Рет қаралды 1,154,145
Chorus:
Katika njia zangu bwana ananiongoza kwa hakika mi sina hasara,
In all my ways the Lord truely leads me indeed I have no lose,
Katika njia zangu Bwana wangu anilinda,
In all my ways the Lord protects me,
mapito yangu aongoza. katika milima, katika mabonde,
My path he leads. Be it on Mountains, in the valley,
Na kwenye giza bwana ndiye mwanga wangu.
And even in the dark the Lord is my light.
Na yawe magumu, mazito, mfariji wangu ni Yesu.
And whether it's hard or heavy laden my comforter is Jesus.
Kwenye majani mabichi hunilaza...kando ya maji matulivu niko pale! Sina hasara...
He lays me on green pasture!..And on still waters, I lay down!.. Indeed I have no loss!
1.
Nitayainuwa macho yangu, nitazame milima..
I will lift up my eyes, and look unto the hills..
Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika bwana.
Where will my help come from? My help is in the Lord.
Hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wangu.
He that keepeth me will neither slumber nor sleep.
Atailinda nafsi yangu, atanilinda nitokapo na niingiapo..
He will guard my soul, he will guide me when I come in and when I go out.
2.
Kwako Bwana wangu mimi sitoki, sibanduki kamwe..wanituliza moyo.
To you my Lord, I will not leave, and not planning to.
wanituliza moyo, ninapodhohofishwa na changamoto za dunia..
You comfort me, even when I am overwhelmed by the challenges of the world.
Nikianguka, waniinua, nafsi yangu Bwana imo mikononi mwako..
When I fall, you lift me up, my soul is on your hands oh Lord.
Mwamba imara, wewe watosha nitakusifu milele hata na milele.
My solid rock, you are enough. I will praise you forever and ever.