Wakati mwingine tulete kwenye kipindi watu ambao wana critical thinking.
@JacksonMhali-c2t5 күн бұрын
Jamaa ni mjinga sana pointless 😊
@ObadiahLickson5 күн бұрын
Jinga kubwa Hilo
@ernestkashunja15145 күн бұрын
Huna sifa za kuwa kiongozi, unaakili mgando sijui nani alikupa huo wenyekiti😢😢😢😢
@GuidoLadislaus6 күн бұрын
Wenyewe hatuwataki maana kwanza chama chenu ni mfu
@MwakaHappy6 күн бұрын
Hata cc hatuwataki
@tumainimwaifunga38845 күн бұрын
Sasa nacho kibasema ni chama sasa,
@TM-zs3rm6 күн бұрын
Huna sifa.
@davidpallangyo1146 күн бұрын
Hivi kuondoa CCC,CHADEMA,ACT WAZALENDO na CUF hivyo vyama vingine ambavyo ambavyo tangu vianzishwe miaka zaidi ya 10 iliyopita na havijawahi kupata Mbunge hata mmoja,kwa nini isitungwe sheria ya aidha kuvifutia usajili au viungane kuunda chama kimoja chama kimoja? Kusema tuna vyama 11 wakati 7 kati ya hivyo havina hata mwenyekiti wa mtaa ni kuwaada Watanzania.
@andrewkitema98385 күн бұрын
Kibaya zaidi vyama hivyo hivyo linapokuja kwenye suala kutoa kauli ya maamuzi, kuunga mkono au kutokuunga mkono eti vyama hivyo kauli au maamuzi yao yatambulika. Na kichefuchefu zaidi hawajawahi kutoa kauli ya kuwa kinyume na chama tawala.