DUDU BAYA AUMBUA UBAYA WA MAMA MZAZI WA MARTHA MWAIPAJA NA BEATRICE MWAIPAJA AMTETE MARTHA

  Рет қаралды 61,888

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 343
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 Ай бұрын
Kaka mkubwa Mimi nimekuelewa sana Mungu akupe kibali zaidi husemagi uongo be blessed sir... 🙏
@piomgeni8750
@piomgeni8750 Ай бұрын
Dudu Baya wewe ni dudu nzuri umeeleza vizuri sana mwenye akili anaelewa mifano mizuri sana umetoa mifano mizuri ambayo wengi wamepitia Baraka za Mungu ziwe pamoja nawe sasa na hata mille!
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Ай бұрын
Mimi ni KKKT Toka nazaliwa sijawahi kuona mtu asie kua mchawi yanalipuka mapepo hata siku Moja ukiona mtu analipuka mapepo akiwa anaombewa au akadondoka uyo ni mchawi %100 fatilia utajua
@ceciliajoseph1431
@ceciliajoseph1431 Ай бұрын
Kabisa kuna wazazi wachawi, na ninao ushahidi mama kamuua mwanae, Haya haya mambo ya ushirikina
@MichaelMiçjdh
@MichaelMiçjdh Ай бұрын
Nikwer matha mungu akupe uweza wakuvuka aibu
@JesseSarro
@JesseSarro Ай бұрын
Ndugu niwakuwanao makini wanaweza hata kukua
@winniebundala6987
@winniebundala6987 Ай бұрын
We achatu ndugu kama hayajakukuta huwez elewa​@@ceciliajoseph1431
@thekenyancomment254
@thekenyancomment254 Ай бұрын
Dudu Baya is an intellect. Anaona vitu kwa ndani sana. I think he was gifted to serve God on a deeper level. I hope that one day he will fully dedicate his life to God according to His will on his life.
@markmarlin3325
@markmarlin3325 Ай бұрын
True. Dudu Baya is just eloquent in wisdom. This guy is just intelligent and clever.
@AminaOman-j7e
@AminaOman-j7e Ай бұрын
Kweli kabisa SI Kila mzazi anapenda maendeleo ya mtoto wake kama hayajakukuta ndio utashabikia
@JuvenalNiyomungere
@JuvenalNiyomungere Ай бұрын
Mimi ndo najua, Mungu wambinguni anaona watoto vyenye wazazi wanatutesa
@danmanga4342
@danmanga4342 Ай бұрын
Sidhani wala sijawahi kuona mama asiye penda maendeleo ya mtoto wake ila baba anaweza asipende
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Ай бұрын
​@@danmanga4342kitu hauna experience nacho nyamaza...mshukuru Mungu....usiombe yakukute ...huwezi kuelewa..
@Emmajose-t8t
@Emmajose-t8t Ай бұрын
Lakini kama ulisikia vizuri vile Beatrice alisema walienda kutafuta usaidizi wakaenda kubisha kwa nyumba fulani kuomba misaada aliwskaribisha pia huyobibi alikuwa ana omba miuungu naona kama ile madhabahu wa iliingia BDO ina mfatilia Martha
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
​@@danmanga4342 haujatembea ndugu mimi nina jirani yangu kabisa mama hampendi mtoto wake wala maendeleo yake tena ni mtoto wake wa kumzaa hadi leo
@Millie-q6x
@Millie-q6x Ай бұрын
Waaoh hata mimi nimepondwa sana lakini mungu hajaniacha.❤🎉
@MamaSamKK
@MamaSamKK Ай бұрын
Watanzania wengi wanapenda vitu vya bure. Thaz y wanaonea Martha vibaya. Beatrice kachukua mmewe Martha na bado mnasema ndugu! Fanya kazi ujijenge. God protect Martha ❤❤❤ in Jesus Name.
@Millie-q6x
@Millie-q6x Ай бұрын
Yes ❤❤❤❤
@virdianamassay742
@virdianamassay742 Ай бұрын
Hongera sana dudu baya! Kaka wewe ndio mkweli ! Sio mnafiki!!! Umenena kaka mungu azidi kukupa matashi mema!
@steveormond3888
@steveormond3888 Ай бұрын
Napenda iyo Dudu,wito Wa kichungaji unao,Mungu akujalie cku Uwe mchungaji daah
@JohariaNyagawa
@JohariaNyagawa Ай бұрын
Mtoto wa kiume unatakiwa umthamini sana mama mzazi na umtunze .Mke afate
@ReginaManyangu-u4j
@ReginaManyangu-u4j Ай бұрын
Safi sana kaka mkubwa Martha abaki na Mungu bac.
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 Ай бұрын
yaani umeonge vizuri,hayo ya ndugu ni kweli kabisa. mimi ni mhanga wa kusaidia ndugu. nimewalea nimedomesha na watoto wao nimesomesha wengine hadi digree wamepata. lakini shukrani hawana. wamekuwa wajeuri na wakaungana kunitukana kuniibia. tena watoto wao ndio wajeuri tena wanakwambia kwani tulikuomba achana na sisi. yaani hadi najilaumu kuzaliwa na ndugu kama wale. mhh hadi najiliwaza na wimbo wa Rose Muhando unaosema Tenda Wema uende zako. 24.12.24.
@carolinenjeru3767
@carolinenjeru3767 Ай бұрын
Dada yangu akipata nafasi anaeza fanya ulimwengu wote unichukie...i suport Martha,family members can be toxic
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Ай бұрын
Yaani sikwamba unanibariki kwaku teteya Martha ,unanibariki kwakuwa mkweli na kutetea haki Ubarikiwe sana Kaka
@GlauryHaule
@GlauryHaule Ай бұрын
Nikirudi tz ninazawadi yako bro unahekima mizazi mingine sio poa kila ukiipa hela unarosti bora nini heeee kula kona rana isiyo na sababu haimpati mtu
@carolinenjeru3767
@carolinenjeru3767 Ай бұрын
Ndugu ni yule rafiki mnaheshimiana kuna tofauti ya family and relatives
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Eti ndugu wakati wanatesa watoto mm tuligombanishwa eti baba hakuwapa mahari miaka 40 nimeiona hatari zote ni MuNGU TU.
@dafrozasimwanza700
@dafrozasimwanza700 Ай бұрын
Kwanza fikirien mama gani anaweza kumuanika mwanaye mitandaon huyo mama ana lake jambo Mungu amutetee kipenzi chetu matha
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Kuna watoto ni wezi ,Wala madawa lkn husikii mama anamponda mama tunampenda ila aache kusikiliza maneno ya ndugu.arithike.
@AngelAfric
@AngelAfric Ай бұрын
Tatizo wabongo nimeshawaona wanaenda na upepo sana kah😅 ina hapa dudu baya anavyoongea wote wamegeuka tena😅😅
@JuvenalNiyomungere
@JuvenalNiyomungere Ай бұрын
Enda na pepo zako hakuna mtuu anaku force uamini vyenye amesema
@ReshmaFaridi-z4q
@ReshmaFaridi-z4q 29 күн бұрын
Umeongea ponti mnoooo dudubaya nimekuelewa sn
@SuzanShayo
@SuzanShayo Ай бұрын
Kaka nimekwelewa sana.barikiwa sana
@gracegracep9264
@gracegracep9264 Ай бұрын
Mungu si mama na Martha mtetee.Amen
@Nyaso5417
@Nyaso5417 Ай бұрын
Kuna watu wamepitia sana tu matatizo ya ndugu na familia lakini ni unafki tu umewajaa. Mimi sifurahii kama Martha hamtunzi mama yake Bali Mimi nampenda na namuombea, na ipo siku watayamaliza, sintoacha kuwa shabiki yake, Mungu amsimamie Martha.
@paulinabengel
@paulinabengel Ай бұрын
Kabsa dudu sio kila mzazi ni mwema,uskute Martha nae ana mengi moyon
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod Ай бұрын
Duduzuri😂😂😂❤❤❤❤❤
@PudensiaMhina-fe8nn
@PudensiaMhina-fe8nn Ай бұрын
Au unampa pesa anawapa mtoto wake anaempenda kuliko wewe, tena anatamani baraka zako zingekuwa za mwanae anaempenda. Ukipinguza matumizi baada ya kugundua kuna watu wanakunyonya wanaanza kukuchafua
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 Ай бұрын
Tangu niaze kusikiliza iyo abari mtu ambaye nime mwelewa ni ili dudu mana watu wa family ata uwafanyiye nini awata kushukuru
@Hawanaiye
@Hawanaiye Ай бұрын
Ni kweli mtoto wa kike amtelezezi mama umenena vyema
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Ай бұрын
Mimi ni KKKT Toka nazaliwa sijawahi kuona mtu asie kua mchawi yanalipuka mapepo hata siku Moja ukiona mtu analipuka mapepo akiwa anaombewa au akadondoka uyo ni mchawi %100 fatilia utajua
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Ай бұрын
​@@halunimnenwa5224acha uwongo ndugu yangu
@ErnestFomo
@ErnestFomo Ай бұрын
Nikweli kabisa
@pendomariki
@pendomariki Ай бұрын
Ndio maana toka hili salata limeanza sitak kumwamin mtu Mungu amtetee martha penye ukwel uwe waz penye uongo Mungu athihirishe
@elizabethkivuruga5351
@elizabethkivuruga5351 Ай бұрын
Yaani kwenye familia Kuna mambo mengi sana,Siri za familia.
@markmarlin3325
@markmarlin3325 Ай бұрын
Jamani napenda anavyojibu haya maswali na kuyatathmini kwa hekima nyingi. Mungu akubariki Dudu Baya, una hekima na busara ya Mungu
@AlexLazaro-i8y
@AlexLazaro-i8y Ай бұрын
Anayetakiwa kulalamika ni mzazi ila siyo Beatrice kwani naye anawajib wa kumsaidia mzazi au hajafikisha miaka18
@Millie-q6x
@Millie-q6x Ай бұрын
Kweli kabisa kaka yaani umeongea.
@MabulaMaguta
@MabulaMaguta 29 күн бұрын
Nikweli jomba mm yamenikuta hayo
@markmarlin3325
@markmarlin3325 Ай бұрын
This guy is just wise. May God bless him with many years of happiness and success. I like how he handles all these issues with clear examples and justifiable reasons.
@joycemtongolo8210
@joycemtongolo8210 Ай бұрын
Mungu akubariki kwakutoboa ukweli huo wandugu wazazi wabaya Tena washirikia
@ClaudeNdayikengurukiye-s7f
@ClaudeNdayikengurukiye-s7f Ай бұрын
Ongera sana Dudu inasema kweli kuna ndugu wanaweza kusemea mabaa nahauwezi erewa mambo ya martha namamaake tuacie mungu yeye anajua kweli
@JescaNathanael-c4p
@JescaNathanael-c4p Ай бұрын
Kaka yang una hekima sana mungu akubarik Kwa ushauri wako
@TedyEmanuel
@TedyEmanuel Ай бұрын
Uko vzr kaka ,ndugu ndo watuumiza
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
DUDUBAYA WEWE UNAMPENDA MAMAKO, SHUKURU UWEZO UNAO, WENGI WANASHINDWA SABABU YA KIPATO, PILI KELELE ZA MZAZI PIA, NDUGU WENGI WANA WIVU NA WANANROHO MBAYA YA KUROGA NK.
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Kabisa hakuna asiempenda mama lkn ndugu niwachongezi na pakiwa na baraka ya fedha ndugu ndo hawafai kabisa.
@sammykeidefuture9495
@sammykeidefuture9495 Ай бұрын
Na nikweli Sio kila mzazi Ni MTU mzuri 😂😂
@regineushutambwe3306
@regineushutambwe3306 Ай бұрын
Aksanti mungu ami bariki una sema vizuri. Una nipa jibu. Na mimi nili pitia vita.
@christinamlwilo
@christinamlwilo Ай бұрын
❤❤❤ umeongea point kweli dudu baya upo sahihi kunywa soda kwa mangi
@devothaisaya5833
@devothaisaya5833 Ай бұрын
Yan nikipat no yak nitakushukur umenifurahish
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Ай бұрын
Wewe dudu baya mama si wakuchezea sijui kama unaelewa neno mama na mama anapokuwa na watoto anajua mwisho wa siku atakula matunda ya watoto wake lakini ikitokea hilo mzazi anaumia sana hilo la kwako tofauti na martha usimdanganye MARTHA mwache amtunze mama yake usimpotoshe wewe kwa mama yako ulikuwa unakwenda mwache martha aende kwao
@MoneyMaker-z5p
@MoneyMaker-z5p Ай бұрын
Mama ndo nanii
@JuvenalNiyomungere
@JuvenalNiyomungere Ай бұрын
Na mama yako kama ni Mchawi anataka uingiye kazi??😂😂😂 Wewe acha ufara
@SolangeJulien-y2w
@SolangeJulien-y2w Ай бұрын
Dear you have good parents, kama u don’t have this kind experience about bad parenting, bad parents to some of us , we know what Dudu is saying
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Kama Kuna shida ataenda vp Siri za nyumba za watu ziacheni na matatizo mengine tumpe MUNGU aamue kama hujapata shida ya hivi ww muombee TU.
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Mm kosa la baba hajatoa mahari na nimeteswa sana wajomba wakamlazimisha mama asituudumie .hata ujishushe vp mama kafa wamenipeleka mahakamani wananidai kisa ni msimamizi wa mirathi ww hao ndugu ungeenda nyumbani .tumuombee baadhi ya ndugu ni Simba.
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 Ай бұрын
❤❤🙏🙏👍iyokweli kabisa aduyi wa mtu niwandani ya nyumba
@winniebundala6987
@winniebundala6987 Ай бұрын
Ndomana kunawazazi wanatoa sadaka kwenye uchawi watoto wao. Na akishindwa kukutoa anakuinulia vita na laana
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 Ай бұрын
Mungu atusaidie saana unaweza fanya upendo mkubwa saana lkn unacholipwa ni kutengenezewq hata mauti
@ZainabuKivale
@ZainabuKivale Ай бұрын
Kunjwa soda kaka
@gloryjohn4531
@gloryjohn4531 Ай бұрын
Kweli kabisa kabisa jaman dudu❤❤🎉🎉🎉
@witneskimaro
@witneskimaro Ай бұрын
Kwel ndugu ni lawama sana kaka
@felistermwamkono5920
@felistermwamkono5920 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 umeongea dudu.. dahhh ndugu lawama.
@MirajiBwanga-j7q
@MirajiBwanga-j7q Ай бұрын
Yaan Dunia imebadirika ata unae mfanyia wema anakuwa Adui.
@mkolaisike1129
@mkolaisike1129 Ай бұрын
Namuunga mkono Dudu baya, haya mambo yapo kabisa ktk famila. Tatizo ndugu wanaosaidiwa hawana shukrani pia hawaridhiki na kile wanachopewa.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Safi kabisa hivi Beatrice yeye amemsaidia nini mama yake au ni mtoto chini ya miaka 18
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Point kabisa hilo ndio swali inabidi aulizwe
@gracegracep9264
@gracegracep9264 Ай бұрын
Ukute yeye ndo mrithi wa mikoba chezea.😅 ndo Maana anapendwa
@AsungaSteven
@AsungaSteven Ай бұрын
Watanzania ni wavivu sana,dudu baya umeongea point sana......ndugu miyeyusho,Mimi nowadays nawakataaa yaani mungu tu anisamehe.
@MariaMikidadi-i5c
@MariaMikidadi-i5c Ай бұрын
😮😢😢 Mungu ndio anajua
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v Ай бұрын
Kweli kabisa Ndugu mitihani ila M/Mungu atusaidie kwa kweli .🤲🤲🤲
@BoniphaceTito
@BoniphaceTito Ай бұрын
Safi sana dudu baya nimekuelewa matha anapitia wakati mugumu Mungu ampe nguvu
@marymwatsum98
@marymwatsum98 Ай бұрын
Naomba no ya Dudu Baya😢
@joyceshisha6985
@joyceshisha6985 Ай бұрын
Dudu baya uko sawa yaani watu hawabebeki ila waandishi wa habari wawe makini sana kuhoji watu.
@MaggyJeremy
@MaggyJeremy Ай бұрын
Jamani mama atunzwe na Kila mtu aliyezaliwa naye. Kwani ni lazima Martha atoe matumizi..wamezaliwa kadhaa wote washughulike. Na mambo ya Familia yenu hayatuhusu msituchoshe.
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys Ай бұрын
Huyu kaka yuko na akili nyingi sana, kama hayajakukuta huwezi amini. Baadhi ya familia ni hatari mno, japokuwa mama hutakiwi kumwacha hata aweje. Maana ndio aliyekubeba tumboni ni kumtunza tu. Ndugu wakiamua hata ufanyeje unaonekana hufai. Mzazi hakosei nikufumba masikio na kumuhudumia tu. Ila ndugu Jamani jamani daaa😭😭😭
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i Ай бұрын
Mamba's 24 changamoto ni sehemu ya maisha kaka uko vizuri mungu atakuinua tu cozy hujapitia kwenye madawa kama wajinga flani mkongwe mwenye histolia Yako nakukubali bloo never give up
@InspireTheSoul-fo4vb
@InspireTheSoul-fo4vb Ай бұрын
Full wisdom.😊
@HannahHenry-ox9be
@HannahHenry-ox9be Ай бұрын
Kweli kabisa dudu umeongea kama wazee kumi Una hekima kuhusu hili swala la Martha, barikiwa
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Ай бұрын
laana ya Mama itamtafuna Martha asipojirekebisha
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Laana kamwe haiwezi kumfikia kama hana makosa
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu Ай бұрын
Nakukubali dudu baya hata mimi niko nawewe
@barakangomasi255
@barakangomasi255 Ай бұрын
Huyu mtu anafaa kuwa mwalimu wa taifa! Asije akafa na haya madini Mungu amtunze sana. Ingefaa awe analipwa pesa ndefu sana afundishe maisha watu
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df Ай бұрын
Umeona hili ndio limekua tatizo letu waafrika hua hatuthamini vipaji muhim ila twasapoti ujinga na upumbafu.
@Lxkdemon
@Lxkdemon Ай бұрын
True
@AngelAfric
@AngelAfric Ай бұрын
Mimi sitaki ongelea sakata linaliendelea la huyo matha... ila Hivi unajua we dudubaya wewe mi nakuonaga wewe ni mtumishi wa Mungu kwanini usiokoke umtumikie Mungu ndugu yangu.
@emerancekakozi8688
@emerancekakozi8688 Ай бұрын
ubarikiwe sana unaongeya maneno makubwa
@MichaelMiçjdh
@MichaelMiçjdh Ай бұрын
Mungu Ata kuimarisha dada yangu
@MichaelMiçjdh
@MichaelMiçjdh Ай бұрын
Kwer ndugu lawama
@MichaelMiçjdh
@MichaelMiçjdh Ай бұрын
Kwer ancho Sema dude ndugu lawama
@MichaelMiçjdh
@MichaelMiçjdh Ай бұрын
Hakika ancho Sema dudu unweza kutoa Era ikakuumiza
@Millie-q6x
@Millie-q6x Ай бұрын
Mimi pia nimeyapitia hayo ehhhh
@JescaJihila
@JescaJihila Ай бұрын
Nimejifunza kitu ,,kupitia dudu baya...
@felistermwamkono5920
@felistermwamkono5920 Ай бұрын
Dahhh!! Ndugu bhana.
@rgblessings
@rgblessings Ай бұрын
Pure Truth,, that's what I told people stop attacking matha,the family is the problem
@Rodamathayo
@Rodamathayo Ай бұрын
🌝kabisa Dudu nimekuunga mkono
@Nyaso5417
@Nyaso5417 Ай бұрын
Amina Dudu baya 🙏
@Innocent-Km-z8z
@Innocent-Km-z8z Ай бұрын
Namuelewa sana, kiukweli mimi huwa nasema siku zote ndugu yako niyule anaesimama na wewe katika shida na raha ,anaekujali ,anaekuthamini na kukutakia mema hata kama mmekutana mjini huyo ndiyo ndugu yako ,undugu siyo kufanana ,,amini na waambia adui wakwanza katika maisha nihawa ndugu aidha wa damu ama katika familia.familia nyingi hatutakiani mema maroho mabaya wanafiki wakubwa hawapendi ufanikiwe . Katika hili sakata la Martha tusihukumu kwa upande Mmoja yawezekana Martha akiongea kuna makubwa ,nikweli mama ni mama kama yapo aliyokosewa amsamehe mama ake kwakua mzazi hakosei ila sikwamba wazazi hawakosi ila nimama yako huwezi kumzaa wala kumlipa hata angekua na madhaifu kiasi gani nikumsamehe kumuombea toba na rehema ,wapo wamama wachawi wanaloga kabisa watoto ila ndiyo mama huwezi mtenga ama kumuacha kwa madhaifu yake wazazi ni Mungu pili ,pepo zetu zipo chini ya nyayo zao na familia za kiafrika tusikae kulaumu dada hanisaidii kwani nilazima tutafute vyetu ili tuepuke kuchukia watu bila sababu
@EmmilianaDeodath
@EmmilianaDeodath Ай бұрын
Lakini lazma tuwe wamoja tutembee pamoja siwez nkutumie hela pengne nmesha kuambia hayo Mambo acha unaendelea swez kutoa pesa znazo unganishwa na madhabahu zsizo sahii jmn kwahy kuwa makini tukikumbuka hata kwenye neno LA MUNGU, YESU KRISTO WA NAZARETH alikuja mtu akamwambia mama na ndugu zako wapo huko nje wanakuita akajibu ndugu zangu niwale wanao skia neno LA MUNGU na kuliishi mama acha et familia zna Mambo mazto Sana usiombe ukakutwa nahali hyo
@MaryNickson-z3q
@MaryNickson-z3q Ай бұрын
Dudu baya unakitu ndani yako, hayo ndio yanayonikuta mm kunawakati nilitamani kifo but now niko imara , ndugu hawana shukurani nikuwa nao makini wanaweza kukuuwa
@adeladaudi2047
@adeladaudi2047 20 күн бұрын
Waheshimu baba yako na mama yako ili uishi miaka mingi, haijalishi ni mchawi aijalishi ana dhambi gani si kazi ya mtoto hiyo. Km ni Mkristo akasome amri za Mungu. Zile ni amri biblia haijasema, ombi la Mungu. Mbaya zaidi imevunjwa amri yenye ahadi kati ya amri 10 za Mungu. Acheni kumpotosha mwenzenu. Milango ya gereza iliyomfinga ifunguke kwa jina la Yesu
@lucydavid9093
@lucydavid9093 Ай бұрын
Brother mungu akubariki nimekuelewa
@rashidndumbulaz-d9j
@rashidndumbulaz-d9j Ай бұрын
ndugu lawama kaka
@Bertha-oc7vc
@Bertha-oc7vc Ай бұрын
Anacho ongea dudu baya namuelewa vizuri ndugu ni balaa vichomi hatari
@Bertha-oc7vc
@Bertha-oc7vc Ай бұрын
Family tupo nazo tunaishi nazo kwankutusema vibaya na uongo ni hatari sana
@kefaswakala6547
@kefaswakala6547 Ай бұрын
Bongo touch naomba nitafutie namba za dudu baya nina ujumbe wake
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu Ай бұрын
Unaweza ukaropoka maneno bila kujitambuwa utakuja jutiya maneno yako na siku zote kama unaishi ukijitegemeya mwenyewe bila Mungu na ndugu utapata tabu sana tena usiweke nongwa kwa watu ,Wala usiwahukumu watu na hata kama Mzazi ni mchawi mbona amemleya mpaka amekuwa mkubwa,sema ukiwa na uhakika usituhumu bila uhakika.
@devothaisaya5833
@devothaisaya5833 Ай бұрын
Mungu akubarik
@IbrahimSalum-v5k
@IbrahimSalum-v5k Ай бұрын
Dudu Vfantastic👍💯
@FloraSengo-et9fk
@FloraSengo-et9fk Ай бұрын
Aminaaaaaaaa dudu baya
@BoniKasebele
@BoniKasebele Ай бұрын
nimekuelewa sana kaka
@johnjoycemalusu4886
@johnjoycemalusu4886 Ай бұрын
Unaongega point sana
@LucyOgego
@LucyOgego Ай бұрын
Nakukubali sana.
@NeemaFumbuka-z3g
@NeemaFumbuka-z3g Ай бұрын
Jamni muuh ndugu zetu haya
@regineushutambwe3306
@regineushutambwe3306 Ай бұрын
Martha asi jibu ❤
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 29 күн бұрын
Anyamaze MUNGU atawajibu Wana tamaa ya fedha TU. Hawafanyi kazi utawapa mahitaji ukoo mzima utaweza .
@victormwololo3390
@victormwololo3390 Ай бұрын
Nimependa haya mashauri mazuri kweli kweli,
@SEKELAGASIMFUKWE
@SEKELAGASIMFUKWE Ай бұрын
Umeongea pointi ndugu nihatari
@ShabaniMohamed-t1y
@ShabaniMohamed-t1y Ай бұрын
uko vizuli sana umeongea point sana
@LucyOgego
@LucyOgego Ай бұрын
Kwa kweli 😢
@SaidiBoy-u8i
@SaidiBoy-u8i Ай бұрын
Mama angu Unampa ela ananyua yote pombe nabado simuachi achaugo ww dudu baya kama jinalako auon yule mama anaonekana ana maisha mabay achaubwege
@khaimarenge2660
@khaimarenge2660 Ай бұрын
Mchawi
@JoyceMtandu
@JoyceMtandu Ай бұрын
Uko sahii dudu baya kwani mama mwenye akili na mwenye kufikilia kwa upana uwezi kumuweka mwanao kwenye mitandao
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Ай бұрын
watu mnaroho ngumu sana duuh
@AnnaMushi-o2w
@AnnaMushi-o2w Ай бұрын
Upo sahihi bro ndugu awatupendi kabisa
@DAUDFARES
@DAUDFARES Ай бұрын
jamn mzazi aliye kuhagaikia uko tumbn had akajifugua kwa uchung mama.bado awe mbaya kwal😮😮😮😮😮😮
@blessings1422
@blessings1422 Ай бұрын
Umeongea point peke yako
@DAUDFARES
@DAUDFARES Ай бұрын
asant , hata kama. akiwa mchawi. wanasemaga. tu huwezi kumkana mama au kuacha kumhudumia unataka. laaan. tu pambana nae. pia muombee. kwa mungu
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Kuzaa na kuwa mama bora ni vitu viwili tofauti kabisa, ingawa heshima ya kunileta duniani inabaki palepale
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x Ай бұрын
Wewe huna point mama ako unmjali mm wa wenzako wachawi wacha ujinga basi au unazeeka vibaya uchawi ni maradhi kama maradhi mengine angetaka kumuua si tangia mimba angeitoa mm ndio munguwako wa duniani usiongee ki skanka jombaa
@GawaherH
@GawaherH Ай бұрын
Iyo kweli kabisa
@ROSECHARO-x5r
@ROSECHARO-x5r Ай бұрын
Mama ni mama awe mchawi,mwizi,kahaba,mnafiki awe vyovyote vile lakini atabaki kua mama tusidanganyane
@rashidndumbulaz-d9j
@rashidndumbulaz-d9j Ай бұрын
yesu tu alimkana mamae kulingana na matendo yake sembuse martha ila ungesema Mungu atabaki kuwa Mungu daima ila c mama
@happymrianga2795
@happymrianga2795 Ай бұрын
Mama yako anaweza kukuacha ,Baba,dada,kaka na ndugu ila YESU hawezi kuacha mtu,Kwani vitu vya dunia hii vinamfanya mama mwenye hofu ya MUNGU kupambana na mwanae,Bado sijaelewa ,Sawa amemnyima vitu vya dunia kwani amemnyima kumtumikia Mungu?
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
HATIMAE MARTHA MWAIPAJA AMJIBU MAMA YAKE MZAZI  DAMU INAMUMA
8:07
Bongo Touch
Рет қаралды 107 М.