Hongera sana kaka mi naimba na kuandika japo cjapata jina ila najua ugumu wa kutengeneza goma
@johnsonkamona73502 сағат бұрын
Mbosso baba bunguzeni izi style za kutiya Sauti za wana dada kwenye muziki basi Nimwaka watatu sasa tumekuwa tumezikia
@timothynzuna7768Күн бұрын
From kenya. We love it!! Mbosso is a true definition of artistry and craftsmanship. Mashairi na Melodies are everything when it comes to longevity, i wish kenyan artists can learn alot from this.
@luttabeatzSZN12 сағат бұрын
Credits to the pianist, who noticed Lizer struggled to find the chord progressions but he came through 🔥🔥Salute to the pianist
@DanielNgui-ez1ra4 сағат бұрын
Bro man kazi zako safi... umehufikisha muziki wa TZ mbali sana.
@ABDULRAZAKSALUMКүн бұрын
Namkubali mbosso coz anajua anachokitaka kwenye kazi zake 🤚🤟
@mashramadhani1989Күн бұрын
Anarahisisha kazi Kwa producer najua muziki.
@remmybrown1854Күн бұрын
Dah! Kwer kutengeneza mziki sio kitu laisi kabisa
@edsonfestoКүн бұрын
Mziki kweli KAZI nikiangalia JINSI mtu anaangaika kufika UJUMBE kwa watu aseee😅@mbosso unajua kak we endelea kututolea vitu SISI tuenjoy hakuna Cha amapiano apaaaa
@ALOMMYTONE13 сағат бұрын
Tanzania hajawahi kutokea Kam mbosso kw uanddisxhi 😂
@CR3IM5 сағат бұрын
This music is something else mmmmm❤️🔥
@lyrics5489Күн бұрын
Fundi wa kuimba mbosso khan nakubali sana 🙌
@justinmapunda35606 сағат бұрын
Mbosso ni zaidi ya producer
@StavoBella-pf6huКүн бұрын
Kumbe mboso mpumbavu saana haass
@MwangizeКүн бұрын
Mbosso wewe ni star ⭐
@osmoboymusic254Күн бұрын
Nipee hWa wasichana 🙏🏿 shida sijui KUTONGOZA .
@farajmanuar358919 сағат бұрын
Muziki mzur nilihisi pia kuna sauti ya zuchu humo ndani.hongera kwa wote mbosso,lyzer,back voice wadada zaid kwa pianist mnajua aseh.
@FistonBurundibwitonzi-ib1sv21 сағат бұрын
Unaweza San baba na usisahau kigeregere mwanzo apo❤❤❤❤❤
@DangerMusictz-n5cКүн бұрын
Brother mboss mungu azidi kukuimalisha Brother ufanye vitu vikubwa zaidi ya ikikitu apa ila ila na mimi najitafuta nafanya music naitaji sapot yako nipo mbagar
@PCBOYchibuOfficialКүн бұрын
Mwenye kipaji chake hauna mbaya
@RadjuNadhiruКүн бұрын
Mbosso Khan unajua hadi unakera👑💥🏆
@GuyZofficiel4066Күн бұрын
you do work that is very professional, I really appreciate it, you are very mbosso in your label, you are the one who works really hard, you always present quality work 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤝🤝🤝🌍🤍🤍🤙🤙
@ondiekibosire617410 сағат бұрын
Pure talent🙌🏿🖤
@upendogerlad594Күн бұрын
Sijui ufanyeje fanyeje ila huu wimbo uimbe tena na isha mashauzi
@TardifMuhindoКүн бұрын
Khan wa bongo minakukubali mwanangu wee mkali sana kweli❤❤
@TariqAgogo.Күн бұрын
Mbosso anajua sana MZIKI🔥big up brother
@nyembobea728515 сағат бұрын
Mboso tanzania 🇹🇿 sana mkali unatisha sana wimbo una nyege kali sana😅😅😅😅
@AntonyKatto10 сағат бұрын
We mbosso weww💥💥💥💥
@moussaayubuchris7491Күн бұрын
Nimeskiya kuupenda zaidi tena na tena aise 🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🥹🥹Mbosso siku gani utafika Burundi jamoniii yani huwa tunasubiriya mwaka baada ya ungine Ila hutokeyiii daaaah ngoma zako kali kinoma Noma
@HassanMwinyimbeguКүн бұрын
Kaka nakubarii ung,eng,ee wako duuuh mim ibadayangu kwako ubak wasafi tu pia maan tangu upo na kund raa yamoto niritaman ukaehapo wasafi iri nipate udambwi udambwi wako na wanasibu ira kiukwer Mee shabk wako wa kwer aminii unavyoo imbaa yn Kira ukitowa kitu huwaa kinanirenga mim 🎉🎉😅😅
@HassanMwinyimbeguКүн бұрын
🙏🙏
@richie_Jk17 сағат бұрын
UWEZO WA MBOSSO KWENYE MZIKI SIO WA KUUPUZWAA
@iamtony_keКүн бұрын
Watoto wazuri hao
@relaxstarman3 сағат бұрын
Kaka mboso unajua lakn mziki wako sio international,cz uendi mbele unarudi ulipo toka shida sio wimbi mzuri ,ww ujawah kutoa wimbo mbaya ila unakosea tu ujui sound gani nitoe kwa level yng ,cz hizi sound ushafanya sana kwa maana utasikilizwa na mashabiki wako walewale nao penda sound yako, ila unatakia ujue kubadilika , kwenye uimbaji maana asilimia90 3:54 kaz zako baibuda hata upiguwe bit la lege utaimba hivy sasa ,itakufanya ubaki hivy uwez kwenda next level mfano kaka Diamondi anasoud tofauti tofaut yn atabiliki van boy ukisikiliza ana toa soud tofauti tofauti,kuna unatakiwa utoe ngoma mtu akikusikiliza ajiulize huyu nani mbona kama sio mtanzania,kumbe mboso sio kila sik kughani tuu , kama shabiki wa muziki wako nakushauri,cz nataman kukusikia ukisound tofauti naamn itakupa mashabiki zaidi
@mustafatsomba6178Күн бұрын
Mbosso Khan you're so talented bro and you're one of the best tanzanian's songwright ❤❤❤❤❤from D.R.CONGO.
@johnsonpascal5892Күн бұрын
Jamaa wa piano🙌
@harmond2020Күн бұрын
Kama huoni d voice yani hauna méga Mwisho kunapiya moto wa mbosso ❤
@rashidyramadhani1485Күн бұрын
Unajua sana kaka 🫡
@meddylizerbaby349320 сағат бұрын
We noma kaka kwani mwenye huoni fundi wewe ila ukipataga comments zetu jaribu kuzi kagua kunaga pia ujumbe katika hizo comments
@AbdallaMrambaКүн бұрын
Kumbe mziki KAZI kubwa iv
@UfunuoTweve9 сағат бұрын
Kaka👌👌👍
@iCoolestprog12 сағат бұрын
One Love From Burundi CP
@salimhamisi29Күн бұрын
Kichwa na kazi❤❤❤ ndo mana huwa napnda kila song yenye inatokea
@edwinfweniКүн бұрын
Mboso KHANI, KHANI mapenzi😂😂😂
@MozartAlinoti-l6dКүн бұрын
Mbosso Khan niatari nakubali sasa wewe ni wa sayari nyingine 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Onemooney780Күн бұрын
Wa kwanza mm au
@HotaeOfficialКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mbosso khani mbagara one
@Chrisnaida_16 сағат бұрын
Mi nilijua back vocals na hizo harmoning kapiga Zuhura
Nimeskiya kuupenda zaidi tena na tena aise 🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🥹🥹Mbosso siku gani utafika Burundi jamoniii yani huwa tunasubiriya mwaka baada ya ungine Ila hutokeyiii daaaah ngoma zako kali kinoma Noma
@JascoIbrahimoКүн бұрын
Mbossso khann mshedodo
@vualemakame1362Күн бұрын
Mimi huwa nawambia marafiki zangu achana na zile kilele pale WCB lakini huyu jamaa anajua kuimba N.B Achana na zile kelele za nyengine.huyu jamaa👐👐
@upendogerlad594Күн бұрын
Kuna ile kelele ya ile mrs loool
@joohkannohmovieКүн бұрын
🎉
@kenrifambiКүн бұрын
Musician
@ArthurjaimboКүн бұрын
Nipe collabo Khan bana najiamini kama mshika banga🙏🙏