana Jehanam enyi wafuasi wa muhammad na shetani.
@abuazizomarkassim61213 жыл бұрын
Kwa kweli maduati inabidi kuwa makini na yale mnayo zungumzia kumbukeni tu kwamba kesho mbele ya Allah tutaulizwa kwa yale tuliokuwa tukitamka. Pia baadhi ya maneno dai huu katumia sawa na heshima ya Manabi wa Allah haifai kuyatumiya Kwenye maneno yake kana kwamba anaonyesha kuwa Nabi Musa alayhi swalatu wa salam anajutiya kazi ya unabii. Ningekuwa na namba za dai huu ningeweza kuwasiliana nae. Allah atuongoze sote kwenye haqi.
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Haya wenye moto na pepo mmekuja
@neemajaylani90683 жыл бұрын
Shehkhe nasia wewe utapeli
@ismailhassan27062 жыл бұрын
Ili nilitapeli
@abdunnasser95803 жыл бұрын
Wallah nakuapieni huyu hajasoma wallah hana hata robo ya masomo tena wanao mpa microphon wana changia kuwapoteza watu
@aliabdi53633 жыл бұрын
Kwa nn unasema hvyo
@sadathboutique62532 жыл бұрын
Acha chuki
@yogwesaid74353 жыл бұрын
☹️☹️Doctor sule muongo sana historia ya vp hii sasa, kwani kuonyeshwa ndugu yake Adam Mungu alikua haezi🤔🤔
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Punguza jazba
@abdulhakimhasan76733 жыл бұрын
Historia ya ushahidi wa nguvu ya Allah , na miujiza wa mitume wake . Yanayo kataliwa na makafiri kuwa ni uongo. Dr. Sule ni mkarimu wa mafunzo .
@samutykuntathebantu84022 жыл бұрын
@@abdulhakimhasan7673 Kafiri nyie someni Torati muwache ushoga na Mohammed wenu
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 Kafiri anajulikana. Wafuasi wa Torati wana kataa Injili na hawaruhusiwi kuingia kanisa ya wakristo. Hiyo lugha yako peleka sokoni kariokoo .
@samutykuntathebantu84022 жыл бұрын
@@abdulhakimhasan7673 nakwambia we shoga Torati ni vitabu vya Musa na vimo kwenye Biblia na hatuitaji ufwasi wa Torati ndo tujue yaliyomo ndani yake... Nyie endeleni kupiga story mskitini kama kinamama wa soko nguruwe hizi
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Kwanini mziwekee video ndefu mnatuwekea vipande vipande tu inaboa
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Tutajitahidi
@salumuledisalum80382 жыл бұрын
Huyu shehe ni muongo sana
@samutykuntathebantu84022 жыл бұрын
Mimi mkristo Torati au biblia inasema tofauti na hii story zenyu za abunwasi kumbuka Biblia ilikuja kabla ya Quran na Biblia inasema usiongezee Wala kupunguza nyie mnaongeza upuziii.... Adam alifariki miaka zaidi ya elfu 10 kabla Musa kuzaliwa kweli nyie makafir