Nina Imani Kwenye Hii simulizi,Jonathan! Atakuja kuwa Tajiri Mkubwa Sanaaa!❤🙏🏻
@andrewseleli23318 сағат бұрын
Halafu mwanamke atakua snasumbua warudiane
@khorima6 сағат бұрын
@@andrewseleli2331ndio
@khorima6 сағат бұрын
@@andrewseleli2331na hapo ndipo nina doubt uhalisia wa hizi hadithi kwa sababu unajua haiwezekani kuwa hivyo kwa kila hadithi? Maana sio hii tu nyingi zina mambo kama haya nahisi hizi hadithi ni za movie za nigeria then wanazi localise na kitudanganya kwamba ni za uhalisia wamesimuliwa na watu
@IsaacChiwinga14 сағат бұрын
Iwapo mwanamke amefikia kuonesha dharau kwa mwanaume na ukifahamu hivyo ni vema kuchukua maazimio magumu ya kutoa talaka hata kama bado unampenda ili maisha mengine yaendelea, Mungu yu mwema sana, daima kumbuka sala hii; "Ee Bwana kumbuka rehema na fadhili, kwa maana zimekuwapo tokea zamani"( Zaburi 25:6).
@ShedrackDamiani13 сағат бұрын
Duh 🎉
@ShedrackDamiani12 сағат бұрын
Vaa viatu vya mshikaji😢😢😢😢😢😢
@AlfaCharles-e8h12 сағат бұрын
Kaka hili jambo linaumiza San, lisikie kwa mwenzio omba liskufike
@dionisiadionis990313 сағат бұрын
Duuuuuuh makubwa
@GemaRoman-y4v14 сағат бұрын
Nyie Hamjui ndoa nyie mnasema mwanamke dharau, nataka niwaambie wapo wanaume wanakipato kidogo ila anapeleka kwao na anaendeleza kwao ye chake kdg anashare na ndugu zake wa damu, we mke na watt mtajijuuu so unapambn maisha yanaenda ila Kuna muda inachosha Sana na inakera, uyu mke wa Jonathan kajiongeza Sana kwenda chepuka, akapata vikubwa ila wengi tulipambn tukavuka baada tukaacha kelele za kila siku, kazi kazi tu mpk tumeonekana upya
@ElizabethMjilima14 сағат бұрын
Pole sana Jonathan mpe talaka yake aende
@kulthumsaif285611 сағат бұрын
🤔🤔🤔
@nishaabdula501513 сағат бұрын
Jonathan unejibiwa vizur tu na uyo mueshimiwa mana mieahimiwa hn makosa makosa anayo mkeo towa taraka bc yaishe mwnamke kitakintena uyo
@dauditheking13123 сағат бұрын
Uyu jamaa mjinga sana
@MwanaMpole-mo5di11 сағат бұрын
Huyo mwanaume bwege
@Zuhuranadadoita12 сағат бұрын
Kuna mwanaume yupo hapa mwanamke kama huyu mwache aende
@jescajames984413 сағат бұрын
Ila Jonathan mbishi … angetoa tu talaka
@Zuhuranadadoita12 сағат бұрын
Mimi kaniuzi kungangania mtu kamusaliti
@NasrahRamsey14 сағат бұрын
Ni hatar 😢
@ZaudaMohammad14 сағат бұрын
Hiv kumbe mapenzi yanatesa jaman
@AlfaCharles-e8h12 сағат бұрын
Ujawah kuachwa ww
@PendoMacha-ib6oc10 сағат бұрын
😂😂😂@@AlfaCharles-e8h
@monicahmwikali76993 сағат бұрын
@@AlfaCharles-e8hHi
@AnjelaMichael-cn9rg14 сағат бұрын
Wanawake Mbingu yetu iko mbaliii sana jamaniii 🙌🙌🙌
@AlfaCharles-e8h12 сағат бұрын
Mbingu ipo kalibu kwa wote ila tatizo mnazambi kuliko ss
@AnjelaMichael-cn9rg12 сағат бұрын
@ 😂😂 unajipakuliaaa minyamaaa au sio nyieee Hamna zambiii wap