Asante wa andishi apo ndio tunafaamu hawa awana myo ya kupendana kila moja ana roho mbaya
@Adinaci12 күн бұрын
Nimecheka snaa😂😂😂 melody zimekaq kweny mfumo wote
@ibrahimally11265 күн бұрын
Wote tuliwapenda sana acheni ugovi mshakua wakubwa
@bojomohamed999912 күн бұрын
tunda anakaa mkweli mana sana zaidi anaesaidiwa hupenda kujikweza
@patmanmutumosi64887 күн бұрын
Mumu shauriye uyu kaka,sio sawa
@olivadaboy931315 күн бұрын
Natamani interview na istafrican Radio ni pate jina mtaani nami niwe maarufu kama kina tundaman ni miliki minoti$ ni jenge, baba na mama kikubwa sana mkaombe duwa🙏🙏🙏
@desekepi14 күн бұрын
IPO SIKU KAZA 🔥
@ahmedyissa47779 күн бұрын
😂😂😂
@DM_1514 күн бұрын
Spark bwana noma
@thabitdaudi981511 күн бұрын
Mwamba anaonekana mshamba sana wa magari
@westonyjob174715 күн бұрын
Umetisha tunda
@Jamila_199613 күн бұрын
Nampenda spark
@paulamos920113 күн бұрын
Spark yupo vizuri /nipe ripoti katunga spark na ndo maana alikuja ripoti namba mbili
@brosataasisi365711 күн бұрын
Tunda fala sana
@kelvinedens268513 күн бұрын
uyu jamaaa ukimfuatilia anatabiaa kama ya mchomeeee
@HassanJunior-t3n14 күн бұрын
Spark aliongea vizr kuliko tunda
@Khalidniya38014 күн бұрын
Nipe ripoti ilikua moto sana hata Burundi ilikiwasha saana
@kipetasingo277414 күн бұрын
Nipe ripoti angekaa feruzi mule ingekua ni moto ya kuotea faya 🔥
@mwajamii14 күн бұрын
ILIHIT BILA FEROOZ CZ ILIPANGWA IWE HIVYO.WAJUAJE ANGEKUA NDANI HAINGEENDA MAHALI
@spartachize12215 күн бұрын
Richie apo umechemka...... Umetumia akili kidogo sana kwenye kumpigia spark.
@DanielMwenebokyo14 күн бұрын
Eti Leila na nipe ripoti beat zinalingana wakt moja ni reggae nyingine ni kama imelala hv
@bonifasjk229014 күн бұрын
Unasikia radio kwenye interview sindio aah basi sawa 😂
@IdrisSudiMwagore10 күн бұрын
Huyu tunda muonekane wake na nyimbo zake yukoo tafauti na alivyo anakaa mgovi sana alafu nimchoyo na anawivu na wenzie mshamba sanaaa
@joetheone33546 күн бұрын
Mswahili Swahili sana, ndiyo maana mtanga mwenyewe Awena aliwashindwa
@DanielMwenebokyo14 күн бұрын
Maelezo ya Tunda man yanaonyesha ni ya uongo kabisa spark kanyohosha maelezo yake fresh , tunda man analazimisha watu wamuelewe kwa nguvu
@Jamila_199613 күн бұрын
Kabisa,kisha ogopa sana mtu anaeongea ongea kila mahali kumtuhumu mwenzake na mwenzake haongei sana. Tunda ni muongo
@IkramMbega14 күн бұрын
Acheni upumbavu we tunda zee zima unapelekwa pelekwa na watoto ao
@Peterchila-un2lx14 күн бұрын
Mbona simjuiiii na simfahamu tunda mani
@DavidCurtis-e4c14 күн бұрын
Basi wewe ni mtoto wa 2000
@Peterchila-un2lx14 күн бұрын
@DavidCurtis-e4c Mimi ni mtoto wa 1990
@musiccaentertainment100k814 күн бұрын
@Peterchila-un2lx wewe sio mtoto ni mzee
@DavidCurtis-e4c14 күн бұрын
@@musiccaentertainment100k8 ooh sorry bro kumbe mkubwa wangu, basi itakuwa ulikuwa unaishi bila kusikiliza radio ma hata tv inaelekea ulikuwa huna muda wa kuangalia ndio maana humjui
@Jamila_199613 күн бұрын
Wa 2005 ww
@kweturaha43914 күн бұрын
tunda utu uzima dawa,angalau change kakangu siyo poa,kuonyesha bifu la wazi siyo sawa
@BUZAFILAM13 күн бұрын
Ana roho mbaya huyu😂😂
@disuzer33958 күн бұрын
Baada ya kuskiliza pande zote mbili nimegundua Tundaman yupo sahihi ila watu wanajizima data na wengi wanachuki binafsi na Tundaman ikiwemo watu wa wcb na washabiki wa yanga Nina uhakika kama humuelewi Tunda utakuwa shabiki wa yanga au wcb
@PrinceBonnyTz814 күн бұрын
Hiyi biti mbona hata mim naua😅
@tyronemofekeng71528 күн бұрын
Kikao cha kusutana. Sio interview
@abdullahkazungu402514 күн бұрын
Watangazaji mnatumia nguvu nyingi sana kuwatetesha wasanii
@adam4030-x9r13 күн бұрын
Hizi ngoma nlikua naziimba kama ni mara yako ya kwanza kuniona naziimba ungeamini ni zangu🤓
@NoorAbdallh-k4f3 күн бұрын
Mambo
@gregoryblack683013 күн бұрын
Sema tunda huyu alisemaga amepata ajali nusu ya kufa na kumbe hakuwepo😂😂😂jamaa mkali ila uwaga sound sound
@aristidesmtui65939 күн бұрын
Haziongelewi beat zinaongelewa chord kaka
@gabbypflossy208813 күн бұрын
Spark Mzanzibari nini!? Kila muda anasema ushanfahamu😅
@mckobatz586113 күн бұрын
Neila na Nipe report codes and keys resemblance!!!
@tigejuma986514 күн бұрын
Hata hao aliowataja kwa hio album yke....Bado atakuja wasimanga 2...nipo pale nmekaa 😅
@ziggertv318514 күн бұрын
Kabisaaa huoni kaanza kusema walipokea
@RashidiZaga-l9e15 күн бұрын
Huyu tunda angalia kuanzia wasanii wengi kila mtu anagombna nao sababu huyo jamaa mjuwaji Spack hana shida kabisa et Moo anaingiliaje kka , wala mbosso hawezi fanya kazi naye
@sokastreet7 күн бұрын
Kumbe tunda nyimbo zake kaziwekea security code 😂
@rasheedseleman977910 күн бұрын
Tunda ana lopoka Sana mara hoo kaibiwa viatu
@rajabkiliaki46718 күн бұрын
Mshabiki wa Simba uyo ndio maana yupo lopo sana😂
@PEDELITV14 күн бұрын
Nilichogundua huyu ndo tunda yule aliezaa na whozu maana anachembe za udemu kabisa kila mtu mbaya wake
@dikakimishawasumbwahalisit759612 күн бұрын
Tunda anadanganya hizo ni nyimbo tofauti sema zote ni lege sio k moja hizo
@slovetanzania81214 күн бұрын
Apo tunda mmemtoa kwenye njia mju
@MtwaraBoy-v4q15 күн бұрын
Tunda apunguze kuongea ukweli muziki wetu una uwongo mwingi sana alafu akutane na spack wayamalize kwani wametoka mbali sana haya maisha tu leo yuko juu kesho spack zam yake
@mudyomy597613 күн бұрын
Tunda kaongea kama underground
@musakizaka13 күн бұрын
Wanahabari mnachangia ukuaji wa bifu kati yao,,,
@davemalekela13 күн бұрын
Ndo safi
@kisimbaeconomyzone781312 күн бұрын
Duniani kuna unafiki sana an ata hapa huezi jua yupi mkweli na yupi muongo
@nelsonliwenga178412 күн бұрын
Huyu hajamaa sio mnafki.
@slovetanzania81214 күн бұрын
Asa ayo c mazoezi big
@goodlucktemu314911 күн бұрын
Tusikilize maongezi ya pande zote mbili ila naona Tunda kama yuko really
@aidanmaganga705113 күн бұрын
Tunda mzee wa kulalamika
@FranckDaniel-cc5rg14 күн бұрын
Hako kajamaa nyuma ya tunda mbona kanamuangalia kwa hasiraa😂😂😂
Kama bonge alikwmbia usiongee lolote khusu hilo swala mbona uongee Sasa....kuna vitu vya kuongea n vyengn n ugmvi mtupu 2....
@bengadau554613 күн бұрын
kiukweli spark abaki anakula pombe za kienyeji huko katavi tuu
@Deeber7-f9w13 күн бұрын
Kama nipe ripoti yako mbona hukutoa part two na akatoa spark
@KiduoMasimba-p3p15 күн бұрын
Kweli ila kii kufanana sio 7bu ila tunda nakukubal xn
@KizuriDigital966013 күн бұрын
Codi tofauti watangazaji mnatakiwa kuwa makini.
@KizuriDigital966013 күн бұрын
Yote kwa sababu tunda anaweza kucheza na sauti tu
@MtwaraBoy-v4q15 күн бұрын
Nami naimani spack aliandika mwenyewe sio kama alimuandikia
@VictorBugobola13 күн бұрын
😂😂cha kwanza makund ya bongo ayadumu kila mtu anataka awe mkubwa kumliko mwnzie Cha pili waandsh wa habar nd wanachangia kukuza bifu za wasanii😂
@MBENGATV113 күн бұрын
Uyu jamaa kumbe Choko
@AbubakariSekalutu13 күн бұрын
Rejandar tunda pamambo kaka
@Abby_Shawn_KE13 күн бұрын
🤭Natamani interview na East Africa Radio nijuze watu ni kwanini bado sijatoka kimziki hata kwa kolabo na ALIKIBA
@zubedadaudi20513 күн бұрын
Uyo tunda nae kashakua miyayusho sana Ana kipya
@timothmwakakusyu456312 күн бұрын
Tunda mhuni kama wahuni wengine, nyimbo za reggae na hip hop kuna wkt zinakuwa na code zinazofanana 😂😂😂😂😂 nipe riport unaweza kuimbia hata beat la lucky dude wimbo wa root reggae. Inaonesha kabisa nyimbo ni za spark ila katembelea kwny melody beat zako kwa 60%
@Mbilizi-c5l13 күн бұрын
Ata ukimtazama spack utagundua kua ni mstaarabu namwenye hekima ila tunda man tantalila nyingi
@tanzaniteofficial144511 күн бұрын
Ogopa sana watu wapole duniani
@edgarnestory846610 күн бұрын
Tunda kagombana hadi na mbosso
@FarahaAbonga12 күн бұрын
Izo funguo za gari zinafanya nn tena kwenye masikio uchafu uho🤮🤮🤮🤮
@BernardSadani12 күн бұрын
Nakwann mfikie uko jamani ker pesa ndokilakitu mnagomban sababu pesa
@voicdesition89713 күн бұрын
Kama tunda we limao kibabu
@RaymondKanyama-y5b12 күн бұрын
tunda una kipaji kikubwa
@venanceandembwisye831812 күн бұрын
N upumbavu mjua mnachofanya ndo tafsiri ya upumbavu
@krispinkisanga326115 күн бұрын
Sasa mbona anaulizwa hiki anajibu vingne..hayuko straight kwenye majibu yake..tabia ya mtu muongo huwa anakwepakwepa maswali, ww unaulizwa hiki unajibu kingne
@EdwardAnthony-c7u12 күн бұрын
Msafi huulizi maswali bali unafitinisha 😂
@chandeyusufu957013 күн бұрын
Tunda wacha utoto
@rogatusmeleki166014 күн бұрын
Mguu wa kuku😂😂😂
@stevewanga95715 күн бұрын
Spark kaongea kama mtu mzima ...
@voisaclassic186615 күн бұрын
tunda mbona haeleweki unaulizwa ngoma umeandika ww au vipi unaanza kusema chord zinafanana sasa kufanana chord si ni kitu cha kawaida kwa jinsi tunda anavyoongea nina wasi wasi huenda kweli spark ndo aliandika yeye hio ngoma