Duuu huyu kiongozi wa sau kanifanya nicheke bila kutaka
@donatusdaniel37222 күн бұрын
Kiongozi kama huyu ambaye hajui maana na umuhimu wa wakala Hana lengo la kuchukua Dora, zaidi tunaweza kusema ni wakala wa CCM. Jamani viongozi wa jinsi hii ambaye mwanachama wake anapotea yeye anaona ni jambo la kawaida ; tia shaka kwake.
@IssaAlly-lp4uf20 сағат бұрын
Hawa ndio waaralishaji pale vyama makini vinaporeta mgomo
@goodluckjohnuiso-gt1fg16 сағат бұрын
Hivi vyama vimesajiliwa?
@IssaAlly-lp4uf21 сағат бұрын
Kuna watu awajitambui ndio hao wametufikisha apa ukimsikiliaa yuko kimasilahi binafsi
@salama11132 күн бұрын
Mama mtumzima anaongea porojo kwahiyo uyo aliyopotea mnaonasawa
@MerryWilliam-r4l2 күн бұрын
SAU hamna kitu mamluki😢
@samsonkusupa6809Күн бұрын
Masanduku yamejaa watu hakuna sasa yamejazwa na nani