E-Report: ZUCHU amliza ANJELLA na zawadi ya gari, NANDY ajitetea kuhusu house girl wake

  Рет қаралды 11,748

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 4 ай бұрын
Nimependa Sanaa wanawake kushikanana na kushikana mkono zuchu nimekupenda bule sababu wanawake wengi Hua hawapendani Jambo kubwa sanaasa❤❤❤❤❤
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 4 ай бұрын
Kweli kabisa zuchu amefanya zote tulie, she's soo good
@SifaEmma
@SifaEmma 4 ай бұрын
Harmonize ni laana kwenye Taifa yetu💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aronboy1
@aronboy1 4 ай бұрын
Yaan majibu ya zuch wallah ni ya hekima ya dini %100 kabis c kwa sifa ❤❤❤ saf san
@josephvenus3259
@josephvenus3259 4 ай бұрын
Hii imeenda DUNIANI 🎉🎉🎉 Kwa ZUCHU. Na WANAWAKE inabidi mpendane Sana kama hivyo. 👍🤝🤝🤝
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 4 ай бұрын
I like Zu chu, she is brilliant and hardworking. Mwenyezi Mungu amfungulie milango ya kheri,
@mvmezerosamira3960
@mvmezerosamira3960 4 ай бұрын
Zuchu Allah azidi kukuinuwa kwa kuinuwa Angela ❤❤❤🎉🎉🎉
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 4 ай бұрын
ZUCHU IS SO GENIOUS AISE🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😢😢😢😢😢
@kadito-music
@kadito-music 4 ай бұрын
Brother sky nakupenda ju uko really kwenye ufafanuzi wa tukio❤.....@Zuchu pitia huku uchikuwe maua yako
@kadito-music
@kadito-music 4 ай бұрын
Zuchu niamini mimi mwenyezi Mungu fundi ameona hili jambo ❤
@ThomasGabriel-x1i
@ThomasGabriel-x1i 4 ай бұрын
Mungu ambariki zuchu sanaaaaa
@ZamdaMupfasoni
@ZamdaMupfasoni 4 ай бұрын
Inshaallah. Allah akupe kwenye umetowa tena na tena zuchu wangu ❤❤❤❤❤
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 ай бұрын
Mondi ameamua kumuita Konde Boy Broke kwa kupitia pisi yake. Zuu good job, you won hearts za watu wengi sana na umepata mashabiki wapya, na Anjella umefanya vizuri kuweka pride pembeni na kuwasilisha issue yako kwa Zuu, new car owner in town. Big move Girls 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@channyanjen9047
@channyanjen9047 4 ай бұрын
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Pole pia mtangazanyi mungu atakujaaliya sauti itazidi kuwa sawa pole cna
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Zuchu ana Imani cn mana yule dogo alie kuwa anaimba nyimbo zk kuzifatiza zuchu anamsaidia mpk Leo mm yule dogo Niko nae karibu tu
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 4 ай бұрын
Kweli kabisa zuchu kwa fanya kitu mpaka vinyweleo vyangu vimesimama unavyosimulia aisee mungu atampa zaidi ya alichotoa amiin
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 4 ай бұрын
nakubal braza Sky🔥🔥🔥
@josephatSwai
@josephatSwai 4 ай бұрын
Mm nimependa majibu Yako zuchuu
@SandraMwanajuma
@SandraMwanajuma 4 ай бұрын
Mimi ndo nimenza kumkubali Zuchu saa hii coz she is a good heart ❤️❤️❤️
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 4 ай бұрын
Mi pia hapa Nimemuona zuchu kafanya kitu kikubwa sana kuliko hata zile tunzo zake
@jeanpierrekwizera6400
@jeanpierrekwizera6400 4 ай бұрын
Big up sana Sky , ❤❤❤
@mamy8220
@mamy8220 4 ай бұрын
Zuchu roho safi namupenda sana ❤❤
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 4 ай бұрын
E report ni noma gonga like hap
@Said_Abdul
@Said_Abdul 4 ай бұрын
Wcb wasafi 4 ever..❤❤
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 4 ай бұрын
Bro nakubari sana umekua mbunifu sana mbaka sio poa❤❤
@christophekyandaza1113
@christophekyandaza1113 4 ай бұрын
Je suis congolais mais nakukubali sana ❤❤❤
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 4 ай бұрын
Diva pia kazi nzuri aliyo ifanya kumpambania Anjela mpaka Zuchu akaingia line 🎉❤
@trendz_2548
@trendz_2548 4 ай бұрын
God bless Zuchu abundantly 😥😥😥😥😥.Amefanya kitu kikubwa sana. Love tokea Kenya. Akikaka me binafsi nitaendelea kumsupport katika mziki wake kwa kustream ili afanikiwe zaidi
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 4 ай бұрын
Zuchu mwenyezimungu ndie atakulipa dada ulicho kifanya sikidogo
@zidaneibrahimbizimana814
@zidaneibrahimbizimana814 4 ай бұрын
Nenga anawakaa sanaa
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
Sns brother Sky...❤❤🎉🎉
@moviesreview101
@moviesreview101 4 ай бұрын
Law of business
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 4 ай бұрын
Safi sana
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 4 ай бұрын
Jambojema, sirahisi kwawengi kuwana moyohuo
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 ай бұрын
Kwa wasanii ni Daimond tu ndo huwa hapangiwi cha kufanya na mashabiki;;;;;waliobaki ote wanasubiri stata tu wawashe
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Yaani huyu Zuchu is an angel!! Na hii ndio itamuinua huyu Zuchu hata hataamini!!!
@MaulidMtaji-mc5fr
@MaulidMtaji-mc5fr 4 ай бұрын
Zuchu endelea na moyo wako uwo uwo
@neemambaza7319
@neemambaza7319 4 ай бұрын
Mungu akubaliki sanaa zuchi
@IsaacParuz
@IsaacParuz 4 ай бұрын
Thanks God sauti yako ishakaa sawa brother. Chai ya tangawizi kila siku, maji ya karafuu, kutafna karafuu, kumeza punje za vinguu swaumu baada ya kula, maji ya rimao, juice ya chungwa nk visikose kwako na Watangazaji wenzako ni kimoja wapo kati ya hivo mnaweza kuwa mnabadirisha...all the best
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 4 ай бұрын
Mashaallah
@Koffian.254
@Koffian.254 4 ай бұрын
It's not a crown my brother its a subaru
@cirondereyeaslam1293
@cirondereyeaslam1293 4 ай бұрын
Like zangu kuwa wakwanza
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI 4 ай бұрын
Watu wa mjini kwa misifa
@pamanyango8917
@pamanyango8917 4 ай бұрын
Good work sky 👏
@rebecaisrael1125
@rebecaisrael1125 4 ай бұрын
Dada unakili sana❤
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 4 ай бұрын
Ila wa nigeria nao🤫🤫🤫
@sifatiiman
@sifatiiman 4 ай бұрын
Hamna kitu hapo mtawadanganya hao hao😂😂
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Wana ijeriya wana msimamo na ss msaanii akileta ujinga tumfanyie hvyo hvyo 😂😂😂
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 4 ай бұрын
Hiyo sauti Kuna siku nilikufananisha sana
@jeremiahevodius925
@jeremiahevodius925 4 ай бұрын
Wanaija wako na misimamo na vya kwao awataki upuhuzi kivizalau vya kwao wakikupa heshima wape heshima
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 4 ай бұрын
Cute children
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 ай бұрын
Heee naona ss hv bellinas anaongea sauti km ya diamond hee ajabu😂
@samuelpolepoleruhegeza8139
@samuelpolepoleruhegeza8139 4 ай бұрын
Angela sio mdogo wake ya zuchu bali ni mjukuu wake😂😂😂😂😂😂 Diamond babu yake kamtuma mke wake aje ampatiye gari
@mdbosco1640
@mdbosco1640 4 ай бұрын
Pole namafuwa
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo 4 ай бұрын
👍👌❤️
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭💕💗💕💗💗
@WannyFuraha
@WannyFuraha 4 ай бұрын
Busara Niki paji
@shishgal2274
@shishgal2274 4 ай бұрын
❤❤❤
@frankmushi509
@frankmushi509 4 ай бұрын
Kuna kolabo na rayvanny
@eddyevarist2593
@eddyevarist2593 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jeremiahevodius925
@jeremiahevodius925 4 ай бұрын
Ni jambo zuli sana alicho fanya zuchu japo mnasema ajafaidika chochote ila kafaidika na kupata atenshen pia kupata kolabo na kuna vitu kibao ambavyo amevilenga yeye sis atuwezi kuviona
@jeremiahevodius925
@jeremiahevodius925 4 ай бұрын
Bilnas alivyo utazani mlinzi wa nandy
@nishgold4160
@nishgold4160 4 ай бұрын
Kipindi kitam
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 1,3 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН