The Wait is Over My latest single #TukutaneMwakaniRemix featuring the incredible Mabantu and the sensational Masauti from Kenya is finally here! 🌍✨ 🎵 Experience the magic of East African vibes with this banger, now available on your favorite platforms: Audiomack: audiomack.com/aslam_tz/song/tukutane-mwakani-remix KZbin: kzbin.info/www/bejne/mJ7CZnqYrJ1sa6M Boomplay: www.boomplay.com/albums/103556887?srModel=COPYLINK&ffm=FFM_d9d0bc61d8374a6535c31a517b413ef8&srList=WEB Your support means the world to me! 🙏❤ Let me know your favorite part and share it with your friends. Together, we can take this to the top! 🚀 Thank you for being part of this journey. Let's keep spreading good vibes and great music! 🎶 #TukutaneMwakaniRemix #Mabantu #Masauti #EastAfricanMusic
@NattanMwalimuАй бұрын
Masauti ulikula nini kaka mbona unatishq sanaa io verse ni kubwa sanaaa
@OscarOmweriАй бұрын
promote this song ,,ni hit kali si chocha
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Nomaqw
@OfficialMasautiАй бұрын
Gusa Hii comment Kama unaamini we ni Tajiri ama Boss wa mwakani #TukutaneMwakani
@TarimboClassic254Ай бұрын
Oya Kenyan boy
@Assad254-Ай бұрын
Umetisha kinoma #tukutane Mwakani to the world 🎉🔥🔥🔥
@AslamtzАй бұрын
🙏🙏 My Brother
@YED-BАй бұрын
Naitwa Rich nafanya ma-intervie niki-gift wasee 😅
@PatoChinkuOfficialАй бұрын
International Artist Kenyan boy🔥🔥🤘
@StenoDeAlphaАй бұрын
Masauti kaimbaaa Sanaa umu walio mkubali like hapaaa
@KingKiddy-gi2kdАй бұрын
Wale wa masauti piga like hpa🎉
@JamesNailsTzJamesNailsTzАй бұрын
Kama unamkubal Masauti tujuane kwaku likę 👇
@sulexhtechnician7950Ай бұрын
Me ni mtanzaniaa ilaa masauti msanii toka kenya kanyoosha sana kama unaamini like ap❤❤
@pepsidaima5596Ай бұрын
Mwamba masauti from Kenya kaua sana 💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PrincedavidamusicАй бұрын
Kama unakubali 🇰🇪🇹🇿 combination weka Like hapa
@lazenbett5813Ай бұрын
Wakenya tunaproff hii kaa hit
@devistuva9931Ай бұрын
Masauti yule wa Kenya mchezo kaumaliza
@sharonjudy3390Ай бұрын
Kenyan boy
@BasuDeKingАй бұрын
Acha kulet ugomv wa yule mshenz wenu kweny wimbo wa ndug yetu
@HisMajesty64Ай бұрын
@@BasuDeKingkunani?
@CharlieAfrika-g2cАй бұрын
@@BasuDeKing Ndugu yako mbwa wewe
@michaelmunene853Ай бұрын
Msanii wetu WA mombasa huyo
@ART.2546Ай бұрын
Kenya 🎉 masauti mpe like😊
@Sean1877Ай бұрын
He is from Tanga Tz mother wa Mombasa
@newtohtvАй бұрын
❤❤❤some love for Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Nchi ya kasongo
@jayclassic_keАй бұрын
😂😂😂una ufala 😂
@public40tzАй бұрын
Masaut ameuwa Sanaa weka like apa
@RYDANNTIGERАй бұрын
Masauti kaka punguza sifa mbona umempoteza mwenye wimbo😂😂😂😂😂😂
@TonnyMaran-vx6mnАй бұрын
Masauti had the best verse
@SponsorBrand1306Ай бұрын
Aah wap😂
@RYDANNTIGERАй бұрын
@SponsorBrand1306 nakuambia
@Keytv254Ай бұрын
😂😂😂😂
@UltraLegend-p7oАй бұрын
Daaa Masauti ni next level🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 kauaaaaaaaaaa💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@KINGVANOMUSIQАй бұрын
Masauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NtongwatabiamozАй бұрын
Masauti umetisha kinoma by ntong wa Tabia MOZ
@AllyMaflavorАй бұрын
Masauti huja wai niagusha mzeee weweni 💪💪💪💪
@HilaryTz-c1h3 күн бұрын
Moto sana
@keyacindy171Ай бұрын
Kenyan boy on it again🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🔥❤️🔥❤️🔥❣️❣️
@BenBella254Ай бұрын
Mwakani nitatimiza malengo na haja zote za moyo wangu...INSHALLAH.
@jbellhouse8966Ай бұрын
Masauti banae!!….noma!!😝🔥
@NabiiAmohАй бұрын
Sweet feeling 🎉 Masauti!
@leakeypimps787618 күн бұрын
❤❤❤kenyan boy to the world✌✌✌💪💪💪😮
@Halima-b8wАй бұрын
Masauti bigup❤❤
@jayclassic_keАй бұрын
Masauti ni moto wa kuotea mbali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Robinn_TzАй бұрын
Unajua San brother
@shaltonbonface3423Ай бұрын
Masauti kauwaa ❤love from kenya❤
@HassaniNyamunga2 күн бұрын
45 maisha ya ukweli
@mishybeybАй бұрын
Masauti❤🔥
@lifeofsidimswahiliАй бұрын
Nyieeee masauti ana sauti! Nlikua naskiza wimbo huu huku nipo shughuli kidogo najiuliza huyo nani Big up kwa wimbo mzuri
@idrischichyАй бұрын
Kenyan boy the vocalist hakoseagi mzeebaba 🔥
@lazenbett5813Ай бұрын
Waleee wa Kenyan boy hapa yaaani Masauti joh✌️👍💯🔥Good sound and Vybz combination kazi safi @Aslam Tz
@captainnyotatv001Ай бұрын
Here because of my KenyanBoy #Masauti
@blackschooltvАй бұрын
Waliokuja kwaajili ya MABANTU tujuane ila Masauti Amia TZ
@isihacca28_Ай бұрын
My favorite song 🎉🎉🎉❤ hongera sana Aslam unapiga kazi sana Mungu akutangulie kwenye kazi zako
@OFFICIALMWARABU14 сағат бұрын
MASAUTI kauwa bana daaaa Kenya mko vizuli
@delvoh2543Ай бұрын
Masauti our own 🔥🔥🔥🔥
@AyorehАй бұрын
Am here for Masauti. Unyama ni mwingi, mwanangu kaua💯
@richieworldwaveАй бұрын
Masauti 🔥 Kenyan boy 🐅
@logo_071Ай бұрын
Tuonane mwakani inshaallah❤
@h.akarimАй бұрын
Kazi Kubwa ☝️ nipo DRC
@officialkally3572Ай бұрын
Kama upo kwenye group la aslam fan gusa like apa , na kama unataka kuaddiwa kwenye group la Aslam fans like apa❤
@YohanaMasanja-p3f25 күн бұрын
Umeuwaaaaaaa❤❤❤❤❤ nimeisikia regions kazi kalii tunaomba vdeo
@IslamNgalaАй бұрын
Masauti balaa nakusalut kaka ❤❤❤❤
@jayflevamusic3538Ай бұрын
Masautii verse on repeat mode🔥🔥 umetishaa sanaaa one love bro❤
@VakademyАй бұрын
Tukutane on trending kabla ya mwakani🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@harmonytv1520Ай бұрын
Dah! Masauti mchezo kaufunga huku🔥🔥🙌
@newcomerdarboiraura111Ай бұрын
Big Up saboso Kaka
@dennisMuoki10Ай бұрын
Masauti nailed it🇰🇪🇰🇪🇰🇪#001
@nelsonrunya4686Ай бұрын
At first i thought this song ni ya masauti, masauti kaitendea haki kweli✨️✨️
@ZulfaMnangaАй бұрын
❤❤❤❤unyamaa mwingi sanaaa
@N.y.o.t.aАй бұрын
Masautiiiii🔥🔥🔥
@yahyamumbar8574Ай бұрын
Good music..from you my boys....🎉🎉🎉🎉
@rayzonevic4041Ай бұрын
What a hit from Aslam...masauti umetuwakikisha kinoma
@rays_one1Ай бұрын
Masauti on tooop🔥🔥🔥💯💪
@cruxboy9Ай бұрын
Kenya wanfemsaport masaut wangekua mbal san
@ktgoodboymusiqАй бұрын
Waiting that part ya masauti💕💕💕
@flinchclassic1531Ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Masauti utakapoenda tuko na wewe hii Mombasa lazima uieshimishe001
@laxmajorАй бұрын
Aslm nomaaa sanaa 😍
@heis_ellysavageАй бұрын
💥🙌🏼🙌🏼
@tulungetulunge1309Ай бұрын
Kenya boy 🎉🎉🎉🎉number 1 artist ❤❤❤never disappoint 🔥
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicitАй бұрын
Ungemuengezea vanillah apo hiingoma ingepita na upepo
@samuelajumbo22 күн бұрын
uko fity bro
@BenmpoleАй бұрын
Kenyan bwoy on 💥💥kali Sana mwana
@Orgenenoire195Ай бұрын
Mwakani mimi najiona mbali sana
@masmokamkenya6037Ай бұрын
🔥🔥🔥💯✅
@bello255Ай бұрын
Familia kabisa umevuka baba🙌🙌🙌🙌🙌💣💥💣💥🛫🛫🛫🛫🛫🛫
@Alex-k2i1iАй бұрын
Kazi safi sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@B.O.T254Ай бұрын
Wapi likes za Kenyan boy Masauti❤❤🔥
@AkexLamek-vv1cvАй бұрын
Kutoka Congo Kinshasa namipenda sana❤️🇨🇩🇨🇩
@fannyboy_tz2062Ай бұрын
Masauti huu wimbo wako brooh🔥🔥🔥
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Noama
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Kauaaa
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Kituuuu
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Nomaa
@MselaMsafiiiMsafiiiАй бұрын
Nomaa
@alimasha7017Ай бұрын
Am here to represent masauti... ❤🎉🎉🎉🎉
@suleimancharoАй бұрын
Big up masauti
@Promoterstanley1Ай бұрын
Chuma hatari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀
@LASSY_TOPICАй бұрын
Kenyaaan boy🎉
@MasoudMatano-i2o15 күн бұрын
Big up BROTHERS ❤🎉
@mtbrain94Ай бұрын
Aslam huu mwaka umeumaliza vizuri, ❤❤❤❤ git love from Burundi
@LSBproduction.Ай бұрын
Remix moto sana
@ReopKe-q1wАй бұрын
Masauti killed it
@ChenchiKingАй бұрын
Masautiii Alifunika Mpak Mweny Wimboo Daah❤🎉
@JnrMwarabu-y5c25 күн бұрын
Hatari sana
@JnrMwarabu-y5cАй бұрын
Imeweeeeza 🔥🔥masauti✅💥
@ZulehaShabani-l6lАй бұрын
Okay
@majidiabdul3536Ай бұрын
Kenyan bway ❤❤❤🎉
@kevinkimoi3221Ай бұрын
Kenya boy kaua sana
@YohStickyАй бұрын
Got masauti one love from KENYA 🇰🇪
@floodboytzАй бұрын
Nouma 🎉 🎉
@RaisWaKitaa-od5cmАй бұрын
Kenyan Boy🔥🔥🔥
@prudencekim3911Ай бұрын
Vaibuuuuu🔥🔥🔥🔥
@VinsunL8Ай бұрын
Masautii 🔥
@imuh.Ай бұрын
🔥🔥🔥
@Pkselajeshi32Ай бұрын
Kenya boys🎉
@lareineminah1353Ай бұрын
Nimeota mwakani nimepata mpenzi nitadumu naye❤❤❤ mwakani unyonge si uweziiii
@arnoldeeofficial7059Ай бұрын
Kenyan Boy KONG💥
@KINGVANOMUSIQАй бұрын
Motooo
@Kimathi-p6nАй бұрын
Actually the best♥️
@Diamond_platinumztzАй бұрын
WCB has approved this
@BarnizeboyАй бұрын
💥💥💥🔥🔥
@LEEMSA_keАй бұрын
Masauti katoa kila kitu rohoniii…katuwakilishaaa bwaga like hapaaa