Hongereni merry mgawe na Hadija Riame kwa sauti nzuri
@geazielemia95125 жыл бұрын
khadija Riami sauti yako imetulia kweli kweli
@salamasefu94345 жыл бұрын
VOA miko vyema sana
@manzekelemwanampenzi62395 жыл бұрын
Nafuta VOA hapa Butembo mashariki mwa congo
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
Asanteni sana VOA kwa habari za uhakika
@gabrieldenicc45025 жыл бұрын
Hasante sana VOA kwa habari ulimwenguni ,nikutoka Tanzania
@muyakinyonga71505 жыл бұрын
Well done ,,,, Sudan
@sultanmatata55425 жыл бұрын
Vivaaaaaa VOA
@wamalaibrahim18445 жыл бұрын
ongela sana wa Sudan kaskadhini ongela sana kufikia makubaliano musiwe vibalaka vya nchi za mangalibi
@jovindishon74665 жыл бұрын
Safi sauti ya amerika
@emilianpasiens79195 жыл бұрын
Michezo mashuleni,( huvumbua vipaji na kuvilea vipaji ) tutafanikiwa
@jackchina56695 жыл бұрын
Sasa dunia na wababe na maadui wenye kushow nguvu za majeshi yao sasa wamefyanta tukumbuke Washington uwa aina tamaduni za kufanya maonyesho ya kijeshi lakini dunia imejisahau na kuanza kuitunishia misuri marekani bila kufahau kuwa yeye ndie mbabe tena mwenye nguvu na siraha kali na za kisasa tena zenye technology ya hali ya juu kuliko taifa lolote dunia trump anawakumbusha mataifa kama 🇮🇷 Iran Korea kaskazini urusi na uchina kuwa msicheze na moto utawachoma
@francisedson9045 жыл бұрын
HONGERA AMERICA KWA MAONYESHO YAKIBABE JUU YA HAO WABABE WENGINE