Hivi vyama havijafikia kuwekeana ukomo wa madaraka,vinahitaji ua ngalifu Sana la sivyo kunasiku wataingiza funza
@aloycemisigalo3983Ай бұрын
Naamini kama Mbowe atalazimisha kutawala kama mwenyekiti basi ujue chadema imefika mwisho ila kama mh. Mbowe atakubali kuachia naamini chadema itakuwa imara kuliko sasa, misimamo ya mh. Mbowe na mh. Lisu ni tofaut. Lisu kwanza ndio mambo mengine yaendelee.
@davidsimbeye1548Ай бұрын
Mapambano anayoyazungumzia Lisu siyo dhidi ya Mbowe, bali ni dhidi ya CCM, kwa sababu anaamini kwa hali iliyojitokeza katika chaguzi za hivi karibuni yaani 2019, 2020, na 2025, lazima chama kibadilishe aproch Lisu anataka kiendeshwe kiharakati zaidi wakati Mbowe anaamini katika upinzani wenye busara zaidi