Ee Bwana Unifadhili - Joseph Makoye [Kwaya ya Familia Takatifu Kanisa Kuu la Mt Yosefu - DSM]

  Рет қаралды 30,864

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Күн бұрын

Ee Bwana Unifadhili ni utunzi wake Marehemu Joseph Makoye ukiwa ni moja kati ya tungo zake nyingi za Dini.
Nyimbo hii ina lengo la kutafakari fadhili na Ukuu wa Bwana kwa wanadamu.
Ee Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa kwa maana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakungojao.
wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Familia Takatifu Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo kuu la Dar es Salaam na kurekodiwa (shooting) na JUGO MEDIA.
Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0755 816669/0757560764

Пікірлер: 27
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Tafadhali share na marafiki pia usisahau ku subscribe ili kpata nyimbo nyingine tutakazoweka
@philomenasjohn9083
@philomenasjohn9083 4 жыл бұрын
Hongereni sana, sauti ziko vizuri sana
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 5 жыл бұрын
Na mwingi wa fadhili Kwa watu wote wakuitao!👏👏👏 Pamoja na Familia Takatifu! Fransicka !!!!!
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 5 жыл бұрын
Sichoki kuirudia kuitazama na kuisikiliaza...mmeitendea haki.👏👏👏
@nyabendadomistien2592
@nyabendadomistien2592 5 жыл бұрын
Hongar sans nyimbo nazipend sans
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Amina
@paschalmgassa6855
@paschalmgassa6855 5 жыл бұрын
Kazi ya Bwana itasimama daima, Wapendwa tujifungeni suduri hima talanta tulizopewa tuzitumie ili ajapo Bwana tustahili tuzo!!
@donboscont4514
@donboscont4514 4 жыл бұрын
I say amen forever shall God's work remain till the end of the world; and shall be praised in all corners of the universe.
@kelvindanford9280
@kelvindanford9280 5 жыл бұрын
Safi sana, nyimbo nzuri sana na mmeimba vizuri sana
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Kelvin Danford asante sana. Mungu akubariki
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 5 жыл бұрын
Very good nice song, nice video
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
asante sana
@sophikilili3539
@sophikilili3539 5 жыл бұрын
Wimbo mzuri..waimbaj makini
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Asante sana mama rodgers
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 5 жыл бұрын
Asante Wana Familia Takatifu. 👏👏👏👏👏👏 Hongera Kwa utume.
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
asante Ubarikiwe sana
@damariscliforddamarisclifo6782
@damariscliforddamarisclifo6782 5 жыл бұрын
nice song mbarikiwe
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Damaris cliford Damaris cliford Amina
@JugoMusic
@JugoMusic 5 жыл бұрын
Very Nice Song Keep it Up
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
Nzuri sana nimebarikiwa tubarikiwe sote
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
jeny yusuph Amina.
@stevenjohn4535
@stevenjohn4535 5 жыл бұрын
Lmv
@michaelfrances8522
@michaelfrances8522 4 жыл бұрын
Mzee Joseph makoye alale mahar pema huko mbingun nyimbo zake me nazipnda kwa moyo wangu wote, !!
@japhetkyarukambaaristides8698
@japhetkyarukambaaristides8698 5 жыл бұрын
@ghislainecellio6442
@ghislainecellio6442 5 жыл бұрын
💝👏👏
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Ghislaine cellio Asante sana. Ubarikiwe
HERI KUCHAGUA JINA JEMA KULIKO MALI NYINGI - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH'S CATHEDRAL DSM
8:13
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 20 М.
Najua ya Kuwa - G.F Handel [ Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]
6:34
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 19 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Huyu Ni Nani - St. Joseph's Choir || KMRM Liturgical Dancers|| Kwaya Mt. Romano Mtunzi
4:34
Kwaya ya Mt. Romano Mtunzi - Jkuat Catcom
Рет қаралды 11 МЛН
BWANA ASEMA MIMI NI WOKOVU WA WATU - JOSEPH MAKOYE
3:28
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 23 М.
UKUU WA MUNGU ,,       KWAYA YA MT.YOSEFU KANISA KUU LA MT.YOSEFU JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM...
5:35
Saint Joseph Cathedral Choir Dar es salaam Tanzania
Рет қаралды 101 М.
KWAKO BWANA ZINATOKA SIFA ZANGU BY JOHN MGANDU
5:45
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 68 М.
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 3,5 МЛН
ALELUYA MSHUKURUNI BWANA NA C SAASITA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHEDRAL DSM
6:35
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 25 М.
NITAKUSHUKURU - DAVID B. WASONGA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHERDAL DSM
8:20
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 15 М.
MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA NA C. KAPAMA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU
6:11
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 68 М.
KUSIFU NA KUSHUKURU - Beatus Idama
7:13
Saint Joseph Cathedral Choir Dar es salaam Tanzania
Рет қаралды 21 М.