KWA JICHO LA SIASA CCM WANAMUHITAJI ZAIDI MBOWE | MBOWE AKISHINDA LISSU ATABAKI CHADEMA?

  Рет қаралды 3,888

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@abel_esam
@abel_esam 2 сағат бұрын
Huyu dada anahitaji kujifunza zaidi kuhoji watu maana hana ustahimivu. Let the man talk
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 3 сағат бұрын
Huyo dada anajiona ana akili kumbe mjinga tu. Kwa nini ufanye interruptions kwa wenzio?
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 2 сағат бұрын
Huyu kijana ni mchambuzi mzuri sana sana.
@paulinuspeter825
@paulinuspeter825 2 сағат бұрын
Huyu dada upeo mdogo
@tumpaleabelmwamakula9814
@tumpaleabelmwamakula9814 41 минут бұрын
Mdada wa hovyo sana
@nyambwirobakari9436
@nyambwirobakari9436 3 сағат бұрын
Mjadala mzuri tatizo ni huyo Dada, hatoi nafasi kwa wenzake
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 сағат бұрын
Dada wa ovyo kabisa! Ata uwezo wa kufikiri mdogo
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 2 сағат бұрын
Dada tulia ujui siasa bana usidakie sana tunasiliza point jibu swali lisuu ni mzuri lkn Hana mihemko hafai anataka kwenda Kwa zito kabwe
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Сағат бұрын
Wewe sio Chadema Lisu anafaa kua Mwenyekiti
@AboubakarRashid
@AboubakarRashid 2 сағат бұрын
Huyu jamaa alovaa shat ya manjano anafaa kuwa mchambuz tena yuko vzur
@samsonpaschal5044
@samsonpaschal5044 Сағат бұрын
kufanya kitu hicho hicho kila siku bila matokeo ni insanity- Ngozi nyeupe husema. Kwa sasa inatakiwa namna nyingine ya kutatua changamoto zetu. Hizo busara za Mbowe nimekuwa na zero results.
@AberiChares
@AberiChares Сағат бұрын
Kwa Tanzania ya CCM lisu anafaa
@eatlawe
@eatlawe 2 сағат бұрын
Kwa mazingira ya sasa tunahitaji mtu mwenye mwono mpya! Miaka 20 ya uongozi wa sasa haujaweza kuleta mageuzi ila upinzani kukandamizwa na kutegemea rehema za serikali! When one strategy fails, you change your strategy of keep on expecting the same results!
@AmonBalegele
@AmonBalegele Сағат бұрын
Nimefrahi mnachambuavizuri tenakuhusu Boniyai hanauelewa wa siasa hasakauli aliyoongea imeniuzisana kuhusu lisu
@DavidPeterKaguluKagulu
@DavidPeterKaguluKagulu Сағат бұрын
Huyu dada ni mweupe kichwani
@SauliBasso
@SauliBasso Сағат бұрын
Huyu demu hatulii anaruka ruka kama anadinywa🙄🙄🙄
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 42 минут бұрын
Umeooona hakijatulia kabisa
@RichardWambura-w9o
@RichardWambura-w9o 55 минут бұрын
Huyu dada uwezo wake wa kudadavua mambo ni mdogo sana
@ChrianusKamuganga
@ChrianusKamuganga Сағат бұрын
Huyu kaka mchambuzi mzr sana
@vellenahfuraha6254
@vellenahfuraha6254 Минут бұрын
Ni mawimbi ya mshituko.
@gabrielmahala9848
@gabrielmahala9848 2 сағат бұрын
Kaka nakuelewa sana, risu anahitajika sana kwa siasa sasa
@webstersinje7712
@webstersinje7712 59 минут бұрын
Dada jau kweli, mjadala mzito halafu mnaujadili kitoto....Kunta...Kinte.
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 3 сағат бұрын
Huyu dada mbona kama haereweki
@maase2023
@maase2023 58 минут бұрын
Ccm haiogopi mbowe wala lissu acheni kujidanganya
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 46 минут бұрын
Wamekutuma
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 21 минут бұрын
Wote wanafaa mbowe amekalia kiti amekibeba chama vizuli, na lisu naamini akiwa mwenyekiti atafaa sana 2 kwakuwa wote ni wachapa kazi twende tukapige kazi
@nicrodrigo
@nicrodrigo Сағат бұрын
Watembee na upepo kama Lissu anao wampe M/kiti na Mbowe awe makamu. Kumbukeni mfano wa Russia ikihakikisha inasimama jinsi Dmitry Medvedev na Vladimir Putin walivo badilishana bila kujali nani alishakuwa bosi wa nani.
@Zaynabahmed-ey4zu
@Zaynabahmed-ey4zu Сағат бұрын
Vyama vya upinzani kuna kiongozi alisema nanukuu, tuko Tatar kuuwa. Tushinde uchaguzi alafu tutatubu kwa mungu, viongozi wenye kauli hizi hatuwataki ccm oye
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 58 минут бұрын
Haupo sawa
@Seifkassimmkumba
@Seifkassimmkumba Сағат бұрын
Ukitaka kupambana na ccm ya sasa ahuitaji busala.
@JosephChrisant
@JosephChrisant 2 сағат бұрын
Tatizo lenu hamjui tabia za hawa watu wawili. Lissu anaweza kukaa Chadema bila cheo chochote. Lakini pia mfahamu hii game kitakacho fuata ni kugawana maeneo ya kugombea atakashindwa nafasi ya uenyekiti ndiye atakaye gombea Urais 2025.
@WilliamMchele-kg7yo
@WilliamMchele-kg7yo 2 сағат бұрын
siasa za tanzani je zinsmhitaji mbowe au Lissu,,na je kenya ingekuuwa tanzania ingemhitaji nani katika upinzani lisu au mbowe
@josephmarenge497
@josephmarenge497 Сағат бұрын
Huyo dada mtoeni hapo
@Niika870
@Niika870 2 сағат бұрын
Ukioa haka kajitu umeoa msumari wa moto😂😂😂
@mwalimurobsontarimo7491
@mwalimurobsontarimo7491 2 сағат бұрын
Mpandisheni cheo huyo dada ana akili sanaaa😢
@bakaribuma640
@bakaribuma640 10 минут бұрын
Uyo dada mpelekeni katika kipindi cha uwooooooondo
@DoraNyandamba7078-ef2rz
@DoraNyandamba7078-ef2rz 3 минут бұрын
Mbowe baba wanafiki ni wengi wanatakt kuleta maneno ili mpasuko uwe chadema wakom.eshe kwa kumwachia k
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 Сағат бұрын
Huyu dada anaharibu mjadala
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 21 минут бұрын
Huyu dada hawez kusikiliza mtu anaongea hajui kuhoji
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 55 минут бұрын
Huyu jamaa mwenye shati la njano ni kichwa anajua vitu vingi,huyo dada hajui chochote
@Crarens
@Crarens Сағат бұрын
Dada hunamawazo upo 0
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Сағат бұрын
Haka kadada mmekatoa wapi mbona kanaonekana kuharibu mjadala kwa kujifanya kanajua kumbe hakaelewi mambo makubwa
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 2 сағат бұрын
Dada mbona unafanya sana spinning kaka Yuko sawa sana anautulivu wandani
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 2 сағат бұрын
Dada tulia bas ndio kipind Cha mjadala lkn tunataka hoja za siasa utafute point ziandike ulize maswali makubwa Mana ww ndo muongozaj lkn tunakupenda
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 3 сағат бұрын
Ukweli ni kwamba hata watu waseme nn.Lisu akiwa mwenyekiti atawachachafya sana wapinzani wake kuliko Mbowe. Yaani iko hivyo.
@wisekingtony6370
@wisekingtony6370 2 сағат бұрын
Dada ukiwa mwendesha kipindi acha wataalamu wachambue mada, huwezi kuendesha debate afu uwe mchangiaji , and don't be arrogant and rude , very poor approach towards your fellow , #ChangeYourAlttitude
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Сағат бұрын
Wewe mwanamke umetumwa na c
@mossessimon2493
@mossessimon2493 2 сағат бұрын
Huyo dada mbona ni kiazi halafu ana kuhele Hele!!!
@festomartin8635
@festomartin8635 3 сағат бұрын
Lissu anautakaje uenyekiti wa chadema katika namna yoyote? Mwandishi unatutafakarisha sanaa
@nicholouswaryoba1474
@nicholouswaryoba1474 2 сағат бұрын
Huyu dada anaonhea ongea tu
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 сағат бұрын
Nothing happen if lisu loose
@bahatielias6443
@bahatielias6443 3 сағат бұрын
Vidada kama hivi hata kwenye ndoa havitoboagi
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 сағат бұрын
Ww dada kaa kimya hujui kitu unapoteza busara za huyo jamaa
@mpendamema3694
@mpendamema3694 17 сағат бұрын
izi media zimekuwa ⚠️😂😂
@Zaynabahmed-ey4zu
@Zaynabahmed-ey4zu Сағат бұрын
No,35 unasahau lowasa alipata kura ngapi? Unafikiri kazi nzuri aliyofanya kunnadi lowasa hukuona? Ulitaka afanye nn uone mbowe kafanya? Tuachieni mbowe wetu
@YustaAlois
@YustaAlois 3 сағат бұрын
Kweli tatizo ni huyo dada hapishi wenzie waongee anakatiza wenzie katikati ya mjadala.
@bahatielias6443
@bahatielias6443 3 сағат бұрын
Hata kwenye ndoa unakuta yupo hivo hivo,mume wake anaongea na kenyewe bila kumsikiliza kanaingilia Kila mda
@jumakimungu4756
@jumakimungu4756 3 сағат бұрын
Dada jifunze kusikiliza basi, mtu anataka akujibu ushadakia utapataje kujua mawazo ya mtu
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 3 сағат бұрын
Nikimuoa huyu Binti,,ndoa haitoboi miezi 6
@festomartin8635
@festomartin8635 3 сағат бұрын
Huyu dada ni mharibifu, kiherehere, hana subira, mchangiaji alokosa simile, wape muda wenzio wachangie
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 54 минут бұрын
Huu dada nyumbu
@andrewassey5108
@andrewassey5108 3 сағат бұрын
Wewe dada huna busara pia mwache mwanasiasa atufundishe
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 2 сағат бұрын
Wewe dada ni chawa wa CCM
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 сағат бұрын
Yaan wewe nihewa unataka wote waongee kitu kimoja unavhotaka wewe huna akili
@Arish-x3b
@Arish-x3b 2 сағат бұрын
Huyu dada ni mwehu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 сағат бұрын
Wewe mi chadema unataka wote wampende lisu haiwezekani mbona?
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Сағат бұрын
Ichi kidada kumbe kichawi kinauliza swali alafu kinakataa majibu ya swali kilichouliza!! Majibu mazuri zana ya bwana kaka sema kidada ndo kijingakijinga2
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 2 сағат бұрын
Kwenye suala la busara na hekima lazima tuseme kweli Freeman Mbowe apewe maua yake, lissu hovyo hovyo tu.
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 сағат бұрын
Lisu Msaliti
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 118 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
TUNDU LISSU AANIKA MADUDU YA CHADEMA
9:25
Wasafi Media
Рет қаралды 15 М.
Новости дня | 13 декабря - вечерний выпуск
11:50
Euronews по-русски
Рет қаралды 72 М.
КОГДА СИЛЬНО ХОЧЕТСЯ ШАУРМЫ😂
1:00
Юный Повар
Рет қаралды 2,6 МЛН
Прошу денег 😂 #shorts
0:39
Julia Fun
Рет қаралды 3,5 МЛН
QUE ESTA PASANDO? @SantiMusicOficial @jonayoficial  #santi #funny
0:22
Santi Oficial
Рет қаралды 15 МЛН
Would You Eat This Lollipop? 😂
0:20
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 8 МЛН