DUH.! PAUL KAGAME AMEUWASHA MOTO KWENYE MKUTANO WA SADC NA EAC AMEWACHANA UKWELI VIONGOZI WENZAKE

  Рет қаралды 19,110

HABARI KIGANJANI

HABARI KIGANJANI

Күн бұрын

HABARI KIGANJANI, ni channel ya habari zoote, zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo MITANDAO YA KIJAMII,MAGAZETI,REDIO NA TV zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa.
#habarikiganjani #rwanda #congo #congodrc #congordc #drc #rdc #drcongo #rdcongo #eastafrica #sadc #africanunion #unitednations #paulkagame #congodemocraticrepublicofthe

Пікірлер: 24
@OscarTemba-fv6us
@OscarTemba-fv6us 8 сағат бұрын
Ili kumaliza tatizo la Kongo ni Kuivamia Rwanda kijeshi si vinginevyo
@AllyKategile
@AllyKategile 13 сағат бұрын
Mmh hapo Pana kazi
@KarumeJanvier
@KarumeJanvier 19 сағат бұрын
kagame tocha mascari Yako kongo tulishakukuchoka na mauwaji kongo
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 13 сағат бұрын
Nauliza ni kwanini kagame ashiriki kwakikao icho na siyo nangaa
@ThomasMmoka
@ThomasMmoka 7 сағат бұрын
Kagame atadanganya sana,lakini mwisho wake umefika!
@Kazadi_64.oblock
@Kazadi_64.oblock 15 сағат бұрын
Acha awaashe Ana uwaki wanyarwanda aa tusi wanateseka mingi congo ku uwawa sisi wote tumebiona wa ongozi wa congo na burundi wana Diologie wa wamakaboli .Anapenda vita hana ngifu .Ata ndayishimiye naye peke wa serekari aawo hawafanye kitu
@AlfonceKasanyi
@AlfonceKasanyi 10 сағат бұрын
Aondoe majeshi yake Congo
@Kazadi_64.oblock
@Kazadi_64.oblock 6 сағат бұрын
@AlfonceKasanyi songi songi á la moindre escalmouche ahaaaaaaaaa mena M23 oyeeeeeeeeeeee ioa toseka Bino ioa
@jeandenga
@jeandenga 11 сағат бұрын
Ni mbongo Rwanda anajuwa mahali anashimamiya
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 12 сағат бұрын
Kwani kama alikuwa na nia ya kuleta mabadiliko yakweli akika asinge mtangaza kisekedi badala ya fayulu inaonyesha hata yeye ni wale wale
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 12 сағат бұрын
Miaka 17 waliitawala kongo leo anadai eti yeye ataleta mabadiliko hivi kweli jamani myachunguze maneno yake naye ni muuwaji
@HassanShabaaz
@HassanShabaaz 13 сағат бұрын
Unataka yamkute Yale Yaliomkuta Raisi habyarima Raisi wa Rwanda pamoja na Ntaryamira Raisi ya Burundi walikua wakitika Tanzania pale ndege yao ilidunguliwa 1994 viongozi wa Tanzania ni wanafiqi sana ikumbukwe kuwa Museveni ndio aliyowekwa na Museveni Madarakani
@newtonnyembe8228
@newtonnyembe8228 15 сағат бұрын
Inafahamika kwamba kagame ni kibaraka na ndiyo mwenye m23. Viongozi wa afrika mmekutana kujadili nini au mnazunguka mbuyu tu?
@UmbaMwamba-y1j
@UmbaMwamba-y1j 11 сағат бұрын
Hii yote mwenye ku leta mugogoro huu ni Joseph kabila yeye ali fanya mukataba na rwanda sawa joseph ni mutu wa ku shika ationeshe mukataba hiyo
@KasongoKahite-f8q
@KasongoKahite-f8q 13 сағат бұрын
Rwanda aina aki ata yaku jilinda , punguzeni midomo naku comment bila kuwaza, watu wana fariki uko goma mnapenda
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 19 сағат бұрын
Mimi nionavyo kwanza Rwanda awaondoe Askari wake waliopo Congo itakuwa ni hatua Moja muhimu sana, Pili Rais wakongo awaite waasi wa m23 wazungumze mezani bila kuwa nachembechembe ya wageni,waulizana haya matatizo sisi sote tuseme tumeyakuta,waliotutanguliwa waliuana Sababu zake Nini ,wanajuliza wote watapata ufumbuzi walongoman wote watajitoa kwenye wimbi la kuona kuwa yeye ndio anayeweza kupata suluhu pekee,na wajulize kwanini tunarithi kuuwana badala ya kufanya Mapinduzi ya fikira ya kutouana?
@MateoSamohenda
@MateoSamohenda 15 сағат бұрын
Mi naona Bora m 23 wangekuwepo pamoja na txhekedi hapo suluu ngepatikana ya kudumu maana waasi wanadai wafwata katiba ya kongo
@PatrickDirecteur
@PatrickDirecteur 16 сағат бұрын
Unona wakatimwengine tuache ubai brooo, wawezaje kuketi na mtu ambae yeye ata kukupinduwa, acha ushabki brooo .
@Gervaseskyman
@Gervaseskyman 16 сағат бұрын
Unaongea sana , mbona huachi Marais hao tuwaone wakiongea wenyewe??? Binafsi Sijapenda approach yenu ya uhabarishaji🤨
@JosephNyamukuru
@JosephNyamukuru 12 сағат бұрын
Inafaa rdc inapashwa kufataa malaliko ya kila kabila ao uko?japo mu congo muki zaidi ya 460 uko?ile ni kukosa ufahamu ya kuleta umoja,inafaa kuanzia ile ilitoka wapi? Ile imeanzia ounganda ,kumufukuza Idi amimi. Dada,kisha ikaanza rwanda mu octobre 1990,kisha ikaingizwa mu zaire mu 1994 mpaka leo,mambo aliongea pale ni ongo,je watu sawa bizima karha,douglass bugera ,masasu nindaga...,waliweza kukamata accords na kabila mzee na kisasu ngandu juu ya kutekeleza ugawaji ya inchi ?japo kulikuwaka raîs Mobutu na gouvernement?ulimwengu ujuwe kama leo usalama unakosa mu dunia ni sababu ONU inakosa ujuzi ya ku convaincre wanamemba wake,hii karne ona faa tujitolea kupatia ONU ingine mbinu za kuongoza.Hakuwezi kuwa umoja wa mataifa bila umoja wa mabqra,mimi ninainuwa sauti juu ili nifike kwenyi umoja huu nakutolea mpango ule,Aksanti kwa mtangazazi,ninapenda uniite ili nipane maonyo hiyo juu ya umoja wakudumu bola silaha.aksanti.
@HakizaPoly
@HakizaPoly 15 сағат бұрын
Nyie mnao sema askari wa Rwanda wako wapi mbona hamjasema watoke waliofanya mauaji ya kimbali na nyie mnao comments muache unafiki Rwanda Ina haki ya ku jilinda na uezo tuko nao
Le journal Afrique du dimanche 9 février 2025 - TV5MONDE
26:25
TV5MONDE Info
Рет қаралды 34 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Mrithi wa Joseph Kabila apatikana, atoka chama pinzani
2:47
Gidi Na Ghost Asubuhi - Africa's Biggest Swahili Breakfast Show
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 143
Kalonzo Musyoka Urges Azimio MPs to Claim Majority in Parliament
3:36
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН