DUUUH HUYU NI KIBOKO YA WACHAMBUZI AMWAGA TAKWIMU ZA HATARI ZA SIMBA NDANI YA AFRIKA

  Рет қаралды 34,886

Cawabe Sports

Cawabe Sports

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@ChukiDanyel
@ChukiDanyel Күн бұрын
❤❤bigp San isiisie kumpigia makifi au kumpa hongela ningependa makapuni ya ledio na tivi mumpe kazi afundishe wingine
@ezekielkabuyanja3385
@ezekielkabuyanja3385 6 күн бұрын
Kuna watu wanalipwa mshahara Kwa kazi wasioijua afu wataalam wapo kitaa,bigup Sana
@KangaMaluguru
@KangaMaluguru 7 күн бұрын
Jamaa yuko vizuri sana.Bigup
@CyprianBoniphace
@CyprianBoniphace 13 күн бұрын
Jamaa anajua sana kuchambua big up.
@NasraSaidi-l2h
@NasraSaidi-l2h 12 күн бұрын
Weee kaka kiboko umeeleweka hongera zako❤❤❤❤❤
@JoyceMasimba-z2v
@JoyceMasimba-z2v 6 күн бұрын
Bravo brother
@seifmbembe
@seifmbembe 10 күн бұрын
Huyu jamaa ukimuona kama bwege lkn anamadini mengi yakutosha hongera sana kijana
@NiceWisley
@NiceWisley 13 күн бұрын
Chambuzi la cuff 🔥🔥🔥
@manestie3044
@manestie3044 13 күн бұрын
Huyu ni hatari sana
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 3 күн бұрын
Ukitaka kujua mwamba yupo vizuri, ameichambua Simba na Yanga awamu zote amepigiwa makofi hakuna anayeonekana kuwa na wasiwasi naye
@AdamRashidi-n9g
@AdamRashidi-n9g 3 күн бұрын
Ww ni mwana soka mzuri bila kujali kuwa ww yanga huko vzry saana
@motosyokukulamsando
@motosyokukulamsando 18 күн бұрын
Nakukubali mwamba unajuwa sana
@godfreywilly639
@godfreywilly639 18 күн бұрын
Kuna watu wapo redioni wanabaki ze ze afu kuna wachumbuzi mtaa tuu
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 3 күн бұрын
Dube alisajiliwa kwa sababu ya kuifunga Simba mara nyingi
@NeemaAugustine-s6s
@NeemaAugustine-s6s 4 күн бұрын
serekal na washabiki soka imtazame huyo mwamba anaweza xan
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 6 күн бұрын
Zile redio zenye mavuvuzela eti wachambuzi Wamchukue huyu mwamba wampitishe kidogo kwenye utaalam wa studio kisha wampe airtime.
@josephisack8787
@josephisack8787 18 күн бұрын
Exactly jamaaa anajua kwel kwel .
@SaidMayunga
@SaidMayunga 13 күн бұрын
Anaitwa nani? Huyu jamaa yuko vzri sana
@PamelaHezron
@PamelaHezron 13 күн бұрын
Anajua Sana kuchambua.
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 3 күн бұрын
Upewe mauwayako umewazidi wachambuzi wengi wanaochambua kwenye redio mbali mbali.
@AlexOdasi
@AlexOdasi 17 күн бұрын
Inabd chagamba uanze kumhoji na uyu jamaa najua sana
@NasriNassor-c2z
@NasriNassor-c2z 17 күн бұрын
Huyu anajua uchambuzi sana hao wengine maredioni mafenesi et salama mchambuzi watu kama hawa muwajiri wataendeleza soka letu.kwanza ana ubaguzi wa uchambuzi.
@sangaelly8548
@sangaelly8548 3 күн бұрын
Daaaaa weeee dogo ulikuwa wapi?
@AyoubSanga-y8u
@AyoubSanga-y8u 14 күн бұрын
Big up mwamba
@AllyHozza
@AllyHozza 13 күн бұрын
Huyu alikuwa wapi mbona ni chambuzi za hatari sana anajua kiukweli
@mengisimulizi7577
@mengisimulizi7577 12 күн бұрын
Ebwana ninashida ya uyu jamaa anayemjua anipe namba
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 18 күн бұрын
Unajuwa kuchambuwa
@eliyaslosi9142
@eliyaslosi9142 18 күн бұрын
Chambusi languvu
@DanielMathias-c8w
@DanielMathias-c8w 18 күн бұрын
Nimekusoma mwamba
@chrismtitu799
@chrismtitu799 16 күн бұрын
Anachambua vzr sana.Anakielewa kile anachokichambua kiundan.Hakika anajua na anatoa haki ya kile mchezaj anacho.Tofaut kabisa na yule egemeo mchambuz wa Kutoka MBINGA😂😂😂.
@bukaone7507
@bukaone7507 12 күн бұрын
Uko vizuri mchambuzi
@AllyHozza
@AllyHozza 13 күн бұрын
Chambuzi la caf
@AlbertNgailo-l5k
@AlbertNgailo-l5k 18 күн бұрын
Safi mwamba waambie ukeeli
@ShemeijLosingo
@ShemeijLosingo 18 күн бұрын
Jamaa anajua
@EZEKIELYOHANANDOLOBA
@EZEKIELYOHANANDOLOBA 17 күн бұрын
Good sana jamaa
@aikaM74
@aikaM74 13 күн бұрын
Huyu jamaa daah anakichafua hatari.
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 17 күн бұрын
simba bado tunajenga timu 🤣🤣🤣
@KhalidKapala
@KhalidKapala 13 күн бұрын
😅😅😅 Bado Tunajengâ Timu
@ZalhaabdallahrubibiRubibi
@ZalhaabdallahrubibiRubibi 13 күн бұрын
Ukweli mtupu
@AziziSwalehe-zk9hx
@AziziSwalehe-zk9hx 9 күн бұрын
Simba inawekeza kikosi kipana asnte bro kw uchambuz wako wakupe kipind tu
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 14 күн бұрын
Wasani Pale Hatuna Wachambuzi wsmpila UONGOZI Wajue Siwamchukue Uyu Mtu Siyo Akina Dauda na Wale Wamchongo Wa Wasafi
@jumakitanda9183
@jumakitanda9183 13 күн бұрын
Hana unafiki dogo
@PabloDallas255
@PabloDallas255 14 күн бұрын
Simba tuendelee kujenga timu 😂
@sadamissa5687
@sadamissa5687 17 күн бұрын
😂😂mwamba anachambua bila kuweka maneno ya kingereza ili uonekane unajua 😂anajua sana
@SamwelLameck-rv3fd
@SamwelLameck-rv3fd 17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HarunaUrimwengu
@HarunaUrimwengu 14 күн бұрын
W jamaa unajua boli kak
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 13 күн бұрын
Kaka unaongea ukwer sana
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 17 күн бұрын
CDe!
@SaidHamoud-h9t
@SaidHamoud-h9t 11 күн бұрын
Midomo inaongea sana ingekuwa vizuli mkaacha midomo nakuingia nyinyi mcheza acheni ujinga kama hamna kazi za kufanya kuweni mashoga wajinga wewe na anaekuhoji
@DismasiDaniphodi
@DismasiDaniphodi 8 күн бұрын
ww n utopolo
@SaidiOmari-g3f
@SaidiOmari-g3f 18 күн бұрын
hujui ww dukinabuya kwani hujamuona kule Zambia mkana fu
@SaidMayunga
@SaidMayunga 13 күн бұрын
Anaitwa nani? Huyu jamaa yuko vzri sana
maithori karangu agitariria uria amenyire Evans niakua
33:38
Kururia tv
Рет қаралды 12 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
MSAIDIZI WA GEORDAVIE ACHEFUKWA | AMWAGA SIRI ZOTE | HUYU SIO MTU
17:17
GB 64 AMVAA CHRISTINA MWAGALA, ASEMA KAMDOMO KAMEMPONZA.
8:06
Mnyasa Media
Рет қаралды 16 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН