Bwana mkubwa unanipa moyo nizidi kupambana God bless you
@BivanyTV Жыл бұрын
Mungu asimame naww Father 🙏🙏
@novatusyohana93492 жыл бұрын
Naji ckia fahari Sana kuelimishwa na muha mwenzang
@kayfatvonline9654 Жыл бұрын
Kaka wewe uko vizuri
@talentdzonetv Жыл бұрын
Asante kk nime elimika na hayo
@Topson74 жыл бұрын
Kaka Asante sana.. God bless you
@murundikazitvlyditiffahruk89544 жыл бұрын
Nipo nawewe mwanzo mwisho
@sumayyamushule67893 жыл бұрын
Asante Kaka, mi nauliza hizi background zinaitwaje kwa kingereza, ni wallpaper au nini
@Actormasunzu2 жыл бұрын
Nimefata ushauri wako na nimefungua hii channel yangu naomba Nisaidie kupata SUBSCRIBERS
@murundikazitvlyditiffahruk89544 жыл бұрын
Unachose nikwel kabisa mim sijasom san lakn nish fany kz nying xn at nikisema nasafir kz il yoyote t nafany at km sijuw nitaangalia mukubwa anavy fany nahap ndo namim nafahm wakat mwingin najikuta nimewazid nilio wakuta namushukul sn mwenyez mung
@connectiononlinetv_tz3 жыл бұрын
Usisahau pia watu weusi hususani Afrika hasa Tanzania Hawapo Tayali kujifunza mambo, ni watu wanaopenda udaku na funny videos, ndomaana hata hii video haina views wengi brother na sio kuwa hawaioni, pita hata kwa millard Ayo utakuta video inayofundisha ina views wachache lakini video ya kajala utakuta ina views wa kutosha. Mfano mimi Mwanzo nimefanya video za ujasiliamali na sikuwa napata views, ila saizi napost udaku na siasa napata watu angalau.. kiufupi waafrika hasa Tanzania ni watu wa ajabu na tumetawaliwa na fikra za kimasikini tunataka kufanikiwa na hatupendi kujifunza
@enyanzuzempa52953 жыл бұрын
Kwa Tanzania kuanzisha KZbin channel kidogo inakuwa na mchakato mrefu,itabidi serikali ilitazame hili maana you tube channel ni njia ya kujiajiri.
@officialgakankara4 жыл бұрын
nataman ungekua ndugu yangu ningekuomba ukanisaidia camera mic na laptop , Nimefikisha SUBSCRIBE 1.2K kutoka kwenye magroup ya whatsapp tangu mwaka juzi lakin sijawa serious ku upload videos kwasababu sina vitendea kazi
@murundikazitvlyditiffahruk89544 жыл бұрын
Asante
@salimbafaqih55872 жыл бұрын
MIMI NINAYO CHANEL TANGU 2014 SIJAINGIZA HATA SUMNI!! SWALI. WAPI NIWEKE BANK ACCOUNT YANGU AU NI WAPI NITAONA INCOME ZANGU PINDI NITAKAPOANZA KUWEKA VIDEO ZANGU? HEBU NIHAFAMISHE NIINGIE WAPI ZAIDI KUWEZA KUWEKA MAZINGIRA YA KUPATA MPUNGA?
@murundikazitvlyditiffahruk89544 жыл бұрын
Unachose nikwel kabisa mim sijasom san lakn nish fany kz nying xn at nikisema nasafir kz il yoyote t nafany at km sijuw nitaangalia mukubwa anavy fany nahap ndo namim nafahm wakat mwingin najikuta nimewazid nilio wakuta namushukul sn mwenyez mung