Mueshimiwa konde we noma kabisa wakuache tu umeshakamaliza yaani talent yako sijuwi niseme nini, ila wimbo wako mzuri Sana Steven from south Africa 🇿🇦🇿🇦
@mashabikiwaharmonize5 ай бұрын
Kama unamkubali HARMONIZE weka like na kama wewe ni YANGA weka like pia
@A-BEN-19985 ай бұрын
Harmonaze wewe ni bingwa kweri❤❤❤
@JloveOfficial5 ай бұрын
Namkubali harmonize lakin siikubali yanga hata kufa leo nipo tilear kuliko kuwa shabiki wa yanga
@bonifacehaule53705 ай бұрын
🐘 jeshiiiiiii
@kinthermedia2 ай бұрын
@@JloveOfficialpp
@mtwaziruta3903Ай бұрын
@@mashabikiwaharmonize mtashenyentwa mpaka kieleweke
@bravogidi36664 ай бұрын
Lot's of love from Kenya for Miamba wa Soka Young Africans .. mungu aibariki Yanga
@isacklungu5 ай бұрын
kuazia Leo nitakuwa shabiki wa harmonize what a song🔥🔥🔥
@JøzJosvas5 ай бұрын
Ili dude kweli.
@nsengiyumvajules26375 ай бұрын
Team ninayo ipenda ni Young Africa na Harmonize kanikubalisha zaidi. From +257
@sharomkalimani66905 ай бұрын
Kaaliiiiiiiiiii sana!!!...Yaani me Kutoka Kenya Lakn Naskia Kuishabikia Yanga Tayari🎉🎉
@Lyricskenya0015 ай бұрын
wa kwanza kutoka kenya nipeni likes banaa❤❤ tukisonga #harmonize
@AnthonyDenice5 ай бұрын
wa kwanza kutoka unganda nipeni like zanguuu🙌🙌🙌
@ReginaLubajaАй бұрын
Yaani kila tukishenyetwa😢nakuja kuangalia hii nyimbo Dah 😫 yanga yangu nakupenda hivyo hivyo 💛💛💛💛💛💛
@Ilhankhatibu27 күн бұрын
@@ReginaLubaja 😂😂😂😂
@ReginaLubaja24 күн бұрын
@Ilhankhatibu haichekeshi😒🥹
@hassanaliamin11045 ай бұрын
Mimi ni Simba official lakini nimeipenda hii nyimbo,,,tujuane wanasimba tulikuja TU hapa kwaajili ya hili goma
@PASCHALPETER-gp8ek5 ай бұрын
Wametoa nyimbo nyingi ila zote zimezimwa na ngoma 1 jeshi🔥🔥🔥🔥🔥
@churchillramsey29215 ай бұрын
From Kenya here🎉..Mucch love Konde Music..Yangaa!!
@aishabakari80405 ай бұрын
Tunao rudia jamni tujuwaneee 😂😂 🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️🔥
@israclassic57775 ай бұрын
Huyu mwamba anajua kuimba sio mchezo. Wimbo ni mkali balaa halafu hajatukana mtu wala kutaja timu nyingine kwa kejeli. Konde boy Harmonize nini umemeeee. Like za Konde boy hapa wanangu.
@fatimahants15265 ай бұрын
@@israclassic5777 bila kupinga song imepikwa
@matridaboniphace65575 ай бұрын
Tuliorudià mara mbili kusikiliza gonga likeeeeee yangaaaa 💛💛💛💛💛💛💛
@WhiteMediaKenya5 ай бұрын
Kenya tunekubali Yanga yote sote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dgochuibra5885 ай бұрын
mi simba ila uongo dhambi jamaaa kaimba vizur ,🔥🔥🔥🔥🔥
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Mimi apa ni mkongo 🇨🇩 nime geuka kuwa yanga kupia harmonize.
@BrayanKayanda-up1ym5 ай бұрын
Nimerudia zaidi ya mara kumi kuangalia hii ngoma kali sana aisee Konde Boy una kipaji kikubwa sana aisee
@FrancisMakome-zq7oh5 ай бұрын
mimi nimerudia 239
@ndiiyolazaro11255 ай бұрын
Wanaomkubali konde boy na Yanga ngonga like hap tujuane 💚💚💚💛💛💛
@fatimahants15265 ай бұрын
@@ndiiyolazaro1125 bonge la song
@ElastoElia-nb4xo5 ай бұрын
Umeua Mzee me nimnyama lakin hii ngoma ninoma 🙌
@isackhabel15595 ай бұрын
Huu wimbo ukiimbwa unasikia mwili unasisimka ni hatariii sanaaa ❤❤❤❤❤
@RayNittu5 ай бұрын
Ngoma imetulia kinoma kinoma.Harmonize umetisha.
@RosePetro-ck8pt5 ай бұрын
Konde boy,umetisha sana,utulivu mkubwa sana ktk hii ngoma nzur iyoooo
@imaculathamhagama74245 ай бұрын
Tulioamka na kuja kuutazama goma le2 ❤
@Zuchuofficial_988k5 ай бұрын
Nimefika mkongo wa Congo like zangu ajili ya harmonize tz❤😮🎉
@brianxenga22495 ай бұрын
kali sana jeshiiii 🔥 watching live from Nairobi Kenya 🇰🇪
@edwinemoit3904 ай бұрын
Aaaaaaah kumamake uvumilivu umenishinda huu wimbo mkali mtani
@wandoabenjamen70033 ай бұрын
Sawa ila punguza ukaliwa maneno
@robertchazya23515 ай бұрын
wimbo una motovate kupambana, big up
@JumaMigezo5 ай бұрын
Alie irudiaa kuiyangalia hii nyimbo zaidi ya mala moja kama mim aweke LIKE 💥
@DennisRonoh-s6l5 ай бұрын
Imeenda shule ❤.❤... Nairobi Kenya twakupenda
@mandelatitus85945 ай бұрын
Mimi mkenya lakini napenda huyu jamaa vile alieezea vile Yanga inasakata kambumbu... napendezwa... i love you guys Harmonize on fire🔥🔥🔥🔥
@MnasyBoy5 ай бұрын
Hii ngoma ni ya Moto konde unajua sio Siri bombo claaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peterchabaja27395 ай бұрын
Ivi jamaa ang izi nyimbo huwa ukila mibangi ndyo unatunga au mana dah...your a very pure talent Tena blessed from heaven...keep it up harmonize,,jeshiii
Mimi sio Yanga wala Simba ila bonge la wimbo🔥🔥🔥ka melody na lyrics sasa👌
@majariwabarasokoroza97015 ай бұрын
Mashabiki wa Yanga Australia waliyo piga dude hili siku nzima bila songs nyingine gonga likes hapa ❤😂
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Uhu wimbo kwangu ni kama dosi la dawa ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@IbrahimJuma-zs5jz5 ай бұрын
From Malawi I love yanga and I love harmonize following
@boazmwaitenya55035 ай бұрын
Daaah,! Yan konde kaua Kwa nyimbo💛💛💚💚🖤🫶
@japhetlewa11102 ай бұрын
Top notch!! Asikudanganye mtu ....hapa Konde Boy kagonga ndipo! Kazi safi sana!!!!
@GabistolsKaps5 ай бұрын
Zambians 🇿🇲 who love harmonize gather here
@JoynerReyson-cy6yd5 ай бұрын
Kwa hapa konde kaimba jamani Yanga ni timu kubwa na pia wasanii wake ni wa kubwa pia ukiona hivyo lazima UOGOPE Big up my brother Yanga Raha sana Mimi sihami Kwa kweli ❤❤❤❤
@fatimahants15265 ай бұрын
@@JoynerReyson-cy6yd good 👍 song ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@AliNyae-k4m3 ай бұрын
Mkali wao kondeboy
@AbdullahiIddi3 ай бұрын
Asante harmonize kwa kutuheshimisha wananchi
@lindiboy28125 ай бұрын
Bado wadau mpaka ipande no 1
@JereRobson5 ай бұрын
Konde bwoy never disappoints, sending love from Zambia
@vermskasama2233 ай бұрын
Love from Zambia 🇿🇲 ❤! Keep shining Cletus Chama
@ShottojumaNdakama5 ай бұрын
Shabiki wa Simba lakini kwa wasaniiii konde nakubari bosi wangu ❤️💕🥀🌹🌷🐘🔥🔥
@amisibilly50845 ай бұрын
Umeupiga mwingi saana hamo yani ndo nyimbo yangu ya party kwa sasa❤❤❤❤
@richardmaxwell39913 ай бұрын
Nimerudi tena ku comment, huyu jamaa ana andika bana, hii melody ni Priceless
@johnkay5377Ай бұрын
I love how harmonize is paraphrasing the line up so easy musically, this guy is very talented
@ChrismasKivunje5 ай бұрын
Mimi nisimba🦁🦁🦁 ila kwahili goma harmo sarut hakika umejuaaaaaa
@lazarojoseph75415 ай бұрын
Ww ni shabiki real sio shabiki maandazi
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Mimi sio mtanzania lakini kupitia uyu wimbo wa tembo harmonize nimekua shabiki number one wa yanga, mimi ni mkongo 🇨🇩🇨🇩 yanga bingwa 🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@karemiddy2 ай бұрын
Tulio ludi badala ya yanga kufungwa na azam tujuane kwa like ❤❤❤
@hindusullu3900Ай бұрын
Syo na azam tu mpk na tabora hahahaa😂😂😂😂
@clemencemarick32433 ай бұрын
Kma kuna mtu anaangalia hii ngoma baada ya Yanga kumfunga CBE 6-1 naomba like
@abdulhamidmachano4043 ай бұрын
6-0 Mzee
@OmarySaleh-m9k5 ай бұрын
Aisee hili jamaa linajua sanaaaa yn salute bro
@sahraabdallah7242Ай бұрын
Hii nyimbo naipenda sana ata tufungwe kila siku me bado naipenda sana
@mohd-f5tАй бұрын
Dah kama mimi
@JoyceFortunatus-r8vАй бұрын
Hata mm sihami yanga nayipenda sana
@SalomeMkosamala-m4i28 күн бұрын
Tupo wengiiii💚💚💚💚daimaaaaa
@azariadegiant5187Ай бұрын
Tuliokuja kuchungulia baada ya vipigo vya mbwa koko kwa yanga like hapa😂
@richardmaxwell39914 ай бұрын
Hii ngoma imeandikwa bana, imagine wachezaji 30+ na benchi la ufundi wote wametajwa...one of the best.. top melody
@JoelKahuya5 ай бұрын
Mm ni Simba ila harmonize jmn dah! Hongera kwa radha kali
@dickMassawe5 ай бұрын
Oy Wanayanga tuishushe komasava ikae hii Ngoma 1 on trend
@ismailnguno44717 күн бұрын
Mimi Simba ila hii ngoma kali sana.Well done.Beautiful song
@SelemaniWaziri-pm5sl7 күн бұрын
Kulikuwa Kuna haja gan ya kusema wewe simba 😂😂
@MorineRodgers5 күн бұрын
Hanga Inyo ilove❤ konde boy❤
@nellyephraim38325 ай бұрын
Ngoma kalii na usimba wangu nimeielewaa
@rajabually53725 ай бұрын
🎉🎉umetish mm ni yangaaaa
@hansonjosephat83445 ай бұрын
Semaaaaaaa Huyu Harmonize ni Motooooooo
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Harmonize naomba haki yangu, kwanini nakupenda kiasicho?❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BadoMartense5 ай бұрын
Ngoma nzuri aiseeee ❤
@hajidakalembo71382 ай бұрын
Leo tr3.11.2024 tujuane tulioangalia
@RoyKabaisa5 ай бұрын
Yanga bingwa love from Burundi
@twicedone2545 ай бұрын
Not a football fun but now am here because of Konde boy....wapi likes za yanga💯💯🥳🥳🥳
@johnmathew40515 ай бұрын
Umeshindikana 🙌🙌🙌 🎉🎉🎉
@TabithaJackson-vz8xi5 ай бұрын
Hakika umetisha wimbo mzuri sana Big up konde boy
@fatimahants15265 ай бұрын
Umetisha yanga Africans bingwa
@Nuru9568Ай бұрын
Tulokuja hapa baada ya vipigo viwili mfulullulizo😂😂😂tujuane
@MirajiMshamiАй бұрын
Mnyama kama Mnyama
@LadyMzana5 ай бұрын
Yanga team kubwa, Yanga taifa kubwa, Yanga hoyeeeeeeeeeeeeee, hongera sana #harmonize kwa nyimbo nzuri ya Yanga, big up @harmonize
@dickMassawe4 ай бұрын
Kama unarudia hii ngoma kila siku kama mim gonga like mwananchi
@kellyyobaibe40274 ай бұрын
Nimeuskiza mara 10000000000000 na bado sitoshekiiiiiii.... Huu wimbo nikama laana ... 🥳🥳🥳🥳🎉🎉
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Dungu zangu wa Tanzania 🇹🇿 mimi apa nimekuja tena kucheza pamoja na nyinyi wimbo tamu kama huu.❤❤❤ Harmonize umenivuta mpka mwisho.🇨🇩🇨🇩🫡🇹🇿🇹🇿🙏🩸
@joewapipeline5 ай бұрын
kenya tuko ndani bomboclaaaat
@omaryluambano34955 ай бұрын
Sisi ndo yangasc like apa kama tupo pamoja wananchi 💚💛💪
@angelinaomare30553 ай бұрын
Jamaa linajua hadi linapitiliza ❤ Wimbo mtamu hadi tunapagawa c poa😍😍😍 Aise MTUNZI PROMAX😘😘 Mkorofi sana kwa haya Maneno.
@EthanTz015 ай бұрын
Aliye rudia mara 20 hii ngoma ngonga like hapa chini tujuane
@brunobruntix5177Ай бұрын
Tuliorudi baada ya yanga kufungwa mabao matatu na Tabora gonga like
@JumanneAlly-i2iАй бұрын
😅😅😅😅😅😅😂😂😂
@JumanneAlly-i2iАй бұрын
Yaaan sjawaigi kuangalia huu wimbo Ila ilipofungwa nimeirudia
@AminaNjauАй бұрын
❤❤❤❤❤
@ARONPaul-bz3wsАй бұрын
nikooo apaaaa nasikilizaaaa kafungwajeeee🤣🤣🤣🤣
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Yanga 🔥🔥 Harmonize 🔥🔥 mashabiki pia 🔥🔥 mimi shabiki wa yanga kupia harmonize 🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Harmonize nalingaki yo mingi naza congolais ndeko ya fally ipupa 🦅 ❤❤❤
@juliusmsote14425 ай бұрын
Hii Chuma ni ya moto sana…unaweza kuwa wimbo wa Taifa aisee
@Beltoninashoni05 ай бұрын
kauuuuuuuuuuuuuuiiiwaaaaaaaaaàa Breva huyo Breva huyo kaitupa tena kwa dube
@sahraabdallah72422 ай бұрын
Kama umekuja baada ya kumpiga Simba kimoko 19/10/2023 weka like hapa tufurahie point3
@Moonlight-m7l4h2 ай бұрын
Hasa hapo kwa Chama kaitupa Max....
@Metrodesigns212 ай бұрын
Nimetoroka Simba juu ya Tembo. Mimi ni Yanga💯. Bomboklaaaaaaaat! KENYA