Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

  Рет қаралды 1,984,265

Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir

4 ай бұрын

Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu.
‭Yer‬emia 30:17‬
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA ...
‭‭Yoe‬li ‭2:25‬ ‭
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
Mnamo mwaka 2022, Familia ya Ev. Mchome, ilipitia kipindi kigumu sana baada ya kumpoteza mama yao mpendwa (Aliyeanguka ghafla na kufariki). Majonzi na simanzi kubwa ilitanda mioyoni mwao mithili ya wingu zito na giza totoro, hakuna maneno mazuri ambayo yangetosha kuwapa faraja familia hii.
Na hapa ndipo yalipatikana Mafunuo ya wimbo huu: Full story link - • Neema Gospel Choir - N...
Songwriter & Composer: Herman Mchome
Leader: Herman Mchome
#neemagospelchoir #gospel #nikurejeshee
--
VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024

Пікірлер: 3 400
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
NIKUREJESHEE LYRICS Nasikia kuitwa na sauti yake anasema njoo kwangu nikurejeshe Yaliobiwa yaliyochukuliwa na mwovu anasema njoo kwangu nikurejeshe Nikurejeshe, nikurejeshe Anasema njoo kwangu nikurejeshe Amani ya moyo iliyotoweka usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha vyote adui alivyochua Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea Nikurejeshe Nikurejeshe Anasema Njoo kwangu Nikurejeshe Nikurejeshe Nikurejeshe Anasema Njoo kwangu Nikurejeshe
@kaybkay
@kaybkay 4 ай бұрын
Amani iliyotoweka usitafute kwingne ila kwa Yesu.. hallelujah
@josephmussa0625
@josephmussa0625 4 ай бұрын
Yesu aendelee kuiinua juu sana hii huduma
@paulajoho2223
@paulajoho2223 4 ай бұрын
Ameeen! Hallelujah! Mko vizuri sana. Mbarikiwe sana. ❤
@puritymambih2988
@puritymambih2988 4 ай бұрын
@kevodhiz
@kevodhiz 4 ай бұрын
Nawapenda
@newsreporttv2
@newsreporttv2 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana. Kama unaomba Urejesho April 2024 piga like hapa. 🇰🇪🇰🇪
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@SaidNasibu-pu9dx
@SaidNasibu-pu9dx Ай бұрын
Amen
@mutukiworldwide
@mutukiworldwide 2 ай бұрын
Piga likes hapa kama ume barikiwa na huu wimbo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@jnmsangi75
@jnmsangi75 Ай бұрын
One day ntarudi katika comment hii na Ushuhuda 🙏🏾
@jackyatieno4012
@jackyatieno4012 22 күн бұрын
Amen 🙏
@alicemuvea
@alicemuvea 18 күн бұрын
He gave me back kidneys and liver faithful God
@salomewandya7257
@salomewandya7257 16 күн бұрын
Ameen 🙏🙏
@maureenmushiyi8579
@maureenmushiyi8579 15 күн бұрын
Me too dear
@PCEAImmanuel23
@PCEAImmanuel23 10 күн бұрын
Very soon
@CatherineMtotela
@CatherineMtotela 2 ай бұрын
Naomba nirejeshee nafasi ya kuitwa mama na mimi kama wamama wengine🙏🙏😭😭
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@jlngweshemi
@jlngweshemi Ай бұрын
MUNGU akurendee kwa imani kama alivyo tenda kwa Sara
@JennaSolo6835
@JennaSolo6835 Ай бұрын
God Will surely do that
@roselinenalyaka6125
@roselinenalyaka6125 Ай бұрын
Mungu mweza yote atakurejeshea mummy
@purityngari6821
@purityngari6821 Ай бұрын
Mungu ni mwaminifu. Atarejesha
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 4 ай бұрын
Kama unaamini Yesu analudisha yaliyo liwa ma parale na madumadu analehesha nione like Moja hapa hallelujah analehesha🎉🎉 🎉🎉. Congratulations all the team neema gospel Mungu awazidishie
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen🙏
@saraphinaramso6387
@saraphinaramso6387 3 ай бұрын
Aimeeen
@ezelinemboma1716
@ezelinemboma1716 3 ай бұрын
Amen
@JacksonJackson-ny1mi
@JacksonJackson-ny1mi 2 ай бұрын
Kiukweli analejesha hakika
@user-yf4dm8dn2q
@user-yf4dm8dn2q 2 ай бұрын
mungu atarejesha
@lutumbinduta1702
@lutumbinduta1702 3 ай бұрын
Wanaorudia mara kwa mara wimbo huu wa upako mnoo gonga like za kutoshaa hapaa.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@lutumbinduta1702
@lutumbinduta1702 3 ай бұрын
Mbarikiwee sana watumishi wa Mungu. Mungu azidi kuwainua Juu sana zaidi ya Hapo!!
@BeatriceMwakyusa-xi4gk
@BeatriceMwakyusa-xi4gk 3 ай бұрын
Munofu wimbo mzr san
@wuodoketch
@wuodoketch 3 ай бұрын
💪👍🙏🏾👍🤗👍👍
@jael2450
@jael2450 3 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤
@qnmwashuya-dq4vy
@qnmwashuya-dq4vy 3 ай бұрын
Ten days ago nilisikiliza huu wimbo nikaandika bwana arejesheee afya ya mama yangu Figo, inni, uvimbe na tumbo kujaaa maji Sasa bwana amerejesha kwa imaniiiii thanks Jesus umeleta aman na furaha kweli vyapatikana kwako. Thanks watumishi walimwombea mama yangu na huuu mwimbo umeongeza imaniiiiiiiiiiiii. Daah bwana Asante mbarikiwe sana neeema group
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen tunafurahi kusikia huduma iliyofanyika kupitia wimbo huu❤️🙏🙏🙏🙏 Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 3 ай бұрын
Amen Mungu wetu ni mwaminifu sana🔥
@user-zk5dj7kp9z
@user-zk5dj7kp9z 2 ай бұрын
waoooh prays the Lord
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 2 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@kategodia334
@kategodia334 2 ай бұрын
Amina
@loycejames
@loycejames Ай бұрын
Wanaotamani hii nyimbo ifike 3 million views. like hapa 🙏🙌
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥Amen na iwe hivyo
@TheWorldGospel
@TheWorldGospel 4 ай бұрын
Gonga Likes hapa TUNAOREJESHEWA 🔥🔥🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🙏
@triphoniaallute8934
@triphoniaallute8934 4 ай бұрын
❤❤
@jafaliomarymapeyu
@jafaliomarymapeyu Ай бұрын
yaaaaaaaaaaaaniiiiii nihatari nanusu
@yonamwakilembe1152
@yonamwakilembe1152 2 ай бұрын
kama wewe pia umesikia kuitwa na MUNGU through this song usiache kulike 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-vu2in9wi1x
@user-vu2in9wi1x 2 ай бұрын
Namuomba Mungu anirejeshehe kupitia wimbo huu
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 Ай бұрын
Amen ❤
@achievefinancetz
@achievefinancetz 22 күн бұрын
Acha kabisa I am blessed beyond measure, this song has something I can’t explain only my heart feels it. Nimebarikiwa.
@user-gf3gn4qh2q
@user-gf3gn4qh2q 2 ай бұрын
Nimeanza kuusikia huu wimbo kwenye msiba wa mama yangu ambae ametwaliwa, wimbo umekuwa ukinipa nguvu, tumaini jipya, ktk kipindi hiki kigumu, Hakika amani, furaha inapatikana kwa Bwana Yesu pekee😭😭😭😭😭😭
@catherinemnuga2440
@catherinemnuga2440 2 ай бұрын
MUNGU AKUTIE NGUVU NA AWE MFARIJI WAKO MPENDWA
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen hakika Mungu anarejesha amani yote, pole kwa msiba mpendwa wetu🙏
@user-ss8mn8wu5r
@user-ss8mn8wu5r 2 ай бұрын
Pole mpendwa kweli mungu ndo anaerejesha vyote usife moyo
@febianandunguru8054
@febianandunguru8054 2 ай бұрын
Pole Mungu akawe mfariji wako.
@lucykayombo9987
@lucykayombo9987 2 ай бұрын
Amina, moyo wako ufarijiwe na Bwana Yesu, ukikumbuka neno Lake kuwa kifo sio mwisho, tutaonana na wapendwa wetu bado kitambo kidogo
@elibarikikija6482
@elibarikikija6482 Ай бұрын
Kama duniani ni burudani hivi vipi huko mbinguni,
@achievefinancetz
@achievefinancetz 22 күн бұрын
Sijui mbinguni itakuwaje aisee this is too much furaha na blessings. Nampenda sana Yesu
@marymrefu4096
@marymrefu4096 4 ай бұрын
Jana usiku Mungu alinifanyia jambo kupitia huu wimbo😭😭🙌🙌🙌🙌🙌nilikuwa naumwa kichwa sana kwa masaa karibia 6 kuanzia mchana hadi saa 5 usiku ila nilipoweka huu wimbo na kutamka urejesho kabla hata ya wimbo kuisha nilipata nafuu ya ghafla sana na nikawa mzima kabisa😭😭🙌🙌nilikuwa siwezi soma sababu ya kuumwa ila namshukuru Mungu kupitia NIKUREJESHEE nilirejeshewa afya yangu na nikaweza kusoma na kufanya mtihani🥰🥰 nikiwa ndani ya chumba cha mtihani huu wimbo umekuwa unazunguka tu kichwani mwangu mwanzo mwisho🙌🙌 Hakika Huu ni mwaka wa marejesho🙌🙌🙌🙌🙌Mungu azidi kukubariki familia yangu❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
What a testimony, Mungu aendelee kutukuzwa kupitia ushuhuda huu, umebarikiwa sana mpendwa 🙏🙏🙏
@marymrefu4096
@marymrefu4096 4 ай бұрын
Amen❤❤
@purengeikasosikerry6663
@purengeikasosikerry6663 3 ай бұрын
A living testimony!Our God can restore anything!!!🎉❤❤
@user-pq3iq7hx7x
@user-pq3iq7hx7x 3 ай бұрын
Amen
@josephinemtei186
@josephinemtei186 3 ай бұрын
Amen❤❤❤
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 4 ай бұрын
Kenya tufanye viile likes zipandeee 🇰🇪🇰🇪....Willian & Andrew mko fire sana 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@paulgitahi4992
@paulgitahi4992 2 ай бұрын
Mara that that folks ....am restored in Jesus name🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gracejackson836
@gracejackson836 2 ай бұрын
Ninarejeshewa kila adui amechukua iwe kazini,ndoa,biashara, familia vitarejea in the might name of JESUS❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@JennaSolo6835
@JennaSolo6835 Ай бұрын
And so be it
@Ev_mwl_daniel_mollel
@Ev_mwl_daniel_mollel 28 күн бұрын
anirejeshe zaidi ya shetani alivyo iba kwangu wimbo huu ni wa wakati kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
@MedelinaSandagila
@MedelinaSandagila Ай бұрын
Mungu naomba unirejeshee vyote adui alivyochukua kwangu katika jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
@DottoKillangi
@DottoKillangi Ай бұрын
Mungu nirejeshee Neema yako kristo nipate haki,furaha na amani yako
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@kilangiih
@kilangiih 4 ай бұрын
Mnaosubiri kurejeshewa na bwana siku ya kesho mkuje hapa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇳🇬🇺🇿🇹🇰🇹🇬🇹🇯🇺🇸🇵🇷🇸🇷🇸🇸🇺🇬🇰🇪🇺🇸🇷🇼🇷🇼
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Dansonny203
@Dansonny203 4 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gracepaul5901
@gracepaul5901 4 ай бұрын
🎉
@paulgitahi4992
@paulgitahi4992 2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪team kubwaa Iko ndani❤❤❤❤❤❤Aki u guys mko tops
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 Ай бұрын
Amen ❤
@wuodoketch
@wuodoketch Ай бұрын
Awesome AMEN tumevukaa 1M already 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾wapi likes ya Kenyans 🇰🇪🇰🇪
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen
@mercynmuraguri1455
@mercynmuraguri1455 2 ай бұрын
Who is watching the 10th time. Beautiful song....blessed assurance from Jesus...nikurejeshee......
@lindakisaka4467
@lindakisaka4467 2 ай бұрын
Listen to it everyday!!
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@NyabonyiKairo
@NyabonyiKairo 4 ай бұрын
2024 kila kilichoibiwa kinarejeshwa Afya yangu Uchumi wangu Ndoa yangu Kazi yangu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Naiwe hivyo katika jina la Yesu🙏
@leahkajuju3447
@leahkajuju3447 2 ай бұрын
In Jesus name amen
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH 4 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda sama music 🎵🎶🎶🎶🎶 neema gospel choir naoma like hapa za neema gospel choir nikurejesheeee
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Ubarikiwa sana mpendwa 🙏
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH 4 ай бұрын
@@NeemaGospelChoir amen
@sarahonyango-xp8vg
@sarahonyango-xp8vg Ай бұрын
Naamini anarejesha vyote na ushindo mkubwa katika jina Kuu la Yesu Kristo mwana wa Mungu
@wuodoketch
@wuodoketch Ай бұрын
We are heading to 10M by the end of the year 🤗 this awesome Wapi likes wa Kenyans 🇰🇪 God bless you guys
@liliankemunto1349
@liliankemunto1349 Ай бұрын
Shetani aliiba mume wangu akafa,yote ntapata kwake Yesu
@ndechiliotarimo
@ndechiliotarimo 25 күн бұрын
Mungu akulinde katika mahitaji yako ,Pokea Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@jacksonadamu2654
@jacksonadamu2654 25 күн бұрын
God will comfort you my sister❤
@gilbertkipkirui3261
@gilbertkipkirui3261 4 ай бұрын
Huu wimbo una mguso sana Herman mchome yupo na sauti nzuri na pia kipaji cha ajabu..mavazi pia yameenda shule , instrumentalists: Andrew, Willian and the lead pianist na wote kwa jumla mzidi hivo hivo huku Kenya 🇰🇪 mnapendwa sana ...kenyans likes zipae kama kawaida ❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen tunawapenda pia🇰🇪🇰🇪🙏
@wuodoketch
@wuodoketch 4 ай бұрын
Awesome 👍😎
@Pascalmwise1994
@Pascalmwise1994 3 ай бұрын
May almighty God restore me
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 3 ай бұрын
Naomba namba yenu ya simu
@nickyamani7402
@nickyamani7402 3 ай бұрын
I personally this guy takes me to dimensions of worship 😢😭😭😭😭🥺my neighbors are wondering why I'm repeating this sound overnight 😢be blessed
@magrethjsimon6272
@magrethjsimon6272 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭🙏🙏mungu naomba nilejeshee mtoto wangu nilie nyang'anywa
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako🙏🙏
@cathryneenos8288
@cathryneenos8288 2 ай бұрын
Amen Na Mungu wetu akusikie mpendwa
@yvonneivo6617
@yvonneivo6617 2 ай бұрын
Atakurejeshea ,namwomba Mungu akurejeshee kwa wakati,Ameeen.
@lilyomary7795
@lilyomary7795 2 ай бұрын
Mungu akupe haja ya Moyo wako. Akurejeshee
@ndechiliotarimo
@ndechiliotarimo 25 күн бұрын
Pokea kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@beatricemghase4104
@beatricemghase4104 2 ай бұрын
Amani ya moyo uliyotoweka usiitafute kwingine,kwa Yesu utaipata…Furaha ya kweli uliyotoweka usiitafute kwingine kwa Yesu utaipata….gonga like hapa
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Hakika tuzidi kumtegemea Mungu🙏🙏
@Sunguti1
@Sunguti1 Ай бұрын
Am still waiting for more miracles to happen to my family and me as well
@julianas2072
@julianas2072 2 ай бұрын
"Nikurejeshee Nikurejeshee anasema njoo kwangu nikurejeshee". Nani anasikia uhakika wa maneno haya katika ulimwengu wa roho kama mimi. Nayasikia ni uhakika na kweli. Wimbo wa msimu huu. Amen na amen.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-jc6fy1dl2e
@user-jc6fy1dl2e 4 ай бұрын
Jaman Tanzania MUNGU ametupa hazina kubwa tunajivunia Neema gospel choir kutoka TZ,,,,miak 100...yan MUNGU namm ucnipite unaporejesha wengine
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
🙏🙏🙏Amen
@EfraimEzekiel
@EfraimEzekiel 4 ай бұрын
Hallelujah hakika mwaka huu tutarejeshewa Kila kitu Kwa jina la Yesu hongereni sana Neema Gospel Kwaya yetu pendwa
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen
@user-dp5ku1dq5l
@user-dp5ku1dq5l 4 ай бұрын
Amen
@deborasimon422
@deborasimon422 3 ай бұрын
Amen
@JudithKabaitilaki
@JudithKabaitilaki Ай бұрын
Naomba urejeshe aman kwenye maisha yangu kile adui kaiibia familia yangu kirud kwa jina la Yesu na ninapokea urejesho.
@user-vg3id5xl9j
@user-vg3id5xl9j 2 ай бұрын
Tunao urudia huu wimbo tujuane maana sio kwa upako huu ❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥🙏
@user-uc1rt9gp5q
@user-uc1rt9gp5q 4 ай бұрын
Je vous capte depuis république démocratique du Congo Mungu aturejecheyee amani katika inchi yetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Merci mon frère🇨🇩🇨🇩 Bwana atawarejeshea amani yake kweli🙏🙏
@wuodoketch
@wuodoketch 3 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@eliumbanambowe722
@eliumbanambowe722 3 ай бұрын
We are praying for you Congo
@DoreenLifardGPP
@DoreenLifardGPP 3 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@AliceInnocent-kv2dz
@AliceInnocent-kv2dz 3 ай бұрын
Amen
@user-kb4jp4vc4t
@user-kb4jp4vc4t 3 ай бұрын
THIS SONG DESERVES A MILLIONS LIKES PLS... LET'S CONTINUE GETHERING SPREAD THE GOSPEL ALL OVER THE 🌎
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@JacksonLazaro-mm3qs
@JacksonLazaro-mm3qs 3 ай бұрын
❤❤ 2024 hii nyimbo nzuri Sana jaman MUNGU azidi kuwatia nguvu watumishi Wake
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana🙏🙏
@even2883
@even2883 2 күн бұрын
Siku moja nitarejea katika comment hii nikishuhudia makuu ambayo Mungu amenitendea na kunirudishia, Amen
@law_otieno1114
@law_otieno1114 3 ай бұрын
Let me leave this comment here so anytime someone likes it i'm reminded to listen to this song
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen, be blessed 🙏
@user-lf2qq2es6w
@user-lf2qq2es6w 3 ай бұрын
I'm a broken who lately met Jesus and I can testify that in I've found happiness in my Lords territory and at the sound of this song my glory is restored👏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏be blessed
@lailamushi3030
@lailamushi3030 3 ай бұрын
You are always a winner you got this...much love ❤
@kamalaeditha5864
@kamalaeditha5864 3 ай бұрын
In deed it is a blessint to us. Glory to God Almighty
@marymaweza5303
@marymaweza5303 Ай бұрын
Wimbo unanipa uwepo wa Mungu ...nirejeshee mapacha Yesu..kma ulivowapenda nirejeshee amein
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen
@unidabusiness
@unidabusiness 25 күн бұрын
Amen
@unidabusiness
@unidabusiness 25 күн бұрын
🙏 ❤
@GodloveKishele
@GodloveKishele 2 ай бұрын
Asente MUNGU Kwa kunirejeshea watoto wangu waliotoroshwa 🙏🙏sifa na utukufu ni kwako Jehova
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@irenekaruga2012
@irenekaruga2012 3 ай бұрын
Joel 2:25 God will indeed restore everything we lost or was stolen. A double portion restoration.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@Nhabato5599
@Nhabato5599 4 ай бұрын
Sio uzuri wa Wimbo tu ,bali hata huu mziki 😂,Majirani nawakera kweli , Muniombee tafadhali😂😂, NGC 😍😍😍😍😍
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
😃😃😃😃😃 Bwana atakulinda na mabaya yote, wewe timiza kusudi lake🔥🔥🙌🙌🙏
@linahsulle1526
@linahsulle1526 2 ай бұрын
​@@NeemaGospelChoirAmen Amen tupo hapa tumewawekea saut mpka mwisho majiran
@user-js6po4zo3j
@user-js6po4zo3j 2 ай бұрын
😂😂tumekuelewa neema ya Mungu ikufunike popote ulipo
@sarakajiu8890
@sarakajiu8890 2 ай бұрын
Na hilo vibe la pianist, ni mimi kabisaaaa😂🙌❤
@hidayamakunga8715
@hidayamakunga8715 2 ай бұрын
Usiwe na wasiwasi uko chini ya mbawa zake MUNGU
@deboraelirehemaurio668
@deboraelirehemaurio668 2 ай бұрын
Mungu atukuzwe juu yenu wapendo mmejua kuukonga moyo ,,,,.wimbo wangu pendwa nimeucheza sanaaa maskion moyoni na kwenye akili haupoi Wala kisinyaa thanks much Mungu wa mbinguni wanarejeshee zaidi
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Wow Utukufu kwa Mungu, ubarikiwe sana🙏🙏
@gloriauroki1769
@gloriauroki1769 Ай бұрын
Watu wanatumia pumzi za Mungu vizuri. Yesu awainue
@dshawno.1894
@dshawno.1894 3 ай бұрын
Bwana ananirejeshea vyote adui alivyochukua..Huu wimbo umekuja kwa wakati mwafaka. Abarikiwe Mungu sana na pia na aliepewa wimbo huu Mungu azidi kuongezeka ndani yake na ndani ya huduma yake
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen endelea kubarikiwa sana🙏🙏
@estherkalengo5493
@estherkalengo5493 4 ай бұрын
Nimefungua KZbin nakukutana na baraka za wimbo huu,Bwana atarejesha hakika 🙌🙌🙏 Much love from🇿🇲
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Much love to 🇿🇲 family 🙏❤️
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 Ай бұрын
Amen ❤
@wuodoketch
@wuodoketch 2 ай бұрын
We approaching 1M mark we are almost there.... this awesome🤗🤗 🎉🎉🎉.... Wapi Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏾🤗
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@wuodoketch
@wuodoketch Ай бұрын
It has to come to pass AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@EverMinja
@EverMinja Ай бұрын
Ee Mungu naomba umrejeshee mama angu aafya njema akapate kuwa na furaha. Muondolee mumivu yote yanayomsumbua mrejeshee afya,amani,tumaini la kuishi😢😢😢😢
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen hakika Mungu atafanya hivyo kwako🙏🙏🙌
@islabocco478
@islabocco478 3 ай бұрын
Nimemuona Mungu kweny hii nyimbo kuna namna maisha yangu yana badilika kupitia huu mwimbo 🙏♥️🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙌
@elishaelia4276
@elishaelia4276 4 ай бұрын
Kila ninaposikiliza hii nyimbo naona kurejeshwa katika kristo mungu awatangulie kwa kazi njema ya kutangaza injili ya kristo❤❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen
@farajamwandima6585
@farajamwandima6585 2 ай бұрын
Mungu kupitia wimbo huu naomba nirejeshee kila kitu changu kilichopotea Ameen
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen na iwe hivyo katika jina la Yesu
@osiahjoel1906
@osiahjoel1906 11 күн бұрын
Naamini hata mimi kila kitu kitarejea kwangu this year.
@elionoramtei4410
@elionoramtei4410 Ай бұрын
Yesu asbh ya leo ninaomba unirejeshee yote yalioibiwa ktk maisha na ndoa yangu,Amen
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen
@bashmo7880
@bashmo7880 3 ай бұрын
Do u even know how much i love this song? I don't know how many times i play it in my shop? Am Ugandan 🇺🇬🇺🇬🇺🇬and don't know much Swahili but the Holyspirit is my translator. Love youuuuuu 💕💕💕💕💕💕💕
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen be blessed, we love you more 🇺🇬 🇺🇬 ❤️
@julianasingo6689
@julianasingo6689 3 ай бұрын
Nimelia kwasaab niliibiwa ila naona mkono wa Mungu...kupitia huu wimbo namwona Mungu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@Linda-lr1lu
@Linda-lr1lu Ай бұрын
Aliyetunga huu wimbo nani mzuri kweli kweli👌👌📌
@dianaakinyi6833
@dianaakinyi6833 2 ай бұрын
I’ve played this song more than 20 times today and I’ve shared it with my friends. The words are so powerful, God used you to speak to me and many others. “Nikurejeshee…. Nikurejeshee… anasema njoo kwangu Nikurejeshee “. Amina 🙏🏾. Such a blessing.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Wow Glory to God, be blessed 🔥🔥🔥🔥🙏
@benjaminndaki8212
@benjaminndaki8212 4 ай бұрын
Hakika nafarijika sana kupata nyimbo nzuri kutoka kweye kwaya iliyo nizaa mbalikiwe sana Neema gospel ❤.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen, endelea kubarikiwa 🙏🙏
@humphreypeter5641
@humphreypeter5641 4 ай бұрын
Mungu akarejeshe yote tulioibiwa kupitia wimbo huu kwa jina la Yesu AMEN 🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Na iwe hivyo🙏🙏
@user-nb3pg2zc1t
@user-nb3pg2zc1t 2 ай бұрын
Mungu anirejeshee afya yangu na familia yangu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@mylifediary03
@mylifediary03 Ай бұрын
Naaam naja kwako Bwana kwa Imani iliyo juu kabisa unirejeshee...May 6,2024
@samuelsyanda5479
@samuelsyanda5479 Ай бұрын
Amen
@NEEMADANNY-db9xy
@NEEMADANNY-db9xy 3 ай бұрын
Wimbo mzuri na una ujumbe mzuri Mungu wa Mbinguni azidi kuwainua viwango vya juu Neema gospel
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen asante sana🙌🙌🙌🙏🙏🔥
@janethmollel406
@janethmollel406 4 ай бұрын
Nimeskiliza wimbo siku nzima. Hakika huu wimbo ni mzuri sanaaa. MUNGU anarejesha jamani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen, endelea kubarikiwa 🙏🙏
@happyshayo5397
@happyshayo5397 2 ай бұрын
Bwana anakwenda kunirejeshea ndoa yangu,uchumi wangu,huduma yangu,Kalama na vipaya,hatma yangu,yesu asntee😢😢
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako🙏
@alexkachengo_254
@alexkachengo_254 Ай бұрын
Wimbo huu umekua wa baraka sana katika maisha yangu
@godlivergordian1481
@godlivergordian1481 4 ай бұрын
Hallelujah kama kawaida sauti zenu lazima zinitoe goosebumps. Glory to God, Mungu awabariki sana na awatetee katika kuyatunza mafuta yake.❤❤❤
@michaeltz3446
@michaeltz3446 4 ай бұрын
yan mimi tangu naanza kusikiliza huu wimbo goosebumps and tears are all I felt. Glory to the Highest and Living God
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Sifa zote n Utukufu wote ni wake Mungu, yeye atuwezeshae katika kutumiza kusudi lake, ubarikiwe sana dada yetu kwa kuendelea kusupport kazi ya Mungu hakika Bwana atakutendea na atakurejeshea vyote vilivyopotezwa na mwovu🙏
@user-xz4gp6mw6w
@user-xz4gp6mw6w 3 ай бұрын
Mungu awabariki nina ushuhuda na huu wimbo ninausikiliza tena na tena🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen endelea kubarikiwa 🙏
@frankangira7909
@frankangira7909 Ай бұрын
Asee jamaa wamenifanya nianze penda nyimbo zao..mungu ni mwema vocal nzurii kila kitu kiko vizur mbarikiwe sana..
@afyatanzania4354
@afyatanzania4354 2 ай бұрын
Bwana nirejeshee kila nilicho poteza nyumba,fedha ,furaha na amani ikazini n Jesus Name
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@lizyjonath2226
@lizyjonath2226 4 ай бұрын
For the love of my church AICT mnaliwakilisha vyema kanisa wana wa Mungu@neema gospel
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen🙏🙏
@BettyGeorge-el1gb
@BettyGeorge-el1gb 4 ай бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Asante sana Yesu kwa urejesho wa kila kilichopotea kwenye maisha yangu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana 🙏
@kolimbaperesi9604
@kolimbaperesi9604 2 ай бұрын
Mwamba umetisha sifa na utukufu kwa Mungu Aliye juu Nikurejeshee nimeikubali Big Endelea kutamia maono naafunuo utukufu kwa aMungu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@user-wp3ij3ew6e
@user-wp3ij3ew6e 2 ай бұрын
Mungu kupitia huu wimbo nakuomba nilejeshee vile wewe upendavyo❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
AMEN na iwe hivyo kwako
@faithkakuta6017
@faithkakuta6017 4 ай бұрын
Who else is glued on the screen like me, honestly this is the song of Year. God bless you guys, you never disappoint. Much Love all the way from 🇰🇪 may God continue Elevating you. Blessings. "Bwana Ataturejeshea chochote shetani aliiba kwa Jina la Yesu"
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Thank you, To God be the Glory 🙏🙏
@priscasolomon5715
@priscasolomon5715 3 ай бұрын
😢😢😢 Mungu naomba nirejeshee vilivyoliwa na madumadu na tunutu...asante kwa huu wimbo unanifariji mnoo ....napitia kipindi kigumu mnoo cha kufiwa na mwanangu...Jehova naomba unirejeshee twins
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen, Mungu hawezi kukuacha utapata kila hitaji lako kwa uweza wa Mungu🙏🙏
@elishafaustine663
@elishafaustine663 3 ай бұрын
Oooooh so sorry Mungu akaseme na wewe Mpendwa
@rosemwaijande3391
@rosemwaijande3391 2 ай бұрын
Pole saaana Mungu atakutana na haja ya moyo wako
@rosemwaijande3391
@rosemwaijande3391 2 ай бұрын
Wimbo mzuri Munhu akutane na magonjwa yanayonisumbuwa nipone siwezi kutembea kufanya chochote ni kulala tuu hata natamani kwenda kanisani siwezi zMungu alejeshe uzima wangu kama zamani
@barakaedward9206
@barakaedward9206 2 ай бұрын
May God heal your soul 🙏
@RonicKalindile
@RonicKalindile 2 күн бұрын
Siku nasikiliza huu Wimbo Roho mtakatifu alishuka juu yang.nilimuona Mungu akigusa moyo wangu na kuniambia yupo kwa qjili yangu hataniacha kamwee.😢😢😢❤
@TapuwaAlishdamba
@TapuwaAlishdamba Ай бұрын
once upon a time, i fell in love with neema gospel choir❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Gprecious-jy8lj
@Gprecious-jy8lj 3 ай бұрын
Me listening in the office for the first time .............. still wondering were was I for the past 2 weeks ,...........Wimbo huu wanipa faraja sana ......Mubarikiwe watumishi wa BWANA
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen endelea kubarikiwa sana🙏🙏
@gracefrancos2705
@gracefrancos2705 Ай бұрын
same here🥰
@Gprecious-jy8lj
@Gprecious-jy8lj Ай бұрын
@@gracefrancos2705 oooh its a karma then .......wa jina wangu 🥰🥰
@MasiwaNatema
@MasiwaNatema 3 ай бұрын
Sifa na utukufu Kwa Mungu aliyewapa uwezo wakuimba nyimbo nzuri hivi
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu 🙏🙏
@catherinewangongu9766
@catherinewangongu9766 4 күн бұрын
Can I like this a million times please where is that button
@Nashoni1996
@Nashoni1996 2 ай бұрын
Nimekuja Yesu naomba unirejeshee huduma yangu , biashara yangu na baraka zangu 😭😭😭😭😭😭😭
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Mungu atarejesha vyote wewe muamini tu🙏
@Nashoni1996
@Nashoni1996 2 ай бұрын
@@NeemaGospelChoir Amen
@johnmasonga426
@johnmasonga426 4 ай бұрын
Hongereni Neema Gospel choir kwa kazi nzuri hongera pia mwanangu Simon kwa utumishi wa kumsifu na kumwimbia Bwana wimbo upo vizuri sana nami namuomba Mungu anirejeshee vyote vilivyoibiwa na ibilisi naamini kuna urejesho katika Kristo Yesu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Asante sana mtumishi, na ikawe hivyo kwako katika jina la Yesu, ubarikiwe sana🙏🙏
@wambuigrace6907
@wambuigrace6907 3 ай бұрын
Oh My God, restore my peace , my health , My desire to serve , my faith in you God ..restore me please
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@carolineminja9273
@carolineminja9273 10 күн бұрын
Amen
@ZaituniSanga
@ZaituniSanga Ай бұрын
Naomba Mungu anilejeshee kizazi changu kilichoibiwa na adui niweze kuitwa mama😢
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako katika jina la Yesu🙏🙏🙏
@unidabusiness
@unidabusiness 25 күн бұрын
God gives 🙏
@eunicegitau8903
@eunicegitau8903 2 ай бұрын
God will restore whatever the enemy took from in Jesus name🎉🎉🎉🎉🎉
@elishacharles3073
@elishacharles3073 3 ай бұрын
Nimerudi tena hi kitu ni chakula kabisa, hongereni watumishi UJUMBE, UJUMBE UJUMBE MZITO, mko vizuri sana dressing code, vocal, inshort NEEMA GOSPEL musiache daima hi huduma ya bwana.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana 🙏
@user-ur8re6cj4p
@user-ur8re6cj4p 3 ай бұрын
Best song ever,nimeiskiza leo more than 10 times,,,Neema izidi kuwatosha.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@ZawadiTunze
@ZawadiTunze Ай бұрын
Wimbo bora,faraja kwa wenye huzuni. Hakika amani ya moyo hipatikana kwa YESU. Turejeshee kila kilichoibiwa na mwovu❤❤❤
@elishafaustine663
@elishafaustine663 26 күн бұрын
Ibada ya mwaka 2024, wimbo wa maisha yangu, Asante Yesu kwa urejesho, tukutane hapa kumwambia Mungu asante kwa ajili ya Neema gospel
@Anthonynjeri9747
@Anthonynjeri9747 4 ай бұрын
Bwana awabariki sana. Ufunuo wa nguvu huu. Kweli Bwana ako katika harakati za kuturejeshea na anatuita tuje kwake. Yumepoteza mengi. Mengi yamelia na nzige. Lakini namshukuru Mungu kwamba ametupa tumaini na hakikisho la urejesho. Bwana azidi kuwainua Neema Gospel Choir
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen, endelea kubarikiwa 🙏🙏
@florencewamuyu1103
@florencewamuyu1103 4 ай бұрын
Asante Yesu maana unanirejeshea vyote vilivyo ibiwa na mwovu tena kwa speed kubwa🙏🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen
@JacklineMacha-eh6jv
@JacklineMacha-eh6jv 2 ай бұрын
Mungu naomba ujirejeshee kila shetani alichochukua kwenye maishayangu,,Amen(🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@hossanajosiah5716
@hossanajosiah5716 2 ай бұрын
NIREJESHEE YESU WANGU KILA KITU KILICHOPOTEA NA KUHARIBIKA NA KUIBIWA KATIKA MAISHA YANGU, WATOTO WANGU, WAZAZI WANGU, WATU WA NYUMBANI MWANGU. TUMAINI LETU NI WEWE PEKEEE YAKO 🙏😔
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Na iwe hivyo kwako, Amen 🙏
@user-jg2zl8gz2x
@user-jg2zl8gz2x 3 ай бұрын
Bwana anakwenda kurejesha kila kitu changu ameeen
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Amen na ikawe hivyo kwako🙏🙏🙏
@imaniericshoo
@imaniericshoo 4 ай бұрын
My God .. This is pure Heaven 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Ooh let God reveal himself 🙏🙏🙌🙌
@peteraineastephen668
@peteraineastephen668 4 ай бұрын
MUNGU awabariki sana na awakumbuke katika huduma yenu. Wimbo umenifariji sana na umenifanya nisimame tena.
@wuodoketch
@wuodoketch 4 ай бұрын
AMEN 🙌🙏🏾🙏🏾
@helnaamon3553
@helnaamon3553 Ай бұрын
Mungu anirejeshee kila adui alichoiba kwenye maisha yangu,pia ibada yangu ikarejeshwee,nafasi yangu,kibali changu,huduma yangu,na wote mnaosoma coment hii mniombeee Mungu anikumbuke ,naandika kwa kumaanisha
@unidabusiness
@unidabusiness 25 күн бұрын
Mungu wetu ni mwamimifu ameshafanya amini litatimia mwilimi
@ndechiliotarimo
@ndechiliotarimo 25 күн бұрын
Pokea Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@JacksonJackson-ny1mi
@JacksonJackson-ny1mi 2 ай бұрын
Ndoa yangu mungu nilejeshe adui ameivuluga
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako
@Nhabato5599
@Nhabato5599 4 ай бұрын
Yes Toptop, song, Dah hiii ni zaidi ya utukufu, niko nyuma Yenu Nawaombea YESU azidi kuwainua, Mmenirejesha🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 ай бұрын
Amen, utukufu kwa Mungu🙏🙏
@epifaniakavishe9282
@epifaniakavishe9282 3 ай бұрын
Eeeeh najikuta nalia sana huu wimbo unagusa sana maisha yangu eeeh Mungu turejeshee miaka yetu yote iliyoliwa na nzige😢
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 ай бұрын
Hakika utukufu utabaki kuwa wa Mungu pekee🙏🙏
@JoyceKalinga-ub2df
@JoyceKalinga-ub2df 2 ай бұрын
Aminaa ,duuu kwa kweli ,Miaka yetu iliyoliwa na nzige na madumadu ,Mungu atulejeshee
@VeronicaHilbajojo
@VeronicaHilbajojo 2 ай бұрын
Amen!Amen sichoki kuusikiliza huuu wimbo unaleta faraja moyoni mbarikiwe Neema choir ❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 ай бұрын
Amen
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 Ай бұрын
MUNGU naomba unijibu maombi yangu na unipe haja ya moyo wangu ❤ Amen
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Ай бұрын
Amen🙏🙏
Neema Gospel Choir - MWEMA
10:32
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3,1 МЛН
Balloon Stepping Challenge: Barry Policeman Vs  Herobrine and His Friends
00:28
Watermelon Cat?! 🙀 #cat #cute #kitten
00:56
Stocat
Рет қаралды 29 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 1,4 МЛН
100❤️
00:20
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 71 МЛН
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - ELOHIM (Official Live Video)
7:29
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 718 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 20 МЛН
KAHAMA GOSPEL-  UMENIKUBALI(Official music video)dir yoress
5:14
Kahama Gospel
Рет қаралды 22 М.
Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video)
12:35
Agape Gospel Band
Рет қаралды 4,8 МЛН
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHURCH CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 12 МЛН
Nikurejeshee
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 1,8 М.
Essence of Worship - Shangilia (Official Music Video)
10:11
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Joel Lwaga - Umenishangaza (Official Music Video)
5:26
Joel Lwaga
Рет қаралды 1 МЛН
Israel Mbonyi - Yanitosha
13:22
Israel Mbonyi
Рет қаралды 1,3 МЛН
Adil - Серенада | Official Music Video
2:50
Adil
Рет қаралды 331 М.
Ademim
3:50
Izbasar Kenesov - Topic
Рет қаралды 95 М.
Saǵynamyn
2:13
Қанат Ерлан - Topic
Рет қаралды 1,5 МЛН
6ELLUCCI - KOBELEK | ПРЕМЬЕРА (ТЕКСТ)
4:12
6ELLUCCI
Рет қаралды 57 М.
Bidash - Dorama
3:25
BIDASH
Рет қаралды 155 М.
Akimmmich - TÚSINBEDIŃ (Lyric Video)
3:10
akimmmich
Рет қаралды 377 М.