Walah nakukubali shegh wangu mh alla akuweke sn uzidi kutuelimisha.
@AmiriHumudi-hn6pt7 сағат бұрын
Mambo mazuri yote haya jameni unayotueleza sasa mbona hawa wanakuita mwizi. Hivi kw nn
@MariaZawadi-jq2my12 сағат бұрын
Kweli kabisa jina langu zawadi,nko natabia za kumgundua mpenzi wangu anapo chipuka. Hata simu ikiwa na password ntaifungua .nkim
@SalumNassor-o4i14 сағат бұрын
Acha maneno ww
@AlliSaidi-xn3xl14 сағат бұрын
Doctor mungu akuzidishie uweze kuwafunua watu mawazo yao yalio gizani na pia wasio muogopa mungu
@user-fb9ip2bu9d16 сағат бұрын
Vitu vingi unajua tena kiufasaa
@saidissa827323 сағат бұрын
NADHANI KUTANGAZWE NIDHAM ZA NAMNA YA UTUNZAJI KWENYE DINI. ILI TUTOFAUTIANE NA MAKAFIR
@abasingaruka187223 сағат бұрын
Mimi Ni mwislamu,Ili ielewe dini nitamzingati Mch, Ndacha Ni mealimu mwenye uwezo wà kufundisha
@Noor-qq9ut23 сағат бұрын
Wallah ina maajabu makubwa
@HamissMpingaКүн бұрын
Shekhe ukiota umewaona wafungwa wanagongwa na nyundo kichwani inamaanisha kitu gani
@PascalineNdatimanaКүн бұрын
Umenisema jinsi nilivyo kweri mwenye zi mungu awabaliki
@WestonMbuba-ff4jkКүн бұрын
Siyo Yesu. Ali Isa
@MwanaishaShattryКүн бұрын
Mweli kabisa trna sana. Hata BAKWATA msiende hakuna haki . Haki sikuzote ipo kwa wanaume na wenye pesa zaidi.
@Midayakubet2 күн бұрын
Doctor Sule niyatari sana MashaAllah MashaAllah MashaAllah Fundi kweli kweli asee MUNGU akuzidishie maharifa unajua baba shikamoo
@user-nk2nq4ss5l2 күн бұрын
Mashaallah
@user-nk2nq4ss5l2 күн бұрын
Mashaallah
@user-nk2nq4ss5l2 күн бұрын
Mashaallah
@BigboyBigboy-oy3lj2 күн бұрын
Allahu akbar
@Hamis-ks1sy2 күн бұрын
Yaani umeona uanze kuutangaza ujinga wako uenee sio? Allah atakudhalilisha2 endapo utaendelea kutangaza uchawi
@drsulletv90852 күн бұрын
Sawa mwenye moto
@Hamis-ks1sy2 күн бұрын
@@drsulletv9085 Acheni ujinga kusema mwenye moto haisaidii kitu wakati kila siku baada ya kulingania dini nyie watu wa nyota na majini2 hivi kila muislam akiegemea huko hii itkuwa dini au upumbavu? Someni kwanza mfundishe watu aqidah maana huyo mjinga wenu qur an kusoma hajui atafundisha nini kwenye dini??muwe na siku njema mimi similiki moto anaemiliki moto ni Allah na mtu akiwa na aqidah chafu pasi na shaka yyte atauingia.
@user-dd5hq3zj8g2 күн бұрын
Asante sana kwa mafundisho Dr.Yaani umenigusa sana❤❤
@binhelefu84032 күн бұрын
Yess❤❤❤❤
@user-xu2xm6db4f2 күн бұрын
Namba zake huyo doctor sure namba zake ninashida
@drsulletv90852 күн бұрын
+255710800400
@ZuhuraMtulo3 күн бұрын
Mmmmh jmni Mbn huyo mim kabisa
@ZuhuraMtulo3 күн бұрын
Mmmmh jmni Mbn huyo mim kabisa
@ZuhuraMtulo3 күн бұрын
Mmmh 😳 Jmnii mbna huyo ni mim kabisa,yan mpka naogop, muda mwingne nawez nikaota matatizo yanakuj na yanakuja kma nilivoota,yan mpka sshvi naogopa kuota
@ramadhanijuma65223 күн бұрын
MashaAllah
@SulaimanDauda-m2f3 күн бұрын
Sheikh ndacha ni mwanawooooh
@JumanneJumampunga4 күн бұрын
Baraka llaahu fiiika yaa akhiy
@zenab37004 күн бұрын
Inshaallah mwenyezi mungu akupeumri mrefuuu
@khamismaestro25244 күн бұрын
je ukiota uko na mwezako mwezako anakuchukua mukaue nyoka yy ndy ana mpga nyoka mpak anamgawa vipande viwil ina maana gan
@ismaelmukendi60755 күн бұрын
😂hum,docta
@hasnakid5 күн бұрын
Subhanallah wallah sikuwa najua kabisa kuhusu hallow 😂😂😂 Shukran sana Sheikh wet #Allah akupe umri mrefu wenye manufaa.
@athumanimbaya95095 күн бұрын
Sheikh, MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU ALEIH WASALAAM, HAKUMPANDA BURAK, MARA ZOTE, BALI, KWA SAFARI, MAALUM, KAMA; ISRAA WALMIIRAJ, MASWAHABA, WALITEMBEA, KWA, MIGUU, MUDA MREFU, MPAKA MIGUU, ILICHANIKA, MAGAGA, USIKWEPE, SUNNA, ILA, TU, POINTI MOJA, AMBAYO, NIMEISHIKA KWAKO, WAISLAM, KWELI,( HATUJITOLEI), HSTUWAJALI, VIONGOZI WETU, KAMA, WALIVYO, WENZETU, WA UPANDE, WA PILI, WAISLAM, TUBADILIKE, TUESJALI, VIONGOZI WETU, KWA CHOCHOTE KILE, TULICHOJAALIWA, NA, ALLAH SUB'HANA WA TAALA.