#DullySykes #BabyCandy #SlideDigital Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: Follow Dully Sykes on: / princedullysykes / dully_sykes Channel Administered by Slide Digital Instagram: / slidedigitaltz
Пікірлер
@hamisikandy268711 ай бұрын
its 2024 and you searched for this song
@samuelkundael35035 ай бұрын
Usitafute baby candy. Utafungwa bwana 😂
@ezradastan41672 ай бұрын
That's me 😂
@paulamushi8365Ай бұрын
❤❤❤
@YN_88Ай бұрын
me
@SaydAli-iy5pi10 ай бұрын
Kipindiiko mziki unathamani ata mtu mwenyehishmazake aliweza kusikiliza nahakugomba ddaah mziki nichombo chastarehe ilikua ila sio leo
@benedictozakaria7732Ай бұрын
Who's Tanzanian still listen this music on 2024 please geather here.
@batulyabdallah3430Ай бұрын
HERE I am
@Katesheila8 күн бұрын
I am a Kenyan and I searched for this song 🎉
@antoinebakevya89112 ай бұрын
Still playing hit in Sept 2024, who else is there? Good message in it
@johnnyakundi98362 ай бұрын
Tuko wengi
@LeilaSpembo Жыл бұрын
Bado nasoma hii nyimbo boy friend wang alikua akiniimbia hii nyimbo du maisha yanaenda kasii sana@@❤
@brunokk4554 Жыл бұрын
You know you are grown when you can relate...love from 254
@Drive1day5 ай бұрын
hii nyimbo na situation ya vitoto vya elfu mbili in match kabisa, kaka alioona mbali sana
@zuberitamimu12172 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SAMJIKASSIM2 ай бұрын
hahahahhahahaha
@simonhinda2303 Жыл бұрын
My favourite singer all the time 2023 nakuangalia
@PauloPhilipo-w7j Жыл бұрын
Dully with pancho latino dah noma sana hii kitu
@adembeza Жыл бұрын
I still get chills listening to this, I even called my gal back then Baby Candy. Still a banger. Love from Texas
@kingmhondela8 ай бұрын
Nihatari sana kitambo nakumbuka🔥🔥🔥
@Chesista10 ай бұрын
2024 still loving this
@mashakakitwana2824 Жыл бұрын
Rip pancho latino on the beat moja ya beat kali sana
@SAMJIKASSIM2 ай бұрын
hatari sana
@tajithecreator4119 ай бұрын
Dully the Mbuzi!!!
@polishedbyfrank1202 ай бұрын
Damn... Good old days... Kenya loved it
@emmanuelrichard67712 ай бұрын
2024 once again from south 🇿🇦
@arnoldferdinand486210 ай бұрын
Music is for a lifetime.
@marwa286211 ай бұрын
2024 Niko hapa. Always advice our younger girls do hurry for sexual relationship
@breymbasa345129 күн бұрын
yaani zamani wasanii walikuwa na love za kutosha kwa msanii mwenzao ona video nyingi za zamani Walishowlove sana ktk vichupa vya wenzao
@paulurio480223 күн бұрын
Walikuwa wanaham ya kuonekana kwenye kideo😂
@stanslausmteme84553 ай бұрын
R.I.P home boy Marehemu Pancho kazi nzuri sana ulifanya kwenye huu wimbo.
@patrickwanje64338 ай бұрын
Oyaa watoto wasome mapenzi baadae😂😂
@samsonkitomary5188 Жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa nomaa....siku hizi hata sijui kimetokea nn?
@youngreezy531013 күн бұрын
Dec 2024 🇰🇪
@NeilarChrome4 ай бұрын
This was my favourite song till now from high school 2008!!!!!
@sirryhmes52779 ай бұрын
You have saved my girlfriend bro be blessed 2024 listening.
@olvarmark30977 күн бұрын
BONGO FLEVA, YA KWETU PEKEE❤
@sawatimustapha48676 ай бұрын
Duly popo ulipo mimi nipo
@EddieTricksVlogs9 ай бұрын
This never get old.. it's 2024 and still vibing to this
@wazirimwanazuoni55679 ай бұрын
Among the best songs from Dully with brilliant advice to the school girls
@geraldirina2166 ай бұрын
Wee Dully lakini ni R.Kelly wa Tanzania 🇹🇿 😅😂 Yani hii 2024 ndio nimejua mtoto wa shule bro 😅🤣😂 anyway hii ngoma niliipenda sana now I have listened to the lyrics vizuri
@juliusabubakar22035 ай бұрын
Dull sykes is my favourite artist in East Africa. Them day's, he real hyped up the floor with this song ❤😅😅it was crazy and the hype was real 😂😂
@MubayaSelemani5 ай бұрын
Hii Ngoma ni Kali inanikumbusha inzi za kitambo aisee
@btboepapas69024 ай бұрын
Stivo ni msanii Wetu TANZANIA wenu ni diamond platinumz😊😊
@richardcastromzena51367 ай бұрын
Nilikua secondary nakumbuka foleni za mabasi kutoka shule huu wimbo unatoka mvua na shida ya daladala kurudi home From tegeta High school to Temeke best days of my life. What a song
@gerdmosler31803 ай бұрын
Tegeta High School💥💥
@Meira-v5v5 ай бұрын
Duuu hii song kitambo Sana
@Matalatala267.Ай бұрын
Hawa wasenge walikua wanaimba bhana aiseee achana na huu utopolo wa watoto wa 2000
@othumanmmbaga68468 ай бұрын
Old is gold 📌
@HidayaomarHidayaomar Жыл бұрын
Nakpenda sana hii ngoma
@DicksonJosiah-xb8xo18 күн бұрын
Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie) Umetoroka kwenu Umenifuata home Usiniponze Candy Rudi kwenu Dom Unataka tu-spend jigi, hug na rom U-study mapenzi yatazidi ka ya dili ya niko Kwa mwingine siendi We ni zaidi ya utamu Na ngoja ufike age Mpaka moya msimamu Itakuwa afadhali, rahisi kuja kwangu kwa room Pia uache tabia zako za kutaka kunywa sumu Nayafuta machozi Acha kulia Candy Nitakupa mapenzi Utapokuwa na age Takua upate umri wa ku-spend na mi Usije ukanifungisha nikashangaza jamii Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie) Sio kwamba sikupendi We bado mdogo sana Sikia baby Candy Mi nakupenda sana Nangoja ukue kwanza Twaweza kuoana Nataka niwe wa kwanza Kikombe kukivunja Wacha kulia sana Unanisononesha Mi nakusihi sana Pia nakukumbusha Rudi shuleni soma Kwani bado mapema Usije pata homa Kwa kuniwaza mama Hata rafiki zangu Watanitenga pia Na itakuwa kashfa kwangu Hata kwako pia dear Nadhani umenisikia Yote nilokwambia Wacha kulia lia Wacha kulia lia Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie) Baby Candy Si kwamba sikupendi Nangoja ukue, umalize shule Tuta-spend, tuta-spend Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie) Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie
@YusuphHassan-v5i2 ай бұрын
Madiluuuu hyoo watoto wa mkwaaa huseni, watoto wamakambi subi hatariii sound silver bullett😂😂😂
@ismailmshana2828 Жыл бұрын
Hii ngoma inanikumbusha mbali Safi Sana broo dulli
@MohamedKatama2 ай бұрын
Hizi enzi siwez zisahau ❤
@todolopatio3889 Жыл бұрын
This song made me crazy Dem days 😅
@YahyaLai-xz9bs2 ай бұрын
Hii ngoma Kuma make nili kuwa nataka kwenda kunya lakin mavi yenyewe yame Rudi tumboni kwa mdundo huu
@ShalifaJuma-c4u3 ай бұрын
Tu akuombaaaa tupo chini ya miguuu yako tunakuomba uirudie hiyoo nyimbo tena ili waisikie vizuriiii kaka
@trezomushegekwa-ub7pp Жыл бұрын
Hiiiii Ngoma imetulia sana
@LeilaSpembo Жыл бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana!!duly bdo nasoma nimekumbuka mbalii sana!! Pamojaa
@HalimaSalehe-k5e3 ай бұрын
Oy hil bonge la ngoma machizi ❤❤❤
@swabirsudi48593 ай бұрын
😢daah nyimbo za kitambo haziishi utamu yaani
@jumanamgugu23374 ай бұрын
Yanga kuvanowe waiyo, waiyoo dobidobi.....hatar sana much respect to konde boy
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Mshikaji alikuwa anatoa mawe aisee
@inesraguel8354 Жыл бұрын
My favorite ❤
@grasianmalango2040Ай бұрын
Dully nyimbo zake Sina tibu strees
@AbuuBakari-pe5lu7 күн бұрын
walokuja hap 2025 ebu chekwanza
@kgchippyКүн бұрын
😂😂😂
@dannizzle29674 ай бұрын
In 24" this is still a banger..guy was ahead of his time nostalgic memories
@MouzyClassic18 күн бұрын
Ww Dully ww..👉👏🙌 🔥
@BryanMushiАй бұрын
Ngoma bado inakita🎉🎉❤
@nathaliem34126 ай бұрын
Wa Congo , wa bongo , tanga mupo, kogoma oh yeah.
@geoffreyombuna31808 ай бұрын
I remember my girlfriend back then in highschool. Would always remind me of her whenever I listened to it tukienda home for holidays...Thank God we ended up together 😂
@RajyMussa4 ай бұрын
Wimbo bado unahiti mpaka sasa
@MohamedAbdirashid-ll6jo6 ай бұрын
Mkali wao
@ambroceharouna16128 ай бұрын
Bonge la meseji
@NeilarChrome4 ай бұрын
This song baby candy will never fade..ma y of diamond song has faded but this one no nooo way!!is a hit..dully love from Kenya
@randomvideos86785 ай бұрын
Piga Remix ya hii ngoma sahii tena....2024
@Chesco-official2 ай бұрын
Wangapi tumemuona chid benz
@Shaquille40373 ай бұрын
Jigi hug na love ❤️ sheeeeeesh 🔥 🙈 🤤
@GodfreyThomas-c2s Жыл бұрын
Bigap sana
@kuntalex001Ай бұрын
Still a vibe❤
@ShakilaKopa-h7h2 ай бұрын
Aa ! Jaman tuachen nipo kidato cha 2 huniambii kitu mkomboz 2003 iyo from hedaru
@PemberaChamanga4 ай бұрын
Hatareee sana🔥🔥🔥💚💛
@hamzakomba92522 ай бұрын
baby candy
@mukakathejoker650429 күн бұрын
Back for this
@ErickLuvisiaАй бұрын
Nov 2024 still a heat
@idrismaalim2254Ай бұрын
Legend
@wiladeson57308 ай бұрын
Legend dully syks 🔥🔥🔥
@paulettewinnie6 ай бұрын
This song 🥰🥰 i was stupid in love by then with a guy way much older than me and he used to sing this for me.... Memories 🤦♀️
@Tellaaxis6 ай бұрын
I'm watching it in 2024 ❤ #tellaaxistz
@Hamisipeke4 ай бұрын
Legend dully
@arafasultankhamis Жыл бұрын
❤
@precs_jones10 ай бұрын
🔥🔥
@odundoodundo12934 ай бұрын
moto August 2024
@Hussein-gx4qu5 ай бұрын
Kitambo sana
@Ebro4684 ай бұрын
Ujumbe UNAISHI naangalia 2024/08/09
@zuberitamimu12172 ай бұрын
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@DennisOdawo10 ай бұрын
😊
@YasinMsuya-pr3oq6 ай бұрын
yes
@samsonhenry38714 ай бұрын
Here in August 2024🔥
@NellyDibaling6 ай бұрын
Rest in peace baby kendi
@SigwaMkinga3 ай бұрын
Kumbe arikufa uyu demu
@NellyDibaling3 ай бұрын
Ee nimeishi nae dodoma alikua jirani yangu ana miaka Kama miwili kafariki
@stevenfumbi956611 ай бұрын
2024
@issahamis39745 ай бұрын
2024🔥🔥🔥🔥🔥
@meshackkyando5722Ай бұрын
Who still watching 2028
@lucychugi4797Ай бұрын
2028 tena😂😂
@salumscania90507 ай бұрын
Now
@agonysmartboy97752 жыл бұрын
Bro vipi tena mbona ngoma zakitambo au unatukumbushia