Tulio vuka mwaka 2024 salama gonga like hapa kwa kum shukuru mungu 🙏
@DeeLover-gp7lx10 күн бұрын
Kuna washamba wanasema mondi alikosea kukusain WCB 😂oi we noma kaka🙌🙌
@NshomaSayi9 күн бұрын
tuliorudia zaid ya mara 2 kuangalia wimbo wa D voice tujuane🎉🎉🎉🎉
@MwambaClever10 күн бұрын
Licha ya uchawi was CCM na Mzee Popo Harmonize bado WCB wanatoa Hits...Mungu Mweema🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@D.voice-its10 күн бұрын
Oya weeeee heri nikaè single searching for money 💷 🎉🎉sijui kupenda 🎉🎉🎉🎉 like zangu hapa jamani
@DaudyKihwele8 күн бұрын
Kaka unabalaaaa
@MejaTz-pb8ur8 күн бұрын
kak hii nyimbo imegonga sana
@lakudamsh-tz5 күн бұрын
Aisee we nimtu na nusu🙌🙌
@ramaizungu85875 күн бұрын
Mwanangu katika tatu Bora za mapenzi khan na Mario uko ndani shikilia hapo hapo!!
@Kevomsafi-p9z5 күн бұрын
Nakutaka kenya mwamba
@JaybardWilbard10 күн бұрын
Oya wanangu like za d voice apa inyeshen jinsi gan tuna mkubali 🎉🎉
@badboyjephanie-uh3mz10 күн бұрын
Tunao mkubali d voice tujuane kwaku like hii comment
@MATIKO964010 күн бұрын
Nimeanza kukuelewa sasa you're very talented
@jozeejr889610 күн бұрын
Huu wimbo umekuja wakat muhimu nimeachana na demu wangu that is my favorite song😂😂
@MariamObote10 күн бұрын
Duuh
@RozzySparta-yo9hp10 күн бұрын
Kam tuishi na ww basii 🤣🤣
@MariamObote10 күн бұрын
@@RozzySparta-yo9hp kwann
@lightnesskelvin-kf3ef9 күн бұрын
Pole njoo kwang kipenzi
@MariamObote9 күн бұрын
@@lightnesskelvin-kf3ef 😁😁😁 shoga ata haya huna?, ww unae jitongozesha ndo tapeli wa mapenzi
@Duly69910 күн бұрын
Mzeee Hii ni hit song😂itafika mbali aise. MWaka umeanza ukiwaka❤
@kbl967710 күн бұрын
Kwa Wale walio angaliya huu wimbo zaidi ya Mara 3 tujuwane kwa kugonga like apa😂😂
@RozzySparta-yo9hp10 күн бұрын
Tuko hapa ma single 😂
@EmmanuelMlauzi-yc5bp4 күн бұрын
Here , I watch it more than thrice
@GadMitagato10 күн бұрын
Mimi wakwanza kuiona No. Munipe like zangu tujuwane numuwoneshe mapenzi d voic
@dr.mgungo142910 күн бұрын
Likes zinakupa ugali?
@blackdesigns20859 күн бұрын
@@dr.mgungo1429swali tamu sana hili😂
@GadMitagato9 күн бұрын
😢😢😢
@timothykaiza3272 күн бұрын
@@dr.mgungo1429😃😃😃 akajifunze kiswahili kwanza
@janetymatola66399 күн бұрын
Lovely umejarjbu kijana mashsiri safi tafuta pesa dogo mapenzi kwa sasa no no no tafuta pesa jenga nyumba bado mdogo sana X voce Mungu zkuskmamie ishallah❤❤❤
@LamaBJ-gm8ob8 күн бұрын
Lkn piaD voice Ka umesahu na kenya 🙏🙏🙏🙏🙏aiiina ile bado tunakupenda kama kijana wetu but iyo si sawa lkn kubuka kenya tu D Voice wwewe atari na mkuuu mondi ak 💯💯💯💯🤏❤❤❤
@PiscoPhiri9 күн бұрын
Wanainchi Burundi 🇧🇮 mko wapi washabiki wa D Voici na ma likes
@abdulkaym737410 күн бұрын
Niko hapa ku'represent wakenya wenzangu nkisema big up D voice unazidi kuupiga mwingi,,,
@britshgangonline12310 күн бұрын
Kweli diamond anaona mbali yani huyu d voic namuona simba mtupu ajaye
@emmanuelmduba35133 күн бұрын
Tangia nianze kumshabikia d voice sijawahi kupata like hata moja na Leo nimekuwa wa kwanza
@jbellhouse8966Күн бұрын
Pole
@mulangirakimerareaganstarbwoe10 күн бұрын
D Voice has got those postive vibes 🔥🔥🔥
@robertmigabe87217 күн бұрын
Dvoice saivi anaupiga mwingi mnooo yani namuona mbali mwaka huu 2025 nimeamua nitafute ela bola nibaki single nisake bingo Nikeshe studios nisake nyimbo
@hassankhamis738010 күн бұрын
Wcb 4 life Mondi aliona kipaji cha kijana iase kutoka singeli kua mtu mwengine big up Voice unajua ❤❤❤❤❤❤❤
@DekelvaSoujaboy-mb8ps9 күн бұрын
Na kukubali Sana my mwamba D_voice Ngoma kali Sana never disappoint from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥
@MOVIERECAPHD-sq7ph10 күн бұрын
duuh kubabakeee d voice ni hatar mzeee kitu NO
@kabandilwafariala609310 күн бұрын
Ladies and Gentlemen, the best artist from WCB is back .🇧🇮🇨🇩🇹🇿 🇰🇪 Tujuwane
@taleboychannel944810 күн бұрын
Verse zooote kali D voice hii umeuwa sna💪
@MabruckAmade10 күн бұрын
Very nice song .2po pamoja kwa Dvoice.from Moçambique
@lukadee7 күн бұрын
Kama unashindwa kuacha kuuskiza huu mziki, gonga like 🔥. So much love from 🇰🇪
@erickkahindi989810 күн бұрын
Jiniii❤❤❤🎉🎉nakubli nimengoja kwa hamu hilo goma
@StalonTeo-jb2td10 күн бұрын
ETY MIMI HUYO HATA MAPENZI YENYEWE SIYAWAZIIII. BORA NIBAKI SINGLE 🎉🎉🎉
@YoungChinno10 күн бұрын
Nomaaa
@YoungChinno10 күн бұрын
Sa hii
@WadadaWabuza10 күн бұрын
😂😂
@WadadaWabuza10 күн бұрын
Hela
@crevagwamppo633710 күн бұрын
bomba
@severinemziba622610 күн бұрын
Kwer WCB ni chuo cha musiki hapa bongo🎉🙌
@mohammedkidody561810 күн бұрын
Nimekuwa wa kwa D voice unajw sana❤🎉
@SepamaybeMsafii10 күн бұрын
Love from Burundi 🇧🇮 ❤️ 💕 💖
@mohamedfamau79710 күн бұрын
Loo loo tawa dogo langu🔥🔥💝💝 nĩ moto wa kuotea mbali yasha nikuta nayo ,tunaenda na wakati,,😎
@HappynessIsacka9 күн бұрын
Kaka ngoma Kali d voice hajawai kufeli
@Jibabatv10 күн бұрын
Huyu jamaa anajua sana ila shida jamaa hafunguki na kipaji chake!!🔥🔥🔥
@kinjeathuman23507 күн бұрын
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo Kali Tz........ Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 🫰
@Elia-dn1mx10 күн бұрын
Oshiiii!!!!! That's y chibuu 🔥 alikuchuku Lebo kubwaaa TZ unajua kk
@kissboydaga10 күн бұрын
Style nzuri broh❤ kwanziya ngoma mpaka mistari
@bravo_ke_9 күн бұрын
Kijana umeandika. Kwanza kwenye stanza tu. Mwanangu pata Love Kutoka Kenya🇰🇪 2025 uwe mwaka wako
@patrickSimtowe-v4i9 күн бұрын
Ngoma Kali bro umeuwa kinoma 💕💕💕
@SainabouSanneh-h5c4 күн бұрын
Am a Nigerian Tanks to prisy I love Tanzanian music
@prosperabison136810 күн бұрын
Jiwe juu ya jiwe hamna kupoa baba 🔥🔥
@KingManagertv-d5c10 күн бұрын
Mimi wa kwanza toka Congo
@boyyoshida38 күн бұрын
mwezako me jana nlipata nimegongewa na boss wa dem angu bora sasa nibaki single mapenzi sijui yana kizungu mkutu 😂😂 nakubali d voice nipeen like nipone jaman YOSH
@kongwiziibraah10 күн бұрын
wa kwanza kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍💰
@fundiseif109610 күн бұрын
No by dvoice Ginni ni balaa hii ni fungua mwaka 2025🔥🔥🔥🙌
@gibbstuvahtheegibbs75304 күн бұрын
Walahi mboso umeweza saana....kama unamkubali mboso nipeni likes apa ata 10
@TangaMashewa-qe8kk10 күн бұрын
Kubababake acheni ujinga wa kuomba like skilizeni nyimbo ndo muamue mnasemaje mnawekwa wote mnaoomba like hii ngoma fungua mwaka hatari mno SIMBA NDO ATAIYONDOA HII KWENYE TREND MPAKA MWEZI WA PILI MAFALA NYIE
@ShabaniKiza-u1e10 күн бұрын
Siowatu tu adi bata zimeshanga mwanaume kutembea kama zenyewe😂😂😂😂😂 D voice ni 🔥 🔥 🔥
@PanyaBuku4 күн бұрын
ivi mnao ombaga like huwa mnafanyia nn jaman mtufundishe na ss tusije tukawa tunapishana nagari la mshahara naomba mtuambie tujue
@AbdulMleke3 күн бұрын
Wasenge tu
@brian_imbaha10 күн бұрын
hii nayo noma sana 🔥
@WetchiKhams10 күн бұрын
Hello hello my Tanzania 🇹🇿🇹🇿 like kwa d voice 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@amour00729 күн бұрын
woooow what a blessing SONG from WCB to start a brand new year with ... nzembo ya kitoko makasiiiii
@MumTish10 күн бұрын
Jamani malavidavi Zii afathali ninywe soda nipate Raha😢😊 D voice ❤ Love ni tricky Sana 🇰🇪 kenyans gather here
@MuarabuTanga9 күн бұрын
Mimi ndio wakwanza kufolo nakulaike gonga like hapa
@benitokibwaa42518 күн бұрын
Kali sana mdogo wetu keep going boy
@joelHenriquemediMedi10 күн бұрын
Bora kubaki single 💔 From Mozambique 🇲🇿🔥🔥🔥
@officialzebaq10 күн бұрын
Katika nyimbo umecheza kama mondi nihii
@EricOfficial279 күн бұрын
Hit ❤nakubali sana d voice
@ZanlatShaa10 күн бұрын
d voice nakukubali kwanz ww somo wangu
@RamadhanNdune-k5q7 күн бұрын
D voice nakukubali sana ama vp jama like basi comment yangu
@daudimwanza9 күн бұрын
Lemmi see people from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mussamressa10 күн бұрын
Tunaomkubali d voice tugonge like nyingi hapa
@SwahibuKhatibu10 күн бұрын
D voice zidi kukaza buti kila siku tunaona mabadiliko mziki wako unakua
@ElizabethNyabu-q1x10 күн бұрын
Hata soda yenye ctak ni kaziiii2 Cna sura ya mapenziiiii