DUH! ABOOD KAFANYA UMAFIKA LEO HAPA MSAMVU NA BASI ZAKE MPYA.

  Рет қаралды 823,541

MABASI TV MEDIA

MABASI TV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 238
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 жыл бұрын
Ipo siku Mwenyezi Mungu ataniwezesha nitamiliki yangu 🤲
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 жыл бұрын
Amiin
@donseifbashraf5559
@donseifbashraf5559 2 жыл бұрын
Aamiin Inshaallah
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 2 жыл бұрын
Inshaalah akujaalie maanani ila kama hakijaja hicho kipatto usilazimishe ukaenda kwa mganga au ukazulumu wengine
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
@@hasaniabdalah6148 kwakweli
@paschalmartin1516
@paschalmartin1516 2 жыл бұрын
Abood bus service, King of the road, ndani ya mkoa wetu wa Morogoro. Blessings 🙏
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 2 жыл бұрын
Mungu humpa ampendae kubwa toa fungu la kumi ama zaka kwa wasiojiweza mungu atakuongezea zaidi Asante
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Mungu akuinue sana pereka mikoa yote basi nzima kuna makampuni wanatuchezea kwa mfano mbeya mwanza. Vimeo mbeya Moshi. Vimeo. Mbeya arusha. Vimeo tunaomba tusaidie mbunge
@michaelmbughi4408
@michaelmbughi4408 2 жыл бұрын
Sana sana waje mbeya masukan tupate ajira
@allenmalidadimdollo7049
@allenmalidadimdollo7049 2 жыл бұрын
Hongera zake mumiliki maana wengine maisha yanatukomoa kweli
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 2 жыл бұрын
Hahahahahsh kwahy
@zulfahamissi9266
@zulfahamissi9266 2 жыл бұрын
😄😄😄
@kataninyido962
@kataninyido962 3 жыл бұрын
Hongera sana Mkuu Mungu akubariki kwa Bidii, Ahsante sana 🙏👍
@nastonjuma1091
@nastonjuma1091 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie zaidi ya hapo
@hawahbohero2425
@hawahbohero2425 3 жыл бұрын
Hongera na tushukuru kwa kuongeza ajira kwa watanzania
@dulleyjuma842
@dulleyjuma842 3 жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH(SWT) AKUZIDISHIE KHERI NA BARAKA
@siliviamaneno2905
@siliviamaneno2905 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@asajilemwaitenga4935
@asajilemwaitenga4935 2 жыл бұрын
Unajua kwanin hakufany ivi kipind cha jiwe now days hawalip kodi wala nin? "Freedom of speech"
@feisalharush9550
@feisalharush9550 2 жыл бұрын
Freedom of speech inauhusiana nini na mabasi ya watu. Alafu tunaongezewa ajira Naona hamna hasara hapo
@Mkinga_Nyota_
@Mkinga_Nyota_ 2 жыл бұрын
Ok nivizuli nimeona mabasi ya abud yameandamana morogoro sirens ya msavu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana wanamorogoro ubarikiwe
@frankcharles9595
@frankcharles9595 2 жыл бұрын
Even me I believe One day yes
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Mashallah ltangaze neema ya mola wako
@znzmawaidh8702
@znzmawaidh8702 3 жыл бұрын
ماشاءاللہ الله Akuzidishie khair inshaallah
@donseifbashraf5559
@donseifbashraf5559 2 жыл бұрын
Maashaallah apate anufaike na kipato cha halali inshaallah
@muksinmkahakala8604
@muksinmkahakala8604 2 жыл бұрын
Abood ni noma
@athumaniubwa3393
@athumaniubwa3393 2 жыл бұрын
Huyo aboud mwamba wa usafirishaji harafu mkongwe sana tokea kipindi kile mabasi yanapaki mbuyuni manzese sasa hivi daraja LA manzese
@halimayahya1948
@halimayahya1948 2 жыл бұрын
Mashaallah
@edwinmangulah6711
@edwinmangulah6711 2 жыл бұрын
Nimepend sana
@nimoaskar6717
@nimoaskar6717 2 жыл бұрын
Ma sha Allah
@jumasimba572
@jumasimba572 3 жыл бұрын
Bus nzur ila muache kupakia hadi godoro hapo kwa dereva abiria wengine had wanasimama!!ipeni heshima abood acheni tamaa
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 жыл бұрын
Congratulation mkuu
@ashiriiyulu6430
@ashiriiyulu6430 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah
@tanzanianationalquantumbus7817
@tanzanianationalquantumbus7817 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bobchanda2460
@bobchanda2460 3 жыл бұрын
Nyie sifieni tu eti kazi nzuri mnajua pesa alizipataje
@johanesbina1302
@johanesbina1302 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ngoja nicheke
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Kazpataje kwan inakuhusu nn wewe baki na umaskini wako acha wivu wa kishamba
@eminenttyrant4218
@eminenttyrant4218 3 жыл бұрын
Na ww tafta zako tuone una zipataje usipende ku judge rizk ya mtu hutokuja kuendlea daima utabaki chini tu ombea mtu anapo fanikiwa Kuna wengne wanategmea hko hko kidg chake au wingi wake usiwe na jealous ww🤲🤲
@landrymabutu5230
@landrymabutu5230 2 жыл бұрын
Dr mabutu
@erastitesha943
@erastitesha943 3 жыл бұрын
Good job 👍
@ibrahimgamba8053
@ibrahimgamba8053 3 жыл бұрын
vip kuhs viwanda vyetu.?
@dafrosadeus5203
@dafrosadeus5203 2 жыл бұрын
Hongera yake kwakweli
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Mashallah mabrouk
@athumaniubwa3393
@athumaniubwa3393 2 жыл бұрын
Kumiliki Mali siyo dhambi uwapo umezichuma kialali ila unapo zitumia vibaya Mali zako uwenda siku ya kiyama ikawa khasala kwako matajiri wakumbuke kutoa nusu ya utajiri wao kuwapa masikini kila mwaka hiyo ndiyo njia iliyo nyooka
@raohaelingwijo8924
@raohaelingwijo8924 3 жыл бұрын
du kazi nzuri san
@nellytsuma7519
@nellytsuma7519 3 жыл бұрын
Keep it up
@WitnesseNdanshau-zx2jr
@WitnesseNdanshau-zx2jr Жыл бұрын
Nafasi za kazi please ukondakta niko dar es salaam mbez mwisho
@MABASITV
@MABASITV Жыл бұрын
+255763584776
@WitnesseNdanshau-zx2jr
@WitnesseNdanshau-zx2jr Жыл бұрын
Mbna namba haipatikani hii
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 2 жыл бұрын
Magufuli kaondoka kilakitu tutaona
@allysstarbus
@allysstarbus 3 жыл бұрын
HONGERA SANA BOSS!
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 2 жыл бұрын
Na boss km huyo hajisifu vikute viboss vingine vigar 4 lakini kelele na majigambo kibao kila sku wafanyakazi wanafukuzwa hivi Mungu ndiyo angevipunguza na corona
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 2 жыл бұрын
Dar kwenda kagela bei gani
@gannzy-tvoline9277
@gannzy-tvoline9277 2 жыл бұрын
Abood ni Mfanya Biashara Abood ni Mbunge, Abood ni Mfanya Kaz wa Selikali Abood ni kiongoz mwenyew uwezo wa kusaidia jamii bila kushiklikiana na chama Wala taasisi yoyote Haitosh Abood ni Mfugaji Hapohapo ni Mkulima.....we kalaga baho na uhenzehenze wako😊😊wenzako wanafanikiwa we unapata dhambi za kuwafikilia vibaya
@danogeto78
@danogeto78 Жыл бұрын
Yote maendeleo 🇰🇪🇹🇿
@mwitamgaya5037
@mwitamgaya5037 2 жыл бұрын
Kila mmoja nafasi take. Juhudi iwepo.
@feisalharush9550
@feisalharush9550 2 жыл бұрын
Freedom of speech inauhusiana nini na mabasi ya watu. Alafu tunaongezewa ajira Naona hamna hasara hapo
@leviskahonga3985
@leviskahonga3985 2 жыл бұрын
saf si tunataka pesa
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 3 жыл бұрын
Namkubali sana al saedy hanaga tambo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 жыл бұрын
Kazi Iendelee
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 3 жыл бұрын
Scandinavia ifufueni haijapata mfadhiri
@nixonjohngerson7302
@nixonjohngerson7302 2 жыл бұрын
Viwanda kuwa mabasi ya mtu ..mungu atasema sku moja..
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 жыл бұрын
Kumbukeni pia kufufua viwanda Watanzania wapate ajira.
@sadasada4203
@sadasada4203 3 жыл бұрын
Manshallah manshallah
@KizitoKizito-pi9mk
@KizitoKizito-pi9mk 6 ай бұрын
Ana hela bana
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 жыл бұрын
ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15) Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11. A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5. Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 2 жыл бұрын
Mjomba uwe serious kdgo umafika ndo Nini?!?!
@trumptz6821
@trumptz6821 3 жыл бұрын
Abood congratulations
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 2 жыл бұрын
Kama malizake ni halali apongezwe sana ila kama co halali alaniwe sana
@abelchuche7968
@abelchuche7968 2 жыл бұрын
TRENI YA UMEME TUTAISIKIA WAFANYA BIASHARA WAMEISHIKA NCHIIII 😁😁
@inviorathavedasto2564
@inviorathavedasto2564 6 ай бұрын
Wafanyakazi wako sio waaminfu na wanazalau sana 0:43
@Yusto-s3o
@Yusto-s3o 7 ай бұрын
Hello
@hezronpeterhongoli9060
@hezronpeterhongoli9060 2 жыл бұрын
Hii siasa na Biashara tumekwisha, tunakwenda wapi?🔥
@hamyconcepts7147
@hamyconcepts7147 2 жыл бұрын
Hapa kuna Sgr kweli
@nassersalim3408
@nassersalim3408 3 жыл бұрын
Mashala
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
mashaallah maedeleo 🔥🔥🔥👏👏👏
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 2 жыл бұрын
Wawekee na macopolo scania,man Volvo or mercedes yutong not luxury bus
@wilsonmvungi6546
@wilsonmvungi6546 3 жыл бұрын
Huyu ndio bos sio bakhresa analeta ka bus kamoja kanatangwazwa nchi nzima
@mrishogange4276
@mrishogange4276 3 жыл бұрын
Duh,bakhresa anafanya biashara ya mabasi? Acha kumfananisha Yule tajir na muhangaikaj
@mehboobkarmali5211
@mehboobkarmali5211 3 жыл бұрын
Congratulations
@bonangatuni8077
@bonangatuni8077 2 жыл бұрын
Safi sanaaa
@jumasingania211
@jumasingania211 2 жыл бұрын
Maqz
@bongorashidy5930
@bongorashidy5930 2 жыл бұрын
Mkuu kigoma wilaya ya kasulu mtuletee mabasi jamani usafiri Bado ni shida
@osoyarabuor4920
@osoyarabuor4920 3 жыл бұрын
Hayo ndio mambo na wewe tafuta ulete yako sio kujaa roho Mbabane tu
@bikemastertz1200
@bikemastertz1200 2 жыл бұрын
Nice 🏁🏁💪💪🔥🔥🔥🚴🏻‍♂️🚴🏻‍♂️🇹🇿🇹🇿🇹🇿☠️☠️☠️
@zulhajjj2276
@zulhajjj2276 3 жыл бұрын
Naomba kazi ya udereva
@Dmx471
@Dmx471 3 ай бұрын
Watu wana pesa hii nchi sio poa
@ezramasawe8021
@ezramasawe8021 2 жыл бұрын
Ongera zake
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 2 жыл бұрын
MashaAllah
@kagwilengaiza2050
@kagwilengaiza2050 2 жыл бұрын
Pesa za walipa kodi
@nicksonchanuka6007
@nicksonchanuka6007 3 жыл бұрын
Ongera vyuma tumeviona Abood
@neemaashery2241
@neemaashery2241 2 жыл бұрын
Neema Ashery
@HoseniMohamed-rx3ns
@HoseniMohamed-rx3ns Жыл бұрын
Stendi mabasi handeni
@venancerichard920
@venancerichard920 2 жыл бұрын
Ana jipya
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Chezea tanzanight na makinikia bwete bwete wanajibebea wacha walambe asali
@farzanananji251
@farzanananji251 11 ай бұрын
Safi
@noahmbaruku3854
@noahmbaruku3854 2 жыл бұрын
Kwa hali hii SGR atapata tabu sana
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Matajiri Tanzania asilimia kubwa waarabu na Wahindi ngozi nyeusi wabantu wapambe au wanatumwa sijui tatizo ni lipu au hawataki kuwa matajiri nchini mwao. Sijui huyu abood alirudisha Serikali viwanda alivyoshindwa kujiendeleza na kufanya magodauni na kufugia mbuzi
@jumannedulahmbeho5704
@jumannedulahmbeho5704 3 жыл бұрын
Abdi hakamatiki uyooo😂😂😂😂😂
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
Usione anazo nyingi unakuta kuna watu wapo kimya wamewekeza kwake kwa sili jina la abood kumbe kuna watu nyuma yake unaweza ukakuta yeye mwenyewe zakwake tano tu
@sharifurashidi3666
@sharifurashidi3666 2 жыл бұрын
Abood anapesa toka kitambo Zake izo
@lucasndaganiwe5764
@lucasndaganiwe5764 2 жыл бұрын
Wakina mzee Fulani huko Zanzibar hao wana rimbikiza tena uncle magu rest in peace usi one kufuru zao
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@maryamramadhan3001
@maryamramadhan3001 3 жыл бұрын
boss kumbuka na ongezeko la mshahara nakatochi usisahau ,,,,
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Watu wanapesa aisee
@HalimaAdamu-r2n
@HalimaAdamu-r2n Жыл бұрын
Naipataje hiy kz jamn
@lufunganovath1445
@lufunganovath1445 2 жыл бұрын
Nasisi tunaomba tuleteeni kisaki dutumi kolelo Daar
@SamweliMwalyungu
@SamweliMwalyungu 2 ай бұрын
Kpnd cha yule wa chato aku fany ivy saiz ayupo aaaa yan amulip kod muna onyesha usenge wen
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
duu kama kanunua buku jero
@kijahboy
@kijahboy Жыл бұрын
Hujui kuesabu mm bimepata 1250 tu
@hassanmohammed2835
@hassanmohammed2835 2 жыл бұрын
Zulumatu awa wananunua magali deleva anaye sababisha wao wanunue magali ata awamsamini silolote sichochote zulumatuizo
@waleoofficial6816
@waleoofficial6816 3 жыл бұрын
ATuongezee Safari za mikoa mingine pia..
@dottokingo6232
@dottokingo6232 3 жыл бұрын
hongera sana
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
Nihayo ya cku zote yapushiwa rangi mna shambauka vyenu hivyo pambaneni wee ulie leta utopolo huu peleka kwenu mshamba weee
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
Baada ya mama kuucheza mwingi, hilo jina tu! Mwenye mali yupo pembeni.
@ipzzoisraely2571
@ipzzoisraely2571 3 жыл бұрын
Mbona kam umekasirikaa🤣🤣
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 3 жыл бұрын
Husda hiyo
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
Husda mbaya sanaaa watu dizaini hii ya kina oto wanakuwaga na roho mbaya mpaka uzee wao
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
@@mkude tuliza nyege mtoto, hawa watu tunawajuwa tangu hujazaliwa..wanaficha mali kwa wafanyabiashara wenye vitengo serikalini, hakuna roho mbaya hizo ni tozo zetu.
@edwigamassawe4321
@edwigamassawe4321 3 жыл бұрын
Ni kweli kbs,,zipo kipacha ziliingia hivihivi kumbe za K
@saididrissa559
@saididrissa559 3 жыл бұрын
Mashallha
@vascokasambala2159
@vascokasambala2159 3 жыл бұрын
DAR TUNDUMA TUNATAKA IJE KATI YA IZO MANA UKU NEW FORCE NI BALAAAA SAULI ANAHAHA BALAAAAA
@vascokasambala2159
@vascokasambala2159 3 жыл бұрын
Tuleeeeeteeeee mawili dar tunduma yashindane New force
@HalimaAdamu-r2n
@HalimaAdamu-r2n Жыл бұрын
Mim nip daa ofisi naipat wp jmn
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Watu hawaogopi madeni ya riba sijui itakuaje yaumu lkiama
@sharfshehe4454
@sharfshehe4454 3 жыл бұрын
Katisha sana apo ni sisi tu kutaka wenyewe kama gari katuletea mpyaaaa kama sisi tulizoea safar za mkoa mpaka raaaahaa
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 146 М.
TOP 5 Mabasi Bora Zaidi Tanzania (2024)
5:18
Swahilix
Рет қаралды 4,2 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Into the hoodland with abood bus service
4:07
lembukazi
Рет қаралды 2 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 176 М.
mabasi yakitoka kwa mbwe mbwe  stendi ya magufuli asubui yaleo
12:01
Patrick makoba patrick
Рет қаралды 297 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН