PENATI YA DUBE YAFICHUA MAZITO YALIYOJIFICHA NYUMA YA PAZI |REFA MATATANI, UKWELI WOTE MWANZO MWISHO

  Рет қаралды 9,339

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@molenicharles9107
@molenicharles9107 6 сағат бұрын
Sijawahiona hakimu anatia hukumu ya kifo kwa mwanae...hapo kuna mavunde...mzazi wa UTOPOLO...meck mexme chawa wa UTOPOLO...jibu zuri ACHA KAZI iendelee...
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 3 сағат бұрын
Tanzania kuna timu ya Taifa kisha kuna timu ya chama cha mapinduzi kisha kuna timu za matawi ya chama kazi kutoboa kwa mfumo huu kuna timu kazi zao kuitafutia ubingwa timu ya chama
@GerardAmos-h6x
@GerardAmos-h6x 10 сағат бұрын
Karudieni vzr iyo sheria muielewe vzr na sio kuchambu kwa muemko
@AllyAyubu-k1u
@AllyAyubu-k1u 7 сағат бұрын
Mashabiki was Simba wote tuwapeleke Kwan p Didi njaa inawasumbua na wachambuzi wao was Simba kenge nyio
@AbdulrahamanBakari-s6k
@AbdulrahamanBakari-s6k 10 сағат бұрын
Mko sahihi brothers mana kwa haraka haraka uwezi kuona kama penalty au sio penalty
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 5 сағат бұрын
Dossa amesema Yanga wamenunua mechi
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 5 сағат бұрын
Ww muongo una Cha uchambuzi nenda kalime
@henrydanlord7822
@henrydanlord7822 8 сағат бұрын
Clear offside unajua maana yake?
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 5 сағат бұрын
Nyinyi wachambuzi acheni ushabiki mbona penati ya Simba amuizungumzii
@josephgalandu128
@josephgalandu128 9 сағат бұрын
Jamani!!!kumbe timu zote za ligi Nbc ni matawi ya yanga!!!😂😂😂😂😂kazi ipo,bado kusikia Mangungu tuachie timu
@afyawebtv8094
@afyawebtv8094 7 сағат бұрын
Unaushahidi gani kaman timu zote ni tawi la yanga au unaandika tu
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 9 сағат бұрын
Magori 4 point 3 endeleeni kubwabwaja
@PeterPaul-n7g
@PeterPaul-n7g 14 сағат бұрын
Tatizo wachabuzi wengi nimashabikiwa simba ndo tatizo lina anzia hapo
@jumamkoka2267
@jumamkoka2267 12 сағат бұрын
Kwel...na wanateseka sana yanga ikishinda
@jamaldeenmakenga
@jamaldeenmakenga 10 сағат бұрын
Kabisa
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 11 сағат бұрын
Hawa wachambuzi walionaje Dube hakugusa kwasabu camera zote zipo upande mmoja hakuna kamera iloonesha kulikuwa na gap Kati ya mwili wa Dube na kipa
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 2 сағат бұрын
Itawezekana vip shabiki wa mpira Tanzania usiwe simba au yanga haiwezekani uwe refa au kiongozi wa siasa au wa tff au mchezaji
@josephgalandu128
@josephgalandu128 9 сағат бұрын
Kama hakuguswa aliangukaje??
@Ally-jf6wu
@Ally-jf6wu 8 сағат бұрын
Alijiangusha
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 12 сағат бұрын
Hakuna penat pale ni wz wa refa arajiga tunamjua ni yanga lialia
@JACKSONNTABAHANYI
@JACKSONNTABAHANYI 10 сағат бұрын
Muwe mnaeka vielelezo vya video la tukio husika, msijadili tu hewani
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 12 сағат бұрын
Huoni kipa aliziba njia.
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 9 сағат бұрын
Hiyo mechi yanga alishinda hata kabla mpira haujaanza, mengine ni maigizo tuu. Dodoma jiji ji tawi halisi la utopolo, mavunde ndio tatizo
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 9 сағат бұрын
Huo ndio ukweli
@fredybenedicto7726
@fredybenedicto7726 8 сағат бұрын
Unateseka ukiwa wapi ?
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 8 сағат бұрын
@fredybenedicto7726 hapa nilipo
@AyubuMohamedi
@AyubuMohamedi 2 сағат бұрын
😂😂ata Simba n tawi la yanga
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 2 сағат бұрын
@AyubuMohamedi wakati ule mnawahonga akina chama, manula na inonga
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 15 сағат бұрын
😂😂😂😂wachambuzi wamchongo
@mudymudy-ki7ie
@mudymudy-ki7ie 6 сағат бұрын
zile za simba aaaa kwendeni uko
@tosh7671
@tosh7671 5 сағат бұрын
Wapi Uzi tu nyie. Sijui kama mlishawahi kucheza mpira chupi nyie
@JenevevaAlexander
@JenevevaAlexander 10 сағат бұрын
Nyie wachambuzi wa hiki kituo acheni usimba
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 5 сағат бұрын
Kabisa Aya machambuzi makolo yanaleta ushabiki
@afyawebtv8094
@afyawebtv8094 7 сағат бұрын
We mchambuzi unayesema goli ladube ni of sadi kasome sheria za mpira vizur sio una bwabwaja tu au ni shambikila simba wew utuabie tujue nasisi
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 3 сағат бұрын
Huwezi kua mtanzania kisha shabiki wa mpira usiwe simba au yanga haiwezekani nitajieni refa mmoja tu au mchezaji mmoja tu wabongo sio shabiki wa simba au yanga nani huyo?
@BarakaMashimba-sr9ow
@BarakaMashimba-sr9ow 10 сағат бұрын
Wachambuz wa mchongo
@alimzee5526
@alimzee5526 14 сағат бұрын
Mmmmh shida wachambuzi mwengine wanalikubali lile ni goli wewe una kataa refa wanalikubali uende wapi? Kwa ushauri wangu wewe ukubali tu kua goli kwani mchezaji kuzidi mguu nusu na kasi ya michezo vilivyo hilo nigoli tu usiwe mchambuzi wa kupendelea timu nyingine
@RashidySaidy-yf7gg
@RashidySaidy-yf7gg 22 сағат бұрын
Hivi na ninyi ni wachambuzi na mnalipwa kabisa
@stevensumuni2436
@stevensumuni2436 13 сағат бұрын
Sio offside kwa kuwa kipa aliucheza mpira
@mahadshekh398
@mahadshekh398 6 сағат бұрын
Kipa akicheza hamna offside. Wewe umejifunza wapi sheria 17 za mpira?
@stevensumuni2436
@stevensumuni2436 Сағат бұрын
@ nimejifunza kwa ubaya ubwege
@audaxkarurama9052
@audaxkarurama9052 11 сағат бұрын
Tunaanza kupoteza imani na uchambuzi wenu. Unakubali kuwa umerudia mara tatu nne ili kujiridhisha je refa alijuwa asimanishe mpira kwa marudio? Ulivyoona mwanzo kabla ya marudio ndiyo sahihi kwa refa ana sejundi 2 kutoa maamuzi.
@Samwelrobert-e8m
@Samwelrobert-e8m 13 сағат бұрын
Tatizo yanga Wanabebwa waziwazi kabisa Yan Hadi kichefuchefu
@jumamkoka2267
@jumamkoka2267 12 сағат бұрын
😂😂😂😂😂asee ivi smba na yanga nan anabebwa waziwazi......ustake kuchekesha watu mjomba
@Happynesi-d4k
@Happynesi-d4k 12 сағат бұрын
Wewe unateseka umeshazoea kubebwa unajuwa na wengine wanabebwa gusa achia tunakuja kwenu
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 5 сағат бұрын
Kichechefu una mimba nn? Kula ndim
@Manyoniartsonlinetv6441
@Manyoniartsonlinetv6441 12 сағат бұрын
mikundu nyie mumeona penart zakujadili niza yanga tu? simba anapewa penart kilasiku hapa hamuchambui wachambuzi matako nyie
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 13 сағат бұрын
Mjadili na goli lenu Makolo la juzi
@mjanthony4864
@mjanthony4864 10 сағат бұрын
That was a clear penati.. Aina changamoto hata tonee.
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 22 сағат бұрын
Hakuguswa wewe ulikuwa uwanjani?? Refarii aliyekuwa uwanjani kaona siyo nyie wachambuzi uchwara usimba na Yanga unawasumbua. Nendeni huko mbona hamkusema Jana penalty ya Mchongo?
@KANAZIBoy
@KANAZIBoy 22 сағат бұрын
😅😅😅 utuporooooooo😂😂😂
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 22 сағат бұрын
Sasa wew unatetea nini unatetea upuuzi ndio maana mnaitwa malofa ile penalty gani eti haukuwa uwanjani kweli wew ni tahira sana
@laninjeje8290
@laninjeje8290 15 сағат бұрын
Bacca alifunga kwa mkono, dube penalty ya mchongo
@VIVIANMUKULU-kr8xp
@VIVIANMUKULU-kr8xp 11 сағат бұрын
​@@laninjeje8290umesahau na kijili alifunga mpira uliotoka nje😂😂😂😂
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН