Tuliorudi kuangalia hii video baada ya ndoa ya jana tujuane😂😂
@rahmambonde23892 жыл бұрын
Tupooo
@hamidayanga82242 жыл бұрын
@@rahmambonde2389 🤣🤣
@sasamama79342 жыл бұрын
Wanaume waongo jamani duuuuuu eti msaidizi wangu duuuuuuu
@benjaminulanga67492 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua jmn sikutegemea km anabadilika ivo sio yule anayeongeaga kwa sauti kali kwny mpira leo kashuka ivi
@kazikazini1042 Жыл бұрын
One of the things or one thing
@Gody3602 жыл бұрын
Noma sana🤣🤣
@husseinali55352 жыл бұрын
This person he is a player
@salmaswala39002 жыл бұрын
Haji muongo jamanii mchepuko eti watoto yeye mh mchepuko niwale wazee ambao wakezao halafu na mwengine pembeni (mchepuko ) uyo jamani
@mrsmumewangu49072 жыл бұрын
Hata wema sepetu tukae kwakutulia huyu Bora umpe pesa itafika kuliko kumuweka karibu na unashindana naulipo toka unaakili ww🤣🤣🤣🤣
@noorbazaar90632 жыл бұрын
I would be a last person to agree with him!
@Jassmin-media-official2 жыл бұрын
Miaka 23 kkkkk like seriously 🙄 😒 Manara acha hizo huyo Dada nimkubwa more than 30 years old
@eladiuspeter5862 жыл бұрын
Duh!!Hata kama ni chuki sio hvyo. Mbona anaonekana Mdogo tu
@annajohn24882 жыл бұрын
Umejuaje umri wake why wabongo mnaumia na umri wa watu
@habibamaguru27222 жыл бұрын
Shavu limejikata hivyo miaka 23
@magrethmbangama11992 жыл бұрын
Mmh tusubiri baada ya miezi 3 au 5 hv ndo tutajua msaidizi auuuuu🤣🤣🤣🤣maana we mwanangu kibokoooo
@mariasalomemelchiorkaigaru19742 жыл бұрын
keshaoa ulimpa muda mrefu sana
@christinamsuya54922 жыл бұрын
@@mariasalomemelchiorkaigaru1974 hahahaha kwa kwel leo yametimia
@atamotivetv81042 жыл бұрын
Ulisema leo yametokea🤣🤣🤣
@abdulmalikiramadhani80672 жыл бұрын
Mm kumbe nawewe ulimletamzungu
@fistonmakopa5982 жыл бұрын
😊😊😊❤
@c759232 жыл бұрын
Huyu muhaya mbwembwe nyiiiingi na kiingereza cha chooni
@zakiamseka96982 жыл бұрын
Ongea wewe tusikie chako
@jeckajustinianjoyce79982 жыл бұрын
Acha kutukana makabila ya watu kwa vitu visivyo na maana
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Haikuwa zambi uyu mzee bhana we unakaa na mtu ambaye unaweza kumuowa ukaribu kama ule alafu una mke anayumba kiimani uyu mzee alafu ana miaka 40 bado anataka ujana ivi mwanawe atajifunza nn au ndio maisha ya kizungu
@johnkiimbila67992 жыл бұрын
Miaka 40 sio mzee , huyo bado.
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
@@johnkiimbila6799 kwa cici waislam ujana hayupo tena ukifika arubain unatakiwa uwachane na mambo ya ujana kabisa kwa mtu mwenye kujielewa kakini urudi kwa mungu
@husna345622 жыл бұрын
@@saadmbaraqa5272 45
@johannahakim84702 жыл бұрын
Uko mongo ule anazidi 23, iko mu ma 30 mpaka ata 36, naanamzidi ata zuchu ukubwa,ata dira yake inaonekana tu kama mkubwa,amekoma na sura
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Manara wacha uongo huna miaka 40 tumesoma wote tena darasa moja shule ya mnazi moja. Wewe ulikua darasa moja na mimi na ndugu yako hamida huna miaka 40 wewe miaka yako 48 wacha kusema uongo looh umekua jiwe wewe hukuwi 😅
@ramadhanabas44552 жыл бұрын
Hata yeye hakusema ana miaka 40 kamili, kasema ana miaka 40 plus.
@kefamkv37432 жыл бұрын
Hiyo why not kama mm ndo nimeisema kwa diva vileeee😊😊
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Yamekuaaa😂
@kefamkv37432 жыл бұрын
@@hamidayanga8224 ndo mana nilisema hile why not haikuwa bure 😁😁
@hamidayanga82242 жыл бұрын
@@kefamkv3743 😂
@allyamuli80272 жыл бұрын
Jamaa kumbe anaringa
@nasseralrowahi4084 Жыл бұрын
Kwanini nyinyi watangazaji hamuongei kiswahili lazima mtiye luga si yakwenu huoni urimbukeni kuwa unajuwa kizungu ni ushamba wewe si mzungu
@anithawidambe75432 жыл бұрын
NA WEWE MASWALI GANI HAYO?
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Nimchepuko😂😂😂
@godwinmwakibibi2742 жыл бұрын
Unapendwa ww zinapendwa pesa acha ujinga
@samwelhiinyamhangahiileosi10602 жыл бұрын
Manara kaongea kwa upole xn kisa babra kupaa kimataifa