Kelvin pia unatisha sana kwenye maisha yaekishua unabamba sana mwanangu.big up .
@PeterChilumo26 күн бұрын
Loveness uko fiti sana put more effort all the way from kenya
@SosiSaeed-y6i2 ай бұрын
Loveness we love you so much we as your funs,hakika umesimamia wanawake wengi sana humu dunia, much love from kenya ❤❤❤❤❤❤
@DariaDario27 күн бұрын
Sura yako jikkama tabia yako nzuri mungu kakujalia hongera loveness
@JudithMwinuka-i7x2 ай бұрын
Loveness usiwe unajipodoa kabisa MUNGU alishakupodoa tayari vinginevyo haupendezi unaboa,, nakupenda sana actress wangu🎉🎉🎉
@AminataHababa2 ай бұрын
Love wewe uko sawa kabisa umependeza na kelvin na weka mekap uso unapendeza sana
@AminataHababa2 ай бұрын
Hogera na mtoto wa Boss umecheza poa na kelvin wako hogereni nyote
@AminataHababa2 ай бұрын
Ukweli muna pendezana wewe na kelvin tamthilia zina pendezana
@mariachengula51662 ай бұрын
Leo ,,Lavness hujajipodos sana .umependeza sanaaaa .nakupenda sana .kazi zako ninzuri unazitendea haki .ukifanya kazi ns kelven🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@AishaDiddi2 ай бұрын
Ila mfanye mpango muoane kelvin na love nes
@KelvinBless-p8wАй бұрын
Congratulations 👏👏 for you very fantastic and wonderful movies with you friend Kelvin hongera znah nimepata kitu kubwa znah natamani sana mcheze movie zingine ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Loveness nakupenda sana,unajua na unaweza,na una mvuto wa acting,naitwa joan nko kenya,congs kp it up,my advce remain humble n focused,n dont evr b proud or relax kikazi
@DamarisMutave-d2mАй бұрын
I really love you and your movie also,,you really touch my soul,,mpaka nasikia tew niact kama wewe
@FurahaChristine-g8w2 ай бұрын
Usi ongezake jipodowa yaani una furahisha sana kabisa 🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹
@Af64NАй бұрын
Kumbe hiyo sauti ndio yako basi uko na sauti nzuri sana loveness ww n mrembo sana tena ww nmsichana mwenye busara tena mwenye heshima zote ❤🎉🎉🎉
@CharlotteNiyitanga2 ай бұрын
Nakupenda sana loveness kazi zako ninzuri unazitendea nawew kelven naba penda sana❤❤❤❤❤
@EdnaMwashilo2 ай бұрын
Leo ujajipodoa umependeza hongera sana 5:05
@bahatiomar52972 ай бұрын
Hongera sana Loveless Nakupenda Bure Alafu pia fikira ZANGU nilikuwa uwe na Kelvin mnapendezana kiukwel ❤🎉Yadumu Daima🎉
@NatukundaJGeof2 ай бұрын
Wow thanks so much kutuletea uyu dada nampenda sna ❤❤
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Leo upo love nes yule tulomzoeya na kumpenda hongera mrembo wetu
@MarthaLenard23 күн бұрын
Nakubali love 🎉🎉🎉🎉🎉❤ mpend kelvin chaguo lako chombo ichooooo😂
Kelvi uyo ❤❤❤🎉labesi anasifi wawo ❤❤🎉🎉🎉kaka yake baudi ❤❤🎉
@JosianeMaombi22 күн бұрын
Kelovin na Lavunesi nawapenda sanaa❤❤❤❤bia movie zawo👍👍👍👍👍
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Hakika umefanya vizuri mdugu nipo saudiya Riyadh shabiki wenu
@bottosaidi10 күн бұрын
Pendeza sana lovenexx congratulations
@MamanEstherEsther2 ай бұрын
Wewe nibalaa kwa kazi zako unavutia sana Mungu akubari Sana 🎉🎉🎉❤❤
@VishalSingh-j3j2 ай бұрын
Beautiful girl,,,hongera sana love wa kelvin❤❤❤❤❤💖💗
@rosemwithui34962 ай бұрын
Binti mzuri nakupenda sana hongera
@MwaJuma-x3t2 ай бұрын
Daa love mashallah usipo jipodoa unapendeza😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
San
@denniskasyuko219420 күн бұрын
Nampenda huyu mrembo kwa kazi yake safi,,,nikianza episode yake moja lazima nimaliza hata kama ni mia.Pia tuelezewe kuhusu kina kendi,Victoria na wengine
@AllySalumu-x4w2 ай бұрын
Loveness we ni mrembo Sana usipojipodoa nakupenda Sana❤❤
@BARUTWANAYODéoАй бұрын
Naitwa kenzo Lee na naishi Burundi movie zenu nimezipenda Sana Ila yote juu ya lovenes pamoja na Kevin kiukweli wanaonyesha true love niwapenda Sana paka nikiona picha Zao tu lazima nifungue mungu awajalie Sana becouse munatufunza vingi kwenye maisha ya kawaida
@edwardkiptoo-r1y2 ай бұрын
So pretty love from Nakuru, am following your episodes every now and then thank you
@FadhilinaMwambashi-z3u2 ай бұрын
Nakupenda sana loveness ❤❤❤
@RoseRugimbanaАй бұрын
Hongera mdada mzuri unapendeza sana kiukweli kwe sanaa yako
@AshaSuleiman-p5z22 күн бұрын
Uko bombaaa❤❤❤❤❤
@ZainabuMasudally2 ай бұрын
Mashallha loveness wangu❤️❤️💕💕💕
@KudraEliasa2 ай бұрын
Umependeza San love uko poa San ingependeza San mngeoana ingependeza San mnapendezan san🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ nawapenda San wote jmn kelvin Yuko poa san
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Nimependa ur interview loveness,unajua sana kujibu qns kwa hekima ya juu,na pia lv noticed muonekano wako kwa movie na hali halisia is the same,thats good ur lucky coz its v rare,nime learn vitu vngi frm donta tv movies n pia Kiswahili sanifu ,mmi ni madam JOAN nko KENYA ❤
@OmariJuma-vs4mh2 ай бұрын
Hongera Sana mlemboo unafanya kazi nzuriy Sana ❤❤❤❤❤