Inci yetu iliongozwa tangu mbele na unafiki na siasa kigeni kwakuiba mali yake pia kukamata kwa nguvu sehemu ya mashariki. Mambo ya sasa siyo ya zamani. Sisi wakongomani,sote tushikane mukono kwa mukono ili tupige adui na asikie muzuri
@horebstrong1 Жыл бұрын
Vita hivi havitaisha ! Hao magaidi kutoka Rwanda warudi kwao ! Wanajeshi wa Congo wanapashwa kwenda na kukaguwa kote ! Sio wajibu wao magaidi kutoa maelekezo kwa FARDC ! Tutapigana nao mpaka akiwepo Kisekedi au hayupo ! A luta continua,..... !
@Habyarimanabonif10 ай бұрын
Congo.
@BON357 Жыл бұрын
Anaye xababixha Vita Congo raisi wa Kongo anadaiwa uyo akaripe deni
@omarmuya4819 Жыл бұрын
Kwanini waafrica hawafungi mipaka yawo hawo watu hawana viwanda vaya silaha lakini kilakukicha hilaha haziwaishi wanazipata wapi haadi kusumbuwa serikali kwani hamjiulizi huwo umoja wamataifa miyaka nenda miyaka rudi unafanya nini kama siyo wawo wanawo wapatia silaha
@nizeyimanajosephine439110 ай бұрын
gà
@paulomwamba9491 Жыл бұрын
Poleni ndugu zetu 😿😿
@lucienmbuto3116 Жыл бұрын
Monusco iyende kwambo atutaki Monusco drc
@obedicamunani Жыл бұрын
Mungu atatusaidiya tuta shinda wale hawawezi kututisha
@kizaaminirukebuka3834 Жыл бұрын
Hamuwezi utangazaji wa habari,mnacho kifanya ni propaganda ya M23,wakati M23 anapigwa naku kimbiya hamu tangazagi ila waki Anza tena mapigano muko Tayari kuwafanyiya pro
@JacksonBonheur11 ай бұрын
Waganda si do m23 njo maana mani haita kuwaka miye nika kuwa ata gouverneur APA goma n'a sita lomabaka musahada muingine province nikupiga mpaka Rwanda dju tunateseka sana
@aganokomba2423 Жыл бұрын
American anapiganisha congo
@horebstrong1 Жыл бұрын
Sio waasi bwana ni magaidi wa kinyarwanda ! Wanapata msaada kutoka Rwanda na Uganda ! Serikali yetu ina nguvu sana, lakini vision ya kumaliza vita hivi hakuna ! Inaonekana kama imechanganyikiwa na jambo ndogo sana kama hili ! Hizi mbinu za magaidi kuifanya EARF kushika doria maeneo ya Congo eti ni yao, haiwezi kukumbaliwa kamwe , hata kama kunakuja utawala mwingine ! Hayo makumbliano sisi wakongomani hatuyajui na hatuyataki kamwe !
Fcc njo ilipanga ibi byote byenye tukonapitiyz amo,abakuachiya njeshi ya kweli
@AgoInoki10 ай бұрын
Bien réfléchi mon frère
@momoti-sv8ex Жыл бұрын
Wanawake siyo nguvu congo inakosa
@JeanElonga9 ай бұрын
John sénat
@eprahimwesas6892 Жыл бұрын
Russia inataka piga America. Chokomana joe biden ametuma pesa za kupiga Kongo😭😭😭😭😭😭 -presindet wa Uganda atoke kukiti
@hamzafishten9560 Жыл бұрын
Hao Hao waganda wamo kwenye m23
@DieUmeMalebo Жыл бұрын
Pour quoi nous arrive pas de lute votre le m 23 , la finance les soldats ou la volonté, aux autorités ?
@BON357 Жыл бұрын
Wakongo wasenge kibawo si mulixema jeshi la Africa mashariki litoke
@tonnywanjala8996Ай бұрын
🤣shida yao mkitaka kuwasaidia wanadani mnataka madini yao🤣🤣
@momoti-sv8ex Жыл бұрын
Tumekuwa wote wamoja
@KM-hx8zy Жыл бұрын
EAC wakikaa pene yao, haiwezekani wataachia waasi nafasi na ndo mwanzo wa Congo kugawanika.
@thewhitesand1814 Жыл бұрын
Wewe nibwatu huna unacho kijuwa
@stanleynombwe4865 Жыл бұрын
Rais wa Congo ni kiongozi dhaifu sana
@Wiope430 Жыл бұрын
Utakuwa Mtangazaji wa upande mmoja wewe Austere...!
@CotcheGerard-ui9fk Жыл бұрын
Île ni wongo mtupu munafanya, distraction total. Wa Ganda,Sawa vile wa nyarwanda. Nyinyi wote,'i wavamizi, wa RDC. Akuna musaada wowote, utakaobtoka kwenye.
@momoti-sv8ex Жыл бұрын
Waache ukabila congo utakuwa na amani
@estajeanette7487 Жыл бұрын
Hakuna ukabila congo. Unaumwa tu. Ukabila upo kwenu Rwanda.
@rifatibiden8126 Жыл бұрын
wacongoman muwe nahakiri haowote wanawadanganya hawawasaidii kitu bali mnaibiwa mari zenu