Mpendwa msomaji. Tafadhari sana, Mche MUNGU na kumtukuza maana saa ya hukumu yake imefika. Msujudie yeye aliyeziumba mbingu na nchi wala si miungu mingine. Fanya toba kila mara uangukapo, yeye aliyemwingi wa rehema atakusamehe na kukuinua upya. Wakati ni sasa. Tubu, iamini injili, YESU yuaja tena.
@newlightmoviesproduction359818 күн бұрын
Hongera dudu baya !!
@HASSANBAKARI-q9c17 күн бұрын
Leo mshahama,,didi sio shenanigans tena😊😊,,,skilizeni ii Duncan kuwa watch wanafanya madudu,,,,hao cha mtoto,,,,yangu kuna vitu vya adabu ila havijatufikia tu na vingine vitaendelea kutufikia taratibu,,,si mlitaka utandawazi
@MzanzwaRamadhani15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ila dudu baya inaonekana ume pitia meengi sana ya mjini
Sawa sawa wanawake ni malaya mbwa wamekua tamaa wameiyeka mbele huyo batazari kama mginjwa hao watapona
@masoudalriyamy629817 күн бұрын
Mnachukua wake zawatu mkitekwa mnasema serekali inateka watu kwani serekali ikikutaka inashindwa kukukamata kumbe mnatembea na wake zawatu halafu mnaipaka matope serekali acheni umalaya huyu bwana nimemfahamu vizuri msiwe na tamaa mtadhurika halafu miisingizie serekali kumbe umalaya wenu
@chawalive16 күн бұрын
Unaona kabisa anapigwa miti hivi
@khamisiali133418 күн бұрын
Kweli kabisa hyu alikua kwenye cult
@LameckAntontupa-zy1rw18 күн бұрын
Katika wanawake aliowala jamaa wengi hawana shida ya pesa kwan wengi wao ni wake wa vigogo
@masoudalriyamy629817 күн бұрын
Nahawa watu malaya hata kunawanaume nao malaya mbwa sasa umesha fanuya umepata nini jee ukitekwa halafu mseme serekali inahusika kumbe mwenyewe unachukua wake zawatu nahawa hiyo ndio dawa yao ukijifanya kidume utekwe utiwe adabu kila 1 awe na hishima juu ya vyiyawatu
@davidoduor114618 күн бұрын
Huyo jamaa ako sawa,,,kwani hakuwa anawalazisha kulala nao,,pili kwa bibilia daudi ambaye alikuwa wa karibu sana na Muumba mbigu alikula wanawake wa ngapi???
@Sarah-e1o9k18 күн бұрын
Kuna kuoa alafu kuna wamalaya pigia mfano hai wacha kuweka majo kwenye mafuta😢
@loner_wolf18 күн бұрын
Sasa Biblia ni kitabu cha mungu ?
@Pedeshee0118 күн бұрын
@@Sarah-e1o9kmimi nimefikisha video ya 200 tu ila jamaa anawapelekea moto balaa.wengine ni pisi hasa na wana makalio aisee wanavutia
@BjleonardBhianda14 күн бұрын
Daudi alifanya dhambi moja ya kumwingilia mke wa askari wake aitwaye Uria..so dhambi ya Uria ilikuwa na adhabu mbele za Mungu...Daudi alitubu...hakutembea na wake wengi nje ya ndoa..wake halali aliokuwa nao wanajulikana.Kizuri ni kwamba Daudi alitubu dhambi hii kwa uchungu sana na hakurudia tena.Mungu alimsamehe na tena Daudi alipata rehema akawa mtu au mfalme ambaye Mungu alijivunia sana kwake "Hawakutenda kama Mtumishi wangu Daudi ambaye alipondeka moyo wangu kwa kutii maagizo yote.
@goldmansun585910 күн бұрын
@@loner_wolfDaud alitubu ila Muhammad hakutubu kubaka watoto wa miaka sita,kuiba wak ta watu,kuua watu ,na kubwa kuwadanganya nyinyi kuwa nyinyi yule shetan aliyemkwida kule pangon akadai malaika,hakuna malaika yoyote muislam ,majin tu
@masoudalriyamy629817 күн бұрын
Wewe unoongea habari ya daudi una akili kweli huyu mtuu anaongelewa hapa ni mtu malaya wewe unamtaja mtume daudi kama huna lakuongea sii fumba domo lako sio kila kitu uchangie kama huna nukta nyamaza sawa na pugu watu wanauza ngombe wewe unapeleka paka
@chrispineacademicus578418 күн бұрын
Et wanakufirigisa huo🤣🤣
@kpsfilms18 күн бұрын
Mahari Ep 2 is now out Karibu kutazama usiache kutuwekea maoni Yako 🙏 kzbin.info/www/bejne/mqvLh2OHiJWAgZYsi=BExG9ALwS4_43hJk
@africantv17218 күн бұрын
Dudu baya mbona kidole hakinyooki ?
@Aziza-tx4jx17 күн бұрын
Mapungufu ya mtu yaache kama yalivyo sikiliza kinachoongelewa
@kpsfilms18 күн бұрын
Mahari Ep 2 is now out Karibu kutazama usiache kutuwekea maoni Yako 🙏 kzbin.info/www/bejne/mqvLh2OHiJWAgZYsi=BExG9ALwS4_43hJk