DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 4)2024 ISRAA NA MIRAJI

  Рет қаралды 9,880

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@nourdinpro
@nourdinpro 10 ай бұрын
I follow you from uganda, shekh mungu akupe umri mrefu
@rahmadaniel5803
@rahmadaniel5803 10 ай бұрын
Inshaa'Allah Allah akujaalie nguvu Afya shekhe wetu ili uje kutumalisia maajabu na ujuzi wake Mola wetu mlezi na kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W
@SwafaaKaneza
@SwafaaKaneza 10 ай бұрын
Maa shaa Allah sheikh wangu,Yani kwa juu Yako Niko najifunza dini yangu zaidi,Niko natambua Ukubwa WA Mwenyezimungu zaidi,Asante sana nasubiri kwa hamu sehemu ya tanu!!
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
Mash Allah Dr Sulle kichwa kimebeba madini mpaka raha. Shukrani kwa elimu.
@lilbowwowmuyisa
@lilbowwowmuyisa 11 ай бұрын
Mimi ni sheikh ISSA Muyisa-ukutu Lil'bowwow Hongera sheikh wangu Dr sulle,Allah akulinde nakutakiya kila la heri, wewe ni sheikh m'kubwa mwenyi kutambuwa historia ya dini n'a umesoma dini 100 ku dini 10,000 duniani,nakusapoti zaidi mwalimu wangu.
@رضيهتنزانيا
@رضيهتنزانيا 10 ай бұрын
Mungu akujaalie her dunian nakesho akhela D. Sullen Yaan hata niweke ila nikikuckilizaga najua mpya
@UwizeyimanaZuletha
@UwizeyimanaZuletha 8 күн бұрын
Allah akupe here nyingi she wetu
@protusmuliro2796
@protusmuliro2796 11 ай бұрын
Yani mm kabla ya kusilim niliwafwata Sana Hawa masheikh niliujuwa uisilam vizuri kuliko hata wanafunzi wenzangu madrasa
@Intenotz
@Intenotz 11 ай бұрын
Professional sheh nakubali sana huna baya mungu atupe mwisho mwema
@رضيهتنزانيا
@رضيهتنزانيا 10 ай бұрын
Anatemaga madin ya tanza9t huyu
@SirajeSalum
@SirajeSalum 4 күн бұрын
Wewe unasema hadidhi za bunwasi una hakili Rudi chuo huyo sheikh ana elim kubwa mungu amjalie umri mrefu
@MohamedHalake-cy8bh
@MohamedHalake-cy8bh 11 ай бұрын
Ntapataje huduma zenu Dr sule tafadhali naomba kuuliza
@GodfreyMwamelo-z3b
@GodfreyMwamelo-z3b 3 ай бұрын
Allah akurinde
@Fardadihd
@Fardadihd 11 ай бұрын
Dr sule anza mazoezi
@suleymandachi782
@suleymandachi782 10 ай бұрын
Mada ni islaa na miraji tatizo umetoka kwenye mada na kuingiza mada tofauti mtililiko umekosekana mada haujakatika Dr sure nakushauri ukiandaa mada jitahidi ifate mtililiko na kuifunga mada kwa faida ya watazamaji na wasikilizaji,ineanza vizuri lakini umemaliza tofauti
@nourdinpro
@nourdinpro 10 ай бұрын
Acha ujuwaji
@rahmadaniel5803
@rahmadaniel5803 10 ай бұрын
Hujamfatilia vizuri kama ungemfatilia ungeuwona mtitiro tatizo binaadamu wa karne hii tuns kiherehere cha kuongea na kuandika bila kusikiliza kwa umakini
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 10 ай бұрын
Kweli kabisa
@hassanikombe9053
@hassanikombe9053 11 ай бұрын
Tunasubiri sehem y 5 shekhe nipo pamojaa na wwe
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 11 ай бұрын
hadithi za abunuasi
@رضيهتنزانيا
@رضيهتنزانيا 10 ай бұрын
Msubilien yesu alud awalinganie uislam huenda mtaamin maana wenzet hamna macho yakupona wala kusikia yanayosemwa hvyo ninyi msubilien Yusuf alud huenda mtatuelewa waislam tunachokisema
@rahmadaniel5803
@rahmadaniel5803 10 ай бұрын
Tunga na we za kwako zenye msisimko na zenye kutamana kujua mengi zaidi na zitakazo endana na kitabu cha Mungu tuone kama rahisi....fungua macho maana nabii issa yu karibu kuurudia ulimwengu na usije ukasema hukuambiwa kuwa dini ya haki mbele ya Mungu isiyo ungwa ugwa wala kuficha ukweli wake kuwa ni Islamic
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 11 ай бұрын
Royal membership card family??au unakusudia " Royal family membership card"
KISA CHA NABII IBRAHIM A.S SEHEMU YA PILI 02 - SHEIKH OTHMAN MAALIM
27:21
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
HISTORIA YA BWANA MTUME MUHAMMAD(S .A. W) N0 5 SHEIH OTHMAN MAALIM
1:02:53
Israa na miiraj || Ust.Mbarak Awes
1:05:32
AlhudaTv Kenya.
Рет қаралды 3,5 М.
KISA CHA ISRA NA MIRAJI SEHEMU YA KWANZA. SHEIKH KISHK.
48:35
Kishki Online TV
Рет қаралды 9 М.
ISRAA WAL MIRAAJ (1)
1:26:35
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 23 М.
SHEIKH OTHMAN MAALIM | SAFARI YA ISRAA WAL MIIRAJ
37:58
Khidhry 29
Рет қаралды 20 М.
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН