BRAVO MAMA TIBAIJUKA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@MickeEdwardМинут бұрын
One of treasure we as Tanzanian supposed to be proud of is Mama Tibaijuka She is very good person and mindful one, she must be preserved
@fridaernestmkedege900Сағат бұрын
Ahsante mama.. yaani hiyo ya kutokuripwa kwa wakati ni tatizo
@WiselightOfficial5 сағат бұрын
Niliisubilia kwa ham namshauri mama prof anna chukua fomu gombea urais hata wakujitegemea ❤
@OptionsLimited-l4sСағат бұрын
Mama u deserves to be a president 😮😮😮
@geofreybalyobalyo45386 сағат бұрын
kila la kheri charles..hongera sana
@georgebajuty75497 сағат бұрын
Huyu mama ana akili sana she deserves to be a professor
@wadeelegbogun30154 сағат бұрын
Ni nprofes
@wadeelegbogun30154 сағат бұрын
Nampenda sana
@andrewmaiga433110 минут бұрын
Asante sana mama, tumebakia na wewe tu uliye mkweli ktk nchi hii. Sasa tumebaki na machawa tu.
@davisedward4904 сағат бұрын
Watu waovu wanamtandao wa kulinda uovu wao. Asante Mama
@WiselightOfficial2 сағат бұрын
Hii tumeinote
@simonsadala2386Сағат бұрын
Ukiwa mwandishi wa habari unatakiwa uwe unajua kila kituuu, sheria, siasa, miundo mbinu, udaktari, mazingira, hali ya hewa, Engineer, Dini, mmmmmh hongera Charles
@Goofyplayz-fj3ce49 минут бұрын
Unatakiwa uwe na kitu kinaitwa Basic Degree. Maana yake ni degree ya kwanza. Ina maana umesoma kitu kinaitwa Research Methods ambacho Kila kozi chuo Kukuu ipo,, kwa hiyo una general knowledge , unajua namna ya ku kuuliza na kifuatilia mambo logically, na unapenda kusoma mambo mbalimbali na kuyaelewa ( kumbuka basic degree). Shida kizazi Cha siku hizi wapo shallow sana!
@shalomchaula44206 сағат бұрын
Mama anaongea uku anapiga misumali ya kichwa Aachi mtu viongozi msumali vijana msumali ila kiukweli uyu mama umesema Kwa ukubwa
@songombingo1086 сағат бұрын
Mama Msomi lakini naye alikuwa kwenye mfumo uleule wa kula pesa tu😂😂
@STEVENKAJUMBA2 сағат бұрын
Kwenye baya uwezi kosa zuri ata kdogo .
@stn4873Сағат бұрын
KELELE NYINGI SI KWASABABU HAYUPO KWENYE MFUMO😅😅😅, WAKIWAGA NJE YA MFUMO AKILI ZINAWARUDI.
@OswardKabasa-p9yСағат бұрын
Ansante sana charls kutuletea profesa
@imanisangawe64597 сағат бұрын
Chars mimi mfatiliaji wako mzuri naomba upandishe na ile ya alie kuwa mbunge (bwege) kuna watu hatuja pata fursa ya kuiona... appreciate one on one....
@DINASSOUR5 сағат бұрын
Abadilishe viti ..haviko komfotabo kwa Kila mtu
@erastobatonymwakilulele77449 минут бұрын
Prof yupo vizuri, asikilizwe ana hoja..nyingi
@salaita282946 минут бұрын
Charles unaakili nyingi sana
@tahirnephessalum36786 сағат бұрын
Moja ya interview yenye madini meengi
@RobertAlfred-l6g6 сағат бұрын
Uzurii ni mama alfu prof, anaakili kagonga misumalii na hamtajii mtu😅🙌😎
@SMEDIA2982 сағат бұрын
Huyu Mama ndio kiongozi
@salaita282936 минут бұрын
Huyu mama anapaswa kuishi maisha marefu sana ni hazina kubwa ya taifa
@rithaurassa3 сағат бұрын
Mama Tibaijuka usiogope kuitwa bibi wakati unapigania haki.usogope maneno hata kwenye kanga yako.vijana wengi wanadharao kwa vile uko vizur kutetea.UZEE KILA MTU ATAPITIA WASIONE WAO NI WAJANJA.NA VIJANA WENGI WANA WIVU WAKIONA MZEE ANA CHEO.TUKO PAMOJA MAMA.❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉TUNAKUPENDA SANA.
Charles 😂😂😂😂 kichwa chako kinachaj sana kaka honger upo vizur
@martinkihumbeСағат бұрын
Charles you 're the best
@evelina96216 сағат бұрын
Tùmeona. Nyerere.asante.mama.tibajukà
@shabanmdee5883 сағат бұрын
Charles one day tuletee Prof. Assad (CAG Mstaafu).
@richardkimori5008Сағат бұрын
Yaaah yaah kweli
@PlusErick8 сағат бұрын
Tibaijuka msomi 😂😂
@DenisMatemu2 сағат бұрын
41.45 Unasema❤
@shalomchaula44206 сағат бұрын
Kaka Charles ujue ndugu yangu nimecheka na wew unaondoka na dose yako hapo ila unafanya maojiano ya kiwango Cha juu ....ila ukiweza nambie sirini msumali upo iliingia penyewe 😂😂I 😂
@hastomatumla50177 сағат бұрын
Mama kichwa kimejaa madini
@HamisiKitalika6 сағат бұрын
Sasa ivi ila wakati akiwa waziri akili alizifungia kwenye begi lake la uprofesor akabakia na akili za kayumba,alivyotoka kwenye mfumo akarudia kuzichukua akili zake naona sasa ivi anazitumia vzr sana
@wadeelegbogun30154 сағат бұрын
Kweli kabisa
@issamustafa15656 сағат бұрын
Mama anaongea uyo😅😅
@meshackzegezege98935 сағат бұрын
Swali la mwisho la uchokozi 😂😂😂😂
@wadeelegbogun30154 сағат бұрын
Nampenda sanaa huyu mama tibajuka
@pearsonmwemezi34056 сағат бұрын
Trustee ordinance...
@bongoklan2745 сағат бұрын
Wachezaji wa mpira watatu wamepewa uraia wa Tanzania, eti kwa sababu kuna uwezekano wakachezea timu ya Taifa ya Tanzania. Mchezaji anapewa uraia kwa kuchezea timu ya Taifa kwa miaka 3-4, lakini mtu aliyezaliwa Tanzania akachukua uraia wa nchi nyingine, ananyang’anywa uraia wa Tanzania… kuna akili kweli hapa??!! Hao wachezaji pamoja na kuwa watanzania, bado wanaendelea kuwa raia wa nchi zao .. maana nchi zao zinaruhusu uraia pacha.
@Abraham_official-34 сағат бұрын
Kichwa sna huyu mwamba Charles
@bigtv42044 сағат бұрын
41:05 🙄🙄🙄🙄
@JacquelineFabian-v4h3 сағат бұрын
Muandish wewe na mama TIBAIJUKA mna collaborat moja nzuri kweny mahojiano Kama sikosei ulishawahi kumuhoji huko nyuma ilaaa hi yaleo nzuri
@kwezisimon22 сағат бұрын
😂😂😂 Mama bhana ety kifo Cha mende
@salaita282926 минут бұрын
Mwanasiasa muadilifu kusurvive ni ngumu sana hii nimemuelewa,kama sio mizengwe utauawa
@BoBo-kg1me5 сағат бұрын
Kwenye city planning CCM wamechemka
@salaita282927 минут бұрын
Dah kweli watenda maovu wanamtandao wa kulinda maovu yao,kweli hela inatokakr benki kuu pasipo gavana kujua waziri wala mwingine yeyote bali waziri wa ardhi
@abrahamuisrael61613 сағат бұрын
Huyu si ndo alisema HELA YA MBOGA,,ebu watz tuwe na kumbukumbu,, naona wtz wengi tuna mihemko sana
@visionstudios68047 минут бұрын
Mavi ya kale hayanuki 😊
@EurotrixEurotrixsals6 сағат бұрын
😂😂😂eti kama linyangumi
@salaita282915 минут бұрын
Mama anaonekana anamkubari sana huyu charles anaona akili zimekutana
@DENDEGOABDUL5 сағат бұрын
👍👍👍👍
@Manambagarage15 минут бұрын
Mama awe mgombea kule kwa TL tu yuko vizuri kwa data
@bigtv42044 сағат бұрын
52:19😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stn4873Сағат бұрын
KUMBE WAKIWAGA NJE YA MFUMO AKILI ZINAWARUDI.
@barakabusima5 сағат бұрын
😂 Tibaijuka anakabia jujuu raha ya kuwa msomi
@theoriginals324031 минут бұрын
Jamani vitabu viwaandike Hawa watu 😢
@theoriginals324022 минут бұрын
Huyu chaz yaan hata hasomi maswali yake na anamsikiliza mama Hadi amalize ndio aulize Tena.. asee sio poa
@AbdullahAhmed-t7p6l6 сағат бұрын
Hakuna nchi lnaweza endelea bila technology kuuza rasilimali zote kwa wazungu sio solution
@peterjovit73426 сағат бұрын
Nondo za maana
@lelooelectronics5 минут бұрын
Hakika huyu ni Prof
@lailafakhihaji18 минут бұрын
Professor ningependa kujua mwalimu alikuja na watu ambao walimsaidia mpaka akafikia kwenda kuomba uhuru WETU kama akina John rupia na wazee wale wa tabora na wale wa Tanga na bagamoyo tungependa kujua vizuri kwani mwalimu alikuja masikini wapo matajiri waliomsimamia tunataka kujua zaidi
@BujuGas-p1v2 сағат бұрын
Chaz
@emmanuelShayo-dk6vf47 минут бұрын
Mama mbona unamadin sana kuliko hata ...basi nitasema badae
@wadeelegbogun30154 сағат бұрын
Balozi pole pole alitufungua macho
@eddypesha83177 сағат бұрын
Tunaomba ya bwege
@theoriginals324010 минут бұрын
Huyu Sasa ndio alitakuwa kua rai ase
@khalifeamani77422 сағат бұрын
Yani mkitoka madarakani mnakuwa malaika mkiwa mwenye madaraka hamuongei hayo mnayo ongea
@MiriamAziz-z5tСағат бұрын
HUMJUI PROF. TIBAIJUKA....ALIKUWA MKWELI KWA MARAIS WOTE....ALIWAKOSOA NA KUWASHAURI KWA HESHIMA (NA SIRI)!
@mzamilyginga73217 сағат бұрын
Interview ya mbunge bwege mbona hamjaiweka jaman
@ishrak31127 сағат бұрын
Uhuru wa tanganyika ww bwege
@Pedeshee01Сағат бұрын
Sisi vijana wa hovyo tunawaza utelezi wa shangazi tu.
@DenisMatemu2 сағат бұрын
mama yangu alimuuliza salama umeshafika brazili😂😂
@johanesgeorge7777 сағат бұрын
Hahhahahaha sawa Mama
@OmmywiseOfficial7 сағат бұрын
Ila Charles mda mwingne amsikilize mtu vizuri sometimes anataman kusema mengi ye anakatisha kwa swali jingine
@sirajially5766 сағат бұрын
Nakuunga mkono kwa hili. Anapaswa kuboresha eneo hilo.
@godfreylutengano93675 сағат бұрын
Ati aliekula pilau amekula, aliekula ugali amekula, wote mnalala, duh kwel ukubwa dawa
@shalomchaula44206 сағат бұрын
Kuna mtu kacheka dk36 na sekunde 11
@samwelalphonce63267 сағат бұрын
Interview y bwege ipandisheni wazee
@mazagazagaonlinetv97757 сағат бұрын
Haaass
@AbdullahAhmed-t7p6l6 сағат бұрын
When wasira Broughty propaganda we reject such lie is oldman wasira should leasen tibaijuka has brought into mtanzania public reality not wasira
@jimmymnuano71656 сағат бұрын
Bwana mtangazaji asikuongopee kabila lake la Kihaya ndiyo lilofanya watu wasiowe hao Wahaya kila sehemu wanajuza enzii hiyo Shiling 5 Tano tu mtu unajiibuwa kila sehemu hawakosi kwani uyo si igweee unavua nguo unataka kulala ? Unaletewa baseni na maji kwenye kopo
@MiriamAziz-z5tСағат бұрын
MALEZI....MALEZI...HUKULELEWA!
@jimmymnuano7165Сағат бұрын
@@MiriamAziz-z5t Nani hajalelewa angekuwa vipi bila ya malezi
@richardkimori5008Сағат бұрын
Nyerere alishangaa mpaka leo hii mnazungumza Ukabila na sasa ni zaidi ya miaka 30 toka atoe kauli hyo bado kuna ubongo wa namna hii
@athumanitanu26635 сағат бұрын
Why always you….
@willenmtafungwa192047 минут бұрын
🤣🤣
@MohamedShaksi2 сағат бұрын
Tatizo ujaomba msamaha wa Tz kwa wizi. Jizi halina nafasi kwa maskini.
@MiriamAziz-z5tСағат бұрын
HUMJUI MAMA TIBAIJUKA.....!
@Pedeshee01Сағат бұрын
@@MiriamAziz-z5tsisi vijana wa hovyo tunatamani utelezi kwa mshangazi