Nani kagundua huyu jamaaa ana michano Kama ya KALA JEREMIAH agonge like hapa
@anoldykamugisha99934 жыл бұрын
Asante saaana weremuraaaaa umefny niongoze kwa like👏👏👏👏👏
@farouqobbo3 ай бұрын
Unacheza we Next level uyu ma homie
@onchongadismas21284 жыл бұрын
Nadhani hii ndo michano ya mwaka,nipe likes Kama unamkubali weremura.eastafrica radio leta weremura manze kwa interview Tena ana michano Kali.
@saimonsilva62094 жыл бұрын
Oyaah dullah watu kama hawa c ndo tunawatakaaaaa muhuni anajuaaaaa gonga like kama umemuelewaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emanuelgodwin2984 жыл бұрын
Aliemkubali dj kwa mpangilio mzuri wa Beats gonga like ⬇👍🏿
@musaeliad47444 жыл бұрын
Sure DJ kaende nae kwa utulivu sana
@pmanpjjp3 жыл бұрын
Sanaaa
@saidinalmsofethatsgoodwaya64544 жыл бұрын
Kama umesikia unaitwa wapi na unatokea wapi like hapa joo!! Salute kwa weremura walahi nimerudia Mara toop lkn sijakinahiwa na style Kali ya dogo ya michano!!
@gerriemagic Жыл бұрын
Were Mullah.. Talented kubwa sana hii. 2023 still listening 🎧
@____fiasc Жыл бұрын
Same here
@OfficialMutrah7 ай бұрын
2024 still watching
@tadeonkonya16564 жыл бұрын
Huyu jamaa Mkali sana, akili ndogo haziwezi elewi. Flow ya biashara 100%
@officialmutrahlg24842 жыл бұрын
Kweli an kaniacha nimeduaa michano yake adimu sana yakipekee
@davidnyangi21862 жыл бұрын
Huyu Kijana ako sawa........wapi likes from KENYA
@AmaniAudifasi-er5fr4 ай бұрын
Pia nipo Kenya 🎉🎉
@alexmwita50332 жыл бұрын
Huyu jamaa yupo simple and clear unajua, body music dance, ana flow vizur kinyama 2022
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
namuona Roma ka mbwiga_ tuliolewa like apa, style kali sound safi michano mikali awa mdio ma rapa sasa.
@teddyauch17884 жыл бұрын
Lala salama baba ingawaje ulienda bila kunipa hug...lakini Mimi ndie Solomon uliniacha nilinde boma...uliskia hio? Piga like
@JohnMashaka-lv3wo9 ай бұрын
Oa uo ndo mstari wangu pendwa🎉
@robinisack80924 ай бұрын
Baba yupi ? Alale salama
@thomasjohn34114 жыл бұрын
Chalii we ni professional kwa floo“kaza kwenye uandishi “
@jigwafrankie94204 жыл бұрын
kweli aisee, huyo jamaa uandishi bado
@thelatestvideos62663 жыл бұрын
Wtf😂,,uandishi 0% kweli? Acheni izo anajua kucheza na maneno saaana
@tobikomediafeeds10444 жыл бұрын
Nilivyopendeza siwezipita nilikopa, nimekubali mara kuna marapa mkuuu salute weremura oooooyyyyy oyyyyy
@bramweljumawa91534 жыл бұрын
weremula weremula!kali sana254 tuko locked konga like ka umekubali kumi xa maangamizi
@papajosh71894 жыл бұрын
😂unachati kingereza na hujui noma sana. Wapi likes za Kenya
@NathanAbinel-md8wp Жыл бұрын
Jamaa kilicho mbeba kwanza anajiamini sana hana hofu yyte big up were mura... Unajuwa sana mwenetu
@markshukr38594 жыл бұрын
huyu jama ana flow ya kipekee haigii...he so dope from 254
@rama2ification4 жыл бұрын
Jama ana style Kali ya kuflow sema ryhme zake ni za musoma...akikaa town hata miaka miwili na waliofika mjini...jamaa atatisha Sana'a mungu amsimamie ameeen
@apiovlwiwa25764 жыл бұрын
Rama Kulaga #Rymes za Musoma tena?😂😂 daah Wabongo bhana, jamaa ni mkali mazima tu!
@rama2ification4 жыл бұрын
@@apiovlwiwa2576 labda kama utakua umenielewa vibaya...jamaa mkali sana wa flow...ya akiswitch atatisha zaidi akichukua flow akaifanya zaidi kwenye modern flow na uandish akachanganya na swaga...kuna lugha naikosa kueleza vizuri...jamaa mkali watoto wa mjini wanasema akifika mjini atatisha zaidi haina maana nimemzalau kua wamusoma hapana bro....
@joshuawicklifu28764 жыл бұрын
@@rama2ification nakuelewa mkuu ANA STYLE NA SWAGGER ILA UANDISHI BADO KIDOGO
@ndegeboy34394 жыл бұрын
musoma tuna tisha sana big up sana weremura💪💪
@idrissabyser7274 жыл бұрын
Mnatisha sana
@seventeenpeteru55904 жыл бұрын
Ndy✌🏾
@floveboy51243 жыл бұрын
Ppppp
@frank.fredrick90653 жыл бұрын
Nakubareee man mula
@sumardgerald14354 жыл бұрын
Mwamba anajua..nmependa swagger 🎤🎧
@jamesnatai74304 жыл бұрын
uyo weremula ni combination ya flow zifuatazo...nawasikia 1.kala jeremiah 2.langa kileo 3.mangwear 4. montrah da future 5.godzillah package flan ivii anajua sana jamaa akomae kwenye uandish maana flow anazo nyingi
@fredymachaba223 Жыл бұрын
Umesahau na mchizi wangu kutoka A-Town wanamuitaga Stopper Kama hujasanuka sikiliza Ngoma ya mtu tatu kaka. Huyu homeboy hatar sana. Ntakutafuta homeboy
@SamuelCharles-1114 жыл бұрын
Jamaa nimependa the way ananyooka💥💥💥🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@denismakweba38704 жыл бұрын
Kanda maalumu like hapa 9:43 degere victoria hkuna papa Mass town,stand up
@akidakidinilo96164 жыл бұрын
Mwamba ana floo ya kipekee sana, hatumii nguvu karelax
@kenmtitu91374 жыл бұрын
hujamuona toxic wewe
@akidakidinilo96164 жыл бұрын
Aahh Toxic ni baba la michano hususan freestyle huyo ni noma mzee
@kassimabdalla19873 жыл бұрын
Were mulah ni Moto sana zaid ya uyo tocix, uyu ni balaaaaaa mzeee
Kama umeon weremura ana flow kama kalajeremia like zenu.............💥💥💥💥💥💥
@hiphopmagumash67394 жыл бұрын
Vation Tz hakika akunapingamizi
@peninautonga7434 жыл бұрын
Nakuku bal were mula Bg up San🎶🗣️
@officialmutrahlg24842 жыл бұрын
Hakuna kitu kama hicho
@davidnyangi21862 жыл бұрын
Am still listening to this and its November 2022, Huyu kijana Hatari sana......Flow iko sawa
@maarifaonline4993 жыл бұрын
Damn!.. Wakali wengi sana Bongo! Jamaa kipaji kikubwa mbaya. Nimekua shabiki leo leo nimekujua. .. 💥🔥
@salmanack24514 жыл бұрын
HUYU JAMAA SIOMTU MZURI AISEE
@frankchamba88944 жыл бұрын
Jamaa unaweza ukweli kabisa mungu amsaidie apate support .sound like kalajeremiah
@tembomlawa20654 жыл бұрын
Jamaaaa yupo safi hawa ndo wanaafa sana kusikiliza hip hop good
@hiphopmagumash67394 жыл бұрын
Tembo Mlawa hip hop safiii
@wankyroshna55444 жыл бұрын
Nahic ujumbe umefika coz dj leo katisha kajua kwenda na style ya uchanaji wa mchiz.. ndo mana mchiz kwnye coment tu inaonesha kiasi gan katisha.. kwaufup Dj katisha na mchiz katisha.. nice
@paulmgoli48534 жыл бұрын
Verse ya kwanza tu unajua kabisa jamaa anajua 👊
@brysonsabun46574 жыл бұрын
Jamaa ana kipaji hayuko ki-underdog kabisa!!
@degreededon97544 жыл бұрын
Wakiafrika wapili uyuu🔥🔥🔥🔥🔥
@SamuelCharles-1114 жыл бұрын
Duuh huyu mwamba dakika ya 5:08 katembea vizuri mpaka kapitiliza Ani🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼😀
@mengichsheikh11 ай бұрын
This is the best free style I have ever seen in this channel this were mulah is on fire 🔥🔥🔥 Every time I visit this channel I don't tire listening to him ...much love from Kenya ❤❤❤
@briandelight67764 ай бұрын
Noma sana mzaz
@nuhmziwanda10314 жыл бұрын
Kama wa mkubali huyu dogo ngonga like hapa
@daniellewiskubojakuboja74274 жыл бұрын
Wamusoma like hapa tumsapoti huyu dogo
@beesmarttv37924 жыл бұрын
Dah sana tu mwanangu tuwakilishe
@edsonnyamwela66694 жыл бұрын
Jamaa ana flow kali sana kama Motra the future ila kama yeye pia
@aminimkosa074 жыл бұрын
Silagi sembe simba tanasha dona hahahahhaa kama umeelewa hii gonga like
Dk 10 za maangamizi Ndio my favorite kipindi nimesikiliza floor nyingi lakini huyu were muller ni shida anajua mnoo ,kwa siku narudia kuangalia hii floor zaidi ya Mara 3.big up were muller
@msimika_III2 жыл бұрын
😁😁😁🤝🤝
@jackson49774 жыл бұрын
baba la baba umetishaaa musomA tuko motoo unawasha vinu tuu muller 🔥🔥🔥 homieboee
Daaaaaah huyu mshkaji noma sana people kama hawa ndo wakuwapa suport mana huwa wanaishiaga kula mjani ila daaaa💥💥💥💣
@ibrahimdahir70363 жыл бұрын
Mullah tumeakubali kenya hadi nadai collaboration moja
@JohnWaitara-n2l2 ай бұрын
Mdogo wangu unajua sana
@geofreydavidmark98574 жыл бұрын
Jamaa anajua sana katembea na mudundo balaa
@stonerdrawsie11254 жыл бұрын
jamani, anaejua io instrumental ya kwanza alioanza nayo....... jina lake🙏🏾
@emmanuelnyangwe99034 жыл бұрын
All the way from Mass town (Mara). You murdered it brooooo
@pascalballer Жыл бұрын
Watching from Kenya, this is ICONIC 💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eastafricanbaes18184 жыл бұрын
The show is burning...huyo jamaa ako sawa kuliko wengi.#Bringbackqueenfifi ....
@mbarakasaidi82433 жыл бұрын
froo kali sema kaza kwenye uwandishi
@jeremiahyohana34 жыл бұрын
Kama umeona jr michano ya weremura imemchanganya mpaka kapoa ngonga like hapa 😂🤣🤣
@potiyowatz8364 жыл бұрын
Naic
@UmuAiman-o4h Жыл бұрын
Oya simchokaga Mwanangu❤❤❤❤❤❤❤ from kanda ziwaaaaa
@stellamayaya75244 жыл бұрын
Another genius on this one you kill em
@greysonsindini54894 жыл бұрын
Daaaah jr ulichapia unaitwa wap unatokea wap
@yusuphhemed26112 жыл бұрын
Daaah Were Mulaah...noma sanaa!!
@joanesochiengawiti52834 жыл бұрын
From 254 kali sana mwanangu 👊👊👊👊
@Madinitv_4 жыл бұрын
254 Musoma Mara Tanzania
@ramaddisperado40122 жыл бұрын
mauwaji ya kutisha🙌🙌🙌
@shabanmahmoud983 Жыл бұрын
Hii kitu nimerudia kama mara 10000000000000 to infinite kuna taste Furani hivi hasa 5:16 😎 harafu kama Jr anamkubali sana mwana maana hizi flow zina taste na Zina vibe isee huyu hip hop it’s all about taste, flow and vibe…….Ngoja tuishie hapa maana “ Rungu ndo linaumba manundu”