WHOZU : WEMA SEPETU AKINIACHA NAENDA KUJITUPA BAHARINI, NIMEKUFA NIMEOZA KWAKE / SINA TATIZO NA GIGY

  Рет қаралды 19,581

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 10 ай бұрын
Whozu and wema❤❤Nawapenda sana
@dorcasbarazani6001
@dorcasbarazani6001 10 ай бұрын
Nimependa ginsi unavyomupenda Wema kwa kweli ❤🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪
@suzanmboya9829
@suzanmboya9829 9 ай бұрын
Wanaume wengi ni waongo wanapotaka kupata kitu lkn whozu upo wazi sana Mungu akubariki mwanangu
@DxbYae
@DxbYae 10 ай бұрын
Mungu awasimamii muowane nawapenda
@shikoshania953
@shikoshania953 10 ай бұрын
Siamini huyu ni wozu kawa hivi,katunzwa kawa bonge la handsome😍😍😍❣️
@sophiaemmanuel7999
@sophiaemmanuel7999 10 ай бұрын
Safi sana whozu lazima umtetee umpendae💗
@suzanmboya9829
@suzanmboya9829 9 ай бұрын
Nakukubali upo wazi sana mtu wng endelea hivyo kuwafunza watu wenye mapenzi ya mkataba unawafunza wengi hongera wema umempata mtu wa muhimu kwenye maisha yako
@hopefully7090
@hopefully7090 10 ай бұрын
Toka umekuwa na wema umependeza
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 10 ай бұрын
Woow ,Whozu kumbe ww ni Mchagga wa Moshi.Am proud of you na Wifi langu la Taifa Wema Sepetu.Shikilia hapohapo as long as you love each other . From now nitakuwa shabiki yako forever❤🎉🎉🎉
@StarMerinyo
@StarMerinyo 10 ай бұрын
Safi sana whonzu huo ndo maamuzi sihihi
@AaBb-q2l
@AaBb-q2l 10 ай бұрын
Napenda couple yenu❤
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 10 ай бұрын
Weeeeee❤❤❤wemaaaa anayajua mapenzi na mwanaume kafundwa kutulia anasamini penzi la zati na kuliheshim Kuna wanaume ht wapewe upendo Gani km majini hawajali ht shukrani ndokwanza atakuuzi lkn hozu anasamini upendo wa wema na kuujali
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 10 ай бұрын
Ila Wema ana nini? Hakuna mtu aliyepita naye akashindwa kukiri kuwWema ni moto 🔥. hongera zake!
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 10 ай бұрын
Anamnato wake Kwa mwanaume!!!!
@HanifaMohammed-n4r
@HanifaMohammed-n4r 10 ай бұрын
Wanyaturu tunajua kuenzi
@deeruta9894
@deeruta9894 9 ай бұрын
Kajitupe baharini sasa kijana Whooz😂😂😂😂 jitu bovu
@ankovictor1564
@ankovictor1564 10 ай бұрын
Whozu kawa mzuri wema apewe maua yake
@claudinenkurunziza2137
@claudinenkurunziza2137 10 ай бұрын
😂😂😂😂 umeonaee 😅
@beatricemtui3766
@beatricemtui3766 10 ай бұрын
Dada anasauti nzuri sana🎉
@LuluMalima-j1w
@LuluMalima-j1w 10 ай бұрын
Really Wema be responsible, there is life with out a man.
@LuluLevy
@LuluLevy 10 ай бұрын
YAAANI WHOZU AKIWA NA WEMA RAHA TU HAIELEZEKI HAPO SHAHIDI MANUNU PEKEAKE
@MarryPendo
@MarryPendo 10 ай бұрын
Mapenzi moto❤
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 10 ай бұрын
Ama kweli ushikwapo shikamana
@Malikamtajir
@Malikamtajir 10 ай бұрын
Santhaa.Nawapenda buree chibaba na chimama😂😂❤
@hopefully7090
@hopefully7090 10 ай бұрын
Nawapenda na wema
@sabinamachange6040
@sabinamachange6040 10 ай бұрын
Whoze usimwache Wema kabisa shikilia hapo hapo. Kuna wengi wanatamani umwache wamchukue.
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 10 ай бұрын
😂😂😂😂 mapenzi moto moto ❤❤❤❤❤❤
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 10 ай бұрын
Tena wanaume wengine wanahongwa na wanawake kl kitu wanatunzwa lkn km majini ndokwanza anakutenda tushaona wengi wakilizwa
@hopefully7090
@hopefully7090 10 ай бұрын
Whozu bwana
@dmmerci7622
@dmmerci7622 10 ай бұрын
😂😂😂jamaa ati amezama
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ChitsoneMama-k6s
@ChitsoneMama-k6s 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 10 ай бұрын
❤❤❤
@khadijasaid-ce3tq
@khadijasaid-ce3tq 10 ай бұрын
❤❤ 2:16 2:17
@prisikachande
@prisikachande 10 ай бұрын
anauluma wema anampenda mwanae wanaume wengi wayatamani lakini wap
@salomennanga3110
@salomennanga3110 10 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@khadijasaid-ce3tq
@khadijasaid-ce3tq 10 ай бұрын
❤❤
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@Roqua-hs3qf
@Roqua-hs3qf 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@hopefully7090
@hopefully7090 10 ай бұрын
❤❤❤❤
WEMA & WHOZU WAFUNGUKA KUMLEA MTOTO PAMOJA/MAHUSIANO NA TUNDA
10:48
Carrymastory
Рет қаралды 154 М.
MR T TOUCH : NINA WIMBO WA NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUMZ NDANI
25:50
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 115 М.
GIGY AFICHUA ALIYOPITIA WHOZU KWA TUNDA MPAKA KUACHANA
10:57
Millard Ayo
Рет қаралды 208 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН