MWIJAKU ammwagia sifa ZUCHU, amchana BABA LEVO, asafiri kwenda US ‘Nitamuomba MANGE arudi nyumbani’

  Рет қаралды 22,086

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 15 күн бұрын
Zuch Anakubalika Mpk Mwijaku Zuch Hongera Zuch 💯❤❤❤
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 16 күн бұрын
Mtoto wa kislam unatamani vi2 vya kidunia nilitegemea utasema unatamani kwenda Hijja
@bauchiza3382
@bauchiza3382 16 күн бұрын
Haya proud to be amefika
@MelanyMelany-ep4bw
@MelanyMelany-ep4bw 16 күн бұрын
Km hujui alishaenda hijja basi ina maana humfatilii mwijaku😊
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 16 күн бұрын
Huyu pamoja na bahati alizonazo kupitia ubarozi anaopata hana akili ni mropokaji anajisifia sana masifa ya kijinga
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 16 күн бұрын
Iwe taasisi au mtu binafsi ukitoa kitu kwanini ufatilia kwani alikuwa hafiki kazini ?
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 16 күн бұрын
​@@MelanyMelany-ep4bwalienda umra wala c hijja
@Marioarsenal
@Marioarsenal 16 күн бұрын
Tulioangalia mpaka mwisho like apa
@boubabizo246
@boubabizo246 16 күн бұрын
Naskilia huruma huyu😂mwanamkee kwa kweli.. ivi huwa nadanganywa marangapi kwa siku😂?
@aishaaisha9876
@aishaaisha9876 16 күн бұрын
Masifa nimengi sana brother 😂😂😂
@user-cb2us2nu2m
@user-cb2us2nu2m 16 күн бұрын
MKE WA MWIJAKU ANAKIBALI CHAKE KWA MOLA WAKE KWAMAANA MWANAMKE KUMVUMILIA MWIJAKU SIO RAISI KWAKWELI
@ankalmzito254
@ankalmzito254 16 күн бұрын
😂😂😂eti baba levo anafyatua mapua kwa redio
@husseinmushi
@husseinmushi 16 күн бұрын
Sio kweli Baba Levo amekosa Visa kwa sababu aliwahi kufungwa
@mlekwa
@mlekwa 15 күн бұрын
Oya bwana mm hata mkinitukana Kwenda marekani kazi sana😅😅
@fadhilisafari6403
@fadhilisafari6403 15 күн бұрын
Nmeangalia hii vedeo nzima ,, wueee Likes za wakenya banaa😂😂
@nemhinamsuya
@nemhinamsuya 16 күн бұрын
MKE WAKE ANATAMAN KUCHEKA,SEMA ANAJIKAZA.
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 16 күн бұрын
Acha Roho msaidie mwenzio ana familia
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 16 күн бұрын
Mke mzuri anahela mpole alafu anatako og😂
@AbediMananga
@AbediMananga 16 күн бұрын
Uyu mama ao mke wa mwijaku anavumiliya mengi
@IOSARBX
@IOSARBX 16 күн бұрын
Simulizi Na Sauti, I loved this video so much, I had to hit the like button!
@patricemacky1164
@patricemacky1164 16 күн бұрын
Ule ujinga wako wa chaina wa kugusa gusa watu hovyo upunguze hapa usa usije kupigwa risasi bure.
@leonidamachuru5960
@leonidamachuru5960 14 күн бұрын
zuchuu lazima atachwe ndio tutazame zuchuuuuuuuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-rh2ex3dy1z
@user-rh2ex3dy1z 16 күн бұрын
Jamani uyu kaka mi naona kusoma alikosoma elimu haijamsaidia chochote kazi yake ni kuongelea habari za watu sio kufanya kazi zake anazopewa za ubarozi Hakuna mwanaume mbeeya km huyu Shangingi wa kiume du Kesho Kwa Allah atakiona
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 16 күн бұрын
Wala hajasoma
@minaeli5989
@minaeli5989 16 күн бұрын
Nyoo eti elimu yake hamsaidii wee mtu mpaka mama anamtaja mwijaku mwanangu yupo sasa wee ni nani umkatae kwa tariff yako mwenzio elimu imemsaidie amejua technic ya kuitumia elimu yake
@minaeli5989
@minaeli5989 16 күн бұрын
​​@@BarbaraPatience-qt9cceti hajasoma roho mbaya itakuuwa ikuwa rais anajua elimu yake wee ni nani umkatae mwenzio anaingiza pesa
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 16 күн бұрын
​@@minaeli5989 duuh umejkakamua hvyo kumtetea mwijaku hahaha haya bhna
@ChireGriffin
@ChireGriffin 15 күн бұрын
Ndo wanafunzi wa kitanzania
@JeremiaKasambala-d2s
@JeremiaKasambala-d2s 16 күн бұрын
Mwanamke aliyeolewa na mwijaku sijui inakuwaje yani anaweza vipi kuishi na kiumbe hiki
@thequeenawifeofking8518
@thequeenawifeofking8518 10 күн бұрын
Pasua kichwa ila kumbuka mungu anakupa wa kufanana nae😅
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 9 күн бұрын
Toka kuzaliwa mpk leo cjawahi kuona mtu mjinga kama huyu
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 16 күн бұрын
Ataenda na daimondi usa 😂
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 16 күн бұрын
Apo anajisifu uislam ajataja ata makka
@Mumewangu
@Mumewangu 15 күн бұрын
Ameshakwenda makka
@SuperkarimBenzema-o1h
@SuperkarimBenzema-o1h 14 күн бұрын
Makka ni sehemu ya ibada na ibada inataka nia.
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 16 күн бұрын
We mwongo
@kuringemartin1203
@kuringemartin1203 16 күн бұрын
Mwijaku: nataka nikaone trump alipopigwa risasi Mke: 😒
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 15 күн бұрын
😂😂😂😂
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 16 күн бұрын
Kigoma ni Mkoa wa kwanza kwa umasikini Tanzania!
@Mumewangu
@Mumewangu 15 күн бұрын
Lakin sio masikini kama wewe
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 15 күн бұрын
Na ndio mkoa wenye watu wenye akili nyingi sana kwasababu ya uwepo wa chumvi ya uvinza.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 15 күн бұрын
Baba levo mkubwa sana kuliko wewe mwijaku
@AhmedyMahmudu
@AhmedyMahmudu 16 күн бұрын
Malawi hawaongei kiingereza bana
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 15 күн бұрын
Mke WA mwijaku ana akili sana kuliko mwijaku
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 16 күн бұрын
Yani waandishi wa habari wanachukua mda kuckiliza ujinga na comedy ya kipuuz
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 16 күн бұрын
Imagine
@Mumewangu
@Mumewangu 15 күн бұрын
Acha wivu
@realramjen3270
@realramjen3270 15 күн бұрын
Ungekwenda na b levo ba ingekuwa poa
@Siriwanjehapamusic
@Siriwanjehapamusic 16 күн бұрын
Shooobo tu 😊
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign 15 күн бұрын
Attention mwijaku mais siya wai kukwelewa na kama unekuwaka muntu gani weule masikini tuh auko na kitu pauvre vraiment comme les autres chawa baba levo il est Boss parmis vous les chawa , tu mourra pauvre monsieur essayer de créé un atreprise privé.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 16 күн бұрын
Sasa Kama gari alipewa anapangiwaje Kama alipewa
@giftgasper6501
@giftgasper6501 15 күн бұрын
Wewe hovyo sana akili kisodaw
@hsometz5356
@hsometz5356 15 күн бұрын
Mke wa mwijaku baada ya kuskia jamaa anaenda alipopigwa trump risasi😂😂😂😂
@Eliabennet
@Eliabennet 15 күн бұрын
Kuna vitu jamaa anadanganya nauli milioni kumi ehehe 😂😂
@AbediMananga
@AbediMananga 16 күн бұрын
Mwijaku ivi ni mwananume ao
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 15 күн бұрын
Mondi ashaenda sana leo wewe ndio wajisifu?
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 15 күн бұрын
Wamekuchunguza wamejua wewe wazimu tu😂😂
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 16 күн бұрын
Kwa kuongea hatari 😂😂😂
@happynkya9770
@happynkya9770 15 күн бұрын
Huyu bwege anapendaga kujilinganisha na mondi jaman
@ThomasGabriel-x1i
@ThomasGabriel-x1i 16 күн бұрын
Hana heshima kwa konde hana heshima kwa alikiba Sasa silent ocean inahusika vipi Na alikiba na konde Jamani mwijaku akili hamna
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 16 күн бұрын
Mwenzio ana familia inamtegemea usimnyime Ridhiki mwenzio
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 16 күн бұрын
Aaaa anaongeaa tu baba Levo amekaa jela na vizaa ya marekeni kama umekajaaa jelaa ni ngumuuu ukweli hasemi kwasababu ni rafiki yake hawezi kumsema vibaya
@Robinson24560
@Robinson24560 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa hivyo we si chawa sawa DC endelea kuheshimu tembo mwenyewe hana mbele wala nyuma
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 16 күн бұрын
Simulizi hiini ujinga
@ericfelician7996
@ericfelician7996 15 күн бұрын
😅😅😅
@marceljohnkimaty4986
@marceljohnkimaty4986 16 күн бұрын
Yaani mke wake anacheka tuu
@DJDAPHERTZ
@DJDAPHERTZ 15 күн бұрын
hahaha mtu wa maana kabisa
@ChireGriffin
@ChireGriffin 15 күн бұрын
Acha uongo.....,.wengi wamefungwa na wameenda... useless
@AbediMananga
@AbediMananga 16 күн бұрын
Unatiya ata kinyaa
@JacksonBayyo-uo3eg
@JacksonBayyo-uo3eg 16 күн бұрын
Mbona anaomba omba tena
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН