Dah hapo nimemuona mtu niliemaliza nae shule ya msingi yani tokea tulivyomaliza 2007 tukapoteana ndo namuona leo dah noma sana mwanetu Dullah nimekuona apo
@kazikazitvboda2boda3 ай бұрын
Ndio hivyo ndugu..
@farrelrasheed172411 ай бұрын
2:08 jesh katangulia mbele ya haki .. MUNGU ndio kila kitu allhamdulillah ndio neno letu kwa ndugu yetu Dullah Q .. innalilah wainalilah lajiun jeshi