Kocha wa Yanga yuko sahihi wacheni kumsakama, semeni ukweli, Ligi ya Tanzania ni kweli thaifu sababu bodi ya ligi imeruhusu GSM kuzamini zaidi ya timu 6 kwenye ligi moja, yanga hapati upinzani kwenye mechi zote anazocheza na timu zilizo zaminiwa na GSM, Simba ikicheza na timu hizo hizo, wanapata upinzani mkubwa sana sababu wapinzani wa simba wana haidiwa pesa nyingi lakini simba inashinda kibishi. Endeleeni kujitekenya wenyewe na mcheke wenyewe sisi huko hatupo.
@evaristgamba42044 күн бұрын
Simba inawapinzan wengi nje na ndan ya uwanja Yanga wanatumia kila njia na mbinu kuidhoofisha simba lakin hawata waweza
@JamesPaul-o2h11 күн бұрын
Hayo ni majibu ya Simba kupata gemu zenye ushindani na yanga kupata urahisi kwa timu hizo hizo
@deejayfifty962610 күн бұрын
Gsm anaharibu ligi mechi za ligi zinakuwaga ngumu kwa simba tuu na cyo kwa yanga
@AnciscoKayombo11 күн бұрын
Vipi Utopolo
@sijaonamjungufinias48110 күн бұрын
Yanga wasipoacha ujanja ujanja wa kununua mechi za ndani hatafika popote kwa sababu hawapati ushindani halisi
@AllyMwinyi-rx8gr11 күн бұрын
Gsm Bila ya kuacha kudhamini vilabu vingi hawatoenda popote Kila siku watasubir point za Bure tu wakifika klabu bingwa mwisho makundi
@hassanabdala738310 күн бұрын
Yanga wamezoe kuachiiwa mechi GSM anazamini team 8
@sadikiabushehe9 күн бұрын
kocha kasema ukweli
@SaumuSaidi-z2v10 күн бұрын
Ligi inaharibiwa na gsm na injinia ni kuhonga timu ili simba ifunge
@balackaOmally8 күн бұрын
GSM anaalibu ligi ya Tanzania TFF inatakiwa wapingeswalaili lamdhamini mkuu watimu ya yanga kwendakudhamini vilabu vingine ilituipe thamani ligiyetu
@SalmaRashid-t9x9 күн бұрын
Sisi kila wakituwekea ahadi ndio tunapevuka kikubwa
@HassanSangu10 күн бұрын
kocha wa yanga mkweli ila kaongea kwakutumia d mbili ligi yetu aina ushindani timu zali yetu zina onga mechi kama iyo timu yake mzami wao kazamini timu kalibia nusu zatimu zaligi kwaiyo ukionana timu zenye malengo kama zile lazima wafeli nakama timu zauku zingekua yanga ingekua inapata ushindani wakweli engesema ugumu waligi
@sadikiabushehe9 күн бұрын
kocha wapili yanga kuizungumzia yanga na isitoshe tatizo yanga ukweli hawautaki mpaka kocha wakigeni kagundua mazaifu nimtu kafuatilia kwaumakini yanga ipo kama kampuni yenye matawi
@MathiasManeno10 күн бұрын
Hata Kama ni dhaifu kimemleta nini si angebaki kwenye ligi ngumu? Yeye aseme tu mbinu zake mbovu
@Amosmakuba-r2k11 күн бұрын
yanga imezamiwa na vitimu vingi gsm anadhamini
@sadikiabushehe9 күн бұрын
bora nyie mmeongea ukweli lakini wandishi wengi waongo kiukweli wandishi wengi hujuma tupu simba ikifanya vizuri wandishi wanaponda ukweli usemwe timu nane mtu mmoja kazamini ushindani utakuwa wapi
@ekimnkande287310 күн бұрын
Tatizo unaongeaje hadi ukishindwa
@SaumuSaidi-z2v10 күн бұрын
Usilinganishe mbingu na arizi
@SuleimanMuhammed-g7q8 күн бұрын
Km dhaifu tupe sababu tatu kuu tu
@erickprotace946311 күн бұрын
Mimi nauliza swali: kwanini simba ikiwa inacheza ligi kuu baadhi ya timu zinawekewa hela ili simba ifungwe tofauti na timu ya yanga haifanyiwi hivyo?..
@AlcherausMalinzi11 күн бұрын
Anayeweka hela Simba ifungwe ndo mdhamini wa Yanga na timu 8 za ligi.
@IsmailOmary-b8n10 күн бұрын
Simba inapambana kiukweli ila tizingine zinapambaniwa
@albertlaizer846410 күн бұрын
@@AlcherausMalinziakikà umesema kitu dingilai 👊👊
@allyhuyu189210 күн бұрын
Hicho ulichokiongea natamani kiendeee maana ndicho kinachoifanya simba kua imara sana maana hao wanaoahidiwa pesa hawajapatapo kushinda zaidi ya kulalamika pale wanapoikamia simbasc mpaka wanafanya madhambi langoni kwao wenyewe wakipigiwa penalt wanaanza kulalama lkn ni kitendo kinachoipa nguvu kubwa sana simba sc kupambana na changamoto zozote zinazotokea
@omarali-ut4do9 күн бұрын
Hiyo nd sabab Simba inkua strong cz inakamiwa n kupat matokeo sas wanaonyimw competition wanashnd nying n iktokea wakakamiw n waarab hawashnd mwisho kusingzia ligi dhaifu.
@EliasCosmas-qp6gn10 күн бұрын
Wamuache cocher jmn 🤣🤣 yeye karusha jiwe gizani watu hoooo Ligi Yetu sio hiv,"yako wapi msimusakame kias kateleza t.ff waweke mipaka ndani ya Ligi zetu wazamin wajiwekeze kwenye tim zetu ili Ligi ipate ushindani zaidi kinacho Kela nawaamzi njaa zina wapeleka humohumo isiwe tu Simba na yanga Tim zote ushindani uwepo GSM 6 mwakakundi🐸