Najua ya Kuwa - G.F Handel [ Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]

  Рет қаралды 19,400

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@FloraIkwabe-qy3yb
@FloraIkwabe-qy3yb 4 ай бұрын
Ilitakiwa wakatoriki warudi kuimba nyimbo za kama zamani ,nyimbo zilikuwa za kutafakari mpaka unahisi upo kwa mungu sasa ivi nyimbo niza kucheza
@paschalmgassa6855
@paschalmgassa6855 5 жыл бұрын
Tafakari ya wimbo huu toka kitabu cha Ayubu na waraka wa Mt. Paulo, kila hujiona mimi kitu Ila tumaini langu ktk Kristo pekee!! Hongereni KFT, hongera sana pia Jugo Media kutufanya tuinjilishe mbali zaidi!!!
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Amina
@absm8084
@absm8084 3 ай бұрын
I know that my Redeemer is liveth❤❤❤❤❤❤ from Handel's Messiah
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 5 жыл бұрын
Mmenikumbusha mbali. Mbarikiwe Kwa utume Familia Takatifu Jimboni. Tunatarajia mambo mapya ya Handel's 😂.
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Cecilia Mhumba Amina. Kuwa pamoja nasi katika chanel yetu hii kupata vitu vipya
@gustavkunkuta6733
@gustavkunkuta6733 3 жыл бұрын
Soloist na kwaya nzima ahsanteni na hongereni sana kwa wimbo mzuri. That is very powerful and serious music.
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Жыл бұрын
Wimbo mgumu sana huu hongereni mnoo hakika mlionesha uwezo mkubwa! Minor plus Minor scale zinaimbwa na wabobezi wa mziki haswa! 👏👏👍💪
@cymphoriankirama7129
@cymphoriankirama7129 5 жыл бұрын
Nyimbo nzuri ya tafakari. Mungu azidi kuwabariki katika utume wenu wa Uinjilishaji. Amina
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Cymphorian Kirama asante sana. Mungu akubariki pia
@learnmore2154
@learnmore2154 4 жыл бұрын
Nimependa saba huu wimbo. Mmeimba vizuri ajabu. Hali ya waimbaji kufuatana wimbo mmejitahidi kuizingatia. Na hii inapekeka ujumbe pia. Mungu awabariki sana.
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 5 жыл бұрын
Hata mimi najua mteteaji wangu yu hai atanipigania mwaka huu wa 2019 ili uwe na unafuu kwangu
@kftstjosephcathedral
@kftstjosephcathedral 5 жыл бұрын
Steven Fumbi amina kaka. Mungu awe pamoja nawe
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 Жыл бұрын
Amina
@albertmaneno
@albertmaneno Ай бұрын
Excellent
@NaomiMakungu
@NaomiMakungu 5 ай бұрын
❤❤❤
@dorothyauma5306
@dorothyauma5306 2 жыл бұрын
I know that my redeemer liveth
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 3 жыл бұрын
Vizuri sana
@clementmboje4784
@clementmboje4784 4 жыл бұрын
1/1/2020 nasikiliza tena tafakuri hii
@japhetkyarukambaaristides8698
@japhetkyarukambaaristides8698 5 жыл бұрын
@martiniankamili47
@martiniankamili47 7 ай бұрын
❤❤
Wewe Uhubiriye Sayuni - G.F Handel [ Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]
6:54
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 6 М.
NITAKUSHUKURU KATIKA KUSANYIKO KUBWA - H.BWAGIDI
7:13
Saint Joseph Cathedral Choir Dar es salaam Tanzania
Рет қаралды 63 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 29 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН
TUFUATE MIFANO - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST. JOSEPH DSM
7:26
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 4,9 М.
Kila Bonde [Every Valley] - G.F Handel [ Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]
4:02
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 2,8 М.
Ee Bwana Unifadhili - Joseph Makoye [Kwaya ya Familia Takatifu Kanisa Kuu la Mt Yosefu - DSM]
4:57
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 30 М.
Inueni vichwa vyenu - G.F Handel [Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]
3:42
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 5 М.
HERI KUCHAGUA JINA JEMA KULIKO MALI NYINGI - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH'S CATHEDRAL DSM
8:13
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 20 М.
BWANA ALIWAAMBIA MITUME - Kwaya Kuu ya Mt.Yosefu
6:17
Saint Joseph Cathedral Choir Dar es salaam Tanzania
Рет қаралды 38 М.
KWAYA KUU MT.YOSEFU - KANISA KUU LA MT.YOSEFU - DAR ES SALAAM
5:42
Saint Joseph Cathedral Choir Dar es salaam Tanzania
Рет қаралды 36 М.
ALELUYA MSHUKURUNI BWANA NA C SAASITA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHEDRAL DSM
6:35
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 25 М.
NITAKUSHUKURU - DAVID B. WASONGA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHERDAL DSM
8:20
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 15 М.
Coronation Anthem No. 1 "Zadok the Priest" by G.F. Handel
6:37
Gene Backlin
Рет қаралды 26 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 29 МЛН