DULLA MAKABILA AFUNGUKA/AGREY SIKUMLIPA/NILICHANGANYIKIWA SIMU NILITUPA/NILIWAIMBA WATU 25

  Рет қаралды 304,644

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 131
@mkakamwenyefyuchatv5003
@mkakamwenyefyuchatv5003 2 жыл бұрын
Kama unaamin kikao cha basata ni cha mchongo gonga like
@mshamamlawila113
@mshamamlawila113 2 жыл бұрын
BRAVOOOOO!!! MZINGA WA CREATIVETY YA MAANA SANA NA YA UKWELI,SIO HATA SABABU YA KUZUNGUMZIWA KUHUSU KUFUNGIWA,KAWEKA KILA KITU WAZI NA UHALISIA,YALIYOPO KWENYE JAMII!!
@kuamino
@kuamino 2 жыл бұрын
How are you
@aishamwinyi7820
@aishamwinyi7820 2 жыл бұрын
Ngoma kali mnoooo yaan dullah hana ngoma mbaya salut kwa singel sio kila singel ikatwe viuno
@kiatu
@kiatu 2 жыл бұрын
Hii ngoma imefunga mwaka. Hakuna tena. Hongera.
@rizlambajuni
@rizlambajuni 2 жыл бұрын
DULLA NI MUHUNI WA KWELI MAANA HAJAWASAHAU WALIOMTOA CHINI “MASHA LOVE,AGREY NA JIKE SHUPA’ I USE TO ATTEND HIS SHOWS HAPO MAISHA BASEMENT NI KWELI💯💯
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Sauti ana fanana na dada ake Amina vikoba
@jumazahoro3537
@jumazahoro3537 2 жыл бұрын
We mtangazaji unajua Sana kuuliza maswali
@ayubuomondi4911
@ayubuomondi4911 2 жыл бұрын
Kaelimisha jamii kiukweli nyimbo nzruzi sana big up sana makabila
@abinielsamwely3844
@abinielsamwely3844 2 жыл бұрын
Kaka hii nyimbo iko vyema sana imejaa ujumbe sahihi kabisaaa Tena ujumbe wenye fundisho zuri aisee Mungu akupe akili yenye akili na maalifa mengine zaidi ili kuendelea kuelimisha jamii
@YaaMnyad
@YaaMnyad Жыл бұрын
Dah kweli kaka nakubali xana.....
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Bora nyimbo zuri sana
@alphanchristopher5931
@alphanchristopher5931 2 жыл бұрын
Dulla makabilla toa remix nyimbo Kali hiyo
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 2 жыл бұрын
Ngoma iko 🔥 🔥 ujumbe mzuri
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 жыл бұрын
Fanya Epson Mzee dulla nyimbo kali sana hii
@specialminds23
@specialminds23 2 жыл бұрын
Kweli kabisa PITA HUKU S2
@aishamwinyi7820
@aishamwinyi7820 2 жыл бұрын
Hahahahaha umeona eeee
@mariamumaliki6980
@mariamumaliki6980 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwaujumbe huu
@hamisikisuju
@hamisikisuju 2 жыл бұрын
Ungeweka hao wote 25 ngoma ingekuwa Kali zaidi
@samiramhina4762
@samiramhina4762 2 жыл бұрын
Nilskiliza mara mbili tuu laknii nikaupenda balaaa wimboo mzuri
@jovinathobias7163
@jovinathobias7163 2 жыл бұрын
Hongera sana Dullah Makabila kwa ngoma yako
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Bola ujafungiwa nyimbo nzuli inaelisha jamii
@championtv255
@championtv255 2 жыл бұрын
Namkubaligi Sana mdogoangu dulah coz anapenda utani na anacheka kila mda
@mamahu9668
@mamahu9668 2 жыл бұрын
Wee wasitufungie Mii mpa nimeisubili nikajua wimbo una part two kwa jinsi ulivyo noga haijaisha mbona iendeleze
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 2 жыл бұрын
Ngoma Kali,piga remix
@zuwenaally6403
@zuwenaally6403 Жыл бұрын
Dullah makabilaha nakukubalii sana ngoma zako💯💯💯💯
@adammodesto6626
@adammodesto6626 2 жыл бұрын
Jamaa anajua san
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 2 жыл бұрын
Bora maana wimbo unaujumbe konk
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 2 жыл бұрын
Wimbo ujumbe mzuri tu sana
@snedemc
@snedemc 2 жыл бұрын
Unyama sanaaa kk
@hussenihusseniscotty7771
@hussenihusseniscotty7771 2 жыл бұрын
Ngoma kaliii snaaa kk
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@namsamson3443
@namsamson3443 2 жыл бұрын
Agrey ndio amependezeshea huo wimbo . Wangemlipa zaidi
@marialemi2177
@marialemi2177 2 жыл бұрын
Mmmh hpn ngoma kali
@fattybeniozo488
@fattybeniozo488 2 жыл бұрын
Funga mwaka ya dulla iyo ninoma Bravoooo👏👏👏
@jacksonjamesndyabawe495
@jacksonjamesndyabawe495 2 жыл бұрын
Dulls nilikuwa sipendi nyimbo zako but. Leo ndio nimeamin kwamba wewe ni msanii 100%
@hassanihamisi4719
@hassanihamisi4719 2 жыл бұрын
Kaka hiiiiiiii umeweza
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 2 жыл бұрын
Umeweza
@ashuramigilimo6469
@ashuramigilimo6469 2 жыл бұрын
Umeuwa mdogo wangu dulla piga kazi usisikilize maneno
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 2 жыл бұрын
Dulla fanya party two ya pita uku uwataje wote
@ashrafumsirimu6396
@ashrafumsirimu6396 2 жыл бұрын
Nakubali brother
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 жыл бұрын
Dulla makabila nakupndaga sana
@swaumumwanalia7054
@swaumumwanalia7054 2 жыл бұрын
umetisha sana
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Ngoma 🔥
@remmymwakamele
@remmymwakamele 2 жыл бұрын
Anaepinga hii ngoma apite hk
@yousufs1938
@yousufs1938 2 жыл бұрын
Great song from Muscat, Oman keep it up
@msaysha5886
@msaysha5886 2 жыл бұрын
hicho ndo nilitamani kukisia kuwa wimbo hauja fungiwa Alhamdulillah maana nilistuka nika sema daa
@mohamedabubakar4694
@mohamedabubakar4694 2 жыл бұрын
Alhamdullilah kwenye mambo ya nyimbo ya nini , siutumie maneno mengine
@mwatangachaurembo3405
@mwatangachaurembo3405 2 жыл бұрын
Mpuuzi kweli ww eti Alhamdulillah
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 2 жыл бұрын
Unamshukur mungu kwa ajiri ya manyimbo unabalaa sana
@msaysha5886
@msaysha5886 2 жыл бұрын
acheni makasiliko kwani neno Alhamdulillah si kumshukuru tu kwani Kuna mtu umeona kashusha Aya ya Quran hapa kuweni wapole
@msaysha5886
@msaysha5886 2 жыл бұрын
au hamjui nini maana ya neno Alhamdulillah mna kurupuka tu kama chafya😏
@starjay3052
@starjay3052 2 жыл бұрын
aminia dula
@jullythedone8615
@jullythedone8615 2 жыл бұрын
Dadeki. Zao Yan wafungie nyimbo hyo watuachie amelowa na nyngne nyingi mbovu hii ninyimbo bora
@rehemashafti7771
@rehemashafti7771 2 жыл бұрын
Bi up makabila
@Delomar3
@Delomar3 2 жыл бұрын
Dulla weeh tupe part 2 ya hii movie pita huku.
@estermahenge5972
@estermahenge5972 2 жыл бұрын
Kbs watu wapone
@michaelmelele8117
@michaelmelele8117 2 жыл бұрын
Tumalize na hiyo remix tyu
@baysadam235
@baysadam235 2 жыл бұрын
Allahmdulilah🇲🇿
@kingcicero1708
@kingcicero1708 2 жыл бұрын
Irmãolhe👑
@baysadam235
@baysadam235 2 жыл бұрын
@@kingcicero1708 kmk lhe🇲🇿🇲🇿
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 2 жыл бұрын
Good
@ephraihassan8705
@ephraihassan8705 2 жыл бұрын
NA WE DULLA PITA HUKU
@sarataunes
@sarataunes Жыл бұрын
Nyimbo zuri sana
@ramadhanathuman8498
@ramadhanathuman8498 2 жыл бұрын
Kunguru basata yaani mnaruhusu zagamua, mfungie huu ulio bora
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 жыл бұрын
Bora tu aujafungiwa uo wimbo
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 2 жыл бұрын
Waooh saf sana
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 2 жыл бұрын
YANI UMEACHA WATU WAMETOA MA EPOSIDE SIJUI NN LKN UKAJA KUWAFUNGIA MWAKA NA SINGLE MOJA DULLA PITA HUKU
@kalemkoracomedy2020
@kalemkoracomedy2020 2 жыл бұрын
Mashati zenu ..ya Celine ...
@glorylymo958
@glorylymo958 2 жыл бұрын
Dulla toa part2 uwataje wote
@frankjr2810
@frankjr2810 2 жыл бұрын
Kazi nzuri dulla
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 2 жыл бұрын
Ngoma Ni funga mwaka💓🔥
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 жыл бұрын
wewe Dullah pita huku mlango wa peponi mbingu ya 7 🤣🤣🤣🤣🙌💪🇹🇿🇦🇪
@kakacharlesofficial1241
@kakacharlesofficial1241 2 жыл бұрын
Hata Mimi nilitaman aendelee kuwataj hakuwamaliza but ametsha
@ahadijaks5195
@ahadijaks5195 2 жыл бұрын
Huja jua ku host
@nigananurunjema
@nigananurunjema 2 жыл бұрын
Mbona Mashehe watengeneza makombe na talasimu hawapo?
@marymchomvu7753
@marymchomvu7753 2 жыл бұрын
Toa part 2
@kasabubu8587
@kasabubu8587 2 жыл бұрын
Basata wapite hukuu..!!
@martinkredo7103
@martinkredo7103 2 жыл бұрын
Mwandishi unafeli unaulza kuhusu agrey agrey ndo nani agrey ninani mnamzungumzia mtu ambaye watu wa mbeya,iringa na mikoa kibao hawamjui umefel sana
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kuamino
@kuamino 2 жыл бұрын
Nimoto kweli
@benshark3212
@benshark3212 2 жыл бұрын
Mi naona kikao cha basata kimeongeza trending ya huo wimbo
@hijjawood6713
@hijjawood6713 2 жыл бұрын
Toa remix malizia hao walio baki
@babrumcyber1040
@babrumcyber1040 2 жыл бұрын
toa full episode broo
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Hao BASATA ningewashangaa Kwani kuna shida gani kwenye huu wimbo 😮????
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 2 жыл бұрын
Ehehe mbigu ya sabaa babaa😁😅🤣🤣 hutoboii
@dominicknondo7681
@dominicknondo7681 2 жыл бұрын
Leta remix
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 2 жыл бұрын
👏💗
@kuamino
@kuamino 2 жыл бұрын
How are you
@snedemc
@snedemc 2 жыл бұрын
💥💥
@abdulmpunjo1241
@abdulmpunjo1241 2 жыл бұрын
Dulla itakuwa umemfuatilia OCHU TZ ukaona utolee nyimbo
@kauthargoodness4013
@kauthargoodness4013 2 жыл бұрын
Ata mi nlijiuliza hilo
@nehemiahkasiano3740
@nehemiahkasiano3740 2 жыл бұрын
Trafiki ndo kabisa yan wanakela hao
@evateete302
@evateete302 2 жыл бұрын
Remix jaman
@shakirahusein6712
@shakirahusein6712 2 жыл бұрын
ekdlxv
@swaumumwanalia7054
@swaumumwanalia7054 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂eti mbingu ya saba
@zeshajamaly6402
@zeshajamaly6402 2 жыл бұрын
Bora haijafungiwa
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Remix uanze na ma traffic
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 2 жыл бұрын
Saleh pita huku
@imamuathumani70
@imamuathumani70 2 жыл бұрын
eti mbinguyasaba afiki mtu kule
@Malvaboy.
@Malvaboy. 2 жыл бұрын
PITA HUKU
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Aggrey ni nani? Mbn sielewielewi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Hata mie sijuwi huyo Aggrey ni nani. Ila kuna video nilio fcbk Diamond akiwa na mbosso kwenye stage na kulikuwa baadhi Ya wanaume wengi wenye muonekano wa kishoga shoga hivi na huyo jama alikuwepo sasa sijuwi ni nani apa mjini.?
@zakiahaji1683
@zakiahaji1683 2 жыл бұрын
Agrey yule mwnmme alovaa kijani km mwanmme mwanmke
@zakiahaji1683
@zakiahaji1683 2 жыл бұрын
@@sonnyr1899 ktk nyimbo anaambiwa ww shoga ingia huku motoni
@hidayaally9977
@hidayaally9977 2 жыл бұрын
Anatunzana na wanawake kwenye mashuhuri wanakikundi chao wanajiita wajomba maresh yeye ni kiongozi shughuli nyingi za watoto wa mjini yupo ingia utube bona TV shughuli zetu utaona mambo yake
@modycombo7421
@modycombo7421 2 жыл бұрын
Shoga aliyekubuhu tanzania
@suzanamwinuka312
@suzanamwinuka312 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Dulla Makabila
Рет қаралды 7 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
JUMA LOKOLE ATANGAZA HADHARANI KUA SHOGA/ MKE WA DIAMOND.....
10:10
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 1,6 М.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 716 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН