KICHAPO CHA AZAM GSM ATAJWA KUHUSIKA | UKWELI WOTE MWANZO MWISHO | PAMBA JIJI WALIVYOSHINDA LEO

  Рет қаралды 23,891

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 90
@kassimourio6879
@kassimourio6879 12 сағат бұрын
Jmniii.. sasa kwa lile goli atahudikaje mtu hapooo...khaaaa
@harriethdeogratias9466
@harriethdeogratias9466 12 сағат бұрын
Sasa Gsm anehusikaje hapo waandishi wapuuzi sana na wageni wanaowaalika mabululu
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 13 сағат бұрын
Kuna wenye akili za mgando na wapumbavu wakiamini kwamba Pamba inacheza daraja la nne. Basi kama Pamba haistahili kucheza ligi kuu fugueni kesi mahakamani. Pumbavu sana!
@mwanangusana
@mwanangusana 12 сағат бұрын
Gharib Mohammed Chassambi...........
@mwanangusana
@mwanangusana 12 сағат бұрын
Usikutee akili za Makolo wanajua Chassambi ndo GSM wanaemzunguza
@EliaMasele
@EliaMasele 8 сағат бұрын
Wa kibondo kigoma tz nawatakia jkt tz ushindi mwema Leo hii dhidi ya utopolo fc
@AhadiKeyekeye
@AhadiKeyekeye 21 сағат бұрын
Nyie ndo mnaozalilisha wachambuzi GSM ndo anacheza? Acheni kupotosha Jamii
@ephulaemsengo2816
@ephulaemsengo2816 14 сағат бұрын
Nyie wacha mbuzi wasenge2 Gsm ana huska vp kumae zenu
@SamweliChacha-l4y
@SamweliChacha-l4y 23 сағат бұрын
Kwa hiyo Axam alitaka timu zikose hela ili mnunue mechi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 14 сағат бұрын
Utaona siku azam akikutana na yanga, watakamia utafikiri wanachukua kombe kwa siku hiyo.
@zephaniasirikwa7495
@zephaniasirikwa7495 12 сағат бұрын
Kuna watu ujinga ndio maisha yao.sasa GSM alikua refa au golkipa wa Azam?bado hamjasema!mtasema hadi mchanganyikiwe.
@robertphilip385
@robertphilip385 17 сағат бұрын
Kwani GSM jana alicheza namba ipi? Au kule babati alicheza nafasi ipi safari hi mtasema mengi
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 9 сағат бұрын
AZAM anaweza cheza na Yanga tuu😅😅😅😅😅....
@mimiraia2531
@mimiraia2531 21 сағат бұрын
Pamba 3-0 Azam bin lamba lamba. Mzunguko wa kwanza Pamba waliifunga goli Halali likakataliwa na marefa wa mchongo. Leo Pamba wamefunga goli la kwanza safi kabisa, marefa wa mchongo tena wamekataa
@saidmngai9504
@saidmngai9504 11 сағат бұрын
Ipo siku utaelewa hakuna duniani ligi Moja kuzamini timu 8 tajir Mmoja pia anatimu kubwa
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 11 сағат бұрын
Hebu. Naomba. Mnisaidie. Hivi. Gsm. Anahusika. Vipi. Na. Mchezo. Wa. Azam. Na. Pamba? Azam. Sio. Timu. Ya. Ushindani. Azam. Ni. Timu. Ya. Starehe. Na. Huyo. GSM. Acheni. Kabisa. Kumuongelea.
@saidmngai9504
@saidmngai9504 11 сағат бұрын
Na kunasiku yatafika fifa mdogo mdogo
@HawaMbuguni
@HawaMbuguni 15 сағат бұрын
Kwani GSM kacheza namba ngapi ?
@allymaranya
@allymaranya 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 сағат бұрын
Kwa mo angekua anadhamini timu baadhi ingekuwaje???
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 9 сағат бұрын
Wapinbavu wote utopwax mavi timu za GSM Zinajulikana zote, si bora uhangaike na timu za nje
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 21 сағат бұрын
Da media kubwa hii inaluhusu vip akili ndogo ivi zifanyekazi Kwel taalifa kama hii mnapost da nmegundua ndio mana plnt bongo haina nguvu toka dula aondoke
@saidmngai9504
@saidmngai9504 11 сағат бұрын
Zaka zakazi yamekukuta farawewe unatukana mamba hujavuka mto
@MwarabuMwakafwisya
@MwarabuMwakafwisya 8 сағат бұрын
Simba..apa..Tanzania .timuzote..zinamkamia .kamafainari
@FrankMtwale-g3q
@FrankMtwale-g3q 12 сағат бұрын
Sisi kama YANGA team ya kwanza kutuuzia match ni SIMBA vipi GSM huwaga anawadhamini simba msichambue mpira kwa ushabiki
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 14 сағат бұрын
Watanzania wengi wao wanafiki,
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 8 сағат бұрын
k nn yan ulipwe hela uje ucheze chin yq kiwango et hmn mashabiki .ujinga huuu
@JUMANNESELEMANI-mg9ix
@JUMANNESELEMANI-mg9ix 21 сағат бұрын
Simba na azam waliungana kuihujumu yanga sasa tunaakikisha singida b star na yanga watatoka mshind wa 1na2 GSM yanga bingwa
@Samsonmalima-p1g
@Samsonmalima-p1g 11 сағат бұрын
Kumbe GSM ndio alifunga lile gol
@WazohilllUhasibu
@WazohilllUhasibu 11 сағат бұрын
😂😂😂 nacheka2 wachambuz washenzi hawa
@Samsonmalima-p1g
@Samsonmalima-p1g 11 сағат бұрын
0:37
@AmanLyuki-u5e3s
@AmanLyuki-u5e3s 14 сағат бұрын
Yanga akiongoza wanasimba wanasema gsm anausika Simba akiongoza wanayanga wanasema marefa wanawabeba sasa nataka kujua mnataka timu zisifungwe?
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 13 сағат бұрын
yanga wana mambo mengi sana nyuma ya pazia huo ndo ukweli kama hauamini hilo basi tuishie hapo maisha yaendelee
@reganmallya6538
@reganmallya6538 20 сағат бұрын
90.9 hampo
@JumaAbedi-g6x
@JumaAbedi-g6x 14 сағат бұрын
Waamuzi ss hiyo yenu ni sifa kunasababu gani ya goli la pamba kukataliwa
@saidmngai9504
@saidmngai9504 11 сағат бұрын
Ndo ubaya wa gsm kuzamini timu 8 natimu hizo yanga anashinda zote 8
@Samsonmalima-p1g
@Samsonmalima-p1g 11 сағат бұрын
Na chukuueni zilizobaki dadekiiiiiiiiii
@SalvatoryBoniface
@SalvatoryBoniface 7 сағат бұрын
Ni kweli hata Simba walifungwa na yanga sababu mdhamini wa Simba ni gsm
@maase2023
@maase2023 16 сағат бұрын
Azam mpira hawajui msilete visingizio
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 16 сағат бұрын
Kwani ajabu ipo wapi, mbona yanga walifungwa na ihefu, yanga walifungwa na tabora, yanga wamefungwa na azam yenyewe, sasa leo azam kufungwa na pamba ndio imekuwa shida? Acheni ujinga yaani taaluma yenu badala ya kuchambua ili kuelimisha mnachambua kushutumu na kumlenga mtu kahusika kivipi huo ni ushamba, mtu mwenye taaluma yake hana wala hawezi kuwa na muda wa kupoteza kuongelea mambo kama ya kike kama wambea ivi.
@godsonmgisha5517
@godsonmgisha5517 23 сағат бұрын
Wamechanganyikiwa😊
@Patrick200Chaula
@Patrick200Chaula 11 сағат бұрын
Brain mpogoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@Smart_jarm
@Smart_jarm 23 сағат бұрын
Kiukweli AZAM hawatishi kabisa,wepesi mno, Kwa game ya leo AZAM wapo kama team ya daraja linalofanana na KENGOLD, HIJAMOUR KANJU NIPO MIKANJUNI TANGA
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 22 сағат бұрын
Akili za makoro ni pumba kabisaa kwani pamba kudhaminiwa na gsm wachezaji wanaongezeka wanakuwa 15au chezeni mpira quality players ndo wataonekana..Msimu huu makoro wataongea mpaka na makalio
@abdulatifunatto8976
@abdulatifunatto8976 22 сағат бұрын
Mbn sion kocha wala mchezaji wa simba akisema,ni wachambuzi ao
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r 21 сағат бұрын
Punguza undundu wandishi kwani mpira mnaona nyinyi tu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 22 сағат бұрын
Utakuja kushangaa Mechi ya Yanga na Pamba itakavyokuwa. Pamba watalegea kama mlenda. Na huyo Mtanda hataweka dau kwani atakuwa anataka yanga iishinde Pamba. Timu zote zile zilizodhaminiwa na gsm zikikutana na yanga zinakuwa laini kama mlenda.
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 21 сағат бұрын
Mtahangaika sana nyie mikia fc lkn timu lenu bovu,kwani Azam anapocheza na Yanga mbona anakaza lkn akikutana na nyie mikia fc analegea sana! Au unajitoa akili!
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 21 сағат бұрын
Pili,nyie mikia kubalini kwamba timu lenu kwa Yanga badoooo!!! Kwani na nyie mnadhaminiwa na GSM?? Mbona mmekufa mechi 4 mfululizo kwa Yanga!?
@saidsalim851
@saidsalim851 20 сағат бұрын
Kwahiyo na nyie makolo mnazaminiwa na gsm maana mmesha poteza mara 4 kwa nyuma upawa? 😂😂😂😂😂😂😂
@IsabelaConstantino-y2s
@IsabelaConstantino-y2s 20 сағат бұрын
Kumbe mnaimani potofuu
@robertphilip385
@robertphilip385 17 сағат бұрын
Yanga Iko kwenye top 10 ya Africa haya tuambie pamba Iko kwenye nafasi ipi
@thehustlerafrica
@thehustlerafrica 20 сағат бұрын
Yanga vs Pamba mechi itakuwa mbovu
@MakobaMorandi-y6u
@MakobaMorandi-y6u 14 сағат бұрын
Azam awajitambui ndo wanafanya rigi ya Tanzania unajuwa ya yanga na Simba Kama wapi Mambo megine nibora waache mpira mm siwaelewi Wana feri wap
@flova7022
@flova7022 14 сағат бұрын
Shida ya watanzania hua tunasoma tu kichwa cha hbri afu unakuja kutukana kwenye comments ..watu wa yanga acheni uvivu wa kusikiliza
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 14 сағат бұрын
Mpila hamjacheza nyie Cha ajabu nn nn hapo? Pamba ina wachezaji wakubwa sema nyie mnaangalia simba na yanga na azamu tu
@smiletv1405
@smiletv1405 16 сағат бұрын
Wandishi wa habari mnashida gani kila kitu ni GSM
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 15 сағат бұрын
Kuna tatizo huwezi kuwa kuwa na timu nbc alafu wewe mwenyewe udhami zingine 7 hii si sawa viongozi hawa wa tff waondolewe kwenye uongozi
@flova7022
@flova7022 14 сағат бұрын
Hivi umesikiliza kuna sehem katajwa huyo GSM wenu au umekuja Tu baada ya kichwa habr 😅😅😅 usiwe mvivu ndugu yangu sikiliza hd mwisho
@mwanangusana
@mwanangusana 12 сағат бұрын
​@@MchungajiNzelaniUsikute Chassambi ndo GSM mwenyew 😂😂😂... Kwan Azam ni mdhamini wa Vilabu vingapi ?? Kwan Moamed dewji wakati anadhamini Africa Lyon, Simba , Stand Utd ulikuwa hujazaliwa ? Au Yanga , Simba , Singida, ihefu wanadhaminiwa na SportPesa tena Makolooo mabingwa miaka 4 mfululizo ulikuwa hushabikii mpiraaa 🤣🤣🤣🤣
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Msanii wa singeli k zungu akifanyaa free style🔥🔥🔥🔥
5:51
pichamali_studios
Рет қаралды 96 М.
MBWIGA: KUNA WATU NAWADAI/WANAKASIRIKA/DAWA YA DENI KULIPA
10:58