John Heche the president in the making. Unatupa tena mwamko mpya na matumaini mapya. Mungu akubariki sana kaka.
@marieconnect6389Сағат бұрын
I can see another IBRAHIM TRAORE here in TANZANIA. We've all the hope for this country. Thanks Mr Heche for the brillinat speach of hope. We have got a good future president here.
Sasa chadema ni chama cha kuaminika kabisa. Mmetuthibitishia uwezo wa kuongoza nvho mnao kuliko vyama vingine. Kazanieni. I can't wait for reform. Viongozi watalazimika kuheshimu na kuthamini wananchi wao kama watu ndio wanaowachagua. Keep it up chadema.
@asumilesengokalonge985629 минут бұрын
Kura ikihesabika tu, kiongozi yeyote yule atapiga magoti kwa mpiga kura🙏🙏🙏🙏 well spoken John Heche
@KamwandaNzowa-eo4ur32 минут бұрын
Point sana Mh, Heche huo ndiyo ukweli Mungu akubarki sana
@EmmanueNzilano2 сағат бұрын
Heche Tunakuamini Hongera ✌️💯🔥
@EeehkakaFour52 минут бұрын
Mungu atubariki watanznia kwa usalamq
@NicodemusMemba2 сағат бұрын
CCM mjifunze kwa chadema
@irenebarakeli2 сағат бұрын
Jamani tunaomba.viongozi. acheni Tuungane tuvunje makundi tuanze Chadema mpya
@josephdominic18662 сағат бұрын
Hakika huyu jamaa anajua sanaa naanajua matatizo ya wananchi
@MUSSALUKUMAI2 сағат бұрын
Congratulations heche to be winner, l wish a better successful in your responsibility God control with you and give ability to do a good accountabilities
@EeehkakaFour52 минут бұрын
Mungu atatuongoza kwa nguvu zote
@MohamedOmary-j5zСағат бұрын
hawa ndo watu tunaowataka Mungu atubariki
@NoelSamila2 сағат бұрын
Nakubali sana mtu kisiki
@robertmhikwa81742 сағат бұрын
bila bongo fleva bila bongo movies lakini kamera na maiki za nchi nzima ziliekezwa upande wa CHADEMA.....hakika chama hiki ni sauti ya wa tanzania wapenda haki na wapenda maendeleo
@bikufingamwasimbega2 сағат бұрын
Wote ni majembe uchaguzi huu
@emmanuelsunday83252 сағат бұрын
Chadema nawapenda sana
@DanielRinus2 сағат бұрын
Hehe Yuko vizuri Sana sana
@JohnSalumu-j6j2 сағат бұрын
Hongela
@moseslaiza67552 сағат бұрын
Kweli watanzania tubadikike tuache kumwabudu mtu juwe haki zatu
@SamwelMkwizu-tn7zn9 минут бұрын
👍
@yonammollel2836Сағат бұрын
Umeongea point
@fredrickmwakalinga639025 минут бұрын
Ani cdm toka mmeqnza nimemaliza badu la kutosha
@theophilmakumbuliСағат бұрын
Kwekwel heche ni kiongoz
@VeroJulius-s4yСағат бұрын
Fanyeni Kazi sasa acheni kulewa sifa nendeni mkapiganie Mali za taifa zitunufaishe cc watanzania wote