Binafsi nakushukuru elimu kutujulisha yaliyoko marekani❤❤❤
@GabriellaMakatu-jf2lq11 ай бұрын
Ahsante kaka kwa tuelimisha Mungu kutimiza ndoto zetu Mwaka huu usitupite
@barengayabomiriam Жыл бұрын
Daaaah inshallah natamani Na sisi tufikiliwe kuja uko
@allykaranja43982 жыл бұрын
Vd nzuri sana bro
@DaghauMsule-e3uАй бұрын
Hongera sana
@ngoynzoagermain Жыл бұрын
Asant sana kwa vidéo.. pamoja sana mkuu 5/5 🇨🇩🇨🇩
@mohamedakakombo1165 Жыл бұрын
Asante kaka unatusaidia kuelewe
@imanimbonde-xh7ud Жыл бұрын
Good good !!!
@edwardouma16302 жыл бұрын
Thank you brother we are learning more things about America about America am a Tanzanian for now am from Nairobi Kenya bigup bro have a good day
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Ni pazuri sana wenzetu wako mbali na wamejupangiliaaa
@canisiusibrahim98563 жыл бұрын
Natamani sana kuishi Marekani #ni ndoto yangu sema sina ndgu wa kufikia
@lilianwaflotina12883 жыл бұрын
We Kama mimi
@jovovichmedia94243 жыл бұрын
Msihofu Kuna community za wabongo mnawataarifu wanawapokea
@denisililo14292 жыл бұрын
Woow hapo utakua umetusaidia watanzania wengi sana broo hata mimi mwenyewe ndo ndoto zangu kutafutafuta maisha huko marekani
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Hongera kwa ukarimu wa Taarifa za maisha ya ughaibuni. Watanzania wajifunze pia kujenga nyumbani huku mdogo mdogo.
@alanenos34432 жыл бұрын
Hongera sana , tunamshukuru Sana kwa mchango mkubwa. KIGOMA samaki ni wengi , Kama Kuna soko huko US hata Kama ni dogo, naamini tunaweza kufanikisha kitu...
@seraphinegudo70752 жыл бұрын
Wow... very cool environment
@barakambwaga38232 жыл бұрын
Big amna kazi yoyote yakufanya msaada wako
@nahimanawanjani98652 жыл бұрын
Asate sana
@furahambughi49772 жыл бұрын
Asante sana kwa video zako. Nimejifunza mengi sana. Mazingira mazuri sana, lakini sisi tuliokulia uswahilini haya maisha ya UPWEKE kama huu hatuyawezi. Bila kwenda chako ni chako, bila makelele ya vidogoro, makelele ya muziki, kelele za mpira (heee kiededea), kucheza bao, kunywa kahawa, umbea wa saloon, kugombania daladala/mwendokasi, kuogelea mtoni, kitimoto, nk...... Hahaaaaa mimi nabaki Bongo🏃
@filamupictures93492 жыл бұрын
Sio uswahilini tu hata wa mbezi beach hayo mazingira watayaona ya upweke sana, hata masaki kuna watu siku hizi
@ndetaulwapallangyo84082 жыл бұрын
Mzalendo halisi- mtoto wa Tanzania🙏
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Hii ndio maana wazungu wanajiua Sana kwa msongo mawazo
@ashurakodd15892 жыл бұрын
Asante kwa kutuelewesha
@ismaelmsembwamsembwa84822 жыл бұрын
Nimesgkuru sana kaka kwa helim yako
@CalmWhiteNoise52 жыл бұрын
Asante kk kwa kutufungua kiakili kk lakini sio rahisi kufika uko kk
@luckysichone67052 жыл бұрын
Asante sana kaka nakupata vizuri sana
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Brother Hongera Sana kuwajuza Watanzania walau namna maisha yalivyo huko unyamwezini. Lakini mtu kwao naona Bora zaidi.
@allyhussein59403 жыл бұрын
Shukran ebm
@mercymeriy78512 жыл бұрын
I just love the greenish . seems like caanan or Goshen in Egypt..those who know they know!!!!
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Hongera kuwajuza wabongo . Shida hao watoto mnaokuuzia humo hatima Yao ikoje?
@abdallahmpwatile32652 жыл бұрын
Umenitia nguvu na kuniongezea uwezo wa kifikra juu ya maisha ya huko maana nina ndoto ya kuishi huko Ila sikuwa nayajua haya!
@namelockmaasailady80023 жыл бұрын
Asante Sana kaka
@kenedrocky59642 жыл бұрын
Umenifundisha na kunivutia nizidi kufuatilia hii chanel
@nahimanawanjani98652 жыл бұрын
Nikweli mm maisha ya marekani kama s South Africa kuishi ndani
@sergelwamba83073 жыл бұрын
AKSANTI SANA EBM
@wilsonm.73763 жыл бұрын
EBM nimekuelewa naomba, siku nyingine utuoneshe na slums residency/ uswahilini za marekani tuone zinafananaje tujifunze...
@jumasaid76432 жыл бұрын
OK nikweli kk
@leonardkahimba98152 жыл бұрын
Tuonyeshe ndani ya nyumba
@esterwalter82982 жыл бұрын
Yaani umeniamsha, kila siku tunaambiwa maisha magumu amerika, bora Tanzania, naomba kuuliza nitawezaje kupata kazi uko marikani?
@burundishallsmile1day1092 жыл бұрын
Asante kiongozi Kwa ufafanuzi Je vipi maisha Houston!?
@morriceambaisi7592 жыл бұрын
Jirani yangu niko hapa Joplin Missouri..
@janetmuhando14192 жыл бұрын
Afu wewe inaonekana unapenda sana NYAMA choma🤣🤣🤣🤣🤣 Asante unatufundisha mengi tusiyoyajua
@marwamarwa68362 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Nimependa hizo dustbins.Hapa bongo ukiziweka vibaka hawaziachi😂😂😂😂
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
not only bongo even here USA 🇺🇸 wanaibaga pia 😂😂😂😂😂
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Bro huku bongo usipokuwa na fensi hiyo gari ukilaza nje hautaikuta na ukiikuta haina kitu anzia tairi. Hata huko USA yapo majimbo fence tena electrified. Zamani makanisa na misikiti ilikuwa haifungwi. Leo hii bongo hata kanisani na misikitini kunaibiwa. Huku bongo Bwana maisha uyapangavyo. Mtu kwao.
@canisiusibrahim98563 жыл бұрын
vp mbona,sioni vbanda labda MPESA na vibanda vya mahitaji madogo madogo
@ChoroTesla3 жыл бұрын
Kila kitu credit card
@lintontanui99972 жыл бұрын
Hello EBM utufanyie video ya ndani ya nyumba tuone vile imepangwa.
@slickpointer2 жыл бұрын
😁😁😁"Fishing Fishing Nimetoka Kigoma Mimi"
@denisililo14292 жыл бұрын
Ki kweli kaka mimi mwenyewe ndoto zangu ni kuja huko marekani lakini sina ndugu wa kufikia pia nina passport lakini natamani sna nije huko marekani
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Wewe ndio mimi kabisaaa mawazo yako.
@davidmfundo71452 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri. Sasa Hiyo green card lottery tunafanyaje kuipata mkuu?
@asiamohd55163 жыл бұрын
❤️❤️
@kariakooTv3 жыл бұрын
Huko Missouri kuzuli sana
@IDDY_MHANDO2 жыл бұрын
kaka nisaidie na mimi nifike hukn ila shida shule sijasoma nina kaelimu kadogo sana ka kidato cha nne...natamani nije huko walau nijiendeleze kielimu
@riavlogstz3 жыл бұрын
Kuhusu kununua nyumba kumbe inawezekana kabisa na ukiwa umeajiliwa unaweza kununua
@isacklukinda60542 жыл бұрын
Fishing ufanyagi upuuzi huo, kwanza umetoka Kigoma. Fishing ni kwa watu waliopigika aisee nimecheka sana hii
@shabiruponera43232 жыл бұрын
Duuuh huyu jamaa anavyoongea huwa anani furahisha kwl😂😂😂
@saviorJesusChrist Жыл бұрын
Mjomba apo na kwenye maduka ni saa ngapi kutembea kwa miguu
@mathewspetr24653 жыл бұрын
💞💞💞💞💞🇰🇪
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Hakuna fensi huko hakuna panya road😀
@joycemallem74273 жыл бұрын
Kwakweli najuta kukujua mapema
@KIMALEX2553 жыл бұрын
Hamna wezi huko??
@riavlogstz3 жыл бұрын
14:01 fishing 😂😂😂ebm bhn
@bosslilyg43903 жыл бұрын
Kaka angu wa Kigoma Mjini kabisa, mtoto wa mzee Makulilo, jirani na Kigoma Primary School ya mwalimu Andulile, mdogo wao na Alex, Alexander na Vice, aisee umenichekesha sana uliposema huwezi kufanya fishing 😂😂, hawajui kama nyumbani kwenu ni jirani na Lake Tanganyika kabisa 😂😂 umenichekesha sana Wachu.
@pembemussa28043 жыл бұрын
Japo namie na wa buzebazeba ila huyu bwana mkubwa simkumbuki kabisaaa
@jovovichmedia94243 жыл бұрын
Dah mwalimu andulile mkali Sana nakumbuka alikuja kutusimamia paper la taifa pale kiezya primary school
@fredymwakalunde55442 жыл бұрын
safi sana kaka
@ranayuhase1405 Жыл бұрын
Nahitaji kuja huko nafanyeje
@halimahija21483 жыл бұрын
Mbn hujibu comment
@doctorsamiir55412 жыл бұрын
ikiwa sina ndugu marekeni wala mwenyeji na nimeshinda green card , iwapo kama nitakuja nafikia wapi? na nani atanihost
@ashurakodd15892 жыл бұрын
Je manesota gharama zinakuwaje maana natarajia 2024 uzima nitawasili america nielewehe
@ndetaulwapallangyo84082 жыл бұрын
Usalama ukoje uko?
@canisiusibrahim98563 жыл бұрын
na jee vp wezi hakuna maana sion mageti
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Natamani nije angalau kwa miezi miwili tu na nirud yz..
@wintyapamawalla25392 жыл бұрын
😂😂😂 huwa kuna vibwagizo unavyo vinaniachaga hoi
@makariouscharamba53712 жыл бұрын
Nlichofurahi n bei za magari tu hahha Mbn life n easy tu