DRC yapata ushahidi mpya wa Apple kununua madini ya damu na vita nchi humo, kwenda mahakamani

  Рет қаралды 8,747

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 22
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 29 күн бұрын
Ali masury amependeza akipigiwa pasi na sky ndio atupee taarifa
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 29 күн бұрын
Asante sana mchambuzi
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 29 күн бұрын
Congo imeibiwa miaka zaidi ya thelathini na wanapitishia Rwanda ndio maana Rwanda walikuwa kimywa wanavuta mpunga wa tax sasa hao Apple 🍏 wameumbuka sasa aibu wazungu wote ni wahuni wezi wanaotumia akili nyingi sanaa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 29 күн бұрын
Waasi wa DRC wamewekwa na wazungu ili iwe rahisi kuiba mali za afrika
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 28 күн бұрын
Kwann muwakaubali hata mchawi lazima awe na mwenyeji Sisi wenyewe ndio tuko na shida
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 29 күн бұрын
Sky Unatakiwa Uanze Kwanza Then Ali ndio afuate Mimi ni Musician Sauti Yako sky Ina motivation ya kuleta attention But Ali akianza anapoza So yeye hatakiwi kuanza Coz inawez kuku cost kibiashara
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 29 күн бұрын
Bado watabaki wanawakodolea macho tu
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 29 күн бұрын
Mhhhhh
@domajosep3797
@domajosep3797 29 күн бұрын
Duuh
@benson23823
@benson23823 29 күн бұрын
Wana sulilikiya vitu ambavio havitusaidiye chochote sisi Wa Congo wamalize vita wa ache kutusumbuwa na mambo ya upuuzi amani ndiyo tunayo penda rafiki zetu wana chinzwa ila wanakaa kimia tuu
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 29 күн бұрын
Unafikiri utapata amani wakati kinacho sababisha ukosefu waamani ni ayo madini.
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 28 күн бұрын
😭😭😭
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 29 күн бұрын
Kinnachoendelea hapa duniani Matekani na Israel wakiangushwa dunia italiwa salama vita vypte vnavyopinganwa leo ni marekani na Wayahud
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 29 күн бұрын
Nyi waislamu mnahambiwa kilasku nendeni shule nymnakmblia madrasa nakuuza kashata na haly kasusu hatakuandka uwez
@khamisomar889
@khamisomar889 29 күн бұрын
​@@user-tq4lx9si1n sasa kuandika hujui na unashauri waislamu waendeshule😅😅😅😅
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 29 күн бұрын
We mwenyewe kuandika hujui fungua macho wewe​@@user-tq4lx9si1n
@bahariakassim8089
@bahariakassim8089 29 күн бұрын
uislam unahusu nini apo wewe mwenyewe hujasoma angalia ulichoandika vizuri
@officiallnobystar
@officiallnobystar 29 күн бұрын
@@user-tq4lx9si1nSasa Wewe Mwenyewe Umeandika Nini Unamkosoa Mwenzio Nikajua Wewe Umesoma Kumbe Na Wewe Kubwa Jinga😂😂😂😂
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 29 күн бұрын
Hapo DRC inajisumbua tu,ikumbukwe wazungu wote wanaiba mali africa,ikiwemo congo,na wazungu bila kuiba africa basi mataifa yao kwisha habari yao
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 28 күн бұрын
Nakubaliana na wewe kw 100% swali je Congo wao watayafanyia nn na kazi Yao Africa ni kubaki madarakani tatizo ni sisi wenyewe
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 29 күн бұрын
nyie mnajua leo kama wazungu wizi na wanatumia machafuko ya vita ili wapte maslahi yao wao hawajali kama raia wanateseka au la wanachojali kunufaika hata kama watamwaga damu saw mazali raia wao wako salama sisi wa Africa wanatuona kama kima ila shida na sisi hatujitambui kwa maslahi ya mamluki wachache wanateska wingi
Китайка и Пчелка 4 серия😂😆
00:19
KITAYKA
Рет қаралды 3,8 МЛН
La revancha 😱
00:55
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 69 МЛН
Why China’s Property Crisis is Still Getting Worse
8:25
TLDR News Global
Рет қаралды 253 М.
Водитель был в шоке от увиденного #дуракинадороге #shorts
0:16
Дорох и алкобайк
0:55
Разгон
Рет қаралды 1,6 МЛН
Biggest Exclavator Construction Machine🙄
0:43
zias
Рет қаралды 7 МЛН
Como abrir a porta de um carro com ímã 🧲 #diy #tools #carros #shorts
0:23
Choose a car for Grandma ❤️ #car #carlover #automobile
0:16
Drive Vibes
Рет қаралды 18 МЛН