No video

Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 559,813

Dulla Makabila

Dulla Makabila

Күн бұрын

Пікірлер: 888
@user-zk2qk5mi8t
@user-zk2qk5mi8t 4 ай бұрын
Dullah makabila ndio Diamond wa singeli kama unakubaliana na mm achia like na comment hapo chini
@user-rk9wv5vs7m
@user-rk9wv5vs7m 4 ай бұрын
Sio diamond wa singeli singeli ni mziki usioeleweka bado mkubwa nani sema msanii anaejitambua zaidi kikazi kwenye singeli mkuu uyu dullah sio diamond wa singeli kuna bwax kuna meja kuna watu kibao adi usiowajua Mimi namkubali dullah ila usimpe huo udiamond diamond afananishwi na vitu kama hivi FANYA UCHUNGUZI DIAMOND KAKAMILIKA DULLA BADO BADO BADOOOOOOO
@Samueldavics
@Samueldavics 4 ай бұрын
Sio tu tena zaid ya uyo mond
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 4 ай бұрын
​@@Samueldavicshujielewi
@Samueldavics
@Samueldavics 4 ай бұрын
@@user-jq9rj4dm5u tuliza tako bobu kama linakuwasha mamae...
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 4 ай бұрын
@@Samueldavics ww na huyo dullah nyote mnafinywa..
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 4 ай бұрын
Kama umeona dem anafanana na zailissa gonga moja twende sambamba 😂😂😂 🔥 🔥🔥🔥
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
Huyu Dem nshawia kumuuliza jamaa wangu mmoja sio zailissa akasema sio kumbe kweli 😂😂😂
@prezgal8869
@prezgal8869 4 ай бұрын
Na mzungu ni manara
@Edu-Lee-mee
@Edu-Lee-mee 4 ай бұрын
Mambo ni mengi mda ndio mfupi.😅😅Like kumi tu
@user-ol8oh2ml4p
@user-ol8oh2ml4p 4 ай бұрын
Ngoma frani uchokozi kuanzia audio mbaka video kama umeelewa hilo gonga like apa
@meshackkangwe3414
@meshackkangwe3414 4 ай бұрын
Uchokozi tuuu
@jsrtv9784
@jsrtv9784 4 ай бұрын
Ndo mzungu kashazimia😂😂
@Tboyflavourl759
@Tboyflavourl759 4 ай бұрын
😂😂uchokozi wa liiiive bila chenga
@MariamOmary-ep6iv
@MariamOmary-ep6iv 4 ай бұрын
😂😂Umewaza kama me Yani kamvisha Hadi jez😂
@user-ol8oh2ml4p
@user-ol8oh2ml4p 4 ай бұрын
@@MariamOmary-ep6iv umeona e
@user-pv7cj9fh1b
@user-pv7cj9fh1b 5 күн бұрын
Dulla anajua sana apewe maua yake bhn💯💯💯💯💯💯💯💯🙌🙌🦁🙌🙌🦁👏👏👏👏🎊🎊🎊🎊
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 4 ай бұрын
Dulla makabila napenda music zakokutokeya Zambia Lusaka unajuwa Sana kama wewe ninushabiki wa dulla makabila like zako nizione apo❤❤❤❤🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇨🇩🇨🇩
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 4 ай бұрын
Leo wa kwanza jamani like zenu hata kumi tu 😂😂 FURAHI
@Yussufkhamis-gn4mp
@Yussufkhamis-gn4mp 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@ngoshanangi8629
@ngoshanangi8629 4 ай бұрын
Kaka me sina neno nafurahi tu😁😆😁😆😁, nikiwa kahama, shinyanga ila msipite bila ku-like
@slavemaster0867
@slavemaster0867 4 ай бұрын
Am from canada ... I don't know Swahili Language....ila Najua dulla ndo king singel ....naoma like zangu kudadeq
@slavemaster0867
@slavemaster0867 4 ай бұрын
@@HappyArcticBirds-iy3dg pamoja sana
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 4 ай бұрын
karibu (inaitwa Kiswahili)
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
😅😅😅😅hujui Kiswahili ndio
@abdultaddy2729
@abdultaddy2729 4 ай бұрын
@slavemaster0867 umepigaje apo 😂
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 4 ай бұрын
Kapuuzi tu
@enockmathew5568
@enockmathew5568 4 ай бұрын
Mzungu na jezi ya yangaa😂😂🙌😊
@Kambachurchgal-hg4zx
@Kambachurchgal-hg4zx 4 ай бұрын
Dulla makabila nakukubali sana tokea kenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@KingombeZakuani
@KingombeZakuani 4 ай бұрын
Leo mimi wakwanza naomba likes 10 from 🇨🇩
@marinojoseph-hg5ok
@marinojoseph-hg5ok 4 ай бұрын
Oyaee kaka dulla huna baya Kaka nakubali kazi ya mdomo wakoo🙏🙏🙏
@Bitika-wo7cg
@Bitika-wo7cg 4 ай бұрын
Dulla Makabila anajua Sana kuimba kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako
@DouglasMassop
@DouglasMassop 4 ай бұрын
Haujui kuimba sauti kama chura. Bali anajua kutunga
@Gambatvonline
@Gambatvonline 4 ай бұрын
Gamba tv online wakwanza nipeni like Zungu naomba mkanisaidie like kwenye Akaunt yang
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 4 ай бұрын
Wimbo wako au
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 4 ай бұрын
Toka apa
@MsAloyce
@MsAloyce 2 ай бұрын
Yes huu wimbo nimeupenda sana . Dulla yupo vizuri
@hidayaharoub
@hidayaharoub 4 ай бұрын
Haya leooo WA kwanza naombaaa like zangu ❤❤❤
@DeejayClef
@DeejayClef 4 ай бұрын
king wa singeli kweli..
@user-bw5hc8bv2l
@user-bw5hc8bv2l 4 ай бұрын
Weeeee team furahi wera you Gyus 😊😊😊😊😊😊
@OMONDIMTUKAZIOG
@OMONDIMTUKAZIOG 4 ай бұрын
Dulla kiboko isee anazid ubunif manala na hakili ya kufanya vituu mm naamini kilichomtokea dula afu yeye akaelewa upepo unavyopele nimda wavuna money🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk 4 ай бұрын
Ila dullah unajua mpk unajua tena maninaaaaaaa❤❤❤❤
@omidopatrick9029
@omidopatrick9029 Ай бұрын
dula unajua kaka hongera sana from 254
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 4 ай бұрын
Ila dula umeipatia iyo video yani ww😂😂😂 like moto video kutoka kwa makabila
@samiramulwa
@samiramulwa 4 ай бұрын
Jamani kwaiyo kufuta ushaidi katafuta mzungu kweli ila nyimbo nzuri😂😂😂
@youthssuccesstv3162
@youthssuccesstv3162 4 ай бұрын
Jaman like zangu mm ndio wa keanza
@IbraKadabla-ry8mu
@IbraKadabla-ry8mu 4 ай бұрын
Ujawahi kukosea king off singer
@guulajini3596
@guulajini3596 4 ай бұрын
Sasa mbona kila Mmoja anacoment wa kwanza musiwe kama mzungu toleo la mwisho
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂nahis ni wale namba moja wa kwenye mitihan unakuta wamefuatan namba moja mpaka 11😂😂😂😂
@MayaOuthman-bd8bg
@MayaOuthman-bd8bg 4 ай бұрын
Ila Dulla mchokozi sana😂😂 fom Burundi naomba link 10 tu
@user-fu1db6bt3v
@user-fu1db6bt3v 3 ай бұрын
🎉🎉🎉 ❤❤ kazi nzuri
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 4 ай бұрын
wee furahi😅😅❤
@byamungurashidi85
@byamungurashidi85 4 ай бұрын
Mimi apa wa Sita chabiki wa music wa singeli kutok Bujumbura Burundi ❤❤❤😅😅. Jamani furahiyeni kupata muzungu 🎉🎉🎉
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy 4 ай бұрын
Kwenye kupika muongo dadaakee alikua anasema zay anawapikia pilau na minyama kibao pilau inakua tam kweli
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
Dulah😂😂😂🕺🕺🔥
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 4 ай бұрын
Msanii wangu ni mpendaye
@DjephKingoya
@DjephKingoya 3 ай бұрын
Dulla nakukubali kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 ай бұрын
Bwana Abdallah mkorofi ww na mingo classic yupo 😂😂😂😂 we furahi
@alexwatae3165
@alexwatae3165 4 ай бұрын
Dah! Mzungu ni mwanayanga..watu mnajua kuchamba live live..ila umeupiga mwingi
@FredrickVelela
@FredrickVelela 4 ай бұрын
Message delivered ✍️ hata ukidelete ujumbe ushaafika.. ngoma kali
@user-by2gj2bw9f
@user-by2gj2bw9f 4 ай бұрын
Dula makabilaaaaa king of singeli. Ndo jina pekee ulilopewa na king kiba
@ramadhanmsoloni
@ramadhanmsoloni 4 ай бұрын
Daaah umemvisha jezi ya yanga we mchokozi sna 😂😂😂😂😂
@DoreenNekesa-m7d
@DoreenNekesa-m7d 29 күн бұрын
Wooow proud of being❤❤❤❤❤❤❤❤
@Naahlyan
@Naahlyan 4 ай бұрын
Ssa dura ndouveshe jenz yetu jmn
@trendz_2548
@trendz_2548 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤video quality 👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪
@Legrand_Cheetah
@Legrand_Cheetah 4 ай бұрын
Sending love from Kenya 🇰🇪. Dulla still stands to be the King of Singeli aiseee
@user-vb2tt4oe1d
@user-vb2tt4oe1d 4 ай бұрын
Mzungu na jezi ya Yanga kavaaa😂😂😂😂😂🎉🎉
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 4 ай бұрын
😂😂😂😂 umeona eee Dulla mchokozi saana
@georgederick5071
@georgederick5071 4 ай бұрын
Dulla made me love singeli😮.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
@kennedykiwia4391
@kennedykiwia4391 4 ай бұрын
Duuh! Aisee!? Ni bonge moja la song
@user-tn2tr8on2s
@user-tn2tr8on2s 4 ай бұрын
Uyo ndy king of singel
@DOTTOWALES
@DOTTOWALES 4 ай бұрын
Goma fulanii la kicholozii
@user-ub2qs1ps1j
@user-ub2qs1ps1j 4 ай бұрын
Ila wasanii wenzako!!! unafkiupo ndani ya mifupa yaooo
@Softlinksolution
@Softlinksolution 4 ай бұрын
First one
@malietamaliet
@malietamaliet 4 ай бұрын
Kuku wew kwann utumie jezi yetu si ungefikisha tu ujumbe wako bila jezi😏😏😏
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 4 ай бұрын
We jamaa mgomvi sana...lol haahaaaa haahaahahahaaaa zari kabeba mabegi yake ameondoka...mzungu full stress tangia juzi..kila wakigombana we unatoa iyo ngoma..inaomekana kama mpya vile...like kwa wingi team makabilaaaaaa.
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 ай бұрын
Mimi watu mnaoomba likes huwa nawashangaa kinoma yan, badala ya kutoa maoni umeionaje video wew unaomba likes kwer achen hizo bwana mimi naisifia video ni qali...
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 4 ай бұрын
Sema pia unataka😂
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 4 ай бұрын
Number one 🎉🎉🎉🎉🎉
@AMURIAMBRI10OFGOD
@AMURIAMBRI10OFGOD 4 ай бұрын
Mbona kama mzungu Ana shituka hahaha 😂😂 wanaho mkubali DULA MAKABILA tu Tuju hane Kwenye Comments big up DULA chukuwa mahuwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sospeteramos19
@sospeteramos19 4 ай бұрын
Wa kwanza mim like 👍 zangu
@peterkariukikamau
@peterkariukikamau 4 ай бұрын
hapa kenya @dullaMakabila ndie star freshi .kioo cha jamii bado hakijapasuka
@user-xd6es6vn9r
@user-xd6es6vn9r 4 ай бұрын
Yakibabe sana hii Abdalah ninomaa..video iko hot❤🎉🎉🎉Maua yako dullah
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 4 ай бұрын
Namkubali saana Dulla
@user-od4yq1qj8q
@user-od4yq1qj8q 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Ngoma fulan hv la kichokoz balaaa
@Mendymedica-ew2vr
@Mendymedica-ew2vr 3 ай бұрын
Haha😂😂🙌🙌
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 4 ай бұрын
We misso misondo Umepigaje hapo!?🇹🇿🤣🤣
@salmaabduillahi5729
@salmaabduillahi5729 4 ай бұрын
Mzungu kazimia😂😂😂😂
@tigejuma9865
@tigejuma9865 4 ай бұрын
Twajua Nani kaimbiwa...haipingiki....wew n konde muna tabu xna....ukiachika ndio mwaumiza kichwa nice song bro...😅😅
@namdigumagwenge193
@namdigumagwenge193 4 ай бұрын
Haji Manara hatokujaga kupatana na Majagi 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri Abdallah
@farlykunga8599
@farlykunga8599 4 ай бұрын
Nyimbo kali ina ujumbe mzuri ila vijana wenzangu ..Tufanye san ibada pia tutafute san pesa ..na tukiachw tuachike Tu😅
@user-gd6tg5du1n
@user-gd6tg5du1n 4 ай бұрын
YAANI kavaa mpaka jezi ya yanga 😂😂😂😂😂
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c 10 күн бұрын
Yan hapa umetisha sana
@Jamalinho01
@Jamalinho01 4 ай бұрын
So pouw dulla ili ni jiwe 🎥🏆
@Samihsound
@Samihsound 4 ай бұрын
Umeweza sana dulla hongera kwa mziki mzuri
@irealyxchamdori596
@irealyxchamdori596 4 ай бұрын
Video safi sana mpk raha ❤❤❤
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 4 ай бұрын
Yaan masaa tu Iko namba 3
@FranckRushalika-sg3bd
@FranckRushalika-sg3bd 4 ай бұрын
Leo ndo nime usikiliza huu wimbo ila dulla bwana we kubali tu kombe limesha chukuliwa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 4 ай бұрын
Kama goli la yanga lilivoenda makelele kibao lakini hakuna issues
@eliamtani2840
@eliamtani2840 4 ай бұрын
bonge moja la idea mzee baba
@osiahstimah
@osiahstimah 4 ай бұрын
Ambae kamuona manara twende sawaaaaa#furahi
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 4 ай бұрын
Nimependa mzungu alivyoinuka😂
@parachichiFM
@parachichiFM 4 ай бұрын
Video kalii kinoma noma 🙌🏽
@jamessmushi1625
@jamessmushi1625 4 ай бұрын
Alierudiaa kuingalia zaidi ya mara 10 agonge like Ila jamaa ana akili sana
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 4 ай бұрын
Mimi Nipo DRC CONGO wa kwanza Kabisa
@jumaselestine8498
@jumaselestine8498 4 ай бұрын
King of singeli
@ayoubkhan7132
@ayoubkhan7132 4 ай бұрын
Makabila 🙌🙌🙌
@lenniekim
@lenniekim 4 ай бұрын
Nauliza,hivi ipo tofauti kati ya mzungu na albino?? Tafakari😁😁🇰🇪🇰🇪+254
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 ай бұрын
King 🤴 Of Singeli Never Dissapoint Us 🎉🎉🎉
@user-it9re2px8q
@user-it9re2px8q 4 ай бұрын
Ndio avae mpak jez ya yanga huyu mzungu hatarii😂
@user-bw5hc8bv2l
@user-bw5hc8bv2l 4 ай бұрын
Umetishaaa ❤❤❤❤
@greyson-pt9mn
@greyson-pt9mn 4 ай бұрын
king king king🙌🏾
@usher_bambi94
@usher_bambi94 4 ай бұрын
Comments za kuomba like nying kuliko maon ya nyimbo 😂😂😂😂😂 ila watu
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 4 ай бұрын
Wakenya gongeni like Sisi tunapenda drama 🇰🇪🇩🇪 ila Dulla Mzungu hapa kafa???ila tunaskia hali sio shwari!
@user-dy9mp4we2f
@user-dy9mp4we2f 4 ай бұрын
Huyu mzungu ni jiran yetu Dulla makabila ameona bora amfanye kituko humu 😂
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 4 ай бұрын
King of singeli 😂😂🙌🙌🙌
@jumarajabu4658
@jumarajabu4658 4 ай бұрын
King of singel video Kali sana 🌺💮🌼 yko upewe
@user-qs1yp8ol7l
@user-qs1yp8ol7l 4 ай бұрын
King of singeli 😂😂✊
@YasintaDaniel-js2dm
@YasintaDaniel-js2dm 4 ай бұрын
Mimi wakwanza umeweza ni nzuri
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 4 ай бұрын
Dullah!Dullah! Mbwa we🎉🎉🎉🎉
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 4 ай бұрын
From state of America nimeipenda ngoma❤❤❤
@ishmailandrew2000
@ishmailandrew2000 4 ай бұрын
Ndo kwanza kunakucha mpaka kesho itkuwa namba 1
@kwidexy
@kwidexy 4 ай бұрын
We furahi😅😅😅
@MrMona_TZ
@MrMona_TZ 4 ай бұрын
Hili jamaaaa linashindw kujielew. Mtot wa kiume akiachwa anaachika ao wanawake wapo kibao shida hafhm kua anajizalilisha kumfany mwanamke ajione alikua bora sna kuliko hili lijamaaaa asipo angalia atafikishiw ujumbe n wachawi wa himaya hiii.... !!!! 🧏
@diasalicastro5353
@diasalicastro5353 4 ай бұрын
We unayejielewa umefata nn kwenye u tube ya mtu hajielew ko huoni kama ww ndo hujielewi Zaid yake
@diasalicastro5353
@diasalicastro5353 4 ай бұрын
Akijiona Bora Kuna shda gani mwanamke so anatongozwa
@MrMona_TZ
@MrMona_TZ 4 ай бұрын
@@diasalicastro5353 bc hatujielewi wote yeye mimi pamoj n wew...
@MrMona_TZ
@MrMona_TZ 4 ай бұрын
Point yngu inarud pale pale kwamba mtu anapoachw anachika ata iwe alitumia billion of dollars. Ila kila kitu kina mwisho sio unaanz tena ety vijembe n mtot wa kike how come au n wew ni kma yeye ndio unakua upande wke 🧏 tumia akili mzeee...
@Alang-vi2kb
@Alang-vi2kb 4 ай бұрын
Uyo mzungu anaitwa nani 😂 Naomba jibu
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
fulahi
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 4 ай бұрын
Uyu dada kwenye nyimbo km zai risa
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila kuna muda wanawake atujui tunataka nn mm mwenyewe mbaka leo sijui nataka nn
@mariethachitema
@mariethachitema 4 ай бұрын
Kama kweli hv😂
@rutudaniel8314
@rutudaniel8314 4 ай бұрын
Dullah 😀😀🙌
Malkia Karen X Meja Kunta - Sina (Official Music Video)
4:59
Malkia Karen
Рет қаралды 1,9 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН
Dulla Makabila - Nikizipata (Official Video)
4:42
Dulla Makabila
Рет қаралды 1,3 МЛН
Harmonize - Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)
3:33
Harmonize
Рет қаралды 797 М.
Billnass feat Jux - Maboss (Visualiser)
3:20
Billnass
Рет қаралды 3,4 МЛН
Fally Ipupa - Mayday (Clip Officiel)
7:17
Fally Ipupa
Рет қаралды 53 МЛН
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Dulla Makabila
Рет қаралды 7 МЛН
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 301 М.
Kuoga Aaah!
3:40
Steve Mweusi - Topic
Рет қаралды 95 М.
Dulla Makabila - Makabila (Official Video)
6:45
Dulla Makabila
Рет қаралды 1,6 МЛН