Hongereni sauti nzuri zimetulia Mungu amlaze mahali pema mwalimu J.Mgandu 🙏
@Amatha_K Жыл бұрын
Amina, tumshukuru Mungu🙏🙏
@lilianalara8007 Жыл бұрын
Ee bwana kumbuka Rehema zako 🤲🏼Kazi nzuri dadazangu,mungu awabariki kwa ukumbusho wa Mwalim mrehemu John Mgndu,Mungu ailaze Roho yake pema🙏🏼
@Amatha_K Жыл бұрын
Amina
@Amatha_K Жыл бұрын
Tubarikiwe PAMOJA nawe mpendwa
@innocentherman5101 Жыл бұрын
❤
@vicentmigodela190 Жыл бұрын
Utunzi Bora uliotukuka Sanaa, nyimbo zako zinagonga nyoyo hazichuji hazichoshi nitamu mnooo.upumzike kwa amani John mgandu
@Amatha_K Жыл бұрын
Aminaaaaa. Kweli kabsaaa ndugu yangu
@bakhitamissanga18212 жыл бұрын
Kazi nzuri Tumshukuru mungu kwa ajili ya maisha ya mtunzi mahiri Mgandu. Tuendelee kumuenzi kwa kujifunza unyenyekevu na utii na kuimba nyimbo zake nzuri🙏🙏.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Amina, asante sana
@gabriellyimo409 Жыл бұрын
nice 🎶
@Amatha_K Жыл бұрын
Thank you
@ireneushaule7711 Жыл бұрын
❤❤❤👏👏👏
@Amatha_K Жыл бұрын
🙏🙏
@danielmatemu9698 Жыл бұрын
Ongezeni Tenor na Bass please itapendeza sana
@Amatha_K Жыл бұрын
Asante Kwa ushauri
@wenimsigwa93662 жыл бұрын
Wimbo mzuri, Mungu akubariki akupandishe viwango vya juu kwa kibali chake mwenyewe.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Amina Kaka, asante sana
@adamdaudi6191 Жыл бұрын
😀😀😀, Amatha kama siyo wewe nayekuonaga kule status
@Amatha_K Жыл бұрын
😅😅😅kanuni ni moja, hakikisha unawafurahisha wanao kuzunguka ili nawe upate furaha🤣💃🤣 welcome back to my status😂🎉😂
@Peter_Perfect_Maurus2 жыл бұрын
Hongereni sana na Asanteni kwa tafakari hii nzuri 🙏, Marehemu Mwl. John Mgandu apumzike kwa amani, Amina.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Ameeen, asante sanaa
@aggreyngowo44562 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana, Mdogo wangu.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Asante sana
@spelansiakafuka93812 жыл бұрын
Hongera dadaangu, Mungu akuinue kitaifa na kimataifa, ulitangaze Neno la Mungu kwa Uaminifu, Nakupendaaaa
@Amatha_K2 жыл бұрын
Aminaaa, asante
@restitutaleoni4802 жыл бұрын
Hongera sana jirani Mungu wa mbinguni azidi kukuinua
@Amatha_K2 жыл бұрын
Aminaaaa, asante Sanaa jirani
@despinae.mdende2 жыл бұрын
Hongera Sana Dada Kwa Tafakari nzuri
@Amatha_K2 жыл бұрын
Asante sanaaa my dear
@deucpatrick4850 Жыл бұрын
daaah RIP babu mgandu
@Amatha_K Жыл бұрын
Amina
@deucpatrick485011 ай бұрын
@@Amatha_Kbado mambo mengi kumuhusu huyu mtaalamu hayajulikani
@Amatha_K11 ай бұрын
@@deucpatrick4850 tumuombee tuu apumzike kwa amani
@beatusidama62332 жыл бұрын
Mwl. Mgandu JS ama kwa hakika alikuwa anaongea na Mungu katika kilindi cha hali yake. Maneno na muundo wa tungo hii ni dhahiri, mawasiliano ya watu wawili wanaojuana hasa. Ee Mwenyezi, mrehemu ndugu yetu na mpendwa sana mwalimu wetu John Mgandu.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Aminaaa, Kwa kweli tumwombee, Mwenyezi Mungu amrehemu mwl. Wetu na ampe pumziko la Amani na la milele
@editamujuni942 жыл бұрын
Mawasiliano yalikuepo makubwa
@Amatha_K2 жыл бұрын
@@editamujuni94 mnooo, yaan ni maongezi ya kumaanisha hasa. Hilo shairi la pili binafs nalitafakari sana
@proisolution7166 Жыл бұрын
TYK ,mrudi kwenye kwaya zenu muinjilishe ,hv vikundi vya watu wawili na kutulegezea sauti muonekane mnajua kuimba mnatukanisha injili,wacheni(viburi,majivuno,ubinafsi na tamaa ya pesa)hata watu waki visit wengi mwisho wake utatakiwa kutoa hesabu kwa Mungu.soma hii-Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. 14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. 15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. 18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. 19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. 20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. 21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? 23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
@simanjiroanold63822 жыл бұрын
Upcoming artist,, hongera sana Dada umeuimba kwakweli.
@Amatha_K2 жыл бұрын
Asante sanaaa
@franciskironjo93692 жыл бұрын
Waooh soo its here.. God bless you n keep the spirit.. u are doing it very wel
@Amatha_K2 жыл бұрын
Ameeeen, thank you
@glorygabriel63932 жыл бұрын
Congratulations wapenzi 🥰❣️💞
@Amatha_K2 жыл бұрын
Thank you
@restutaadrian992 жыл бұрын
🙏❤
@Amatha_K2 жыл бұрын
🥰🥰🥰my dearest Alto
@cyriluskaijage42272 жыл бұрын
🔥👏👏
@mwinamilafelista53652 жыл бұрын
🙏🏾🥰
@Amatha_K2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@stepheneaugustine67642 жыл бұрын
So sweet! The song is simply beaty and melodious! God bless you my dada