Songen mbele tunakaribia nyumban,nyimbo zenu Zina mguso sana
@ericokowa4243 Жыл бұрын
Wimbo nzuri sana congrat's guz,mzidi kabisa mungu awainue
@florencekwamboka7671 Жыл бұрын
Wimbo mzuri,mbarikiwe🙏🙏
@chrisshonga2 жыл бұрын
MUNGU awabariki sana kwa karama njema ya huu uimbaji wenu wenye kutia moyo
@rehemaezekiey49912 жыл бұрын
Mubalikiwe sana kwa nyimbo zenu zuri zenye ujumbe mzr
@kananisarafe8582 Жыл бұрын
Nawapenda sana Iringo kwa nyimbo zenu zina ushuhuda mwingi na Sauti nyololo. Mungu wa Mbinguu awabariki sana.
@JoffreyMussa2 күн бұрын
God keep on loving you
@ellonabilla4384 Жыл бұрын
Barikiwa sana Iringo SDA Choir
@Jaclinemaseba2 ай бұрын
Mfike mbali kwa kimuweka mola mbele
@maquevidaz62752 ай бұрын
What a lovely song ❤
@doricamaisangara53985 ай бұрын
Nawapenda sana Iringo kwa nyimbo zenu zenye jumbe nzito Mungu atusaidie tufkke huko
@godfreybruno34432 жыл бұрын
Mungu awabariki kazi nzur sana
@donjoze Жыл бұрын
❤❤❤❤ you have made my day ba dear. Thank you so much & God bless you for me & my family
@KatunguMulenziКүн бұрын
Ni kweli kabisa
@jafarisimfukwe44136 ай бұрын
Mbarikiwe Sana
@KennedyMarube-fy4kd7 ай бұрын
Thanks Iringo for thi gift God bless you am blessed this morning
@JoramNgaci2 ай бұрын
Mola awabariki na awrinde mnapo fanya huduma ya kuhubiri neno la Bwana
@JACQULYNEMUASA Жыл бұрын
Amen barikiweni napenda choir za Tz sana nidhamu na uvaaji wa Kiungu
@Musyoka-r2s2 ай бұрын
Pokeeeni kibali katika jna la yesu
@charlesochola95552 жыл бұрын
Hongera sana, wimbo wenye funzo zuri
@jerem4964 Жыл бұрын
Amen, mubarikiwe sana wana iringo🎉🎉🎉
@wilfred6309 Жыл бұрын
VERY NICE LYRICAL MUSIC LOVE IT BE BLESSED
@jamigventures902124 күн бұрын
Ninge penda kuwa ita hawa Kenya muna tetemesha MUNGU awa bariki But 2026 Muta kuja JAMHURI KENYA
@MossesOchora-j9i5 ай бұрын
Iam yield you.
@MisanaManjebe Жыл бұрын
Amina,nyimbo nzuri, BWANA awabariki.
@KennedyMarube-fy4kd7 ай бұрын
Amen Iringo
@shukhuranpetro57962 жыл бұрын
Amina
@KAGABOKALISACALLIXTE9 ай бұрын
Mungu awape uwezo wakuimbia mbinguni
@atienonyarkisa17712 жыл бұрын
Aminaa 💕🙏🙏🙏
@barakawilson10792 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana wapendwa
@jacklinethomas79202 жыл бұрын
Barikiwa pia baraka
@samedifrancis902 жыл бұрын
Amina MUNGU azidi kuwa pamoja nasi
@elkanahmakori7671 Жыл бұрын
Good work keep it up
@keyamemmanuel-cx5js Жыл бұрын
May GOD bless this choir
@edinahochiche4718 Жыл бұрын
Be blessed abundantly my dearest brethren
@astarcalonduh852825 күн бұрын
Amen..
@kubwimanaemile75 Жыл бұрын
Be blessed beloved of God and keep strength from heaven
@alicejuma964111 ай бұрын
Iringo esd church EDENI wako wapi ninge penda kujua mahali wapo number yasimu nipigie mama Judy.nyimbo huo imetia moyo wangu huzu I. May God bless them all
@michaelbrazil42242 жыл бұрын
Amen ,mbarikiwe sana Watumishi 🙌
@joeocen16252 жыл бұрын
The songs is good but my request is that translation is needed in English
@jafarisimfukwe4413 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana
@sauud2some471 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@styvenhavyarimana Жыл бұрын
Très belle chanson
@DastanChipalamoto11 ай бұрын
Mungu ni mwema Kila wakat
@ishmaeltabut422611 ай бұрын
Oopoo90]]]
@wangwedaniel711511 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@risperachoki20172 жыл бұрын
This is my choir,from🤣🇰🇪🇰🇪
@evesyl93432 жыл бұрын
This is the Tanzanian
@evesyl93432 жыл бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼
@irenegeogrey90292 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Baba
@eddienabongo9860 Жыл бұрын
❤🙏🙏🙏
@janenyatichomboga5894 Жыл бұрын
Nice
@NoahSeludao2 ай бұрын
Soma biblia vzr ulinzi ulieekwa baada yakuas malaika akawekwa ili wasije wakala matunda yamti wa uzima
@chrisshongaАй бұрын
unachotaka kusema ni nini sasa! yaani moyo wako umeshindwa kufarijika na hizo sauti tamu mpaka umeaona wamekosea maandiko! Ushindwe
@evelineobure71622 жыл бұрын
God bless this choir.
@alicejuma964111 ай бұрын
Hawabarikiwe nataka number yasimu nipigie mama Judy.
@nicetoknow272 жыл бұрын
Adamu na Eva hawakula matunda ya mti wa uzima, bali ya ujuzi wa mema na mabaya. Mwanzo 2:15-17 Biblia Habari Njema (BHN) 15. Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. 16. Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; 17. lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”
@jeanclovisnzikibazanye74822 жыл бұрын
Amen
@SamwelMagori-ow7bz Жыл бұрын
Slati se etiro
@ALBERTMHEZZI-sd2et Жыл бұрын
Hiyo biblia mliyotumia ni ya kwenu nyie waimbaji .Nawashauri Ondoa huu wimbo nenda mkabadilishe ili iendane na BIBLIA.BIBLIA yangu haisemi walikula,ila malaika waliwazuia kwa ulinzi mkubwa.Tafadhali ondoa,wimbo hauhubiri mtu.Mnachakachua.Msiharibu nebo Yetu.