JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@BonifaceBonala-w9j14 сағат бұрын
gekulu anahusika na kifo cha wakili msomi ariee kufa masanja mungu atabigania😊
@BonifaceBonala-w9j14 сағат бұрын
Safi sana wailing madereka upo sahihi simamamia hiya kesi
@kibwetere141818 сағат бұрын
Duh!! Atariiii sana..
@miletuskgmiletus156315 сағат бұрын
Mmmh
@gracekagoma323113 сағат бұрын
Gekulu anahusika😢😢
@ndogoroedson19918 сағат бұрын
Kama alikufa mzee wetu Magufuli na hamkuhangaika kuyazungumza hayo et leo amekufa wakili mnasema et uchunguzi! Kifo ni kifo kila mtu ataondoka na kama hutoridhika basi uangalie kama una uwezekano wa kumuuliza aliyemuumba
@RestyLeopold17 сағат бұрын
Sema mzee wako usiweke uwingi kwenye fikra zako mwenyew
@masijamajogoro723117 сағат бұрын
Umekata tamaa mno na maisha. Pole. Mapambano yanaendeea
@schniderlivin16 сағат бұрын
Umenena vyema 🫵🤝@@masijamajogoro7231
@MiriamKhalid-z6o15 сағат бұрын
Wewe ni pono
@richardnganya231115 сағат бұрын
Sasa Magufuli anaingiaje hapa ?
@Aziz-p6s57 минут бұрын
Mwanamke shetani
@DINASSOUR42 минут бұрын
Uyo mama Bado watu watamchagua..mmheshmiwa RAIS ...ALIPOMPIGA CHINI NA WANANCHI PIA ....MUMFATE MAMA ACHANENI NA UYO MWANAMKE
@CharlesSomeke-p8m11 сағат бұрын
Kwani kesi so tayari ilisha isha?
@WillKilulya2 сағат бұрын
Kwani mtu kusema amemwachia mungu kuna shida gani?acheni kihelehele mtaisha.
@EMANUELMUSHI-kk4df16 сағат бұрын
Mtu anavaa kesi ya mauaji
@bongo3915 сағат бұрын
Tanzania is hakuna tabu sasa mtu akifa kauliwa akipotea katekwa
@EmmanuelMlowe-u1v14 сағат бұрын
Wanaoanzisha hayo yote Ni chadema
@EmmanuelMlowe-u1v14 сағат бұрын
Wakil mdereka unabahatisha halfu inaonyesha ushamba et kisa kes,hizo syo elements za wakil
@bcozhenry269813 сағат бұрын
Mbona mnatetea sana upumbavu au mnahusika?
@EliyaPaulo-uf6hh12 сағат бұрын
Nawewe huoni kama ni mshamba?utasemaje ni chadema kunguni wewe@@EmmanuelMlowe-u1v
@getrudewilliam526618 сағат бұрын
apumzike kwa Aman 😢😢😢
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Amen
@ZuhuraAthuman-u2i18 сағат бұрын
Mmmmhhhhh...r.i.p😭
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Amen
@Leodimk-n5c15 сағат бұрын
R.i.p. Ila jamani acheni komenti hizo kwn kekulu anahusikaje sasa na kwani kasema atagombea tena? 😊😊
@George-jz3jg3 сағат бұрын
Wewe ni mjinga sana unamtetea gekul wakati gekuli ni mtu hatari sana mafanikio yake yote kisiasa na kiuchumi anayapata kwa kuwaumiza watu
@Habaujr2 сағат бұрын
Gekul akamatwe haraka😢
@MarryMwamwezi16 сағат бұрын
Mhuuuu Kwa hiyo mtu kama anakesi Hafi.jamani kafa Kes imeisha hiyo
Mimi pia yalinikuta juu ya Mrangi naniliyumba mpaka leo hii, Ila nilimsamehe,
@innaenock207417 сағат бұрын
Pombe hizo
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Ulikunywa nae
@StevenGendo-vx9jo9 сағат бұрын
Pombe za nyoko
@AmosChristian-e4x17 сағат бұрын
Acha kutafuta Kiki
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Nan katafuta kiki
@PromiseSimkwai13 сағат бұрын
Yani utumwa ni kazi Sana hapo kiki zipo wapi?ko mtu kutaka kujua kifo Cha marehemu ni kiki? kisa katajwa gekul hapo utakuwa imeshaingia kwenye u ccm na chadema kuwa na upana wa kufikiri
@MawazoKitumbo17 сағат бұрын
Uchu wa madaraka utafkilia mtu ataish milele hatakufa yeye
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Acha kulaumu
@aminaadam991417 сағат бұрын
Karma
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
Kabiss
@nyabahailani316917 сағат бұрын
Unachezea kekulu wewe mbulu sio mtu ukiktana na mrangi" mbulu' nyoka ua mbulu na mrangi uwachome moto kabisaa iwe jivu
@Filbert-pe2xm17 сағат бұрын
Bando la buku ndiyo linakufanya uongee ovyoo , nenda police siyo kutoa shutuma bila ushahidi na kuhusisha kabila nzima ni kukosa maarifa
@mataypanga526216 сағат бұрын
Unachekesha ndugu, mbona hata mimi ni mwiraqw(mbulu),kwa nini mtuchome😂
@JeniAlex-e4v15 сағат бұрын
unacoment utumbo na ujala kavune tembele
@johnlucasmartne397012 сағат бұрын
Pumbavu ni mpumbavu tuu hata kama hatukufahamu kwa suru comment zinatosha kujua kuwa.wew ni mpumbavu makabila ya watu unayahuaisha ngombe wewe
@WillKilulya2 сағат бұрын
Kwani yeye ni nani asife?ulitaka afe lini?na kama alikuwa anafahamika asife?acha ushamba wewe unatafuta kiki tu.