Kwakweli mweshimiwa lissu tunakuombea kwa mungu akupe maisha marefu uwatumikie wananchi kwa moyo wako wote.
@DAVIDJOSEPH-u8r11 сағат бұрын
Hongera sana sana sana lisu na hech. Tunamatuin makubwa na nyinyi.
@LenadiMussa10 сағат бұрын
Hongera lissu kwaushindi na Hech wanachadema tumepata tumain jipya tunategemeo makubwa kutoka kwenu
@elishuaisaya417611 сағат бұрын
Mmetisha Sana tangu Jana mpaka hivi mb zimetumika sana
@IbrahimJumanne-d5l8 сағат бұрын
Yes tundu
@RukasJohn11 сағат бұрын
Nice
@NeemaMsuya-k4n10 сағат бұрын
Jamani upendo wakweli udumu kati yenu wote pamoja na wanachama wote pasipo unafiki wote mtafika mbali nasi wananchi mtatutia moyo kuwachagua Mimi Sina chama ni mshauri tu
@VictorKahangwa10 сағат бұрын
Itawasaidia Chadema kubaki wamoja,....kama Mbowe anabaki wakudumu kwenye Kamati Kuu yao
@geegalax6479Сағат бұрын
Lisu hataweza kuongoza kama mbowe. Mtaona hapo mbele subirini kidogo
@Samoninyanda10 сағат бұрын
Nmemaliza mb za 6000 toka jana kutoka kahama hapa
@Allyiddsud9 сағат бұрын
Chadema imekabinziwa wauni
@yunusimchala65699 сағат бұрын
Ila hatutaki ufadhili kutoka magharibi maana kampuni ya barriki ya madini uliyokuwa unaitetea huko bukinafaso anatafutwa akamatwe kwa wizi wa madini usije ukawa chawa wa mabeberu ukauza utu wetu