siku iyo palikua pazuri sana utapenda San tu lakini usisahau ku subscribe channel yet ili tuweze kuendeleza burudani
Пікірлер: 90
@matendupiterngoge87077 ай бұрын
Namshukuru Allah kunitoa huko alhamdulillah nilikua hivo wallahi wabillah mpaka nalia Lau Allah asingeniongoza nilikua naangamia subhanallah
@user-pk4ud6us4r8 ай бұрын
MUOGOPENI ALLAH jamani hayo sio mafundisho ya mtume Muhammad swallallahu alayhi wassallam
@fahadhamad49243 жыл бұрын
Kazi nzuri yenye ujumbe muruwa msomaji fundi hasbiyallah
@leilasaid36233 ай бұрын
Toba yaa rabbiy kicheza ngani huko jamani
@daudimiraji13162 жыл бұрын
upuuz mtup mungu awa ongoz mkom kuchez ivy
@user-eb8ft9gi5l Жыл бұрын
Hongereni sna
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz8 ай бұрын
Tauhidi yasema waumini wote n waislam lakin waislam wote sio wauminifu nihatari
@fokoajeshigroup36053 жыл бұрын
Mashekhe punguzen kucheza singer bas
@kwenzambatha59193 жыл бұрын
i like it naipendaga hii ktu 4rm hanifa madrasat kingugi kwamnyani
@pizaro_tz3 жыл бұрын
ipo wap iyo madrasa
@abdullahhassan.63682 жыл бұрын
Maashaallh mko vyema
@kaderbakshamin23452 жыл бұрын
Subhaanah allah mtihani huu waislam tunakwenda wapii haya ndo mafundisho ya rassulluh allah
@hajjnalinga8688 Жыл бұрын
Uyo mwamba muimbaji ok
@ahmadsayyeed79104 жыл бұрын
Farhan kazi kazi
@hashimthuwein54123 жыл бұрын
Kama kuna kipengele chakuwa nitakufuru kwa kusema huu ni Ufala basi nibora kwangu lakini hii sio dini wala sio sehemu ktk dini, huu ni ujinga
@user-yb3mz2jg9j5 ай бұрын
Wafunze unachojua kupitia din lakn mtume angekuwa kama wew usingeujua uislam leo mbn din imeachwa kwa dalili watu wote sio wanajua ndmana kuna shule na madarasa
@ramadhanmohamad7855 Жыл бұрын
Wahuni
@mohamedyusuph13212 жыл бұрын
Mziki haujatulia fujo nyingi speed kubwa tulieni na twari
@husseinmaula5914 Жыл бұрын
Ukhabithi mtupu sio mafundisho ya mtume wetu Muhammad swala llhau aley wasalaam
@mohammadahmed16463 жыл бұрын
Yasaaaaalamuuu
@SaidAli-rb2tp3 жыл бұрын
Kutoka kenya shukrani nyote kwa kuweka nidhamu ya twariqa muko vizuri jazaka Allahu kheir mawahabi vibaraka wa maibilisi mashetani sikizeni raha
@abdillahaliy80183 жыл бұрын
Upuuzi tuu wacha zako fata Sunna wewe
@nawwarsultwaan64043 жыл бұрын
@@abdillahaliy8018 we hutaki usiwatukane wenzio we fata unachokiona Kiko sawa kwako mbn wasomi wa skuiz mnakua wajinga Sana nyinyi
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz8 ай бұрын
Wanna virus mbaya Sana watu wa bida
@IbrahimMwapesa-ql3ho Жыл бұрын
Mwamfuata naniii na Mtume (SAW) na Masahaba zake(RA) wakufanya hayaaa
@fahadhamad49243 жыл бұрын
Yaani naiskilizia hii sauti kumbe ndie yeye fundi farhan alfarah