Mabingwa Wa Dufu Kubwa / Madrasat Nuuri / Kazi Kubwa Sana/ Maulidini Thanawiy 2020

  Рет қаралды 97,975

DARSA TV

DARSA TV

3 жыл бұрын

Mabingwa Wa Dufu Kubwa / Madrasat Nuuri / Kazi Kubwa Sana/ Maulidini Thanawiy 2020
Full Video Ya Madrasat Nuuri Katika Maulid Yaliyofanyika Temeke Vetenari Mashaallah Kazi kubwa Sana Usikose Kuangalia Mpaka mwisho Na kushare na Waislamu
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And share
Thanks

Пікірлер: 73
@cutedyna5021
@cutedyna5021 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah uislam raha sana jmn.... nyie mliozaliwa ktk familia za kislamu mna haki ya kumshukuru Allah kwa hiyo neema .... mmependelewa sanaaaa
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 2 жыл бұрын
Kama mkristo njoo kwenye uislamu ndugu
@manswabushabani3247
@manswabushabani3247 2 жыл бұрын
alhamdulillah ❤❤
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 жыл бұрын
Nawewe kama haujapata bahatia na neema hii ya kuwa muislamu tunakukalibisha sana kalibu ktk uislamu na ukiingia kwanza isome dini hii vizur uijue ndipo utakapo ona ladha, thamani na faida ya kua muislamu
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 жыл бұрын
Nawewe kama haujapata bahatia na neema hii ya kuwa muislamu tunakukalibisha sana kalibu ktk uislamu na ukiingia kwanza isome dini hii vizur uijue ndipo utakapo ona ladha, thamani na faida ya kua muislamu
@allykessy1893
@allykessy1893 Жыл бұрын
Hakika islam Dini ya Haki
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 4 ай бұрын
Hawa ndugu zetu katika imani nimekubali wanapiga mpini hizi ndio dufu ninazozipenda Mashallah 😊😊😊
@allykessy1893
@allykessy1893 Жыл бұрын
Hizi ndiyo Qaswida Na Si Ngoma zinazo pigwa baadhi ya maeneo hapa kisiwani na hapo Dsm
@bashiruhassan7310
@bashiruhassan7310 3 жыл бұрын
Hizi ndo dufu nazozijua mm sio uk zinapigwa dufu kama ngoma za akina mama vulugu tu kha mungu aendelee kuwapa nguvu tuendelee kupata ladha ya moyo
@saudaissa7397
@saudaissa7397 Жыл бұрын
Ni Ngoma kabisa maana wamama wanazicheza huku wamevaa vijora na mtandio kiunoni na ndara kwapani
@azadida801
@azadida801 3 жыл бұрын
Vitta, vitta. Asaliwe mtukufu wa darja Bwana mtume Muhammad . Allahuma salli wasalim alaih
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Allaaahumma swalli wasallimu alaih
@AdamSantu
@AdamSantu Ай бұрын
Uislam lah sana tumependerewa neema ya uislam atuma budi yakumshukur allah
@alhadkatundu2142
@alhadkatundu2142 3 жыл бұрын
Nnuri ndio mabingwa wa rast imeisha hiyo🖐🖐🖐
@sidesaid4604
@sidesaid4604 Жыл бұрын
YAA'SAYDA SAQALAIIIN❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KAZI KUBWA SANA hiii..aysee
@yahyasaid2047
@yahyasaid2047 9 ай бұрын
Mashaallah hiii sasa ndo dufu
@yeslamahmad1986
@yeslamahmad1986 2 жыл бұрын
Mashaalah mmenikosha
@abdumusa523
@abdumusa523 3 жыл бұрын
Allah awape umri mrefu ili tuzidi kumuenzi na kumsifu Nabii Muhammad
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Allah Allah Allah, hii kazi kubwa
@mohamediabdallah8293
@mohamediabdallah8293 Жыл бұрын
Inshaalah mungu awazidishie maostadhi wetu
@navioma163
@navioma163 Жыл бұрын
Munapatikana kwa no.
@humphreynalupy201
@humphreynalupy201 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah jambo limetulia sana
@neamusic2601
@neamusic2601 2 жыл бұрын
Hiki chuo kiko wapi napmbeni mawasiliano pls dah hli ndo dufu
@user-hu2hl9sx1n
@user-hu2hl9sx1n 11 күн бұрын
Yalaaaah mpo vizuli mabingwa kwelkwel
@DaudiYasini
@DaudiYasini 3 ай бұрын
Allakh Akbar all you nany daima
@kazumaryissa4939
@kazumaryissa4939 3 жыл бұрын
Hiyoooo khabari kubwa tuachie wenyewe weeewe uhusiki
@kazumaryissa4939
@kazumaryissa4939 3 жыл бұрын
Haya mambo yana wenyewe jazaakumu khaira
@hawamaulidi787
@hawamaulidi787 Жыл бұрын
Mashaaalllaaah
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 жыл бұрын
Allah Akbar,Mash Allah,Jazaqallah 🙏 vittaaa
@aishahela1735
@aishahela1735 3 жыл бұрын
Mashallah
@abuushaakir9582
@abuushaakir9582 3 жыл бұрын
Tabaarakallah
@hassanisilayo2267
@hassanisilayo2267 3 жыл бұрын
😫😫khabbari kubwa hawa kweli mabingwaa wa dufu kubwaa🙌🏾tunaomba mtuwekee na lyrics jamanii qaswidaa ni tamuu hizii tuzijueee na sisiii❤️
@alhajnamkopa4597
@alhajnamkopa4597 3 жыл бұрын
Jamaa hawa kiboko
@shahaabedy2368
@shahaabedy2368 Жыл бұрын
Mashaallah ...
@tungusaid8213
@tungusaid8213 Жыл бұрын
Mashaallah
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 2 жыл бұрын
MASHAALLAH Allah awazidishie 💓💓💓
@hemedisaidi
@hemedisaidi Жыл бұрын
Mashanllah mashaanllah Allah awape umri mrefu mzidi kutoa mazuri
@abubakarysaidy7175
@abubakarysaidy7175 3 жыл бұрын
Qaswad saf n nai moj iliyotulia
@yahyahassan2332
@yahyahassan2332 2 жыл бұрын
Maasshaaallah
@saidswalehe2807
@saidswalehe2807 3 жыл бұрын
Alah mohamad
@levinalespo2944
@levinalespo2944 3 жыл бұрын
Kaswida
@seifmajid8137
@seifmajid8137 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shahaabedy2368
@shahaabedy2368 2 жыл бұрын
MashaAlla....
@mohamedyayuob8118
@mohamedyayuob8118 2 жыл бұрын
Mashaalaah mungu a2barikiii
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 3 жыл бұрын
Nondo hatareee!
@zuwena6789
@zuwena6789 3 жыл бұрын
huyo kaka masha allah ana kipaji kizur. laiti hio saut ingekua ya quran angeshikana na minshaar. ushaur wangu aache firmbi . haraaam . mtume kakataza.
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Mbna mzushi ww
@hossammkange723
@hossammkange723 3 жыл бұрын
Tupe dalili na hadithi inayosema hivyo
@hossammkange723
@hossammkange723 3 жыл бұрын
Labda uharamu unautia wewe huo
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 жыл бұрын
🤣🤭🙄 musimshambulie, yeye ameelewa hivyo, sasa nanyinyi mpeni dalili kwamba filimbi inafaa iliyaishe, na yeye atoe dalili kama filimbi haifai ni haramu kabisa ili mjadala uishe, sasa munabisana Nini ? ila Sister zuwena naona ulikua unaisikiliza sio hiyo filimbi ambayo unasema kua haifai ni haramu sasa sijuwi inakuaje hapo kwamsikilizaji kama wewe ambae unasikiliza kitu cha haramu huku unajua
@kingabala1933
@kingabala1933 4 ай бұрын
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 3 жыл бұрын
MashaAllah!
@selemanmohamedi8928
@selemanmohamedi8928 3 жыл бұрын
Duu vita
@adamuasupa4869
@adamuasupa4869 3 жыл бұрын
Duu
@AdamSantu
@AdamSantu Ай бұрын
Kweri dufu zipo vizuri lakin charanga dufu za kiun kwanza Allah awajarie
@ssjuma
@ssjuma 3 жыл бұрын
مبروق
@qassimally3876
@qassimally3876 3 жыл бұрын
mm niko salama ila ndugu zangu iyo sio dini aliokuja nao rasulu llah nimambo ya kuzushwa na kila chenye kuzushwa nibidaa na kila bidaa ni zwalala na kila zwalala finnari jahannam ndugu zangu hio sio dini mkifa ktk mambo hayo ni motoni
@dottoathumani8962
@dottoathumani8962 3 жыл бұрын
We umetumwa huku
@sirajimohamed7801
@sirajimohamed7801 3 жыл бұрын
Kaa pembeni hujui kitu wewe wewe mwenyewe una shubuha kibao
@ngidajuma3561
@ngidajuma3561 3 ай бұрын
😂😂 away mabingwa kelii ,,mana apo dufu linapoanza tu jamaa anapiga uhakikaa 😂😂
@yusuphjalle7221
@yusuphjalle7221 3 жыл бұрын
Rast ya kibaba kabisa
@kabamedestrong3917
@kabamedestrong3917 3 жыл бұрын
Habari yako mm ni msanii chipukizi naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu Ahsanteni sana🙏
@hajiha6507
@hajiha6507 3 жыл бұрын
Hukuona sehemu za kuomba support ya nyimbo mpaka humu? Nyambafu sana
@kabamedestrong3917
@kabamedestrong3917 3 жыл бұрын
@@hajiha6507 support yako muhimu ndugu yangu
@rajabulukwa8989
@rajabulukwa8989 7 ай бұрын
Mjinga wewe
@kabamedestrong3917
@kabamedestrong3917 7 ай бұрын
Ahsante 😂
@SaidSelemani-nj5pu
@SaidSelemani-nj5pu Ай бұрын
Mashallah
@AdamSantu
@AdamSantu Ай бұрын
Mashaallah
@shahaabedy2368
@shahaabedy2368 Жыл бұрын
Mashaallah ....
@yansoyans9338
@yansoyans9338 2 ай бұрын
Mashallah
@mbilaselemani7516
@mbilaselemani7516 2 жыл бұрын
Mashaallah
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 24 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 77 МЛН
BALAA LA ARAFA HUSENI MADRASAT NURUFAHAMIA {Dufu ndogo}
26:13
TWARI ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
QASWIDA : KIFO CHA MTUME /KASWIDA NZURI SANA HII
16:23
Qaswida Murua
Рет қаралды 49 М.
Swiffat Nnabawiat (Dar)- Kasida, Nausia Nafsi!
17:07
Abhaaly TV
Рет қаралды 16 М.
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 35 МЛН
ToRung short film: 🙏baby protects puppy🐶
0:37
ToRung
Рет қаралды 84 МЛН
Smart thief😳 لص ذكي…
0:19
MARYA & AMINE
Рет қаралды 75 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 8 МЛН