RAIS ENG. HERSI, WACHEZAJI WALIVYOKABIDHIWA PESA ZA GOLI LA MAMA BAADA YA USHINDI VS TP MAZEMBE

  Рет қаралды 167,663

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 193
@AgenesMugema
@AgenesMugema 2 күн бұрын
Ahsante Mungu Umesikia Dua zetu Watanzania.👏👏👏👏
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 2 күн бұрын
Allahamdulillah mwenyezimungu mkubwa wachezaji wetu hongereni sana kazi iendelee yule mwarabu akija msimchekee piga tu gusa achia twendwe kwao🎉🎉🎉🎉💛💛💛💛🙏
@Mrkigoma
@Mrkigoma 2 күн бұрын
Hii gusa achia aloanzisha hii slogan ideas anapepo lake aiseeeee inamzuka syo pw kabsa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💚💛 Mmejuwa kuufungua mwaka aiseeeee hongereni saaana 🎉🎉🎉🎉
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 2 күн бұрын
Ally kamwe mwenyewe huyo
@nynyarugusumatukio255
@nynyarugusumatukio255 2 күн бұрын
MUNGU ni mwema Kila wakati, jiepushe na dhambi ili uone uheri wa MUNGU milele kama ujumbe huu umekufikia gonga like.
@ManyikaManyama-v4r
@ManyikaManyama-v4r Күн бұрын
Amen
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 Күн бұрын
Amen 🙏
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Күн бұрын
Amen😂😂
@Manyandaevance
@Manyandaevance Күн бұрын
Amen
@nelsonmanyanda971
@nelsonmanyanda971 Күн бұрын
Amen
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 2 күн бұрын
Gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah 💚💚💛💛
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 күн бұрын
Maestro clement mzize ajengewe sanamu lake aisee🙌🙌🎉
@Tatty-u8p
@Tatty-u8p Күн бұрын
Ubwaya ubwela imekaa kihuni huni lakini gusa achia twende kwaoo imekaa kijanja zaidi tumeuanza mwaka vizuri jmn yanga yangu naipenda sana 💛💛💚💚
@FidelisBanga
@FidelisBanga Күн бұрын
Kama unaamin engineer ndo rais bora wa kihstoria mpira wa miguu tanzania tuungane apa ❤❤
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g Күн бұрын
Alhamdulilah tunashukuru mungu kwa hiki tulichopata yanga bingwaaaa
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek Күн бұрын
Shkrn vzr sana mno vjn wetu,mliwashika KISAWASAWA,hapo ndio waligomea usafiri walioandaliwa,daah Yanga hii mnanipa SIHA NJM kwa vipimo sahihi,"Daima mbele nyuma mwiko",asanteni wananchi wenzangu 💚💚💚
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 күн бұрын
Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi 🎉🎉🎉
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 2 күн бұрын
Wananchi gonga like 10 kwa mzize❤❤❤
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 2 күн бұрын
Duuuuh umeomba likes 10 kwa bahati nzuri yangu ndo ilikua ya 10, najivunia hii bahati
@zainabuzeddy
@zainabuzeddy 23 сағат бұрын
💛💛💛💛💛💚💚💚💚
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 күн бұрын
Watching from 🇺🇸?..... ila wapinzani macolo fc watasema GSM ANADHAMINI TP MAZEMBE
@DoriceChesco
@DoriceChesco 2 күн бұрын
nmesikia huko wanasema rawi letuu😂😂😂😂😂
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g Күн бұрын
😂😂😂wala sio uongo hawakawiii
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l Күн бұрын
Mbona wamesema kuwa mazembe tawi la yanga
@MpoleJuta58
@MpoleJuta58 5 сағат бұрын
Alhamdulillah mungu mwema atuongoze katika michezo ilipo mbeleni tuweze kishinda yote natuweze kufuzu mashindano Amiin
@AziCure
@AziCure 2 күн бұрын
Allahamdulillah 🎉🎉🎉 Nyuma mwiko mwenyezmungu aendelee kuwabarik viongoz, benchi la ufundi wachezaj na wananchi kw ujumla🎉🎉🎉
@BlackAmerican9
@BlackAmerican9 2 күн бұрын
All the best dar yanga Africa 🙏
@LucaiyaKyaka
@LucaiyaKyaka 2 күн бұрын
Kilalakheir Timu yng Alhamndulilah Allah tuzidishie mafanikio zaid Inshaallah
@IsackGangana
@IsackGangana Күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 Күн бұрын
Ameen
@furahianyambo791
@furahianyambo791 2 күн бұрын
Tumefurahi sana wananchi zaid ya siku zotee
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 10 сағат бұрын
Naipenda yanga yangu 🎉🎉🎉🎉🎉
@AminoKhalif
@AminoKhalif 2 күн бұрын
Alhamdulilah kwa ushindi hongereni jeshi letu gusa achia twende kuwa bingwa ❤❤
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 Күн бұрын
Zetu dua cku zote 🙏🙏 gusa achia TWENDE kwaooo 💪💚💛
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 2 күн бұрын
Hongereni sana kutuheshimisha kwa kupata point 3muhimu ila mjitahidi kuyafanyia kazi mapungufu ikiwemo makosa yanayotufanya turuhusu magoli pia safu ya ushambuliaji utulivu na umakini unahitajika mno na ulinzi na ukabaji wachezaji wangekuwa makini tungefunga mengi mno mjitahidi kuwamakini langoni mkikutana na timu yenye hukuta dhabiti nafasi kama hizo tunazijutia mwishoni ila all in all hongereni
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs Күн бұрын
kweli kabisa safu ya ulinzi bado imekuwa laini sana, mabeki wanajisahau na wamekuwa wakifanya makosa mara kwa mara
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 Күн бұрын
Hongera timu ya wananchi 💚💚💚💛💛💪
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 Күн бұрын
Hii timu safi sana,naipenda yanga yangu
@MASAGATOURGUIDE
@MASAGATOURGUIDE 2 күн бұрын
1st comment
@highleveltz
@highleveltz 20 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys,❤🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@ReiphanLusungu
@ReiphanLusungu Күн бұрын
Kudadeki kauli ngumu tufuzu hapahapa kwa mkapa ,, na tutashinda kila match💪💪💪💪💪🙏🙏inawezekana heko injinia Heris 👏👏👏👏
@vaxminja9053
@vaxminja9053 2 күн бұрын
Gusa achia twende kwao imekaa kimpira kuliko, Ubaya ubwela, imekaa kichawi. 😂😂😂
@chalzraytv7964
@chalzraytv7964 2 күн бұрын
😅😅😅 uhakika
@allyfatma7359
@allyfatma7359 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 2 күн бұрын
Yaani kabisa aisee
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 күн бұрын
Kabisss
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 nimecheka hadi machozi😂😂😂😂😂
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 21 сағат бұрын
Gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah
@jairatu688
@jairatu688 2 күн бұрын
Alhamdulillah 🤲🏻 hongereni sana vijana wetu ❤❤❤
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Күн бұрын
ALHAMDULILLAH....lile vibe la supu limerudi tena🙏🤲🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 күн бұрын
Ukishindwa kusema daima mbele nyuma mwiko,sema gusa,achia,twende kwao
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 2 күн бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 күн бұрын
Mwana fa anaumiaaa😂😂😂😂
@BetsonMhanze
@BetsonMhanze Күн бұрын
Oyoooooo wananchiiiiiiii.........💛💛💚💚💛💛💚💚💛💛💚💚
@jacksonmtulla9174
@jacksonmtulla9174 2 күн бұрын
Wachezaji wangekumbuka gusa achia twende kwao, tungefunga hata 5. Ni mfumo mzuri sana. Hongera kwa wachezaji wetu.
@ThomasElasto
@ThomasElasto 2 күн бұрын
Gusa achia twende Mauritania 🇲🇷 huko nako ni kugusa
@MamaRafael-q1v
@MamaRafael-q1v Күн бұрын
Mungu ni mwema saaaana yanga oyeeeeeeeee nguvu moja
@KhairatiSulemani-t6d
@KhairatiSulemani-t6d Күн бұрын
🎉🎉🎉tupo pamoja na yanga 😘😚
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 Күн бұрын
Tupostien mach
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 күн бұрын
Gusa Hqchiya Twende Kwaho Mpak Wasem✅🙏✅✅✅✅
@kingbrother-p6t
@kingbrother-p6t 2 күн бұрын
Yanga ndio hii ya leo
@MubarakaRamadhani-vy1et
@MubarakaRamadhani-vy1et 23 сағат бұрын
Yaani unyakisodo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 gusa achia twende kwaaaaoooooooo
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 Күн бұрын
Gusa Achia Twende Kwao na tuweke Goli la Mama❤❤❤
@ezrommkambati7115
@ezrommkambati7115 Күн бұрын
Lkn piano maisha magumu jmn tazameni na huku mtaani, tunaumia....I'll vote kwa vote Mama juu
@PatridaMraponi
@PatridaMraponi Күн бұрын
Rais wa yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Күн бұрын
Sema inshaAllah
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii Күн бұрын
Shukurani nyingi kwa allah natuomba zaidi mechi zirizo baki ushindi
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 күн бұрын
Wachezaji na etu mungu mwema
@alishaplate6290
@alishaplate6290 2 күн бұрын
Ahsante mungu 🙏
@MwanaidiJuma-xb3nh
@MwanaidiJuma-xb3nh 2 күн бұрын
💚💛💚💛💚💪🏻
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz 2 күн бұрын
Gusa achia twende kwaooooo9o💛💛💛🙏💚💚💚
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Күн бұрын
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💪🏽laha kwendambere wenye wivu wajinyonge wenyekuombeya Yanga ifungwe wamefichama uuuuuuuuiiiiiiiiii
@MariaSigani
@MariaSigani Күн бұрын
Daa mungu Asante 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Ashush-qm6lk
@Ashush-qm6lk Күн бұрын
Alllah ndio mlipaji
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Күн бұрын
Mungu tunakushukuru saaana na tunaendelea kukutukuza daima milele , Tumemaliza mwaka vixuri na tumeanza mwaka vizuri na na tuna amini kupitia kwako tutumaliza 2025 kwa furaha pia. Basi Amani ya Bwana na itawale. Amina.
@frankchacha7765
@frankchacha7765 Күн бұрын
Hizo Ela apewe Pacome na Mzize
@BbasuleBasule
@BbasuleBasule Күн бұрын
Alllamdulilah ❤
@leahmahungo
@leahmahungo 2 күн бұрын
Mmetufurahisha xn yanga
@deborahsengo5307
@deborahsengo5307 Күн бұрын
Safi sana 🔥🔥🔥🔥
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 Күн бұрын
Tumshukuru Mungu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Күн бұрын
Mungu mkubwa kila la kher yanga yetu
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 күн бұрын
SERIKALI IONGEZEE HELA MAZEMBE WALIAHIDIWA HELA NYINGI SANA
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l Күн бұрын
Wanateseka makolo uku mtaani sio kwa vibe ili tuseme gusa achia twende.............kama mwananch utamalizia ila kolo ikibidi li💚💚💚💚💛💛💛💛💛
@songombingo108
@songombingo108 2 күн бұрын
Lakini Mama yeye ni Simba. Roho inamuuma kwa ushindi wa Yanga😂😂😂😂😂 Ila lazima atoe pesa kwa Yanga😂😂
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Күн бұрын
Allah ametupa rais mvumilivu sana na msikivu maana sio kwa maneno yale aliyokuwa anatupiwa na wachambuzi na watu wengine kwenye kile kipindi cha matatizo hakika TUNAMPENDA rais wetu
@PhilonKakuru
@PhilonKakuru Күн бұрын
Gusa achia twende kwao! Yanga bingwa
@MaryMpemba
@MaryMpemba Күн бұрын
TP Mazembe kukataa basi na kufugwa mmefugwa. Wachezaji wa yanga Hongereni sana.💚💚🇹🇿🇹🇿✅
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Күн бұрын
Gusa achia twende kwao😂😂😂
@AyubuNgwalima
@AyubuNgwalima 2 күн бұрын
Tisha sanaaa
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 күн бұрын
Mungu mwemaaaa baba ijiniaaaaaaaaa tunakupenda baba
@BakariChivaulla
@BakariChivaulla 2 күн бұрын
Gusa Achia Twende Kwao ❤
@EsterMsuya-kn7tm
@EsterMsuya-kn7tm Күн бұрын
Tunamshukuru mungu sana
@CharlesMulamula-r2x
@CharlesMulamula-r2x 2 күн бұрын
Tunawashukur san wachezaj wetu wametup heshima
@bisekogyelovetz7319
@bisekogyelovetz7319 2 күн бұрын
All the best my time
@SendekamiliyaLaitayo
@SendekamiliyaLaitayo 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kunguru ouiiii😂😂
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Күн бұрын
Bwana Boka kimbiya yake ni Tren ya umeme🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻💯💯💛💚💛💚💛💚
@GracieTyno
@GracieTyno Күн бұрын
Nafurahi kumuona Hersi akiwa na furaha❤
@HeleneNduwimana
@HeleneNduwimana 22 сағат бұрын
Aya mambo siyaone kwa Simba😅😅😅 kweli wanaditaili nimekuwa na presha ila nimepona
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 Күн бұрын
Tanga bingwa❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂 ❤❤❤
@RenoxMpinga
@RenoxMpinga 2 күн бұрын
Noma noma
@zainabuzeddy
@zainabuzeddy 23 сағат бұрын
💛💛💛💛💛💛
@MohamediSleyum
@MohamediSleyum Күн бұрын
Nani anaweza kuandika kwa kizungu Gusa Achia Twende Kwao😂😂😂
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Күн бұрын
WANANCHiii 🔥⚽🦵💯💥✔️🔝
@ashuramlapagali7141
@ashuramlapagali7141 Күн бұрын
OYOO OYOOO, MWANANGU HERSIBLEO TABASAMU LAKO LIMERUDI HADI RAHA KWA KWELI MUNGU NI MWEMA, KATIBU MKUU NI MOTO 🔥
@FrankKatabarwa
@FrankKatabarwa Күн бұрын
Asant xan
@ShukraniSadock
@ShukraniSadock 2 күн бұрын
Gusa achia ua Wang'oa vitu FC 😊
@johnvedastus3079
@johnvedastus3079 Күн бұрын
😅
@PillyLushete
@PillyLushete Күн бұрын
Mungu nimuweza nazani tumeuwaza mwaka vizuriwanainchiiiiiiiiiiiiii
@rajabukamis9411
@rajabukamis9411 Күн бұрын
Timu inatupa furaha saana 😂😂😂
@JoelTeti-q3w
@JoelTeti-q3w Күн бұрын
Pacome, mzize na wachezaj wote wa yanga 🔥🔥🔥🔥🔥
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 Күн бұрын
Inshaallah Allah
@Mari89wx
@Mari89wx Күн бұрын
Kusa achia twende kwao 👉🏽
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 2 күн бұрын
Tumeambiwa tutashida kila mech😂😂😂😂🎉🎉🎉
@ochubrand
@ochubrand Күн бұрын
Mpira na kampeni juuu😆😆nchi ya utofauti sana hiii
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Күн бұрын
..KUSA》 ..ACHIA》 ..TWENDE》 ..KWAO》
@JarediAbubakari
@JarediAbubakari 2 күн бұрын
Wananchiii tunabalaaaaa sana❤
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz 21 сағат бұрын
SEMA ASANTE KWA LIKE KUWA SHABIKI WAYANGAAAA MAAAN HIZII RAHAAA SIO MCHEZOOOOOO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jacklinembuya2749
@jacklinembuya2749 2 күн бұрын
Ally kamwe, huu msemo umeenda aiseee.... Gusa achia ......
@KarimlimbalileLimbalileyahya
@KarimlimbalileLimbalileyahya 2 күн бұрын
Ongela sana yanga naviongozi wake
@modestevitalis831
@modestevitalis831 2 күн бұрын
Twende kwao
UCHAMBUZI FRIJI BOVU | YANGA IMEFANYA FOLA | MATAMPI NA JONATHAN
19:40
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Magoli Yote Yanga vs TP Mazembe 3-1 Highlights leo 2025 Young Africans vs TP Mazembe
10:11
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 419 М.
LISSU AMLIPUA VIBAYA MBOWE "NI MUONGO"
14:56
JAMBO TV
Рет қаралды 66 М.