Barabara hizi zinahitaji kuwa pana na pana sana ili kuepusha ajali na migongano ya uso kwa uso Pia zinahitaji mabega na kuwekewa alama vizuri sana.
@SaidSeif-d4y5 ай бұрын
Uchafu 😮😮😮 tu. Barabara nzuuuri bora ni lami tuuu.
@VisentJohn5 ай бұрын
kakudanganya
@modestwenceslaus95 ай бұрын
Sema tu wewe ni Mgeni wa ujenzi wa Barabara za Zege na Ukitaka kujiridhisha tembelea Barabara za Mabasi ya Mwendokasi katika Jiji la Dar es salaam utapata jibu la hoja yako.
@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608kitonga kwa sababu ya mtelemko ndo maana wakaweka zege wangeweka lami Barabara breki zisingeshika na uzito wa truck bus na zege bei rais Barabara za mwendo Kasi wangeweka lami ingekuwa poa kwa sababu dar hakuna mlima na mtelemko
@vom845 ай бұрын
Hiyo ya zege alishajenga MAGUFULI kitambo
@ibrahimallyweunaijuahiyoco86085 ай бұрын
kajenga akiwa kaburini
@MathewNathan-yb2bz5 ай бұрын
Good.
@jedidahbintidaudi82415 ай бұрын
yaan mpaka Mama Samia aikumbuke KJaro na Moshi ni mpaka amalize 2030 uongozi..kazi kweli
@naasibabuu5 ай бұрын
hapa kilichopo ni fitina tu ila huyu mama Samia yupo vizuri sana aendelee kudiri na majambazi tu huo ndio ushauri wangu halafu naona kama Makonda angepandishwa awe waziri
@rojatv1675 ай бұрын
Zege
@jumashedafa5 ай бұрын
Haya ni matumiz mabaya ya fedha..kumbe kuna uwezo wa kutumia lami na kupunguza gharama na pesa kupeleka mahal pengin...Yan nilijua kuna sababa za kijiongrafia au ardhi ndio maana mlitumia zege..Na hili unakuja mkuu wa mkoa unajisifu kwel? Labda uje na sababu kwann zege huenda nikaelewa.... Ndio unaweza sema value for money inapatikana ila hamuon mnazid kufanya miradi mingi kuzorota....Bado tunasafar ya kwenda na kuwa wazalendo..Somet hii miradi hupendekezwa na kupitishwa kwa ajil ya maslah ya watu wengin..Mie nilijua mnakuja na kusema kupitia ujenz huu tumeokoa billion 20
@magorymara55155 ай бұрын
Mmesogeza camera nimeona mapungufu ya barabara kwa pembeni kwahiyo tutegemee kubomoka fasta